BILA WOGA FRED VUNJA BEI AFUNGUKA MBELE YA WAZIRI MKUU "TUNAKUFA NJAA, TUFUNGUE MADUKA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 262

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Рік тому +4

    Nimesoma nae mzumbe masters, na pia kaka ake pia , nimesoma nae Wana akili balaa
    Na baba Yao ni mfanya biashara wa zamani
    Kwahiyo hii bness issue kwao ipo kwenye damu

  • @kalamesikalamesi5292
    @kalamesikalamesi5292 Рік тому +20

    We are completely done no country in this world has ever developed through excessive imports over exports. We are all fighting to sell cheap imports at the expense of an export lead economy. 60 years after independence we are almost importing everything into our country?
    Who would come to invest and build manufacturing industries in a country obsessed with cheap imports, inakuwa nchi wachuzi na walaji wa vitu na huduma wasizozalisha, utatokemeza tatizo la ajira kwa kuuza bukta zilizitoka china badala ya kuzalisha wenyewe kupitia viwanda vyenu nchini lkn kama nchi tutakua through industrialisation policies?
    Kodi ya forodha sio reliable and sustainable mithili ya PAYE, akifa mtumishi na yenyewe inakoma, covid19 ikipiga Asia/China au europe na importation inakoma na customs duties na taxes zinakoma. Kodi na uchumi ni chanda na pete. Tunahitaji formation na mpango mzima wa fedha yetu je tunahitaji kujenga uchumi wa namna gani? Kodi na fedha yetu iweje ili kwenda sambamba na aina ya uchumi tunaotaka kuujenga ktk digital age hii? Sisi tunaenda kama kishada tu na kodi yetu iko rigid haiko flexible ili wkt wa hali mbaya au nzuri ya uchumi ibadilike kulingana na mahitaji ya wakati ya uchumi husika. The recent crisis at kariakoo is just a tip of an iceberg.
    Tanzanian macroeconomic policies and our taxation system has more deeply entrenched problems than meets our eye.
    Inequity wafanyabiashara wakubwa sana nchini hawalipi kodi wanayopaswa kulipa na makampuni ya kigeni because of their political connections, wahanga wa kodi ni watumishi wa serikali, wafanyabiashara wa chini na wa kati.
    Uwanja wa kuchezea mpira hauko sawa, ndio tambo na vurugu zinapoanzia kama wafanyabiashara wakubwa wanalindwa hawalipi kodi inavyostahili, linakuja swali why should we pay taxes if others are not paying. Window bricking of shops at kariakoo was in part a clear sign of dissatisfaction and protests against importers inequity treatment by TRA, higher headline tax rates, imprecise laws etc
    Lack of political integrity,na ukosefu wa maadili wa baadhi ya viongozi wetu was killing our country softly, kuua jumla azimio la arusha haukuwa uamuzi sahihi baadhi ya mazuri ilitakiwa yabaki biashara kubwa nchini zinafanywa na viongozi moja kwa moja au kupitia ndugu, jamaa na marafiki hii inaleta conflict of interest kwenye kodi.
    Hatujachelewa, tujisahihishe na tuamue sasa kufikiri sana na kufanya mambo tofauti na yatupasa kutambua migogoro mapema na kuchukua hatua stahiki. Prevention is better than cure, knee jerk reaction haifai na ni hatari kusimamisha uchumi kwa siku hata moja kariakoo.
    Ni maoni na ushauri tu, God blesd TZ

  • @JosephChatanda
    @JosephChatanda Рік тому +3

    Nimefurahishwa namna wafanyabiashara walivyofunguka juu ya kero zinazo wakera ,hongera kwa waziri mkuu kwa kutatua Hilo tatizo

  • @HamiSCharles-dq7jf
    @HamiSCharles-dq7jf Рік тому +21

    Nimempenda bure hajajiongerea yeye tuu mwenye mtaji mkubw bali na sisi weny mitaji mdogo jamn 🤝

    • @alawiali3475
      @alawiali3475 Рік тому +1

      Ana hekima na ameongea vizuri big up

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +30

    Weeeeeuuuuweeeee ongea fred...umewakilisha vizuri

  • @abdirizakhtuke2882
    @abdirizakhtuke2882 Рік тому +45

    Ulimi ni uchawi.
    Ume- summarize matatizo mengi kwa muda mfupi.
    In short TRA inawachukulia wafanyabiashara biashara kama "mabuzi" badala partner in business.

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 Рік тому +1

      Sanaaaa👍

    • @hermankihwili1095
      @hermankihwili1095 Рік тому

      Well said Fred ume ongea short and clear kwa muda mchache sanaaa copied point.Well done

    • @venesteven7457
      @venesteven7457 Рік тому

      Very true sijui hawanaga biashara ni kuajiriwa tu sijaelewa.

  • @emanuelandedela7901
    @emanuelandedela7901 Рік тому +17

    Kaka anafaa kuwa waziri wa viwanda na biashara mpeni kitengo hizo data siyo mchezo salute kwake

  • @RashidMbwebwe
    @RashidMbwebwe Рік тому +57

    Kitendo cha kusimama na kuzungumza kero pamoja na wafanyabiashara wenzako imeongeza credit na respect kubwa kwako....Umeongea vizuri sana...Big Up

    • @witnessmmari71
      @witnessmmari71 Рік тому +2

      Bigiup fred

    • @cinterproductscinterproduc8606
      @cinterproductscinterproduc8606 Рік тому +1

      👏👏👏

    • @fadhilhimid2776
      @fadhilhimid2776 Рік тому

      Hakika kabisa

    • @yusuphswai6851
      @yusuphswai6851 Рік тому

      Yan walitakiwa watu kama nyinyi mule TRA wenye uzoefu ili ata wakitunga sheria inakuja sheria ambazo azita leta mzozo kwa wafanyabiasha , ebu tuige kwenye inchi za wezet wafanya biashar ndio wanapewa kipaupend kweny mambo ya maendele na kuiongoza nchi kiujumla

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t Рік тому +1

    Hakuna ulipajikodi yaserikali kiholela hivyo karunehii yatekinolojia lila my anakusanyahelakiholela hivyo .helanyingi inspires bure naikokwenye mikonoyahaowatumishi.

  • @abdallahfuko1216
    @abdallahfuko1216 Рік тому +124

    Kwa pesa ambayo anayo huyu jamaa alikua na uwezo wa kufunga duka hata mwezi kisha anakaa home akacheki kwenye TV tu ila kaamua kwenda kufight na wenzake sababu hata yeye alianzia chini, huo ndo utu. 👏🏾👏🏾

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 Рік тому +12

    Yaan huyu vunja Bei alitakiwa kuwa mbunge na mtetezi wa wafanya biashara nchini Yuko vzr kuliko kina Nani...

  • @pendo8082
    @pendo8082 Рік тому +6

    Vunjabei interview zake zote anaongeaga point Aisee anajua anajua tena

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 Рік тому +2

    Yaani ukisoma elimu ipo ukiwa na pesa pia biashara raha sana Kesho akiteuliwa mkuu wa wilaya au mkoa au mkurugenzi TPA msishangae

  • @malandodeogratius8193
    @malandodeogratius8193 Рік тому +1

    Yaani ukiwa na hela na Elimu naona kama unakua binadamu uliebalikiwa saana. Yaani nasikia Elimu yenye hela inavyo flow vzr facts.

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 Рік тому +4

    Ndio raha ya kuwa mfanyabiashara alafu umeenda shule

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 Рік тому +9

    hawa ndio wanatakiwa kupewa uwaziri wakina muigulu nchembaa sio wanakaa kuvaa tai yenye nembo yataifa kujifanya niwazalendo nahakuna kitu wanakwamnia kama huwezi kulipa tozo nenda rwanda kweli alie shiba jamjui mwenye njaaaa

  • @IMANWILLIAM-bl2ui
    @IMANWILLIAM-bl2ui Рік тому +35

    utajiri ni akili siyo uchawi, hakunaga tajiri ambaye siyo genius

  • @majaliwanassoro7623
    @majaliwanassoro7623 Рік тому +4

    Vunja bei kavunja kila kitu apewe usemaji wa wafanya biashara

  • @kakaaignas3675
    @kakaaignas3675 Рік тому +20

    Huyu jamaaaa ana akili nyingi

  • @ONEdreamfilmtz
    @ONEdreamfilmtz Рік тому +17

    Umeongea point sana na umeongea kwa kujiamini sana
    Huo ni ujasili wa kiwango cha juu sana maana kuongea mbele ya viongozi wakubwa na mbele ya hidadi kubwa ya watu wengi kama hao sio mchezo . respect sana broo

  • @tamemahmad9902
    @tamemahmad9902 Рік тому +8

    Nina ndoto ya kufungua biashara ila nikisikia haya nguvu inaniishia. Namuona mamaangu anavosumbuliwa na biashara yake. Ila acha nijichange zaidi tutapambana nao.

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 Рік тому +25

    Vunjabei pamoja na pesa zote ! Kaamua kujumuika na wafanyabiashara kupinga unypnyaji wa TRA ! ✅

  • @isaya43.12
    @isaya43.12 Рік тому +11

    Hongera vunja bei hakika unakitu kikubwa Sana naona uongozi ndani yako🤲

  • @echosoundchannel677
    @echosoundchannel677 Рік тому +21

    Safi sana Fred Vunja,umeongea point sana 🙏🙏

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому +16

    Vunja bei yuko vizuri katika hoja

  • @zainababudalla8063
    @zainababudalla8063 Рік тому +7

    Mfanya biashala msomi

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm Рік тому +10

    Sehemu kibwa ya risit ni feki na tra wAnakula rushwa na samia aliangalie

  • @nabrycedawood6860
    @nabrycedawood6860 Рік тому +2

    Mama anampa ubunge sasa ivi yani fred umetumia nguvu nyingi na pesa kwenye siasa Mungu anaenda kukupa kibali chakuingia bungeni kwa hii speach mm niko mtakuja kunimbia @fredvunjabei

  • @benardethamhela4898
    @benardethamhela4898 Рік тому +31

    Vunja bei shikamoo kwakweli ukojuu sana umetusemea vizuri sana mungu akulinde .hongera kwa kusoma .

  • @allfootballscoreliveworld8055

    Huu sio ule alisema mwanamke apewe pesa za kurusha 😅😅😅😅😅 Achana na hivo viume hata Smason alipotea😅😅😅

  • @philipocharles9239
    @philipocharles9239 Рік тому +1

    Uyu jamaa nimemuelewa balaa,na animejifunza kitu hapa,,kumbe million 100 kwa marigin ya 12percent per year =12millions, divide by 12months equal to one million,na hiyo one million ndo uanze kuigawa,daaah inakuwa ni pesa ndogo kusema kwel😢

  • @angelateye9585
    @angelateye9585 Рік тому +5

    Elimu haijifichi!

  • @vinnahjasson5546
    @vinnahjasson5546 Рік тому +1

    Very niiice Fred, umeongea point kaka, God Bless U

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 Рік тому +15

    Huyu vunja Bei maongezi yake no dhahiri amesoma biashara Yuko vzr Sana.

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 Рік тому +1

      Yeah huyo ni graduate ....ndio mana ni vizuri kuwa na shule hata usipopata kazi ukajiajiri unafanya biashara yako kisomi

  • @jamesgeofrey8692
    @jamesgeofrey8692 Рік тому +24

    Jamani tusomeshe, shule nzuri sana
    Nikimsikiliza jamaa nasikia shule tu.. Ni aki afanikiwe

    • @fatmayussuf1787
      @fatmayussuf1787 Рік тому +2

      Yaan kuanzia Leo huyu jamaa namuheshimu.. Ukaongea bila kutoka jasho

    • @nareensaleh4957
      @nareensaleh4957 Рік тому +1

      hakuna kitu muhimu kama shule na kuwa naimani yamungu moyoni ukivipata hivi umemaliza

    • @dionnepaul5673
      @dionnepaul5673 Рік тому

      ​@@nareensaleh4957 kweli kabisa nakuunga mkono💯💯💯🙏🙏.

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 Рік тому +5

    Akili kubwa. Kamuumiza wazili mkuu atamuita chemba

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 Рік тому

    Onzovile mbaha tolevongosu tukhekha mu biasara...ongolove atotange

  • @estermwakatundu3028
    @estermwakatundu3028 Рік тому

    Vunja bei big up Sana kiukweli hawa tra Wana nini sijui huku mikoani tunajuta saijui tuljmage Tu emagine Una mtaji wa milion mbili, unakadiliwa Kodi lak 4 na point huendi hata dar kufunga mzigo unaokota okota mitaan tra nyie imekua Kero sana

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 Рік тому

    Kwahyo Uyo Waziri wa Fedha na biashara alikuwepo au?

  • @innocentpaul1999
    @innocentpaul1999 Рік тому

    Wapeni wafanyakazi wa TRA fremu hapo kariakoo wafungue biashara waone cha mtema kuni TRA hawajui faida wala hasara wao wanawaza maokoto na Makusanyo tu. ifike mahali hata kwenye teuzi za mawaziri na watendaji wa sekta kama hizi za biashara chague wenye experience na biashara sio wahitimu ambao hata karanga hawajawahi kuuza wao wanajua kuongeza kodi tu ambazo hazina uhalisia

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 Рік тому +2

    Naimani ukipewa kipaumbele utawasilisha kero nyingi zinazo wakumba wafanya biashara ya kuburuzwa na watumishi wasio waadlifu kwenye majukum TRA, mimi walinitiya hasara dukani kwangu kibaha niliumiya sana siwezi kusahau kbs .

  • @JohnMathew-nh8fc
    @JohnMathew-nh8fc Рік тому

    Mwanamke sio mpka akuombe hela we mpe tu Fred Ila Kodi usilipe

  • @dhamiirrashid6175
    @dhamiirrashid6175 Рік тому +1

    Mimi nashauri kila miez 3 au sita 6 angalaw wafanya biashara wawe na kikao na waziri mkuu kutoa malalamiko na maendeleo ya bishara zetu tanzania ikiwezekana hivo. Yani tusisikilize bunge au serekali sheria zinabadilika vp na kodi za biashara wakat wahusika niwafanya biashara wenyewe bado hutujazijua changamoto zao

  • @shabarauty
    @shabarauty Рік тому +2

    nikweli

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +1

    Vunja bei katema cheche, safi sana, nimezidi kukuelewa brother 👍 umeonyesha uzalendo mkubwa mno.

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Рік тому +1

    Kumbe Fred vunja bei unavitu,ifutwe hiyo km inawaumiza

  • @jmc2196
    @jmc2196 Рік тому +14

    Waziri mukuu apewe inchi huyu njo anaweza kujitaidi kufanya kazi kama Magufuri 😭

  • @ibrahimhodabaksh3939
    @ibrahimhodabaksh3939 Рік тому +12

    VUNJA BEI UPO SAWA

  • @thebushguy5774
    @thebushguy5774 Рік тому +17

    Akili kubwa👏

  • @makwaya-usililomazino-usil8011

    vipi wewe mbona unajichanganya sasa

  • @hajimaster7624
    @hajimaster7624 Рік тому +1

    Kichwa kama iki kipo tuu kinauza nguo afuu bungeni sasa kuna wale wazee wa kusinzia wakiamka ni kugonga tuu meza😌

  • @SalumNtunga-gq4ti
    @SalumNtunga-gq4ti Рік тому +1

    Akiri kubwa sana hii

  • @ombenimenson
    @ombenimenson Рік тому +10

    Safi sana Kaka, Umeongea vizuri saana

  • @rosegama941
    @rosegama941 Рік тому +1

    Kwa anaeijua siasa ataelewa vunja bei kaja na point kubwa kaja na ushauri na mwisho wa sk amekuwa moja ya kamati ya kuchunguza kero za wafanyabiashara na kutatua
    Vunjabei huyo huyo n kiongoz wa uvccm lakin mwisho wa kila mtu anainterest zake anaposimama soon vunjabei atateuliwa au laah atakuja kugombea na atapata
    Akili kichwani

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 Рік тому +1

    Kila uloliongea nipoint ndg heshima kwako vunja bei kila mfanyabiashara nijiniaz ila umetia fola

  • @sanauswahilimovies
    @sanauswahilimovies Рік тому

    Bonyeza hapa kutazama filamu mpya za bongo movie

  • @yvonnemashuda3004
    @yvonnemashuda3004 Рік тому

    Yupo vizuri, akili kubwa....

  • @ALEXKINUNDA-q4u
    @ALEXKINUNDA-q4u Рік тому +1

    Asante sana wafanyabiashara wa Karikoo.nimefuatilia sana hotuba hii.Kwanza nampe hongera Waziri mkuu Mheshimiwa Majaliwa.Niona comment ya jamaa anasema Majaliwa apewe nchi ni kweli.Mheshimiwa majaliwa walinde wananchi wako ambao ni wafanya biashara.Natoa comment zangu toka Malawi.

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 Рік тому +10

    Genius 4real🙏🕊️

    • @nivesterbelili1686
      @nivesterbelili1686 Рік тому

      Ameongea kitaalmu sana unajua mtaani kuna madini sana @vunjabei kama elimu ndogo kumuelewa jamaa kazi sana

  • @agneskapwani3484
    @agneskapwani3484 Рік тому +4

    Nakuonaga tu ka mpolee kumbe una akili sana safi👏

  • @erickassey6706
    @erickassey6706 Рік тому +3

    Kariakoo ilihamia Uganda zamani , TRA wanajua kunyonya tu .

  • @salomewilliam9457
    @salomewilliam9457 Рік тому +9

    Hongera vunja bei! Ila next time huhitaji kuongea kama unachana mistari just cool tuliza mikono! Ongea coz point unazotema ni ushawishi tosha

  • @asnaryissack2582
    @asnaryissack2582 Рік тому +10

    Vunja Bei💪💪💪💪💪💪

  • @KhajiRashid-lk6fi
    @KhajiRashid-lk6fi Рік тому +7

    Point haswa

  • @kulwagama3677
    @kulwagama3677 Рік тому

    Watu kawewe ni wachache sana bro

  • @rehemajuma2202
    @rehemajuma2202 Рік тому +1

    Yaani hii.sheria ni Kama kikokotoo kwa watumishi was Uma serikali iangalie sn ítatuletea vifo vingi kwa wastaafu

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 Рік тому

    Vunja bei ana akili kuliko mwigulu

  • @naomisanga6980
    @naomisanga6980 Рік тому +6

    Vunja bei🙌👏👏👏

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Рік тому +4

    Lakini si wote wapo waliosoma kama wewe

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 Рік тому +1

      Kweli maana yy kaongea tofauti na weziwe kaongea kisomi sana

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Рік тому +3

    Kodi TRA isisumbue raia. Kumbe raia ndo hawajui wanasiasa

  • @abeidmhongole9322
    @abeidmhongole9322 Рік тому +36

    GOOOOD AND FACTS
    WELL DONE FRED

  • @jumaarashid7367
    @jumaarashid7367 Рік тому +1

    Safi sana kaka,Nakuelewa Brilliant Businessman

  • @jazirajazira8116
    @jazirajazira8116 Рік тому +8

    Maa sha allah huyu atakuwa mbali sana

  • @edsonndyetabula6621
    @edsonndyetabula6621 Рік тому +4

    consolidation ndio nzuri tutawatolea mizigo yenu kwa haraka sana

  • @williamloserian5999
    @williamloserian5999 Рік тому +18

    ❤❤❤ Umeongea fact broo....wewe una uwezo wa kufunga duka ata miezi miwili na ukaishi lakini umeamka kuungana na wafanyabiashara wadogo kwa msukumo huu wa ukandamizaji❤❤❤❤hongera sanaa

  • @GoodluckNkya-eb7xs
    @GoodluckNkya-eb7xs Рік тому

    Yoyo vunja vunja

  • @adamshabanrashidi1003
    @adamshabanrashidi1003 Рік тому +5

    🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯freeeeeeed wavunje babaa🙏

  • @anjelaremmy7100
    @anjelaremmy7100 Рік тому

    Yah umeongea point, kiukweli umejua kutuwakilisha wafanya biashara, tusubili majibu sasa!!!

  • @mohamedmkingiye6445
    @mohamedmkingiye6445 Рік тому

    msomi ni msomi tu

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 Рік тому +2

    Asante Kwa kuwa wa kweli.

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 Рік тому +5

    Ukisikia watu wenye high intellectual quotient (IQ) ni hawa sasa, huyu jamaa pamoja na kwamba UWABATA hatumkubali kwa kauri zake za kutuhamasisha kuhonga lakini anaakili kubwa sanaa

  • @sporastica7174
    @sporastica7174 Рік тому +9

    Makofi na like kwa fred 🙌

  • @brianmani_
    @brianmani_ Рік тому +1

    Jamaaaa ni noma sana

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 Рік тому

    Msomi

  • @BotulphusAugustine
    @BotulphusAugustine Рік тому +1

    Fanya maamzi lakini chunguza na rushwa nchi inavilio jamani mnataka nini uku tarime rushwa pote watu hawapumui fanya uchunguzi sekari

  • @JanethSanga-kt7mn
    @JanethSanga-kt7mn Рік тому +2

    Kaka nmekupenda sana mimi nmechoka na selikari hiii jaman

  • @joelmadang6232
    @joelmadang6232 Рік тому

    Asee huyu jamaa kaongea jambo ambalo hata proffersor zaidi

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 Рік тому +18

    Bonge la speech fred 👏 🙌

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 Рік тому +6

    Safi sana

  • @migosmigo8099
    @migosmigo8099 Рік тому

    Nchi hii ina shida sana....viongozi wa biashara ni mbumbumbu wa biashara.....unaandaa mswaada wa biashara bila kuhusisha top brain za biashara ....unatumia maprofessors,ma dr na wanasheria....ndugu biashara sio sheria biashara ni mazingira ....yaaani biashara ni kama mmea mdogo unaohitaji....mbolea ,maji yafaayo,palizi na baraka za Mwenyezi Mungu katika ukuaji.....Ukitumia wahuni kama vijana wa TRA na mabosi wao kusimamia biashara....Umeua kila kitu!

  • @ireneaveline9180
    @ireneaveline9180 Рік тому +1

    Mungu akufanyie wepesi umetutetea wanyoge

  • @wazidimahenge2811
    @wazidimahenge2811 Рік тому +3

    wakinga hoyeeeee

  • @paschalpeter4540
    @paschalpeter4540 Рік тому

    Vunja anatakiwa awe na uongozi serikalini atasaidia wafanyabishara

  • @batoninkinda4177
    @batoninkinda4177 Рік тому

    Walipe forodha,walipe TRA,walipe halmashauli vingine vitolewe hapo sawa yaani mzigo unaotoka nje makadilio tra na leseni

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz Рік тому +8

    Huyu mkinga ana akili nyingi sana wachaga jifunzen Kwa huyu mwamba

  • @jeremiatitus4414
    @jeremiatitus4414 Рік тому +2

    Light bro,mr vunja bei

  • @EliyaUhaula-ck3pu
    @EliyaUhaula-ck3pu Рік тому +6

    Nice

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 Рік тому

    Haongei Pumba yupo vizuri sana

  • @wanyalugendo4776
    @wanyalugendo4776 Рік тому +8

    Well done!@Fred

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Рік тому

    watZ wenzangu tumecheleweshwa sana nawatawala majambazi wanchihii kutuwekea sheria nakanuni zadhuluma, lazima tuchukuwe hatua mapema tubadrishe mfumo wautoaji haki, ndipo tutapata unafuu,