Ongereni sana wana nyekundu wana msitu. Naombeni Serekali na wana chama wa mpira,wasimamie vyema kannada,maana naona wapenda mpira (mchezo huu)wazidi kuongezeka ndani ya ichi na inje ya ichi. Mwenyezi Mungu bariki Tz bariki Afrika, Amen.
Sundowns vs Yanga its going to be a very entertaining game of football. It is also going to be a very difficulty game for Sundowns,especially the away match in Tanzania!!
Robertnho had anashindwa kuelewa wa kumkumbatia baada ya goli la kibu de.alibaki kidgo amkumbatie Mgunda,kuhamaki hivi akagundua Mgunda ni mtu mwingii 🤔🤔Yan ni mithiri ya Mbuyu.ila yte Kwa yte more congratulations to my team🦁🦁love more SIMBA sc🥰🥰❤️🔥🔥💪
Azam muwe mnatuwekea full mechi jaman. Kuna wakati mwingine hizi mechi zinakua tamu mpaka unatamani kurudia kuichek mechi nzima. Hasa zile mechi za CAF
Wawaulize ihef walianzwa wao 2 walijua wamebaatishwa usifanye masiara na simba utaaibika sana utafauti mkubwa upo kipimo kipo kimataifa yanga ipo shirikisho simba ipo clabu bingwa huu ndio utafaut yeyote atae igusa simba atachezea tu
Kumbukeni wanasimba yule Alie jifanya amehama timu ndo kaondoka na mkosi wake was vinyimbo ila swali je mbn anajiita Simba vp wanajangwani watamuitaj ?
Kama mpk Leo unarudiaa kutazamaa apa gonga like apo ❤❤
😂 yanga da 2 0
Kwel😊
Nyamaza ani nimeitafuta
❤ 0:45
Ubaya ubwela
from kampala uganda congratulations simba sc east africa we are happy good ball
Thank brother welcome
Nguvu moja
Wanaoangalia 2024 weka like 😂😂😂😂😂
5 /1😂😂
@@aishabakari8040 makini sana 💥💫💨🔥
KIBU DENIS KNOWS FOOTBALL VERY WELL.. I LIKE THE WAY HE PLAYS.
From south Africa kila anayekubaliana na mimi kua chama ndo father team wa simba like hapa ❤maana huyu jamaa akacheze na lewandoski
Chama ni mzuri ila anapozeesha sana mpira
@@hamisihassan6426 kwani mpira kupoa ni kosa?!! Unamjua OZIL ?!
@@hamisihassan6426 Ku powa ndo boli hilo we wawap babu 😂😂
😊
W
Wana simba tujuane kwa like
Naipenda simba mshabiki Wa damu 🦁🔥❤️
This is Simba 🦁🦁🦁watching from Russia
MANARA AKILIA USHINDI WA SIMBA ua-cam.com/video/wwdY7L_VxxI/v-deo.html
Ally Salim👍🔥
Very fantastic performance from simba sc Tanzania 🇹🇿👏
Asanteni sana uongozi wote wa SIMBA mkiongozwa na big boss MO,benchi la ufundi na wachezaji wote💪💪💪#SIMBA nguvu moja
Hatimae simba wameniskia kumpa nafasi kijana ALLY SALIMU good stopper 🦁🦁🦁
Kusisitiza uwepo wa feitoto like hapa ❤
Weeeee goli langu pendwa la kibu dee clifuti kwa simu yangu 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Refa kawabeba sana yanga lkn hamna kitu..
Kawapa faul za kutosha na kukataa goli la kibu denis lkn bado tu
Kumbe uwanja wetu ukislide ni fresh tuu 😮
Sasaiv uwanja uko vizur coz nyasi zmenawil sana
Uko sahihi
Umeona ee
Aiseee huyu kipa wa number 3 wa simba ni noma na nusuuuuuu...
Angekuwa manula tungefungwa hii gem
Simba sports Club Yes From Sultanate of Oman
Remember the rastaman, this dates back to 2010 south Africa world cup where Siphiwe Tshabalala scored a very similar goal Kibu's one
Ally salimu wewe ni noma na nusus .. keep it up salimu 👊👊🏿
Huyu Kijana asipolewa sifa atafika mbali. Amekuwa kipa wa kwanza TZ kudaka shuti ya mpiga mashuti mahiri wa Yanga (Aziz Ki) pasipo kutema👍👋👋👋
Uyo kipa wa Simba anakuja Vizuri sana,,, ivi season ya inonga na mayele tupo episode ya ngapi 😂😂🙌🏻
Inorganic kashamfunikq mbali
Tanzania will be the first country in East Africa to qualify for the world cup finals in the future 😊.
Mkandaji amekandwa😂😂
I love simbaa❤❤❤❤
MANARA AKILIA USHINDI WA SIMBA ua-cam.com/video/wwdY7L_VxxI/v-deo.html
Niko hapa Leo tar 9 /10/2023simbaaaa
Leo nilitapili mfungaji wa kwanza atakuwa inonga babaaa naimekuwa vile asante mungu kwa ushindi wako wa leo kututangulia mbele❤ simbaaaa
Go Simba sc 🦁Tanzania Giants🚶💪like more from UNITED STATES OF AMERICA a Congolese boy🇨🇩FBI POLICE 911
Chama ni mmoja tu Africa hii❤❤❤
Mdaka mishale katumiwa rocket na rasta man adake afe 😂😂😂🙌
Hii merch YANGA hawataisahau.. kibu D.. ni kumbukumbu yake kubwa ambaya hataisahau.. big up KIBU D.. KIBU MKANDAJI
Vile vile, hatuwezi kuisahau mechi ya tarehe 5
hongera myama simba from pemba
2023 mpo mnaoangalia?
Goal la Kibudeeee noma na nusu🔥🔥
Noooma sana kbsa!!!
@@simpungamanzididier3708 🔥🔥
Iludiwe hii dabi maan ♥️♥️♥️
Merry Merry hata me huwa nikiwa na hasira nacheki jins kibu and Inonga walivyo wakalisha yanga
Imba yangu mmejua kunifurahisha hongera Sana Simba ❤❤❤
Sema simba huyu inonga mmepata beki mwamba kwel mbwa huyu anatawanya sana unavo taka anataka😭😭😭😭😭
Utopolo mwenzangu anayeshindwa kumaliza kutazama game gonga likes🤣🤣🤣🤣🤣
Tarehe nne leo nani anaangalia dabby hii tujuane like hapo
I am wondering if yanga has a keeper trainer, because is not the first time yanga concedes such a corner balls
simba is goated cant deny
Leo simba mmejua kutufurahisha wanamsimbaz
Famasialanini,wamelowaa
That second goaaaal!
😅🎉 it's fantastic goal
Are u from South africa bro 🇿🇦
@@yusuphwaitara8340 Kenyan
Ali Salim ni lazma awe number moja Simba🎉
Ongereni sana wana nyekundu wana msitu.
Naombeni Serekali na wana chama wa mpira,wasimamie vyema kannada,maana naona wapenda mpira (mchezo huu)wazidi kuongezeka ndani ya ichi na inje ya ichi.
Mwenyezi Mungu bariki Tz bariki Afrika, Amen.
Nakubal Simba chama langu....mmenifurahisha.
wa kwanza hp sihitaji like wala nn
Acha mbwembwe ww
😂😂kama ulimuona enonga amevuta mshale kwenye upinde 🏹
Kibu tunakuomba utusamee wanasimba
Magoli ya kikatili tumeyazoea sisi hhhh sisi haoo hata haturingi
Acha kabisa bana tumewakanda kisawasawa
Ila nyiee😂 Simba ikiwa inacheza ivi Kila mech😂🙌
Aly Salim❤️❤️❤️❤️
Nmekuja kuangalia tena kabla ya tarehe tano😂
Leo pengo la fei toto limeonekana
Daaaaa magoli ya Simba yote ya hasira yamekandamizwa mbaya😂😂😂😂😂
MANARA AKILIA USHINDI WA SIMBA ua-cam.com/video/wwdY7L_VxxI/v-deo.html
Sundowns vs Yanga its going to be a very entertaining game of football. It is also going to be a very difficulty game for Sundowns,especially the away match in Tanzania!!
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤simba
Kama baada yaku pigwa na mtani umekuja ku tuliza maumivu huku ebu like😢
Samahanini lakini huyu Diarra si wwalisema anadakaga hadi mishale 🤦🏾♀️ samahanini lakini
Na ww unapenda kuwachokoza maguruguru
Nimeomba msamaha jamani
@@rithadonatus8110 mshale wa Kibu ni wa moto.
Hip ni mikuki sio mshale kaka
Hujaona inonga anasema amipiga mshale Hamna Cha mdaka mishale ni anapambwa tu kisa yuko Yanga
Kipa huyu wa simba yuko vizuri sana kuliko manulla atakae chukia fresh tu ukwel nshasema%
Kwa simba hii ata audio feitoto yanga anapigwa tu
This is the Simba SC we know. There is no Anya club bigger than simba in east africa
Ahsante simbaa
KIBU DENIS 🙌🙌🙌🙌
Had Leo Huwa nacheki hii game wazeee
Nipeni support yenu ya likes 🙌
Nyie salim anadaka😂😂😂
Kilaaa maraaaaaaaa❤❤❤❤
Diara angedaka shuti la kibu angekufa leo
Love it
Robertnho had anashindwa kuelewa wa kumkumbatia baada ya goli la kibu de.alibaki kidgo amkumbatie Mgunda,kuhamaki hivi akagundua Mgunda ni mtu mwingii 🤔🤔Yan ni mithiri ya Mbuyu.ila yte Kwa yte more congratulations to my team🦁🦁love more SIMBA sc🥰🥰❤️🔥🔥💪
Tarehe 05/11/2023.. James samweli awe second comentor.. KAZI IPO
Kwann baraka mpenja atangaz tena jamani tumekumis plz rudi kazini kaka you're the best commentator in Africa rudi kazini kaka
Simbaaaaaaaaaaaa 🔥🔥
Ukitaka kujua utafauti wa timu kubwa anngalia kwnye vifungashio tu wakati wachezaji Wanaftari
😂😂😂😂😂
Azam muwe mnatuwekea full mechi jaman. Kuna wakati mwingine hizi mechi zinakua tamu mpaka unatamani kurudia kuichek mechi nzima. Hasa zile mechi za CAF
Ndo naingia Mama enu wa simbaaaaaa ❤❤❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Wawaulize ihef walianzwa wao 2 walijua wamebaatishwa usifanye masiara na simba utaaibika sana utafauti mkubwa upo kipimo kipo kimataifa yanga ipo shirikisho simba ipo clabu bingwa huu ndio utafaut yeyote atae igusa simba atachezea tu
Kwel wamekandwa maana so poa walikuwa wanasifa asilimia Mia kuifunga Simba asante Mungu umeskia kilio
Magoli matamu sanaaa❤❤❤
Tumewaacha ty maan tumeona bola tuwabeb maan mko nyuma sanaz
@@SalmaMohamed-rq9wf 🤣🤣🤣so Kwa mdomo ule
Ndoiv ss unafkil nn tumewaonea huluma tyu hamna kity apooooooooooo
Sasa hii Simba mliyoizoea Leo mumeishindwa na Rivers united mutaiweza kweli au itakuwa nje ndani.? 🤣🤣🤣
Hata turingi jamani🔥🔥🤸♀️🤸♀️🤣
From ulaya ilavyuu thimba😁😁😁😁😁😁😁😆😆
hii.mechi utopolo alipaswa kupigwa 5
Ally salmu upo vizur dg mungu yupo nawe endelea kupambana. Kipa nambar 3 wa ssc
Kidogo mitandao imetulia wangeshinda hao wee
Ila morson chiz sana nimemuona alikuwa anacheka😁
Daah leo simba ametupiga aisee daah
Nikipataga hasira Huwa nazipozea hapa
YANGA SUPPORT FROM COLOMBIA
Alafu morisson kashangilia kimoyo moyo goli la Kibu ona alivyo tabasam 😂
MANARA AKILIA USHINDI WA SIMBA ua-cam.com/video/wwdY7L_VxxI/v-deo.html
Pengo lafei limeonekana
Yana mazee mengi hayana timu,hata mechi ya kwanza yalitoa droo sijui yaliipataje😂😂😂#SIMBA nguvu moja
Sisi sio TP mazembe. Tutawaua umekutana na vitimu vibovu huko shirikisho kwanini mmekiambia clabu bingwa Kama nyie utopolo ni wazur
😂😂ile ngao mlipofungwa kwani ilikuaje au ile ni Simba queen
Unaongea hivyo kweli, nakuuliza mazembe ni timu mbovu, yanga na simba wanahistoria gani ya mpira kuishinda mazembe
@@mohammedomary9476 anajisahaulisha tumewasumbua San leo amebahatika anajifany shombo .
Kibuuuu mkandajiiiii😅😅😅😅😅😅😅
😢😢😢😊😅😅😅😅
Mdaka mishale Leo kakutan na mshale wa moto
No fey Toto no problem 😂😂😂
Utapigwa mawe kaka😂😂😂
Hii ni polobulem😂😂😂
Mimi yanga ila nimemua kuaga kwa sasa mimi simba na mme wangu
Mmmh htr😅😊
wana simbaaaaaaaaaaa nawala haturingi✌💪💪💪
Kumbukeni wanasimba yule Alie jifanya amehama timu ndo kaondoka na mkosi wake was vinyimbo ila swali je mbn anajiita Simba vp wanajangwani watamuitaj ?
Harufu ya ile G4 ilikuwa imetanda kila kona sema kmati za ufundi za utopolo zilivuruga
Niiangalia hii mechiii naona simbaaa n boraaaa sanaaaaa na wanaujua vzr sanaaaa mpilaa IL Salim alisev sanaaa simbaaaaa
Mnabahati mngekula saba 🐸🐸🐸🐸
Hiiiiiii simbaaaaaaaaaaaaaa 🦁🦁🦁🦁 itaniua bureeeeeeee😂😂😂😂😂
Msitukatie tamaa wanasimba naona Yanga wanajiamini sana saiv wamekalili kuifunga Simba
SIMBA
👏👏👏
Tumewakanda tumewakanda tumewakandaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
MANARA AKILIA USHINDI WA SIMBA ua-cam.com/video/wwdY7L_VxxI/v-deo.html