MTOTO ALIYE TOLEWA KAFALA NA BABA YAKE APATIKANA/MUME AM MSAMAHA KWA MKEWE NDOA IENDELEE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • MTOTO ALIYE TOLEWA KAFALA NA BABA YAKE APATIKANA/MUME AMUOBA KIBOKO YA WACHAWI AMUOMBEE MSAMAHA KWA MKEWE

КОМЕНТАРІ • 111

  • @user-dt6yq9xt8b
    @user-dt6yq9xt8b 9 місяців тому +12

    Nabii nimepatwa na msiba wa mtoto wa mdogo wangu.umetokea leo gafla hajaumwa. Huko ifakara. Naomba nisaidie tujue kama kweli kifo cha halali.. kuna mtu nimempa namba yako ili akupigie naomba mungu akupate akupa te maana yeye yuko njiani anaelekea huko msibani .naomba mungu akawashangaze wachawi wa kule ifakara..

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 9 місяців тому +1

      Ameeeni 🙏🙌 barikiwa mtumishiwa Mungu..

    • @safarikatana8475
      @safarikatana8475 9 місяців тому +1

      4:02

    • @user-sv9qe7yj8e
      @user-sv9qe7yj8e 8 місяців тому

      Jamaniiiii naumwa naomba uniponye maradhi yangu nipo Kama tails mwili unaisha hata sijui shida no nin

    • @tabeashenyagwa5534
      @tabeashenyagwa5534 2 місяці тому

      Naomna namba ya nabii

  • @mchusna6468
    @mchusna6468 9 місяців тому +6

    Khakika nakukubali Sana kibokoya uchaw mungu akuwe

  • @estabellashija
    @estabellashija 3 місяці тому

    Nabii bwana Yesu asifiwe mimi nilifiwa na mwanangu wa kwanza kuzaliwa jina lake Catherine Shedrack Stanslaus alifariki mwaka jana tarehe saba mwezi wa saba kifo chake aliugua ghafra na itimisho Alipungukiwa damu,alikuwa anatoka damu puani na kutapika damu, akafa toka mda uo namuota sana ananiijia katika ndoto mno,nahitaji maombi mwanangu arudi kama akufa kifo cha mpango wa Mungu, pastor niombee

  • @user-mn7rs8ho8g
    @user-mn7rs8ho8g 3 місяці тому

    ❤ nakupenda mtumishi wa Mungu nakuomba unisaidieee familia yangu wanateseka kula shida kulala shida hata kujenga hamnaa baba mtumishi wa Mungu nisaidie

  • @ZenaMsuya-qd8er
    @ZenaMsuya-qd8er 3 місяці тому +1

    nabii naomba unisaidie mtoto wangu anaumwa na tumempereka hospitar hauonekani ugonjwa wowote nabii kiboko ya wachawi naomba umsaidie mwanangu

  • @RAHIMOHAMEDI
    @RAHIMOHAMEDI 3 місяці тому

    Mchugaji ninafatilia mahubiri yako yote mtadaoni Asante kwa kunitakasa kwa mahobi mungu akunariki sana

  • @LevinaModesti
    @LevinaModesti Місяць тому

    Achen kuandika msg ambazo hazina maana muachen mtumishi wa Mungu afanye kaz ya Mungu mshindwe kwa jina la Yesu.

  • @MatildaaFrancis-wf9qm
    @MatildaaFrancis-wf9qm 9 місяців тому

    Baba ubarikiwe sana baba ang kijana ako na matatzo baba naomba uniangliziee ni nan anaecheza na maisha ang

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 9 місяців тому +5

    Naomba namba ya nabii

  • @norahfrank
    @norahfrank 9 місяців тому

    Amen. Namkubali sana huyu nabii.Mungu kamwinua kuwasaidia walioonewa.

  • @emmanuelbayda4640
    @emmanuelbayda4640 5 місяців тому +1

    Walipangwaaaa hayoo ni maigizoooo ROHO MTAKATIFU ANANIAMBIAAAA

  • @senorinamuhindi4726
    @senorinamuhindi4726 7 місяців тому +1

    Mungu nibarik Mimi nafamiliayangu kupigia mkono wahuyu nabii Ameeeeen

  • @zakariamwamburi-7940
    @zakariamwamburi-7940 Місяць тому

    I believe yr prophecy man of God

  • @StanleyChibwete
    @StanleyChibwete Місяць тому

    Mimi stanley chibwete nipo dodoma mke wangu haoni mwaka 3 nakuomba msaada na biii bingwa wakiboko ya uchawi

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 місяців тому

    I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I 🙏

  • @merymosha8423
    @merymosha8423 Місяць тому

    Ameen Babaa

  • @maryrichard1236
    @maryrichard1236 7 місяців тому

    Amen,I believe in Jesus used u

  • @user-qu2ky6mi6v
    @user-qu2ky6mi6v 5 місяців тому

    Kiboko huyooo anawaumbua safi sana pastor

  • @SakinaMohamed-up6eo
    @SakinaMohamed-up6eo Місяць тому

    Amina baba komboa familia yangu

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 9 місяців тому +2

    Imeandikwa zijaribuni kila roho whether they are of God: because many false prophets are gone out into the world. 1JOHN 4:1-2

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 9 місяців тому

      Kama wewe umezijaribu, na kuona hazitoki KWA Mungu inatosha, tuache wengine tubarikiwe🚶

    • @Zeifa
      @Zeifa 7 місяців тому

      True

  • @glorymsangi8765
    @glorymsangi8765 2 місяці тому

    Mtumshi wa MUNGU nakuombe kwa MUNGU aendelee kuachia mafuta mabichi juu yako kwajili ya kutufungua zaidi jamani mtumshi

  • @DevothaCasto
    @DevothaCasto 2 місяці тому

    Mtumishi naomba umludishe mama angu amemaliza mwezi amekufa ila namuota mala kwa mala anaitwa Angelina

  • @user-pg1li2sq7y
    @user-pg1li2sq7y 5 місяців тому

    Mungu akuinue zaidi na zaidi nabii

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @user-vy7pt3ct6n
    @user-vy7pt3ct6n 8 місяців тому +1

    Naomba niponemagoti baba Rehema mwanjalile

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 8 місяців тому +1

    Mhuuu Mungu atusamehe

  • @DevothaCasto
    @DevothaCasto 2 місяці тому

    Mtumishi naomba uludishe mama angu alie kufa mwezi mmoja kabla sijakujuwa naumia sana mtumishi namuota mala kwa mala anaitwa Angelina

  • @user-do1ul5ci9m
    @user-do1ul5ci9m 8 місяців тому +1

    Baba.shikamoo.baba.mm.naomba.unisaindie.kumuombea.baba.yangu.anaumwa.sana
    Baba.yangu.amevimba.tumbo.baba.naomba.unisaindia

  • @GloryNdakidemi
    @GloryNdakidemi 2 місяці тому

    Nabii naomba umuonbee moto wangu Viane aweze kuongea

  • @user-lh3rq6lj1w
    @user-lh3rq6lj1w 24 дні тому

    Nabii nilifuliwa na kaka yangu gafla kwa ajali mwaka ulopita naomba usaidiz

  • @MeshakShedrack
    @MeshakShedrack Місяць тому

    Niombee nipate pesa kila siku wachawi wafe amina

  • @GloryNdakidemi
    @GloryNdakidemi 2 місяці тому

    Nabii naomba maombi Kwa mwanangu aweze kuongea na kusikia vizuri

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 місяців тому +1

    Akienda akakukuuwa je? . ACHANA NAYE HUYO MPUMBAVU.

  • @NoelaUrio-en9yv
    @NoelaUrio-en9yv 2 місяці тому

    Mimi naitwa Grace nipo Arusha nabii na kaka angu alipata ajali akafa kila siku anamjia mtu kwenye ndoto anaitaji msada anasema yeye ajafa anaomba msaada wa maombi Nabii tumpate uko alikowekwa mara watu wasema wanakuwa wanamuona barabaran lakini mke wake akienda hilo sehemu amuoni Naomba maombi yako Nabii nipo chini ya miguu yako Nabii

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 6 місяців тому

    Waafrica Mungu awasaidie saana

  • @emmanuelbayda4640
    @emmanuelbayda4640 5 місяців тому

    KIBOKO CHA WACHAWI NI KUMUAMINI YESU KRISTO TU.......HAWA WENGINE NI WEVII MUWE MAKINIII AAMININI JINA LA YESU MTAOKOKAAAAA

  • @neyprivilege3606
    @neyprivilege3606 2 місяці тому

    Njaa zitatuua mungu atusaidie...sio vizur kudanganya kama unabii huuwezi nibora ukaacha kuliko kulipa watu mitaan elf 20 kwaajili yakusema uwongo ili uwonekane nabii..nyie mnadanganywa hakuna aliekufa hpo wala mke na mume.bint jiangalie sana utakufa kwel hiyo elf 20 itakuponza.😂😂😂

  • @christinekatchiboh17
    @christinekatchiboh17 2 місяці тому

    Mtumishi mie naomba uniombee niolewe ,,,Nina miaka arobaini na tatu na Sina ndoa.
    Napata waume wa watu tu🙏

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 місяців тому

    Powerful powerful

  • @user-mz1bl9se6s
    @user-mz1bl9se6s 6 місяців тому

    Baba Mimi Na itwa Lucie kutoka Burundi naomba uniombeye Mimi ni familia yangu tunayeseka na'guvu zagiza cangamoto zinatuelemeya baba tusaidiye kwamaombi

  • @user-vx4ss6uo9x
    @user-vx4ss6uo9x 3 місяці тому

    Amen sana

  • @ReginaKaizirege-sd3hn
    @ReginaKaizirege-sd3hn 2 місяці тому

    Duh,, hii ni hatari sana

  • @masellemaziku1096
    @masellemaziku1096 3 місяці тому

    Nenda kanisani kwa Nabii. Jambo lako linaonekana ni kwamba mtoto kachukuliwa na wajanja. Atarudishwa kwa maombi. NENDA DAR BUZA.

  • @christineasinga8721
    @christineasinga8721 5 місяців тому

    Amen Amen Amen

  • @waltertimothy3957
    @waltertimothy3957 3 місяці тому

    Naomba uniombee Baba

  • @devothaenyasi6500
    @devothaenyasi6500 2 місяці тому

    Mrejesho huu nilikuwa nautafuta sanaa

  • @user-mu6bb4mv2n
    @user-mu6bb4mv2n 5 місяців тому

    Baba naomba uniombee nimekuwa na matatizo yakutokwa na uchaf seems za siri ndani ya miaka10 naitwa marry charles kutoka arusha

    • @fatnajuma1832
      @fatnajuma1832 4 місяці тому

      My iyo ni pld na inadawa ila pia Mponyaji ni Mungu Mungu akuonekanie

  • @user-su6us1yf9y
    @user-su6us1yf9y 7 місяців тому

    Nimempenda sana maombi ya baba ninataman nifikepo apo

  • @user-fo2hh7oj6x
    @user-fo2hh7oj6x 6 місяців тому

    Namba unifungulie njia yangu ya uchumba nabii

  • @elibarikirichard2076
    @elibarikirichard2076 6 місяців тому

    Power fuul

  • @fidonifidel
    @fidonifidel 8 місяців тому +1

    Sijaelewa ni maigizo au ni halisi

  • @FrankMkome-df9bn
    @FrankMkome-df9bn 3 місяці тому

    huyo mzee hana akili bola mama uachane nae maana umebeba mimba ww

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 3 місяці тому

    Mchungaji ngani wakataa kupatanisha .ndowa

  • @sarahzacharia304
    @sarahzacharia304 4 місяці тому

    Baba naomba nisaidie kila nikisoma sielewi nisaidie baba
    Naitwa wanzita zacharia mwambu kutoka tabata mwananchi

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 7 місяців тому

    WAONGOOOOOOOOOOO. ETI ALIKUJA JIRANI .NA MTOTO MWENYEWE HAPO YUKO WAPIII? MBONA HATUMWONI. MZEE MAYELE ASIKATISHE KATISHE MAMBO.

  • @EdooKwanyaz
    @EdooKwanyaz 3 місяці тому

    Nabii mimi nipo Arusha nasumbuliwa kiuchumi madeni yamenizidi, naitwa Edaward na nasumbuliwa na maumivu chini ya mbavu kushoto! Baba

  • @senorinamuhindi4726
    @senorinamuhindi4726 7 місяців тому

    Ameeeeen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 місяців тому

    Amen

  • @user-uu5td6ew7b
    @user-uu5td6ew7b 5 місяців тому

    Kaz ipo jaman mungu ndo anajua ukwel ni upi

  • @AminaMohammed-hb9kd
    @AminaMohammed-hb9kd 2 місяці тому

    Mkweli ww

  • @furahamwamkonga9783
    @furahamwamkonga9783 7 місяців тому

    Amina

  • @ZuhuraJuma-jf6el
    @ZuhuraJuma-jf6el 3 місяці тому

    Mimi.ninamatatizo.nabii.maisha.yamenisoga.naomba.msaada.wako

  • @MaggieMkandawire-ki5mu
    @MaggieMkandawire-ki5mu Місяць тому

    Naomba number ya Nam I nikobali Malawi

  • @NeemaDaud-fl3xe
    @NeemaDaud-fl3xe 7 місяців тому

    Mtumishi mm naitwa neema naomba uniombee ninamatizo

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 Місяць тому

    Mmmmmm

  • @user-ce3lj7gf7z
    @user-ce3lj7gf7z 9 місяців тому

    Amen baba

  • @user-fo2hh7oj6x
    @user-fo2hh7oj6x 6 місяців тому

    Nabii namba masada kutoka kwako nimeangaika miaka ming san

  • @StaliminaMgonza
    @StaliminaMgonza 9 місяців тому

    Ameen

  • @user-wy3jl8ct2s
    @user-wy3jl8ct2s 9 місяців тому

    Mm ni Martha senyagwa naomba kufunguliwa kiuchumi kiafya na kimahusiano

  • @ScolaJulius
    @ScolaJulius 4 місяці тому

    Baba napitia kipindi kigumu magonjwa kwangu. Familia yang inetesa mikos.mabalaa.magonjwa. nisaidie baba

  • @angle3600
    @angle3600 7 місяців тому

    Njooo Kenya mtumishi

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 6 місяців тому

    Baba karibu Dodoma karibu sana

  • @brucewanted5779
    @brucewanted5779 2 місяці тому

    naomba namba ya nabi wa mungu

  • @user-rf3kb2fd8y
    @user-rf3kb2fd8y 9 місяців тому +1

    Mimi ni Miriam aluta kutoka kibaha naomb unisaidie nipone tumbo Lang la chango na nishike mimba

  • @GiddieMuthui
    @GiddieMuthui 4 місяці тому

    Kwa hivyo kama wewe ni wa ukweli naeza pata baba yangu

  • @valentinokilongosi3527
    @valentinokilongosi3527 9 місяців тому

    Pasta naitwa Valentino naomba unabii juu yangu

  • @lucianimenda757
    @lucianimenda757 7 місяців тому

    Baba Mimi LUCIANI DAVID MENDA
    NAOMBA UNIOMBEE MAISHA YANGUNAADMWA NA ROHO YA MADENI,KAZI ZANGU HAZIENSI VIKWAZO VINGI NAOMBA BABA NIOMBEE HELA YANGU ISIMAME MIKONONI MWANGU,BARIKI KAZI ZANGU NIJALIE AFYA NA AMANI NDANI YA FAMILIA YANGU ,UTUJALIE AMANI MIMI NA FAMILIA YANGU BABA NAOMBA MSAADA

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 7 місяців тому

    Yani aliuwa msichana mkubwa ivi😢😢

  • @user-gy3hi6rz3g
    @user-gy3hi6rz3g 8 місяців тому

    Mtumishi naomba uniombee naitwa Theresia

  • @modesterchristophermodchri4233
    @modesterchristophermodchri4233 8 місяців тому

    Naomba umuombee mwanangu anamatatizo nakuomba baba

  • @ShanduJuma-yx7hq
    @ShanduJuma-yx7hq 9 місяців тому

    Mm naomy nabii komboa uchumi wangu

  • @marthashirima2270
    @marthashirima2270 4 місяці тому

    Baba wenye shida tupo wengi tuangalie na sisi

  • @user-su7dt7so6f
    @user-su7dt7so6f 6 місяців тому

    Mtumishi naomba maombi kwa ajili yatot was kaka yangu alixaliwa mzima ila kwa sasa anapoteza fahamu hats kula hataki ana miakaka 9 had I sasa tangia aanze kuumwa

  • @user-dm3fs9rj5m
    @user-dm3fs9rj5m 6 місяців тому

    Nabii nisaidie nina mwaka wanine nipo kitandan

  • @RebeccaShipula
    @RebeccaShipula 3 місяці тому

    Nani natafuta watoto 3:30

  • @user-gy3hi6rz3g
    @user-gy3hi6rz3g 8 місяців тому

    Naomba uniombee mtumishi naumwa na vidonda vya tumbo

  • @user-dx2zl1vo5s
    @user-dx2zl1vo5s 5 місяців тому

    Kamkosea mzee amekir nakuomba msamaha angesamehewa tu

  • @user-dp3um7rf3r
    @user-dp3um7rf3r 8 місяців тому

    mungo mpe miakamingi kiboko yawachawi

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 7 місяців тому

    Nilikuwa naisubilikwa am

  • @ChristopherKapinga
    @ChristopherKapinga 7 місяців тому

    naomba uniombee nabii nasumbuliwa na mguu nina miaka 14 mpaka sasa naitwa betina

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 6 місяців тому

    Amsamehe Kwa sababu amekiri

  • @user-gp7sd9kg4t
    @user-gp7sd9kg4t 8 місяців тому

    Na kaburi je ama haku,ikwa

  • @user-tt1nm9xs4n
    @user-tt1nm9xs4n 9 місяців тому

    Huyo mtoto mbona simuon

  • @user-gp7sd9kg4t
    @user-gp7sd9kg4t 8 місяців тому

    Hivi alifufuka ama niaje

  • @user-gy8hu4fe3p
    @user-gy8hu4fe3p 3 місяці тому

    Du

  • @doreenkahunde3186
    @doreenkahunde3186 7 місяців тому

    Jamani this is not true

  • @DevothaCasto
    @DevothaCasto 2 місяці тому

    Mtumishi naomba umludishe mama angu amemaliza mwezi amekufa ila namuota mala kwa mala anaitwa Angelina

  • @ZenaMsuya-qd8er
    @ZenaMsuya-qd8er 3 місяці тому

    nabii naomba unisaidie mtoto wangu anaumwa na tumempereka hospitar hauonekani ugonjwa wowote nabii kiboko ya wachawi naomba umsaidie mwanangu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN