Mimi na Mme wangu tulishinda DV Lottery MARA MBILI MFULULIZO (mwaka 2020 na 2021). Nipo Kansas, USA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Mme wa Glory alishinda Green Card Lottery. Wiki 4 kabla ya interview, Tanzania ikawa kwenye Travel Ban iliyotolewa na President Trump. Hivyo hawakuweza kufanyiwa interview, hawakuweza kuja USA. Kwakuwa waliomba tena Green Card Lottery, awamu iliyofuata yeye na mme wake wote wakashinda Green Card Lottery.
    #DVLOTTERY #EBMSCHOLARS #ebmswahili

КОМЕНТАРІ • 42

  • @EBMSWAHILI
    @EBMSWAHILI  Рік тому +12

    Kama ukishinda na unataka full service ya EBM SCHOLARS kuanza kuangalia qualification zako, ku review documents zako, kukujazia visa form DS260 Wewe na familia yako, na pia kukupa mentorship ya jinsi ya kuanza maisha na hadi kufanikiwa ukiwa kama new immigrant USA 🇺🇸 ni dola 250 tu. Na ukifika USA utaendelea kupata ushauri bila kulipia tena.
    Ukishinda Tuma email
    EBM@EBMSCHOLARS.COM
    Au nenda kwenye website yetu
    WWW.EBMSCHOLARS.COM
    soma services offered by EBM
    Na washindi wote toka Tanzania 🇹🇿 nimeandaa WhatsApp group maalum. Utanitumia email na mimi nitakuweka kwenye kundi. again hili ni kundi la WASHINDI TU. Lengo ni kuwa tunapeana support na network na wengine kabla na baada ya kuja USA
    EBM SCHOLARS
    www.ebmscholars.com
    ebm@ebmscholars.com
    Missouri, USA 🇺🇸

    • @mangaremechanic4062
      @mangaremechanic4062 Рік тому

      Asante Sana kaka lazima utujazie fom ya viza kaka

    • @ramadhanipongela80
      @ramadhanipongela80 Рік тому

      Sawa Kaka. Nauliza Wanandoa Mmoja Mwenye Elim ya Form 6 Akishinda Mwenzake Kama hana iyo elim unaweza Kuondoka nae?

    • @Bagenzi4life
      @Bagenzi4life Рік тому

      Asante sana huu mwaka lazima na mm ni join hio grp 🙏🏿

  • @immaculeecyusa1412
    @immaculeecyusa1412 Рік тому +5

    EBM tunakushukuru Sana 🙏 kwakutuletea iyi interview Mimi namwaangu tunaamini mungu kwamba iyimwaka tutashinda green card lottery in Jesus name amen

  • @mariammasusu5118
    @mariammasusu5118 Місяць тому +1

    Hongera Glory frend of mine, it's me Cecy Arusha

  • @elsaMo-b5r
    @elsaMo-b5r Рік тому +10

    Mi ni mmoja wapo nasubiria majibu tar6 Mungu atatushangaza wa tz safari hii🎉

    • @noelimlinga9694
      @noelimlinga9694 Рік тому +1

      I join the faith

    • @davidsemvua5336
      @davidsemvua5336 Рік тому

      Ww muha mbona mshamba sana marekani kuna hela na maisha mazuri kweli au unawadangaya watu maisha mazuri yaka africa kama umesoma vizuri au una hela wabongo kibao wanakwenda nje na kurudi

  • @jahfarmansoor7705
    @jahfarmansoor7705 Рік тому +2

    Thanks to God. I was selected. From Kenya

  • @JoeAM911
    @JoeAM911 Рік тому +3

    Kind hearted man. God may grant you many years

  • @GabriellaMakatu-jf2lq
    @GabriellaMakatu-jf2lq 5 місяців тому

    Kaka Tunakushuru sana kwa malezi japo kuna mengine hatukujajua mapema ila ndo kujifunze na kujua zaidi

  • @EBMSWAHILI
    @EBMSWAHILI  Рік тому +4

    Kama huja download EBM SCHOLARS APP, nenda kwenye Android Google Play Store na search EBM SCHOLARS. Malipo kwa sasa ni kwa visa au mastercard. Unaweza kutumia Tigo Pesa visa au mastercard ya MPESA na kulipia.

  • @osoroobed9854
    @osoroobed9854 Рік тому +1

    Nafurahi sana kukuskiza ebm kutoka Kenya

  • @ramadhanipongela80
    @ramadhanipongela80 Рік тому +1

    EBM tunakusubili kwa ham sana Utupe Dalasa Ubungo Mwenyezimungu Akufikishe salama Tarehe hiyo Mwezi wa Tano

  • @GodfreyMdemu-uw2lv
    @GodfreyMdemu-uw2lv Рік тому

    Habari Ebm kunifanyia prosesing ya Visa ya USA ni Bei Gani kaka Nina pesa.nipo DSM.tz.nakusubiri mlimani tarehe 21.nipe jobu mkuu

  • @ussiussi3413
    @ussiussi3413 Рік тому

    EBM hongereni kwa kazi nzuri.

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 6 місяців тому

    Wajina uko Safi san

  • @sylvainkajaju9911
    @sylvainkajaju9911 Рік тому

    Asante sana kka Ebm nakufatiliyaga nikiwa Congo RDC 🇨🇩

  • @samuelbayizere1712
    @samuelbayizere1712 Рік тому

    Mungu awone iyi usaidizi yako inafanyia Afrika akubalike Ebm

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 15 днів тому

    Umekumbua cha. Uzunguni Arusha wewe , kweli kitamu

  • @jacobnyatwanga8644
    @jacobnyatwanga8644 Рік тому

    Mungu akubariki Ndugu EBM

  • @MasolaFarm
    @MasolaFarm Рік тому

    Kaka nakufatiria sana kaka

  • @MasolaFarm
    @MasolaFarm Рік тому

    Mimi pia mojaaaaa wapo nasubili majibu mwizi 6

  • @omarisarai7699
    @omarisarai7699 Рік тому

    Nasubiri matokeo bwana EBM nikijaliwa kupata nitakutafuta coz nime apply na mke na watoto watatu

  • @Bless510
    @Bless510 Рік тому

    ❤❤❤🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @michaelkomwiswa7048
    @michaelkomwiswa7048 Рік тому

    Asante kaka

  • @JLosific
    @JLosific Рік тому

    I paid a nearest cyber by the time we were Applying for a Green card lottery...but guess what??...Ian among those eagerly waiting that Great 6th!

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 місяці тому

    Tunaomba namna ya kuomba tafadhali na usaidizi wowote waweza kutupatia kuomba na kutafutafuta fursa zingine

  • @motarijacob63
    @motarijacob63 Рік тому

    Ebm my mentor... Missouri there I come

  • @puritynkirote5097
    @puritynkirote5097 Рік тому

    Asante ❤

  • @DMujuni
    @DMujuni Рік тому

    Kaka Mkubwa nakufuatilia sana kutoka Arusha-Tz endelea kudondosha nondo kali maana naamini hizi ni kama jiwe la gizani litakayempata utasikia kilio chake siku akishinda DV, for my first time nangojea mwaka huu nifanye application mimi na mke wangu, Nimejifunza mengi sana kutoka kwako, naombeni commentators na viewers
    tuendelee kusambaza videos hizi kwa watu wengine tusiwe kama wale wa Kamati ya RM

  • @brigitajoseph1963
    @brigitajoseph1963 Рік тому

    Huyu binti nampongeza sana halafu namjua nitamkuta huko tufahamishane

  • @shanyisasupermum5981
    @shanyisasupermum5981 Рік тому

    Sauti yake iko chini sana

  • @benedictaustard5583
    @benedictaustard5583 Рік тому

    Binafsi sioni sababu ya kuhama nchi zetu za Kiafrika na kwenda ugaibuni!.
    Hata kwetu maisha mazuri yapo!.Akili yako tu!.

    • @soamesphares
      @soamesphares Рік тому +6

      ...sababu za kuhama zipo na sababu za kubaki Afrika zipo. Ni uamuzi binafsi na familia yako. Kupanga ni kuchagua.

    • @Team-t6k
      @Team-t6k Рік тому +1

      😂

  • @trueone_tz
    @trueone_tz Рік тому

    Hello 👋

  • @samuelbayizere1712
    @samuelbayizere1712 Рік тому

    Mungu awone iyi usaidizi yako inafanyia Afrika akubalike Ebm