WAUMINI WAPOKEA PESA KWENYE SIMU ZAO BAADA YA NABII KIBOKO YA WACHAWI KUFANYA MAOMBI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • WAUMINI WAPOKEA PESA KWENYE SIMU ZAO BAADA YA NABII KIBOKO YA WACHAWI KUFANYA MAOMBI
    #church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

КОМЕНТАРІ • 72

  • @jwasafi1793
    @jwasafi1793 20 днів тому

    Safi sana ❤

  • @MamaLucaschilimoga
    @MamaLucaschilimoga Місяць тому

    Najiungamanisha kwenye madhabahu haya nirudishiwe ela zangu nilizotapeliwa nakudhulumiwa ameeen 🙏

  • @user-eq7vu8qq5y
    @user-eq7vu8qq5y 6 місяців тому +1

    a connect in jesus name

  • @user-nl4fc1jh4u
    @user-nl4fc1jh4u 6 місяців тому +1

    Mimi nimejiunganisha na haya maombi Leo nimeamgalia sms nimepata 240,000..imelipwa na wapangaji ambao walikuwa wamechelewa kulipa hiyo kodi, asante kwa muujiza huu, sifa na utukufu ni kwa mungu

  • @lilianemassawe2673
    @lilianemassawe2673 28 днів тому +2

    hiyo nikweli kabisa,mimi ilishawai kunitokea jamani,aminini Mungu yupo.biblia ya Mungu imesema Pesa na mali na dhahabu zinatoka kwake.na Aminie ataokolewa.nisawa kabisa,Huyo ni Mtumishi wa Mungu,acheni kusema vibaya ,maana unaposema neno kwa mtumishi lolote,unajitafutia laana.kaeni kimya.na kama bado hujapitia gumu lolote funga mdomo .Mungu hadhiakiwi

  • @AnnoyedAirboat-vk5ki
    @AnnoyedAirboat-vk5ki 6 місяців тому

    Iconect in Jesus amen

  • @tomatonyanya6731
    @tomatonyanya6731 6 місяців тому

    Mungu atusaidie sana kumjua yeye na watumishi wake

  • @willymartinshao8276
    @willymartinshao8276 6 місяців тому

    Naomba mungu kupitia kwa nabii kiboko. ya wachawi Mami nipate hela Tena yakutosha

  • @user-uf4cu1pt5o
    @user-uf4cu1pt5o 6 місяців тому

    Amen amen

  • @saulimmbaga.safisana9556
    @saulimmbaga.safisana9556 6 місяців тому

    Namimi najiungamanisha na madhabahu hi kwa jina la yesu napokea

  • @cyruskarimi8837
    @cyruskarimi8837 6 місяців тому

    Amen

  • @francisikasilingi7092
    @francisikasilingi7092 4 місяці тому

    Wakati naangalia hii clip kabla haijaisha nimepigiwa simu na mdeni wangu anadai nmtumie namba yakupokea pesa anirudishie pesa yangu##tenx JESUS🙏

  • @gaitanokamage7366
    @gaitanokamage7366 6 місяців тому

    ❤❤❤nasibili wakati wa mungu ufike

  • @joeloileoile4786
    @joeloileoile4786 6 місяців тому

    Amina paster God bless you, ninakutama azama nikiwa Kenya. Kuhani I, need your prayers.My name Saverio Adungo Omachar Your prayer

  • @DanielDamianDanielDaniel
    @DanielDamianDanielDaniel 3 місяці тому

    Naitwa Daniel Damian. Niko temeke Dar es salama. Mtumishi Naomba unisaidie kuniombea ktk mipango yangu ya kimaendeleo inafeli kila nikipanga haipangiki

  • @fatumamichael5664
    @fatumamichael5664 5 місяців тому

    Napokea hela zangu nilizoibiwa nakuzulumiwa kwa jina la yesu

  • @user-go4ed9lr5m
    @user-go4ed9lr5m 6 місяців тому

    A connect in Jésus name

  • @user-bs8wy4eq4z
    @user-bs8wy4eq4z 2 місяці тому

    Najiugamanish na ibada hii na mimi nipokeee ele ameni

  • @user-pb1ed4fs7g
    @user-pb1ed4fs7g 6 місяців тому

    najiungamanisha na mm pesa ziingie kwenye sm yangu mungu wakiboko yawachawi najua hakuna usichoweza kila kitu kinawezekana napokea na mm hiyo neema yakupokea pesa katka sm yangu kwaiman

  • @RhodaMshana-ih4qu
    @RhodaMshana-ih4qu 6 місяців тому +2

    Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 6 місяців тому

      Asiefanya kazi na asile lingine linasema atabariki kazi zamiko yetu.hela hewa ati zamuujiza hizo hazipo labda za wachawi.Shetani nae anautratibu wake ambao mwisho wake mbaya sana

    • @RosemaryRaphael-xy1wd
      @RosemaryRaphael-xy1wd 6 місяців тому

      Kwa kwel hzo Hela zmetoka wap na hujafanya kaz labda watu walkua wanadai mishahara Yao ndo wakaingiziwa

  • @user-tm5ls1ml6d
    @user-tm5ls1ml6d 6 місяців тому +1

    Habar mchungujaji mie nipo nje oman jina ashura kapinga nashida kubwa sana nilizulumiwa nahuyo mtu kanikana mpaka na matusi juu hafuna biashra ngum na mahusian yenyewe shida nahitaji msaada wako mchungaji

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 2 місяці тому

    Nami Najiunganisha katika maombi hayo ya kufunguliwa

  • @frankpaulofrank9302
    @frankpaulofrank9302 6 місяців тому

    Ngoja namimi nichek nilikua pamoja nawewe nikipokea upako

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 6 місяців тому

    Baba, MUNGU wa KIBOKO ya wachawi nàa Mimi Hela ziingie kwenye simu yangu. Najiungamanisha na hayo mafuta ya upako wa pesa nikiwa Burundi. Hela njoooo

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 6 місяців тому

      Acha ujinga kafanye kazi na Mungu atakubariki .hele za kuokota hazipo kibibilia umezisoma wapi
      Soma maandiko achana mchungaji hewa huyo

    • @user-yl6qr9tk8w
      @user-yl6qr9tk8w 4 місяці тому

      Niombe niuzee viwanjaa. Nabii. Kiboko yawachawii

  • @user-pv3un2yp8e
    @user-pv3un2yp8e 6 місяців тому

    Flora Pius nahitaji muujiza uponyaji kuajiliwa kazini mungu wa Dominic kiboko ya wachawi

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi Місяць тому

    Jamani watumishi mtuonee huruma marungu haya si ya nchi hii

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 6 місяців тому

    Baba nahitaji miujiza wa nauli yakuja huko kukuona mtumishi wa MUNGU kiboko ya wachawi

  • @user-ow6tx2is8b
    @user-ow6tx2is8b 6 місяців тому

    Naomba na mimi hela iingie kwenye cm yangu kutoka ninaye mdai naomba nabii

  • @user-nz1nx5kh7g
    @user-nz1nx5kh7g 6 місяців тому

    Hta. Namikwa Jina LA yesu nipokee

  • @DoraNasinyari
    @DoraNasinyari Місяць тому

    Tuombee na ss tulikua mbali ama hairuhusiwi jamani

  • @user-wr9zh3wo3k
    @user-wr9zh3wo3k 6 місяців тому

    Yan huyu nabii ni tapeli
    Kwa sababu mtu anakuja kwenye ibada anaitaji uduma ya kiroho unasema atoe laki tano ,ili uonane nae mh

  • @user-rf2vi8vr9k
    @user-rf2vi8vr9k 6 місяців тому

    Mim Bado sijapokea

  • @zawadimsemo7751
    @zawadimsemo7751 4 місяці тому

    Haya maombi yarudiwe

  • @user-eq7vu8qq5y
    @user-eq7vu8qq5y 6 місяців тому

    pastor for those who are in kenya ,how can we get communication with prophet

  • @user-ro8ed7iv8v
    @user-ro8ed7iv8v 6 місяців тому

    Mimi naamin kwakuwa huwa Nasali apo nahiyo siku ya tukio na mimi nilikwepo

  • @kelvindaudi1063
    @kelvindaudi1063 6 місяців тому

    Nani pia nipo apo apo baba

  • @DoriceMnunke
    @DoriceMnunke 3 місяці тому

    Makubwa

  • @princemichael3023
    @princemichael3023 6 місяців тому

    Uhuni tu

  • @user-gh9ph2xl7f
    @user-gh9ph2xl7f 6 місяців тому

    Baba naomba uniombee mume wng kaniacha

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 4 місяці тому

      Inawezekana kabisa wewe ndio chanzo cha mmeo kukuacha.
      1.huna heshima
      2.unamafharau na kumkaripia
      3.kelele nyingi ndani
      4.ushirikina
      5.humjali
      6.wivu ulio pitiliza kimwita malaya na kuchokonoa simu yake.
      7.wizi wa pesa
      8.udanganyigu ulio kidhiri.
      Angalia kati ya hivyo Mwombe Mungu akusamehe tubu kwa dhati atarudi tuu

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 місяців тому

    Wamezirudisha zile walizoiba.

  • @mamiimakundi4374
    @mamiimakundi4374 6 місяців тому

    Ibada huwa ni lini na lin nipo Arusha nataman kuja

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 місяців тому

    SASA huo ni mazingaombwe.

  • @ZuuAlly-be6rx
    @ZuuAlly-be6rx 2 місяці тому

    Baba mkombozi wetu

  • @MaryamBakary-r5y
    @MaryamBakary-r5y Місяць тому

    ninamatatizo baba nisaidie

  • @pastoruweza2316
    @pastoruweza2316 6 місяців тому +1

    YANI HII DUNIA WAJINGA SIJUI WATAISHA LINI? TUNAIJUA HIYO KUNA WATU MAALUMU WANAKUA KWENYE CHUMBA FULANI NDIO WANATUMA PESA KWENYE NAMBA ZA HAO WATU WANAOJUA WAKO HAPO TAYARI KWAIYO HUO NI UJANJA UJANJA TU

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 6 місяців тому

      Kweli kabisa utapeli mkubwa huu .eti mwingine 2000 wengine lakisita.utapeli mkubwa sana huu huyu mchungaji afuatiliwe na usalama wa taifa haraka sana.

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 6 місяців тому

      Usimfuate mchungaji ambae hasomi bibilia huyo ni shetani .mimi sijawahi kumwona akisoma neno anaanzaga usanii flani hivi ndio anaanza utapele .inasimitisha sana.

    • @user-vy6st5ki2v
      @user-vy6st5ki2v 6 місяців тому

      Bila kufanya Kazi unapata Hela hiyo kweli kiboko

  • @davidkaranja4283
    @davidkaranja4283 4 місяці тому

    Chuma ulete

  • @monicamumbua7968
    @monicamumbua7968 6 місяців тому

    Pia Mimi nitaka pesa

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 6 місяців тому

      Fanya kazi rafiki hakuna hela bila kazi .Mungu ameweka utaratibu wake wakupata hela .

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 6 місяців тому

    Huu ni ujinga ulio pitiliza.usanii kibao

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 6 місяців тому

    ZILE AMBAZO SHETANI ALIWAIBIA.

  • @elizaminja4249
    @elizaminja4249 6 місяців тому

    jmn

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 6 місяців тому +2

    Mimi sijaelewa jamani mbona hivi vitu havipo kabisa.utapataje pesa bila kufanya kazi .huu ni utapeli mkubwa

    • @mdendamono3311
      @mdendamono3311 6 місяців тому

      Zipo miracle money

    • @pastoruweza2316
      @pastoruweza2316 6 місяців тому

      Wajinga ndio waliwao

    • @ZubedaVicent
      @ZubedaVicent 6 місяців тому

      Hawa ndo wale watumishi wa shetani badala ya kuhubilia watu watubu dhambi unawapotosha kwa kuwaingizia pesa za kipepo yaan shetani yupo kazin

    • @lilianemassawe2673
      @lilianemassawe2673 28 днів тому

      sio utapeli mimi ilishawai nitokea nikiwa namkumbusha Mungu,mungu akajibu,nilikuwa madhabahu ingine,hiyo nikweli kabisa.maana Biblia inasema pesa na Mali na dhahabu zinatoka Kwame,na ukimwamini atakupatia

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 28 днів тому

      @@mdendamono3311 waongo hao sana tuu na utapeli mkubwa .Mungu ana utaratibu wakupata pesa na asie fanya kazi na asile

  • @bahativellomugisha-lr5ri
    @bahativellomugisha-lr5ri 6 місяців тому

    Hiyo kitu hakunaga dunian labda ni freemason,,,kumbuken hata Yesu alikuta watu na njaa akawaulisa muko na nini wakasema tuko na mukate na samaki kwani yesu hangekua na mamulaka ya kuomba samaki namukate sishuke mbunguni

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Місяць тому

    Wajinga wwngi kwa kweli kuna pesa unaingiziwa kwa simu bila kufanya kazi kweli?inayakiwa uwe na akili iliyoisha kabisa ndiyo uamininhuo ujinga.Hizo pesa zinazoingia kwa simu niza kisheyani ipo wazi

  • @umutoniyvette8637
    @umutoniyvette8637 6 місяців тому

    Uongo mtupu😂

  • @davidkaranja4283
    @davidkaranja4283 4 місяці тому

    Bahati yenu wanjinga

  • @PhilomenaMakau-rd8uw
    @PhilomenaMakau-rd8uw 6 місяців тому

    Amen

  • @yonaemanuel6782
    @yonaemanuel6782 6 місяців тому

    Amen