MWIGULU AKUTANA NA KICHWA KIBOVU, SIKUOGOPI, LEO NAKUCHANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 220

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Рік тому +1

    TRA HUWA WANAKUWA NA WIVU akiangaria mafanikio yako HUWA hawapendi sababu yeye Hana,

  • @saidimohamedimgotomgoto979
    @saidimohamedimgotomgoto979 Рік тому

    Mwenye sura ya herahera kazi hunayo

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +1

    MMungu akusaidieni

  • @elisanteshayo3882
    @elisanteshayo3882 Рік тому

    Mwigulu nchemba Hafai kuwa kiongozi

  • @rabwarab574
    @rabwarab574 Рік тому

    Ukimuona Mwigulu na Tai yake ya bendera ya Taifa unaweza sema ni mzalendo😂😂

  • @BenmastoryWazalendo
    @BenmastoryWazalendo Рік тому

    Angekua magu hapo kuna mtu angechomoka

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 Рік тому +9

    Mwigulu kutunza Heshima yake ajiudhuru. Hata Raia hawamtaki Wabunge wanamsema Sasa ni Heshima kweli?

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 Рік тому +9

    mandevu umeongea kama Mjomba WA taifa ....

  • @elibarikimacha5534
    @elibarikimacha5534 Рік тому +16

    Nilikosaga imani na mama alipomchagua Mwigulu waziri.

    • @Mobmob2013
      @Mobmob2013 Рік тому

      Mimi niliwaza mambo mengi sana alipomchagua mwigulu. Hafai kuwa waziri angeenda kuwa balozi huko Zimbabwe Kama kubebana ndo sababu

    • @JustineMathias-wj7bd
      @JustineMathias-wj7bd Рік тому +1

      ​@@Mobmob2013 au akawe balozi afghanistan ingependeza😅

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 Рік тому

      @@JustineMathias-wj7bd 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 Рік тому +5

    Basi huyo kajidhihirisha moja kwa moja hafai akiendelea kuwepo wakati raia hawamtaki itakuwa kuna sehemu inampa jeuri

    • @marryzubery2497
      @marryzubery2497 Рік тому

      Na mama hawezi kumtoa sababu anajua siri yng za mama za ubigaji

  • @HeriethJoram-rb7ce
    @HeriethJoram-rb7ce Рік тому +13

    Kuna watu sio viongoz ila ni vichwaaa

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 Рік тому +1

      Sana kuna watu mwenyezi Mungu kawapa tu kipawa.

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 Рік тому +13

    Basi huyo kajidhihirisha moja kwa moja hafai akiendelea kuwepo wakati raia hawamtaki itakuwa kuna sehemu inampa jeuri

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 Рік тому +6

    Mwiguru avue hio scafu ya Tanzania anajidai ni mzalendo kumbe Hana uzalendo wowote

  • @emmanuelmkamba1964
    @emmanuelmkamba1964 Рік тому +9

    Mwiguru hafai kabisa hata majibu yake bungeni machafu sana

  • @BunjuBase
    @BunjuBase Рік тому +7

    Anabembelezwa na mamaake ngoja akutakane na vichwa vibovu..Magufuli angekuepo uyo mwingulu angekua keshakosa kaz

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +9

    Mwigulu kama muuangwana ajiuzulu

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Рік тому +17

    Yaani wananchi wanamawazo mazuri sana

  • @jeremiahmakoye6340
    @jeremiahmakoye6340 Рік тому

    Mhe. Waziri mkuu Majaliwa, nakuombea afya njema na uongozi uliotukuka.
    Ipo siku yes nakuombea uwe kiongozi mkuu wa inchi yangu Tanzani.
    Unacho kitu kikubwa kwa ajili ya Tanzania.

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 Рік тому +4

    Napenda waziri mkuu aje kua Raisi.namuombea kwa Mungu.

  • @danielmollel8225
    @danielmollel8225 Рік тому +8

    Daah!! Mh. Waziri mkuu Mungu akupe nguvu uendelee kupata maoni ya makundi mbalimbali nchini!! Naomba pia urudi kwenye kero inaowakabili wafanyakazi nchini

  • @JuliusMathew-df7ct
    @JuliusMathew-df7ct Рік тому

    Hiyo wizara haiwezi bora atafutwe mtu mwenye vision kubwa kuweza kuondoa sheria zinazokandamiza wafanyabiashara.

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +2

    Kusema Kweli mnanyanyasika sana na mtanyanyanyasika zaid ondoweni CCM madarakani hawakujalini kabisa nyie mtapiga kelele usiku na mchana 2025 badilikeni na wapinzani nao wakizinguwa wapakane

  • @mohamedngotwike7969
    @mohamedngotwike7969 Рік тому

    Iv mh rais alitumia kigezo gn kumpa uwazir uyu mwigulu au vibendera vya inch anavyo vaa

  • @maneuverseniorkgbbrothers1217
    @maneuverseniorkgbbrothers1217 Рік тому +4

    madevu akili kubwa sana yani anawachana huku anawaita ndugu mh!na ukweli mtupu wao wakipewa biashara haichukui round!

  • @TumainiMaseta-t4u
    @TumainiMaseta-t4u Рік тому

    Waziri mkuu wabane hao majizi wanakula jasho la wanyonge

  • @SimonBundala-ul3mb
    @SimonBundala-ul3mb Рік тому

    Safisana kwakuwasilisha hojo hii mausus .huo niukweli mtupu

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 Рік тому

    Hatakiwi kua Waziri huyu Mwigulu kwasabab anaowatumikia hawamtaki yupo hapo kwaajili ya nani?

  • @michaelmtale-fi9ze
    @michaelmtale-fi9ze Рік тому

    Wafanya biashara wapo vzr sana waziri kuu wasaidie hawa wafanyabiashara

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 Рік тому +5

    Ila mwiguli ni shida

  • @bubulini645
    @bubulini645 Рік тому

    Muwambiwe, muwambie

  • @isaacphilemon5599
    @isaacphilemon5599 Рік тому +2

    Waziri mkuu anatamani kutoa maamuzi magumu kama ya JPM ya papo kwa papo lakini anakumbuka ambaye yupo juu yake kwa sasa siyo sawa Magu,anaamua kukaa kimya na kuumia na kulilia moyoni,😭😭

  • @NellyWaKidato
    @NellyWaKidato Рік тому +1

    Aisee Yaani Itafika Muda Hii Nchi Viongozi Watakuja Kupigwa Kama Mbuzi We Subiri tu

  • @melkizedeckmushi5433
    @melkizedeckmushi5433 Рік тому +2

    Watu wana akili sana wanaamua tu kukaa kimya

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 Рік тому

    Hatuna waziri WA fedha hapo

  • @JustineMathias-wj7bd
    @JustineMathias-wj7bd Рік тому +1

    kama wez wanachomwa moto kumbuken na kuchoma akina mwiguru

  • @salinjabalele-er8vr
    @salinjabalele-er8vr Рік тому +3

    😂😂😂kiukwel Banda halina hadhi ya kukaa waziri kabisa jamaa hajakosea

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Рік тому +2

    Mbona wakati wa mzee baba hawa TRA, NIDA, MUNICIPAL walikuwa wamenyooka. Waziri mkuu ongeza ukali

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 Рік тому

      Wale NI wateule warais hawez kufanya chochote pale wakurugenz wote mawaziri wote niwateule wa rais hawez kuwa mkali ndugu yangu Ila angekuwa rais angewanyoosha vizuri an

  • @tegoswadakta8996
    @tegoswadakta8996 Рік тому +4

    Hongera bro umeongea kaka, mashuka Uganda nafuu kuliko kwenye bahari

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 Рік тому

    Akili kubwa hawa wafanyabiashara

  • @arthalesha5825
    @arthalesha5825 Рік тому +6

    Madevu ana akili sana

  • @sultanramadhan5269
    @sultanramadhan5269 Рік тому

    Kajenjere watu wa taka balaa hao jamaa

  • @mjunicharles1198
    @mjunicharles1198 Рік тому

    Huyi ndo mume Sasa 🤣🤣🤣

  • @CalvinBeatus-l2e
    @CalvinBeatus-l2e 8 місяців тому

    Madevu kaongea vizurii😂

  • @habibumussa7712
    @habibumussa7712 Рік тому

    Wambie brother nikweli

  • @BarakaJoseph-by9di
    @BarakaJoseph-by9di Рік тому +1

    Hii nchi kwa sasa ivi hatuna wabunge matatizo yote hayo ilitakiwa wabunge wafikishe coz kwa sababu hatuna wabunge tufikishe wenyewe

  • @komumbughuni8301
    @komumbughuni8301 Рік тому +12

    Ni kweli tatizo sio sheria ni kanuni zinazotungwa na wahusika kwa faida yao zaidi, hivi risit ya sh 2000 kosa lake ni ml 4 hapo kuna uhalisia, kwa nini isiwe 20% ya hiyo

  • @emanuelsamson-hq2jv
    @emanuelsamson-hq2jv 10 місяців тому

    Mwigulu mushambatuu huyo

  • @SilvesterRaphael-xb6it
    @SilvesterRaphael-xb6it Рік тому +1

    Mwigulu ni kipenz cha wazur hawafi mnampigia kiziwi kengere jamaa hatoki pale mpaka awamu ya mama iishe niko pale mtaniambia

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Рік тому +14

    Mheshimiwa waziri mkuu pole Kwa usumbufu unaopata kupitia uzembe wa watu walioko chini yako.Ila kama mtanzania nachukizwa sana na wizi unaofanywa na viongozi wetu wasiyotutakia mema watanzania wenzao hata siye tunapenda kutembelea hayo magari mazuri.Mtupende watanzania kama mzipendavyo familia zenu Asante baba angu mungu akupe afya njema

    • @gorgonusshayo920
      @gorgonusshayo920 Рік тому +1

      Majaliwa hana shida . mdomo unaruhusu saut kutoka baada ya ulimi kutamka maneno. 🙏😎

    • @gorgonusshayo920
      @gorgonusshayo920 Рік тому +1

      Ila majaliwa anapaswa kuwa raisi maana hana uongozi wa picha ila anauongoz uliotukuka, NAMMPNDA SANA SEMA WAPO WANAOMZUIA . NAPENDEKEZA AWE RAIS KTK AWAM IJAYO🥰🥰🥰😘😘😘😘😘😘😘

  • @imelidamfikwa7954
    @imelidamfikwa7954 Рік тому

    Jamaa kavunja 4 hana shida.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому +5

    ASANTEEE, KAKA KWA KUSEMA UKWELI. MSEMA KWELI NI MENZI WA MINGUU.

  • @MasudiAlly-jj2yh
    @MasudiAlly-jj2yh Рік тому

    Wanajali mifuko yaoo

  • @DalilaLillah
    @DalilaLillah Рік тому +2

    Brother Bernard kamaliza kila kitu😅😅

  • @gorgonusshayo920
    @gorgonusshayo920 Рік тому

    Kwa wao ni nan wasiambiwe?

  • @naomisanga6980
    @naomisanga6980 Рік тому +1

    Kuna watu niwafanya biashara na wana akili balaa yani kweli kabisa kaka kila mtu anasema mimi nasomesha mtoto ili awe Tra maana wana kula hela za bule

  • @princekarani7836
    @princekarani7836 Рік тому +1

    Mmemsikia jamaa uyo,hana mpango wakumrithisha mwanae biashara tena ila anamsomesha ili aingie T.R.A ili achote izo pesa au kama akijaaliwa akapata cheo kikubwa basi asaidie kubadirisha sheria zenye kuleta kero kwa wafanyabiashara

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому +9

    Hakuna kitu Kibaya Kama kiongozi kucheka ktk mazungumzo muhimu Kama hivi . Waziri mkuu kucheka wakati watu hawatanii anatengeneza mazingira ya kupuuza mambo ya msingi

    • @manilabonalumanula9210
      @manilabonalumanula9210 Рік тому

      Wengine usione anacheka ukadhani anafurahia jambo. Ni sawa na mchawi atakuonesha kujali kila tatizo unapopata kumbe ndiye anayekumaliza

    • @fwc5552
      @fwc5552 Рік тому +1

      Hawa wafanyabiashara kwa nn hawataki kutumia mashine za stakabadhi

    • @manilabonalumanula9210
      @manilabonalumanula9210 Рік тому

      @@fwc5552 mashine wanatumia lkn wateja walio wengi hawataki risiti na kama huamini nenda ukashudie vituo vya mafuta ( petrol station) 😂😂😂😂

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 Рік тому

      @@fwc5552 Mataifa yanao wazunguka hawatumii kwahyo inakuwa ngumu ku compit nao matokeo yake wanajikuta wanaforce biashara na pesa zao wanazojaribu kuzivuta wananyang'anywa basi hata wakipokonywa waone cha maana kinafanyika,unakuta wanasikia kabisa pesa nyingi zimepotea na deni la taifa linaongezeka. Unajua sisi binadamu wote ni sawa ktk utashi,elimu ni extra issue tu,hivyo basi hakuna mtu akajua hesabu alafu ukamuibia pesa asijue kama unamuibia wakati wewe unayeiba kakuajiri. Fikiria zaidi acha maswali mama kama hayo...

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Рік тому

      Njia pekee kwa mwanamme kudhibiti HASIRA ni kucheka!

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 Рік тому +1

    Acheni kulia lia endeleeni kuja kenya ndio china yenu

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 Рік тому +2

    Eti kengere 😂 mtangaji jitahidi kujifunza matamshi

  • @abbubakarmfinanga57
    @abbubakarmfinanga57 Рік тому +1

    Msipo Kua makin opo Siku wa tz 2tachefukwa

  • @GeorgeBenard-ue2gh
    @GeorgeBenard-ue2gh Рік тому

    Point kubwa

  • @Khmismramadhan
    @Khmismramadhan Рік тому

    Wajichunguze

  • @radiusrutta7804
    @radiusrutta7804 Рік тому +3

    Mmetuwakilisha vyema mungu awasaide

  • @senyagwadickson9084
    @senyagwadickson9084 Рік тому

    Hilo tatizo la mgomo wa kaliakoo angekuwepo mwamba JPM hao wote wanalalamikia siku hiyo hiyo wangefikuzwa hasa huyo Mwizi mwigulu na huyo mkuu wa TRA na huyo mama waziri wa biashara yupo hapo kama picha tu ( team Msoga hiyo ndiyo inayowatesa watanzania )

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Рік тому

    Jamani. Ivi. Kunawatu. Wanyr. Akili. Hapa. Tz. Kuliko. Hawa. Wafanya. Biashara. ?

  • @bwilumarigo
    @bwilumarigo Рік тому +1

    Mwambie mwiguru bila kumumunya maneno arisha zoea wizi

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Рік тому +1

    asha wenye pesa zao waongeye ukweli bila aho izo sheria zitatungwa wapi??munapo watesa ivyo😈😈😈mashetani

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Рік тому +2

    WAZIRI MKUU SAFI SANA VIONGOZI WAKIAMBIWA UKWELI WANACHUKIA.

  • @salahsalahallympika679
    @salahsalahallympika679 Рік тому +5

    Safi sana mwambie uyo 😂😂😂😂😂

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 Рік тому +4

    Mwiguru ni waziri mwenye mikosi hapendwi na watu kabisa

    • @georgedaniel4962
      @georgedaniel4962 Рік тому

      Hahahahahaha.

    • @ashuuuaisha9122
      @ashuuuaisha9122 Рік тому

      😂😂😂😂si ndio maaana magu alimtoaga

    • @monicambuya-sq9ms
      @monicambuya-sq9ms Рік тому

      Kabisa kwanza ana dharau

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 Рік тому

      Sio mikosi tabia yake mdomo wake dharau zake ndizo zimefika watu kutompenda niwaziri wa ovyo kabisa MTU anakwambia km hulipi kodi hamia Burundi au mm nimesoma sibishani na waganga wa kienyeji huyo nikiongoz wa serikali kweli hafai

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 Рік тому

      Nilitarajia leo wazir mwigulu awe kapigwa chini lkn mama kamkumbatia duuuh

  • @EdinaRaphael
    @EdinaRaphael Рік тому +6

    Daaaah huyu Kaka kibokooo🙏✋

  • @pastorb.alaurent1006
    @pastorb.alaurent1006 Рік тому +1

    @Kweli kiongozi ni jalala Mwingulu aspo elewa bc tena

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Рік тому

    Dahhh. Hapo. Umesema. Ukwelii. Sannaaa. Maaana. Serekali. Hii. Instunana. Sanna

  • @frankmwafifi6712
    @frankmwafifi6712 Рік тому

    Fact tupu

  • @phinumedia4515
    @phinumedia4515 Рік тому

    ua-cam.com/video/zaMVuSgHnIM/v-deo.html WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWA TEKELEZEA MIRADI MPANDA

  • @samwelimwalindu3735
    @samwelimwalindu3735 Рік тому +1

    Uko sahihi biashala ukiimulika Sana nitatizo kitu lisiti umekuwa miladi yawatu

  • @gabonmaseru2686
    @gabonmaseru2686 Рік тому

    Waziri Mkuu ni kiongozi wa wanyonye na mpenda haki ,
    Natamani awe mkuu wa nchi ili maumivu yapungue kwa raia wanyonge

  • @mwinyihajikumbao1705
    @mwinyihajikumbao1705 Рік тому

    Pointy tupu🤪🤪🤪

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 Рік тому

    Uncle udevu naomba niwe mdogo buree tu kika ulichokiongeaa ni ukweli tupu,, wapeleke hati ya dharula bungenii iondoee ukandamizwaji huu

  • @epifaniakavishe9282
    @epifaniakavishe9282 Рік тому +1

    nataman ingekua enzi za magu ...yan mtu anang'atuka papo kwa papo

  • @danielmollel8225
    @danielmollel8225 Рік тому +9

    Ila Mungu akupe maisha marefu na ikiwezekana uje kuwa raisi wa nchi hii, kwa hekima yako naamini mambo mengi yatakwenda vizuri

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 Рік тому +1

      We unadhani atatekeleza hata kimoja hapo basi. Hapo anawapoza akisha wapa kisogo imeisha hyo na watu biashara wataendelea nazo hivyo hivyo we subiria utaona.

    • @nunikayuni3945
      @nunikayuni3945 Рік тому

      Watu wajinga kweli wazili mkuu nikiongozi mnashinda munampongeza kwalipi achukuwemamzi ndiyo mpongeze mnapongeza sauti siyo vitendo

    • @juliussilvestar8988
      @juliussilvestar8988 Рік тому

      Mal ka voice majaliwa yupo serious hasaaaa na mambo ya msingi

  • @habibarashdi2250
    @habibarashdi2250 Рік тому

    Mwigulu hafai kua kiongozi asipoangalia shida itajatokea watu wamechoka mwingulu wewe iko siku utakujakubaki peke yako.pia tumikuchoka

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому +1

    Duuh Majaliwa tunategemea utusaidie sisi viumbe wa Mungu. Tumekua km popo ndani ya nchi yetu jmn. Mungu mtie nguvu huyu baba atuhurumie waja wako atufanyie wepesi wa kuacha kufanya kazi bure

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 Рік тому

    Tena kwa huyo anaejiita kajenjere huyo kaka kanifurahisha sana, wanajikuta sijui Nani wakija kudai ela ya takataka ,yani wanataka ulipe ela kubwa wakati huzalishi takataka zinazolingana na ela wanayodai wakati biashara yenyew wakati mwingine huuzi wao wakija wanataka ela kubwa na taka huzalishi mfano mm nauza mitungi ya gesi tu haya hiyo mitungi inazalisha takataka gani

  • @chezariboy
    @chezariboy Рік тому

    Kama imeelezwa na wananchi wengi muda mreeefu kwamba mwigulu ni miongoni mwa wanaoleta matatizo kiuchumi hasa nyanja ya Pesa, hao waliomuweka amekuwa Mungu kwao? Why don't they do something inorder to in sure happiness for our nation?

  • @niahpike8593
    @niahpike8593 Рік тому

    Ccm ilishashindwa kazi iyo iko wazi lakini kuitoa madarakani ni ngumu sababu wazee na akina mama ni kama wamelogezeaa hiki chama ata usemee mpompompoo hawaelewi!

  • @vwctvtanzania
    @vwctvtanzania Рік тому +1

    Hapo wakurugenzi wafanyiwe marekebisho haraka,

  • @LekokoLaisa
    @LekokoLaisa Рік тому

    Ala kk we salamu kuwagu we nime furahia sana lakini viongozi hawa hawapo maswali ambayo ww unasema enda taratibu usije kuwa anakulaumu iii chama chadema awesekani useme ukweli ukisema lakini nifisuri sana ukisema kwamba sirikali anamana asante sana

  • @salcle9702
    @salcle9702 Рік тому

    Eric shigongo awe waziri wa fedha.mwigulu hafai kazi kucheka cheka

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 Рік тому

    Mnapomlaum wazir wa fedha mnakosea sana
    Kodi na korokoro nyenqine zote ni mfumo na matakwa ya serikali
    Ila kidaqaa tu ndio kinamshukia mchemba

  • @peternaaly4081
    @peternaaly4081 Рік тому

    Mwigulu ashatuambia tuhamie Burundi ila metuwakilisha vema

  • @komumbughuni8301
    @komumbughuni8301 Рік тому +1

    Wabunge watunge sheria na kanuni zake asiachiwe Waziri

  • @Salvador-mj8rk
    @Salvador-mj8rk Рік тому

    Indeed

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 Рік тому

    Mambo nimazur san yanayoongelew lakin akuna ata moja linalofanyiw kazi

  • @RobertSemwene-gp8gr
    @RobertSemwene-gp8gr Рік тому

    kkk

  • @nyasijoseph-bt7xw
    @nyasijoseph-bt7xw Рік тому

    Kwanini TRA tuu jmn...Duuuh wabadilike sisi wote wa TZ

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому +4

    KWENDA SHULE MBALI, NA AKILI YA UNUNIFU MBALI.

  • @mako331
    @mako331 Рік тому +1

    Hii nchi watu wanahasira sana na serikali, na sababu kubwa ni viongozi wapiga dili kila kona, tusipoangalia itakuja kulipuka siku moja, na serikali haitaweza kuzuia hasira hii

    • @yovithaobed9954
      @yovithaobed9954 Рік тому

      Hiyo siku unakuja watu wanazidi kuwa majasiri Kama huyo brother hapa...bila shaka wanavyizidi kuwakanfamiza wananchi Basi ipo siku watawasha Moto na hakutakuwa mtu wa kuuzima Mana wakati utakuwa umefika Tena watu hawataigipa kifo tena. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki viongozi wote, Mungu uwabariki wananchi wote. Amina

  • @jacobmaganga3354
    @jacobmaganga3354 Рік тому

    waziri anayesikiliza wanyonge...❤️

  • @vwctvtanzania
    @vwctvtanzania Рік тому +2

    Mwigulu tumia hekima ondokatu baki na ubunge watu hatuna Imani nawewe hata kidogo,