Man of God pokea Baraka!!!!! ❤️ To be sincere you've changed my Life. You'll remain being my great mentor forever 🙏🏼🙏🏼😢. Mungu akuzidishie hekima uliyo nayo. I'm monicah Naserian from Kenya napenda kukuskiza Sana. Maneno yako huwa yananipa nguvu. Welcome to this beautiful country plZ 🙏 tunakuhitaji mtumishi . Kenya tuna kiu ya haya maneno yako. 🙏🏼Plz just make a visit 😊
I would love to attend a service to Pastor Tonny Kapola's church. I just feel need to follow your path and live a Christian life. I want to understand who God is and understand myself as well. I have nothing to give you but May God that you worship keep you safe and healthy on this earth so that you may live longer to preach and teach his word ndio watu wengi waokolewe.
Iyo ni kweli kabisa ❤❤❤❤Ubarikiwe sana Mutumishi wa Mungu pastor TK.
Ubalikiwe sana mtumishi mafundisho yako yana niespay sana maisha yangu yamekuwa muelekeo kupitia mafundishoyako
Amen Glory to JESUS
Napenda san mahubir Yako Mchungaj yamenibadilisha sehemu kubwa sana ya maisha yangu
Hakika naipenda huduma yako,nakufuatilia Sana,katibu musoma utufungulie huduma mtumishi wa Mungu
Man of God pokea Baraka!!!!! ❤️ To be sincere you've changed my Life. You'll remain being my great mentor forever 🙏🏼🙏🏼😢. Mungu akuzidishie hekima uliyo nayo. I'm monicah Naserian from Kenya napenda kukuskiza Sana. Maneno yako huwa yananipa nguvu. Welcome to this beautiful country plZ 🙏 tunakuhitaji mtumishi . Kenya tuna kiu ya haya maneno yako. 🙏🏼Plz just make a visit 😊
Man of God wewe ni mwalimu wangu ishi maisha marefu
Waooooh! Pastor wetu, ulikuwaga unatufundishaga kilakala secondary school, nakumbuka mbali sana
Naikubari sana uduma yako Rev Kapora
Amina mtumishi nabarikiwa sana na maubiri yako pia nahitaji maombi yako
Mungu akubariki pasta mahubiri yako yananijenga nikiwa kenya
Good preacher ,he preaches to reflect the reality of society!
God bless you pastor
Really he preach words that reflect the realliaty of the society
God bless you
I would love to attend a service to Pastor Tonny Kapola's church. I just feel need to follow your path and live a Christian life.
I want to understand who God is and understand myself as well. I have nothing to give you but May God that you worship keep you safe and healthy on this earth so that you may live longer to preach and teach his word ndio watu wengi waokolewe.
Wewe ni mwalimu axee,Mungu akutunze
Amina mtumishi nabalikiwa sana
Mungu azid kuktumia TuNabarikiwa Sana na jumbe zako
I love this pastor he speaks the truth
You always encourage me thanks so much 🇰🇪🇰🇪
Nice Pst tony napenda sana utumishiwako
Nimeelew pastory karibu bukoba muleba
Woow,,lndeed we have to humble and also sacrifice by letting go of some people in our lives for us to succeed,, Ameen 🙏🙏
Wee unaakili nyingi sana nimeipenda sana hii clip
Mahubiri haya yamenilenga moja kwa moja Amina mtumishi
Waooh , pastor ww ni mpakwa mafuta , nakuelewa mno ,na barikiwa sana ,
Huyu jamaa si wa mchezo.Na sijajua hii elimu kaitoa wapi maana anagusa kila eneo kwa usahihi kabisa.
Upo sawa sana mtumishi
Mzuri wa mawazo Ila bado nakuangalia saana
Njooo musoma utufungulie huduma wewe ni mkweli🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu nisaidie 🙏
Ubarikiwe sana Pastor
Nakukubali Sana pastor❤❤
Straight and to the point,timely word.
God bless u
Amina mtumishi
You are the one
Good paster God bless your family
Hii iko very touching, couldn't acha kuanglia
Napenda Sana kukaa Pekeangu nikusikilize wewe
AMEN 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Huu ni wakati wa UAMSHO WA INJILI YA YESU KRISTO MUNGU WA miungu akulinde wewe na wengine wote ambao ni aina na nmna yako Rohoni na Mwilini
Kama watumishi wite wangekuwa siyo wachoyo wa maarifa kama hivi, waamini/waKristo wengi tungekuwa mbali sana na kuvutia zaidi jamii inayotuzunguka
Aseee ni comment 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nikirudi tz nitahudhuria kanisani kwa huyu Kaka na wanangu insha'Allah
Asante sana mtumishi
Nimekupata
U spoke truee
One of the pastor hodal sana
Ubarikiwe baba
Ubarikiwe sana mtumishi
Nakukubali sana unanionesha nipite wapi na uniingizia vitu.
more than teacher
Amina baba nabarikiwa Sana
Asante Baba....
Incredible motivation always GOD create u for
May God give you a long life
Amen, Napokea
very true i agree from kenya
Asantiiiiiii Mungu
Nakusikiza nikiwa Mombasa Kenya
Amen, God bless more and more
🙌 ubarikiwe sana
Of course pastor
My GOD bless you three times
Barikiwa
Thank you father for the best advice
Sawa mtumishi
Thank you mtumishi you touched me and I have to my character
Thanks for the advice
Absolutely 💯
Natamani ujumbe huu ungewafikia watu Fulani labda wangeelewa watabadilika,
True 🙏 be blessed more grace to you
KWELI KBS
Ana heri aliuekuzaa 🙏
Amen Amen
Amen be blessed man of God🙏
Amen, amen man of God
Amen Papa
True ,God bless you.
Ameeeeen
Goood unani inspire sana
Man of god
🇰🇪🙏🙏🙏
Thank you GOD bless you
Ameen
Ameeeeeen DADY
God
Kweli kabisa amina
God bless you Pastor.
Amen
Nimeapa Mbele ya Mbingu na Ardhi Sitakunywa Pombe Tena Mungu nisaidie
Kweli kbs
Kweli kabisa,Mungu Akubariki man of God
Ameen be blessed Man of God🙏🙏
❤❤❤
🙏🙏
Very powerful
Nice pastor
Amen 🙏 🙏
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mwongo huyu hana kitu!
Wow!!
This is comely for time were. Where many lost their direction because of bad character framed by bad company.
Waaaaaaooooh
Got this perfectly🙌
Leo umenigusa mimi kabisa