"MWIGULU UNAJIITA DOKTA! DOKTA wa WAPI WEWE" - MFANYABIASHARA BILA UWOGA AONGEA MBELE WA WAZIRI MKUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • "MWIGULU UNAJIITA DOKTA! DOKTA wa WAPI WEWE" - MFANYABIASHARA BILA UWOGA AONGEA MBELE WA WAZIRI MKUU
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 787

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 Рік тому +284

    Jamaa kaongea point sana uyu paka kapewa cheo leo hii amekuwa mjumbe wa kamati iliyo undwa na waziri KAMA UNAUNGA MKONO UTEUZI WAKE GONGA LIKE HAPA CHINI

  • @AmosSniper
    @AmosSniper Рік тому +10

    Mwigulu na Makamba hii inchi wanaifaidi sana, nahao ndiyo umwambii kitu Mama akuelewe

    • @raybby9291
      @raybby9291 Рік тому +1

      Wazulumu watu ila wakumbuke kuna kufa na kuacha kila kitu

    • @erkkimaro1967
      @erkkimaro1967 Рік тому +1

      Mungu aingilie kati atuondolee mawaziri pm mungu akubariki

    • @rehema971
      @rehema971 Рік тому

      Kweli rushwa ningimno hata Jiji maduka mengi huwa wanatoa rushwa wasikate leseni ambao leseni tunazo tunaindwa kuza tumefilsika ha sa ilemela mwanza

    • @AmosSniper
      @AmosSniper Рік тому

      @@rehema971pole my

  • @mcnjovu3525
    @mcnjovu3525 Рік тому +1

    Asante kutusemea ndugu

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 3 місяці тому

    This man is prudent. Take heed.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 Рік тому +5

    JAMAA ANAAKILI ZAIDI YA TUNDU LISSU... ZITTO KABWE, NA WAPINZANI WOTE MAANA WOTE HAWAKUZUNGUMZA POINT ZAKE ZAIDI YA KUITWA IKULU.. HONGERA MZEE

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 Рік тому

      Eti wapinzani...!! We babako nae mbona hajawah kuzizungumzia??

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 Рік тому

    ❤❤❤mungu akulinde Kaka maana mwigilu anataka kukurukia

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Рік тому +22

    Mimi kama mfanyabiashara Mdogo Nimepiga Makofi japo sikuwa kwenye Eneo Husika Huyu Jamaa Ni Balaa..!! 🔥🔥🔥🔥

  • @laurentsamilah5001
    @laurentsamilah5001 Рік тому +5

    kwel wabunge hawan kaz....wabunge wako mtaani

  • @amanimsuya3354
    @amanimsuya3354 Рік тому +59

    Nimependa utulivu wa PM kwani umemsaidia kufahamu mengi toka kwa msemaji. Big up PM Kassim Majaliwa Majaliwa

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 Рік тому +63

    Enzi zile akitajwa tu mtu mzungumzaji anastopishwa kwanza na mtajwa anashughulikiwa titifotati kiweredi huku mazungumzo yanaendelea. Huyu jamaa Mungu amtunze, ameongea kwa uchungu sana. Tunahitaji Power, only.

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 Рік тому +4

      Umeonaaa

    • @marianablessed7135
      @marianablessed7135 Рік тому +2

      Nimemiss sana hizo moments. Service Levy hii Hapana aisee.

    • @laprincevonkingpin2538
      @laprincevonkingpin2538 Рік тому +2

      matatizo yalitatuliwa moja kwa moja

    • @ankotemba7369
      @ankotemba7369 Рік тому

      Ilikuwa raha sana aseee 🤗🤗🤗

    • @lwagamwakalinga8038
      @lwagamwakalinga8038 Рік тому

      Kuna faida na hasara ya maamuzi ya hapohapo,pia kuna mambo marahisi kutolea majibu hapohapo kama hayo ya kuhamisha mapolisi,wafanyakazi wa tra n.k lakini mambo mengine ni ya kisera zaidi ambapo ni lazima kuwe na utulivu ktk kuyatatua. Pia sometimes kutoa majibu ya hapohapo unaweza kuvunja katiba na sheria tena ikawa mbaya au ukaonea watu,subira inahitajika kwa baadhi ya mambo.

  • @Glennyndossy-ug1zi
    @Glennyndossy-ug1zi Рік тому +42

    Huyu mzee wangu sina chakusema nimwanaume sana yani nidamu ya Jpm hii kabsa.wachane usiache tonelaukweli

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 Рік тому +33

    Tafadhali sana serikali ya Tanzania huyu jamaa kaongea zote facts, hakuna alichoacha.

  • @frankwilliam144
    @frankwilliam144 Рік тому +83

    What a beautiful speech. Hawa ndo watu wanaostahili kuwa viongozi kwenye nchi hii

    • @omaryjudasymwanga7172
      @omaryjudasymwanga7172 Рік тому +1

      Huyu ni raia lakini mwenye elimu ya master's na elimu ya biashara ila waliopewa kazi ni vizibo hawajitambui wala impact inayokuja hawajui nawala athati hawazijui mafuta tuu ulaya yameshuka ila huku bado tumepigiliwa

  • @asiaiddi2539
    @asiaiddi2539 Рік тому +2

    Hii serikal ijue tu sa hv watu wameamka na huyu mwigulu anapendwa na aliyemchagua tu Ila ss nop.,...

  • @athanasathanas2238
    @athanasathanas2238 Рік тому +13

    Natamani Mwamba moja hivi aamke alipolala JPM ❤

    • @catherinelandas1938
      @catherinelandas1938 Рік тому

      Yan kak umesema kwel mwamba angekuuwepo hapo hata asingeshirik hapo hila cm ingepigwa na mwingulu angetenguliwa

  • @annamakusa3740
    @annamakusa3740 Рік тому +98

    Huyu ajengewe sanamu na ulinzi apewe kawakilisha vizuri sana👌👏👏

    • @sadamissa5687
      @sadamissa5687 Рік тому +2

      Akifika huko anapewa bakuli la keki anashiba anawasaidia kumega😂😂😂

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому +3

      Apewe maua yake kabisa?

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому +1

      @@sadamissa5687 🤣

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 Рік тому +1

      Yaaaani anamaumivu sana ana uchungu

    • @saadyusuph6554
      @saadyusuph6554 Рік тому

      Yaani wafanyabiashara wadogo twafa

  • @Manyara-Jr
    @Manyara-Jr Рік тому +15

    HUU JAMAA NIMESKILIZA VIZUR ANATEMA MADINI MATUPU

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Watanzania wengi wanajiuliza kilicho mfanya huyu anayeteua mawaziri kilicho mfanya amrudishe mwingulu kwenye wizara nini jipm alimfukuza kama mbwa Leo hii amerudishwa tena matatizo yamerudi tena akuna mtu mbaya au kiongozi mbaya kama mwingulu mchemba

  • @mwitagabriel7200
    @mwitagabriel7200 Рік тому +6

    Mwiguru ni mwiziiii kwani jpm si alikuwa anamjua?

  • @ibrahimhodabaksh3939
    @ibrahimhodabaksh3939 Рік тому +18

    HI NI KAZI YA BUNGE BUNGE KIMYA

  • @aminamkindi922
    @aminamkindi922 Рік тому +25

    Kupitia haya nadhan viongozi wajue namna watanzania wamechoka na maisha haya na huu uchumi, Iwe wake up call aseeeee

  • @franklinmsamila1347
    @franklinmsamila1347 Рік тому +35

    Katika maisha ni vizuri sana watu kutengenezewa Breathing space kama hii watu wapumue.

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 Рік тому +23

    Jamani wafanya biashara mko vizuri bila shaka Serikali yetu sikivu itayafanyia Kazi...

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 Рік тому +55

    Daahhh huyu baba nimemkubali sana kichwa chake kinafanya kazi vizuri mno

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Рік тому +17

    Dah huyu baba sijui km hajaumwa leo maana ameongea kwa hasira sana masikini hd huruma 😢

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 Рік тому +3

    Huyu ana hasira ya kuwekwa ndani siku kumi...aisee! ....aisee...alionewa ..kumbe watu Wana machungu mengi moyoni...

  • @margrethjonesmshana8555
    @margrethjonesmshana8555 Рік тому +4

    🤣🤣🤣🤣gari limebadilishwa maumbileeee😂🏃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gililwise
    @gililwise Рік тому +34

    Jamani nilishasema huyo mnyiramba hafai.ana dharau sana.lakini Mungu yupo.atamshughulikia tu maana haya machozi ya watu hayatakuwa Bure.

    • @IsraelKisaila
      @IsraelKisaila Рік тому

      Gilliana lema SI shemeji yako lakini huyo,mabasi YOTE mazuri kawletea Moshi,Leo HUMTAKI? HAHAHA 🤣🤣🤣

    • @gililwise
      @gililwise Рік тому

      @@IsraelKisaila hafai kabisaaaa

  • @cmpoo5869
    @cmpoo5869 Рік тому +45

    Tanzania kumbe kuna watu..??
    Hawajajua tu hasira za watu wanazoteseka nazo..,,,Big up kwa huyo jomba

  • @JustusPius-zu2ve
    @JustusPius-zu2ve Рік тому +1

    Hivi Huyu Mwigulu Mbona Ni Kero Kila Sehemu? Hivi Kweli Mama Haoni Mbadala Wake Wasomi Tumejaa, Si Amtoe Jamani?

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Рік тому +22

    Very true wafanyabiashara tunatengenezewa mazingira magumu

  • @annamakusa3740
    @annamakusa3740 Рік тому +42

    Huyu jamaa anaakili Sanaa amejipanga kuongea 👌👏👏👏

    • @vaskosamweli3556
      @vaskosamweli3556 Рік тому

      Sio kujpanga tu yan maumiv unayoyaptia kila sku ndio yanayo umiza

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Рік тому +22

    Shoo ilikuwa TAMUUU Sana Leo iludiwe😊

  • @silvergold5855
    @silvergold5855 Рік тому +40

    Hapo kwa mwigulu nimepapenda safi sana

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 Рік тому +18

    Kweli kabisa tunavisukali hatarrrr baba ongea ongea point tupo safi

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 Рік тому +10

    Kuna raia walitakiwa wawe viongozi lakini wapo mtaani waliotakiwa kuwa mtaani ndio wanaongoza

  • @dannythegreat8017
    @dannythegreat8017 Рік тому +22

    Just imagine that pain guys watu wawe na utu...
    Mheshimiwa Waziri mkuu siku zote wasemaukweli wanatengeneza uhasama please hao watu wote waliowasilisha maoni kwa niaba ya wengi wanahitaji ulinzi wasidhurike ni watu wa muhimu mno kwa Taifa letu...
    Mfano halisi hyu mwasilisha mada aliwahi kutoa maoni akaishia kufungwa jela kwa Siku 10 huo ni uonevu..

  • @ayshahussen7452
    @ayshahussen7452 Рік тому +1

    Kidonge kichungu💪🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @renatusmahombwe3093
    @renatusmahombwe3093 Рік тому +6

    Mtanga afunika Dar
    Big up bro
    Mawazo mazuri ni zaidi ya bunge

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 Рік тому +1

    Yaan leseni mi hata sijui Ina umuhim gan kiukweli, yan leseni, TRA, Sasa sijajua hapa imekaaje ni wizi tu... Kwakwel leseni ifutwe

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 Рік тому +15

    Mwigulu out, out.🏃‍♂️😂

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Рік тому +8

    Huyu baba apewe ulinzi jamani kaongea ukweli mchungu 😂😂😂 hongera san baba

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 Рік тому +1

    Mzee umeongea had namachoz yamenitoka hapo kwenye hela tnakusanya ss haf inaibiwa na mtu mmoja nimgogolo kwel

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Рік тому +9

    Msambaa kachachamaa,cjui mbwai😂😂

  • @joelmwanza6009
    @joelmwanza6009 Рік тому +41

    Mwigulu Wizara ya fedha imemshinda, aondolewe kwa maslahi mapana ya taifa. Anaweza kuwa mchapa kazi lkn anakuwa perceived kama incompetent and perception is "reality" !

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 Рік тому +6

      haya yote mbona sijawahi kusikia wapinzani wakiyasema , wapo na hoja ya ubabaishaji ya katiba mpya

    • @raybby9291
      @raybby9291 Рік тому +5

      Me katika viongozi ninaowachukia mwigulu ni wakwanza yani anakela na sijui kwanini hawamtoi

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 Рік тому +2

      ​​@@raybby9291 uongoz wa sasa upo kwa ajili ya watu wachache matajir sio kwa ajili ya walio wengi ambao ni maskin au wenye kipato cha kawaida, kama hujagundua hilo utaumiza akili yako bure tu. Ndo maana huyo mwigulu na makamba wanajibu kwa nyodo tu

    • @consesaphelician9266
      @consesaphelician9266 Рік тому

      @@raybby9291 haahaaaa

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 Рік тому

      @@whatisthetruth.8793 kwanini hta familia yako haijawahi kuyasema?? Mkuki kwa nguruwe!!

  • @priscamsuya-xd4tu
    @priscamsuya-xd4tu Рік тому +12

    Nimefurahi sana Tanzania tumeamka

  • @sss3s867
    @sss3s867 Рік тому +1

    CAG REPORT IMEWAANIKA.
    MNAGAWQNA PESA KWA ONGEZEKO LA UINGO.
    TUNATAKA UFAFANUZI.
    HIVI TANZANIA KWA BAHATI HII NZURI TULIOJAALIWA TUNASHUNDWA KUWA NCHI YENYE WATU WANAOISHI KWA AMANI NA FURAHA.

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 Рік тому +2

    Watu qqnahasira saana mioyoni ila hawana pakuzitoleaaaa ..hiii mama asipokuwa makini inaweza ikampa wakati mgumu saaana 2025😂😂😂 Yani mawazili wako hapo hapo lkn wananyoshewa vidole na kuambiwa hawafaiii...😅😅saiv tumefikia point ya hakuna Cha kuheshimiana , tunakoelekea huwa heshima ikisha poteaaa watu wanaanza kuchapanaa ..naomba tuaifike hukooo...Hawa akina mwigu Hawa ndio wanatutia zaidi hasiria kujifanya wasomi afu kumbe hakuna kitu , kazi kuongea kauli zao za hovyooo tu 😅

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 Рік тому +54

    Huyu baba anaakili nyingi sana.... Mpeni kitengo Huko serikalin awasaidie

    • @msekoali
      @msekoali Рік тому

      uongozi siohio kuongea2 mzee

    • @fikiriseleman3460
      @fikiriseleman3460 Рік тому

      @@msekoali kumbe kufanyaje

    • @pendo8082
      @pendo8082 Рік тому

      Kabisa

    • @ashuuuaisha9122
      @ashuuuaisha9122 Рік тому

      ​@@msekoali na hao wanaocheza bungeni wana faida gani. Wangekuwa wana ubongo wa kufanya kazi hawa watu wangetoa kero hizo

    • @ricklandennis
      @ricklandennis Рік тому

      Bora anaeongea watu wapone sasa ukiwa na akili nyingi halafu umekaa tu kimya una faida gani

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Рік тому +3

    ,kodi kibao, matozo ni kibao,kikwete fukuza mawaziri wako,Rip JPM

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Рік тому +25

    Asieee ni balaaa watu wana hasira sana😢😢😢😢

    • @fatumamkondo3858
      @fatumamkondo3858 Рік тому +3

      Jamani hii nchi ina mambo ya hovyo sana viongozi wawajibike Watanzania wanauchungu sana Rushwa imekuwa ni kawaida Hapo hali ni mbaya mbayaaaa

    • @meryerick6053
      @meryerick6053 Рік тому +2

      Huyu Jamaal amesoma na ana overconfidence sijui anatokea Kanda ya ziwa

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Рік тому +32

    Well said huyu ni akili nyingi achaguliwe atetee wafanyabiashara

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 Рік тому +5

    Magufuli pumzika kwa Amani
    Hii inshu Magufuli angekuwepo hapa, aise watu wengi wangefukuzwa kazi leo leo

    • @mjunikiobya
      @mjunikiobya Рік тому

      Hii ishu ya matatizo ya wanyabiashara nchi nzima imeanza leo?

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 Рік тому

      Wakati yeye ndie chanzo

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому +4

    Duuh kumbe Tz kuna watu wanaakili nying hivi hongra sana Baba

  • @clementinambwile3012
    @clementinambwile3012 Рік тому +12

    Mwamba Huyu Hapaa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿👏🏿👏🏿

    • @altamando
      @altamando Рік тому +1

      Tumemuona mwamba hata akizurika ukweli keshasema

  • @starjay3052
    @starjay3052 Рік тому +1

    kivumbi leo 😂😂🤣🤣 alubadili tanga ukiekula ela ujiandae wenye ela zao washaamua

  • @jamessimbaire3016
    @jamessimbaire3016 Рік тому +4

    Kujiamini na kusema ukweli ni jambo ambalo Mungu anafanya upaee kwenda hatua nyingine barikiwa sana mzee wetu kuongea ukweli big up father 🙏🙏👏👏🎤🎤

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 Рік тому +14

    Mzee kaongea kwa uchungu sana Tanzania haijawahi kuwa fear toka magufuli aondoke mambo ni vululuvululu yani , R.I.P magufuli😭

  • @erodeshayo123
    @erodeshayo123 Рік тому +15

    Ilove you Waziri mkuu Mwigulu watakumaliza kama Mungu aishivyo nakuambia Badilika

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 Рік тому +3

      Mwigulu hafai kabisa sijui kwann mama bado amenwacha tuu.

  • @Fabian-yr3ep
    @Fabian-yr3ep Рік тому +1

    Mama anaupiga mwing ndo mtamkumbuka baba magufuli

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 Рік тому +1

    Usha mwingine kwanini hizi ofisi za tra zisiwekwe kwenye ofisi zetu za kata yaani hapo kuwe na ofisi ya TRA na Ofisi ya kukatiwa leseni
    Kwanini basi naamini hizi huduma zikiwekwa karibu na wananchi itakuwa ni rahisi kujua walipa Kodi wako ktk eneo hilo na itakuwa rahisi kuwafuatilia kiurahisi nakiurafiki .tena bila msongamano mkubwa tunakwenda kushinda TRA mpaka wiki unafuatilia kupata clearence form.ili upate leseni

  • @georgemaganga3804
    @georgemaganga3804 Рік тому +10

    Serikali isichukulie poa haya mambo.nchi itachafuka

    • @Swahili14
      @Swahili14 Рік тому

      Hali ikizid kuwa ngumu crime rate itazid😭

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Рік тому +1

    kitambi kimekubali Mr Orange

  • @nanadady7408
    @nanadady7408 Рік тому +74

    Natamani kama Baba magufuli angekuwepo ayasikie haya 😢RIP BABA

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Рік тому +8

      Angefanya nini wakati ndiye aliacha hawa watu wakaonea watu hasa wafanya biashara hii ni kasumba yake tunakukumbusha labda ushauri TRA watumishi wawajibishwe habari ya Magufuli ifutiliwe mbali katika nchi hii

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 Рік тому +7

      @@marcokaroje8980 JPM HAJAACHA HAWA WATU, ALIWAKUTA. MTU SAHIHI ALIKUA JPM SIO WALIOMZUNGUKA, WALIOMZUNGUKA NDIO WALIOBAKI NDIO HAO WENGINEO NDUGU ZENU NA BABA ZENU LAKINI WALIMTUSI JPM AKIWANYOOSHA HAO WATU.. MLISEMA NI DICTATOR HAWA WATU JPM ANGEKUWANYOOSHA.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому +11

      ​@@marcokaroje8980unajisahaulisha au unajitoa fahamu? Magufuli si ndo aliweka vitambulisho vya wamachinga ya shiling 20 Kwa mwaka au? Alijua TRA watawasumbua na wataweka mianya ya rushwa. Kwa taarifa yako kuna wafanyakazi WA TRA ninaowajua waliaacha kazi wenyewe Kwa kumuogopa Magu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому +1

      ​@@richardboaz-mashagospel2346wengine wanajitoa fahamu Tu!

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 Рік тому +2

      @@marcokaroje8980 hivi yule baba aliefirisiwa na tra na Mpira akatupiwa huyuhuyu majaliwa lilfikia wapi maana alianza kuwekewa mitego ya kutaka kuuwawa

  • @donjailer8827
    @donjailer8827 Рік тому +7

    Safi sana mzee kuongea kutoka moyoni

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 Рік тому +1

    Nchi hii ina laana wafanyaniashara wamaumia

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Рік тому +8

    Kweli kabisa kodi imezidi kupita maelezo so much wageni wakija wasemewe na mzalendo wafisiwe kwa kwe unyojaji

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob Рік тому +24

    Nitoe pongezi kubwa sana kwa mama Samia kwa mpango huu nchi itaendelea. Hizi sumu zingeleta mlipuko ambao kuzimika kwake ingekuwa mbinde

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Рік тому +4

    Watu tumechoka na Serikali ya 6 mama ameweka viongozi wala rushwa

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Рік тому +2

      Tena sasa hivi wanajidai kweli hadi kero

    • @ashamaneno9819
      @ashamaneno9819 Рік тому

      Mwenyew w rushw atawawek maana kweli

  • @361NEWS
    @361NEWS Рік тому +22

    I love you Tanzania people they have freedom to express their feeling without worry…

    • @calvinloveambroce842
      @calvinloveambroce842 Рік тому +1

      Hii uja baada ya watu kuchoka saaaaana

    • @edwinbayona7395
      @edwinbayona7395 Рік тому

      While now you start hiding because they hunt you badly

    • @joykapaya1970
      @joykapaya1970 2 місяці тому

      May the truth bring peace in Jesus name.​@@edwinbayona7395

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 Рік тому +1

    Watanzania ni watu pekee wanaoipenda sana nchi yao na wanavumilia mengi. Hii nationalism ilijengwa makusudi na JKN ili kuwafanya wawe na uchungu na nchi yao ila mfumo wa chama kimoja wanatumia udhaifu huu kujilimbikizia mali na kunyanyasa wengine, a fair warning to them ni kwamba watz ni wamoja sana kwasababu walishaamishwa ni ndugu na ukimya wao umebeba maumivu mengi...

  • @EmmanuelMoses-pb1zh
    @EmmanuelMoses-pb1zh Рік тому +1

    Huyu mwamba ni magufuli mtupi

  • @frankurio469
    @frankurio469 Рік тому +3

    Singida kuna tozo inaitwa ushuru wa kushusha na kupakia mzigo ya viwandani, huu nao ni wizi tunaomba utitiri huu wa tozo umulikwe, haya ni mateso

  • @neemajumanne458
    @neemajumanne458 Рік тому

    Kaka,uko,vizuri, Sana,ili,useme,ukweli,kwa,Ajili,ya,kuwatetea,wafanyabiashara, Tanzania,,njoo,upinzani, CCM,hakuna, ukweli,kila, kitu, ndio,ukileta, mdomo,
    Utasikia,tulikupa,ubunge,unataka,uendelee,au,
    Unafyata, mdomo
    Hongera, Sana,kwa,kweli,mwigulu, Ni,mfanyabiara,,

  • @joelmwanja211
    @joelmwanja211 Рік тому +4

    Watanzania wa sasa, siyo watanzania was zamani. Watumishi wa umma mnapaswa kubadilika sanjali na generation unavyo badilika. Generation ya sasa Ni ya ukweli, ndiyo maendeleo yadunia.

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 Рік тому +34

    The people who have power have no idea and the people who have idea have no power.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 Рік тому +2

      like president we have a clawn 🤡;

    • @simontamba2189
      @simontamba2189 Рік тому +2

      Lumumba my papa said that

    • @magorahassan3491
      @magorahassan3491 Рік тому +1

      Definately

    • @rehemavickie6521
      @rehemavickie6521 Рік тому +2

      Unaakili sana

    • @wargall2
      @wargall2 Рік тому +1

      I disagree, the people who have power employ people who have ideas. if you have money and power it means you are smart, therefore hire or buy ideas from someone with ideas who cannot move or use his or her ideas.

  • @aggreygerald6414
    @aggreygerald6414 Рік тому +4

    Mzee kapiga utosini jumla jumla 😂😂😂😂😂😂😂 konzi kweee konzi ,

    • @jenmaro
      @jenmaro Рік тому

      Maumivu yakizidi lazma ujasiri uongezeke

  • @mwisukulu1
    @mwisukulu1 Рік тому +1

    Mwigulu anajiita dokta 😂🇹🇿

  • @reubenmlay
    @reubenmlay Рік тому

    Ndio maana tunataka KATIBA MPYA .Suluhisho la.kudumu , migogoro yote.

  • @beatricechuma7828
    @beatricechuma7828 Рік тому +3

    Pongezi kubwa wa waziri mkuu msikivu na amemwacha aseme sumu yote, lakini pia hongera ww baba umeongea point sana tunaamini selikari itasikiliza na kufanyia kazi.

  • @mathewkunyekwa8931
    @mathewkunyekwa8931 Рік тому +1

    Magufuli angekuepo wotehao kazi wangekua hawana

  • @samjm7330
    @samjm7330 Рік тому

    RIP MAGUFULI ungekuwepo haya yote yasingetokea

  • @lucasmourice8347
    @lucasmourice8347 Рік тому +1

    Kama angekuepo chuma JPM kunamtu hapo hapo angerudi na uber

  • @monicambuya-sq9ms
    @monicambuya-sq9ms Рік тому +3

    Kwani huyo mwigulu si ajiuzulu tu ?wananchi hawamtaki

  • @emmanuelademba7919
    @emmanuelademba7919 Рік тому

    KATIBA IKIREKEBISHWA IKAWAPA WATU UHURU wananchi huwa wanamengi kwenye vifua vyao.Ipatikane KATIBA tuone watu watakavyo kuwa wanafunguka.

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 Рік тому +1

    Kama RAIS TUNAYE TZ ajipime kwa nini alikataa mabango? Na haya matatizo siyatazarisha hatari

  • @emmanuellaurent2234
    @emmanuellaurent2234 Рік тому +5

    Wasambaa Shikamooni 😂😂😂😂

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 Рік тому +2

    Hapo munajisumbua bule.tatizo ni Rais.kwasababu kila mswada kabla ya kupeleka bungeni lazima upie ikulu .sasa embu jiulize anaesaini hiyo miswada ninani.lazima jibu litakuwa Rais.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому

      Kweli tatizo ni Raisi kwani yeye ndie anafuga viongozi wasiofaa na kuwa Recycling tu utadhani wao tu ndio wasomi Tanzania nzima

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 Рік тому +4

    Kaka umeongea vizuri sana . Naomba ukienda kwenye hiyo tume naomba uwashauri kuwa. Hili suala la kukadiliana Kodi halina afya
    Kwani unaweza kukuta watu mpo eneo moja hata mtaji unafanana lakini kila moja akienda kukadiriwa Kodi inatofautiana maadamu ajue kujieleza au anayekukadiria Kodi umpe Hela ya chai ili kutengeneza urafiki ndiyo utakadiriwa Kodi ndogo ndogo

  • @abdirahimbashir
    @abdirahimbashir Рік тому

    I call you all non-muslims in this chat to accept Islam and admit that :
    لَا إِلَٰهَ إِلَّا ٱللَّٰهُ مُحَمَّدٌ رَسُولُ ٱللَّٰهِ‎
    this encompasses two concepts:
    1.There is no deity but Allah.
    2.Prophet Muhammad (ﷺ) is his messenger.
    ALLAH s.w says in quran chapter 3 verse 85
    وَمَنْ يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْ خَاسِرِينَ
    translation ; if anyone desires a religion other than Islam (submission to ALLAH), never will it be accepted of him; and in the hereafter he will be in the ranks of those who have lost.
    Also in chapter 3 Imran in verse 19 ALLAH swt said
    “Indeed, the religion in the sight of Allah is Islam.”
    يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ وَلَا تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ إِلَّا الْحَقَّ ۚ إِنَّمَا الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ رَسُولُ اللَّهِ وَكَلِمَتُهُ أَلْقَاهَا إِلَىٰ مَرْيَمَ وَرُوحٌ مِنْهُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّهِ وَرُسُلِهِ ۖ وَلَا تَقُولُوا ثَلَاثَةٌ ۚ انْتَهُوا خَيْرًا لَكُمْ ۚ إِنَّمَا اللَّهُ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ سُبْحَانَهُ أَنْ يَكُونَ لَهُ وَلَدٌ ۘ لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ وَكِيلًا
    Chapter 3 verse 116
    O people of the book! Commit no excesses in your religion: Nor Say of ALLAH (God) aught but the truth.
    Christ Jesus the son of mary was (no more than) a messenger of ALLAH (God), His word, which He bestowed on Mary, and a spirit proceeding from Him: So believe in ALLAH (God) and His messengers.
    Say not "trinity" ; desist: it will be better for you:
    For ALLAH (God) is One ALLAH (God): Glory be to Him:
    (Far exalted is He) above having a son.
    To Him belong all things in the heaven s and on earth. And enough is ALLAH (God) as a disposer of affairs.
    لَنْ يَسْتَنْكِفَ الْمَسِيحُ أَنْ يَكُونَ عَبْدًا لِلَّهِ وَلَا الْمَلَائِكَةُ الْمُقَرَّبُونَ ۚ وَمَنْ يَسْتَنْكِفْ عَنْ عِبَادَتِهِ وَيَسْتَكْبِرْ فَسَيَحْشُرُهُمْ إِلَيْهِ جَمِيعًا
    Chapter 4 verse 172
    Christ disdaineth nor to serve and worship ALLAH (God), nor do the angels, those nearest (to ALLAH): those who disdain His worship and are arrogant,- He will gather them all together unto Himself to answer.
    وَإِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَى ابْنَ
    مَرْيَمَ أَأَنْتَ قُلْتَ لِلنَّاسِ اتَّخِذُونِي وَأُمِّيَ إِلَٰهَيْنِ مِنْ دُونِ اللَّهِ ۖ قَالَ سُبْحَانَكَ مَا يَكُونُ لِي أَنْ أَقُولَ مَا لَيْسَ لِي بِحَقٍّ ۚ إِنْ كُنْتُ قُلْتُهُ فَقَدْ عَلِمْتَهُ ۚ تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ ۚ إِنَّكَ أَنْتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ
    Chapter 5 verse 116
    And behold! ALLAH(God) will say : " O Jesus the son of mary Didst thou say unto men , worship me and my mother as gods in derogation of ALLAH (God)?" He will say: Glory to thee! never could I say what I had no right (to say) .
    Had I said such a thing, thou wouldst indeed have known it.
    Thou knowest what is in my heart, thou I know not what is in thine. For thou knowest in full all that is hidden
    مَا قُلْتُ لَهُمْ إِلَّا مَا أَمَرْتَنِي بِهِ أَنِ اعْبُدُوا اللَّهَ رَبِّي وَرَبَّكُمْ ۚ وَكُنْتُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا مَا دُمْتُ فِيهِمْ ۖ فَلَمَّا تَوَفَّيْتَنِي كُنْتَ أَنْتَ الرَّقِيبَ عَلَيْهِمْ ۚ وَأَنْتَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ شَهِيدٌ
    Chapter 5 verse 117
    Never said I to them aught except what thou didst command me to say , to wit, worship ALLAH (God) , my Lord and your Lord'; and I was a witness over them whilst I dwelt amongst them; when thou didst take me up thou wast the watcher over them , and thou art a witness to all things.
    إِنْ تُعَذِّبْهُمْ فَإِنَّهُمْ عِبَادُكَ ۖ وَإِنْ تَغْفِرْ لَهُمْ فَإِنَّكَ أَنْتَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ
    Chapter 5 verse 118
    "If thou dost punish them, They are they servant: if thou dost forgive them, thou art the exalted in power the Wise .
    مَا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِنْ رِجَالِكُمْ وَلَٰكِنْ رَسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا
    Chapter 33 verse 40
    Muhammad is not the father of any of your men, but (he is) the messenger of ALLAH (God ), and the Seal of the Prophets: and ALLAH (God) Has full knowledge of all things.
    وَإِذْ قَالَ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ إِنِّي رَسُولُ اللَّهِ إِلَيْكُمْ مُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيَّ مِنَ التَّوْرَاةِ وَمُبَشِّرًا بِرَسُولٍ يَأْتِي مِنْ بَعْدِي اسْمُهُ أَحْمَدُ ۖ فَلَمَّا جَاءَهُمْ بِالْبَيِّنَاتِ قَالُوا هَٰذَا سِحْرٌ مُبِينٌ
    Chapter 61 verse 6
    And remember, Jesus the son of mary, said " O children of Israel! Iam the messenger of ALLAH (sent) to you, confirming the law (which came) before me(taurah), and giving Glad tidings of a messenger to come after me, whose name shall be Ahmed. " But when he came to them with clear Signs, they said , "this is evident sorcery!"
    Look for koran translated in to English or to language read the translation of the following chapters 3,4,5 and 19 after that you can read the whole of the koran thanks.

  • @andrewcharles929
    @andrewcharles929 Рік тому +7

    Talking with passion, pain, heartbreak nzuri sana hii na katoa na mawazo kabisa ya nini cha kufanya thats good.

  • @mahmoudkiumbe9238
    @mahmoudkiumbe9238 Рік тому +1

    Huyo ndio mwanaume

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 Рік тому

    MAGUFULI angekuwepo nyie wakina mwigulu nyie

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Рік тому

    Kasome albadili , na MUNGU AKUFUNIKE MAAMA HAWAKOSI KUKUWINDA

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 Рік тому +21

    Daah tulimis sana hivi vikao vya familia kuweka nidhamu sawa,RIP JPM

  • @sottithomas9443
    @sottithomas9443 Рік тому +5

    Akili kubwa inaposema mambo makubwa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому +2

    Wabunge mnawasikia wananchi pigeni meza tu nyie

  • @aloycemwakatala2796
    @aloycemwakatala2796 Рік тому +1

    Hayo ni machache tu kwenye taifa hili madudu ni mengi sana, kuna majamaa yamepewa uongozi yanajiona mamwamba kweli, yanajiona kama ndiyo mamiliki ya nchi hii, acheni ubabe enyi kundi dogo ninyi ni watu wadogo sana kwenye taifa hili jilekebisheni, kila siku mnawaza kuibia taifa hamtazikwa na hizo noti wezi wakubwa nyiee.

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 Рік тому

    Bado kwenye umeme ....majenereta hatutaki akinamakamba hawawezi kwepa hilo...

  • @salumazizi7217
    @salumazizi7217 Рік тому +54

    Muheshimu kila mtu, usikutane na mtu mahali ukamdharau...elimu ana taarifa inayopatikana kupitia hizi hoja ni kubwa mno

    • @esperancenathali
      @esperancenathali Рік тому +6

      Mwenye elimu yake amekosa nidhamu kwa wananchi wake wewe km umeridhia kuna wenzako wanalalamikia kidogo wanacho kitafuta kwa jasho lao pia ukiamua kuwa kiongozi lazima ukubaliane na kila jambo 😢😢😢

  • @margrethjonesmshana8555
    @margrethjonesmshana8555 Рік тому +4

    Hongeraa sana kaka yangu MWENYEZi MUNGU akulindeeeeeee