Kiri Records Presents MAGAZIJUTO Feat Stamina,Kontawa,Tannah,Maarifa &Bando Mc(Official Video)
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #KiriRecordstz #NgommaTanzaniamusic
Song: MAGAZIJUTO
Performed by TANNAH,BANDO,STAMINA,MAARIFA &KONTAWA
Video directed by DeoAbel
Audio production: Kiri Records
For booking: kirirecordstz@gmail.com
Contact: +255716397048
Magazijuto" available on all digital platforms song.link/6P0S...
Follow Kiri Records on socialmedia ...
@2021 Channel Administered by Ngomma Vas.
Hahahahahhaha😅 mlevi atakunywa bapa zote ila si bapa la panga more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 fire.
Hoya noma sama.mwafrika umekosa kwa kulala mpaka unalalamika
Wanafunzi walevi wanatembea na kaunta😀😀😀
Kama unaikubali hii collabo ebu gonga like hapa japo Ifike hata 1k
Angekaa na yule mhuni wa kahama *NACHA* ngoma ingekaa kizazi zaidi ila haimaanishi kuwa haijasimama ni ngoma na nusu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bando ni hatar yni uwezekaniki brooo we unajua xana
Hahahha stamina na kontawa wameuwa so kazi nzuri ila Bando appriciate you my brothee
Dah bhando
Yupi aliye kula funda kati ya whozu na adamu
Hahahahahaahaa baalaaaaaaaaaaaaaaa acha niendelee kurudia rudia x8
Unamjua Kontawa Ww Nakubal Mkubwa Wao
Moja kati ya ngoma kalii na nusu mjini muda huu iko on replay kweny mitaa💥💎
Hakuna mzima humu 😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌 yaaan tangia asubuhi naisikiliza alafu sijui n saa ngap nita press next
Nasikiliza mpaka 2022/11/30
Respect kutoka 🇲🇿🇲🇿💚 nakubali sana hip hop from Tanzania
Uchawi wa mapenzi ni kuona mate matamu kushinda soda....😅😅🔥🔥🔥
😂 😁😁😁😁
.g vh g
Watoto wameandk mistar kila neno jiwe 😂😂😂
😅😅😅
Hata uwe simba damu ukifa utazikwa na mbao😄😄 Stamina ku****mako iyi ngoma ww nd umeifunika..
Yes yes huyo mwana mwenye nywele nyeupe nywele htl Sana STAMINA unaonea watoto 🤸🤸
wote vichwa mmetishaaa sn
mpangaji kamdai kodi mwenye nyumba
Stamina ✊✊✊ umewaongoza wadogo zako vzr like zao hapa.⏩⏩⏩
Ngoma kali Ila kamic nacha humu🔥🔥🔥🔥
Wala ujakosea mkuu
Umeonaee
Bando: complicated verses
Tannah: burned the song with her voice💥💥
Maarifa: beat changer with listenable verses
Stamina: the G.OA.T
Kontawa:🤔
Nimesikiliza mwanzo mwisho lkn niliposikiliza Zaidi ni kwa Huyu BANDO MC & STAMINA Uongo dhambi Hawa watu wameibeba hiyo ngoma
hip hop still exist,asante sana Stamina kwa kuwapa moyo na kuwashika mkono wadogo zako,Mungu akubariki
Oyaa wananngu ngoma Kali wauni wametufokea Sanaa🤣🤣
Nipo poa sanaaaa😅😅😅😅😅
Kontawaa kauwaa anafuatiwa na maarifah✅
Kumamae hii ngoma ni moto et pesa bila mapenz hyo ni 4-4-2 Ila mapenz bila pesa hyo ni 4-4- u
Ngoma kalii kama hii utaipata wapi bongo
hii nyimbo ilitakiwa iwe na video kali sana....haijatendewa haki
KONTAWA KATISHA.
UNATAKA KUNIPIMA AKILI
MI SINA AKILI TIMAMU
Mmmh sister tannah umewakilisha hiphop kwa magirls
Remix plzzz naomba fidq,p mawenge,one incredible, nikk wapili,roma na hao balaaaaaa
Broo hao wote uliotaja ni levo zingine na Moto mwingine
mamaaaeeee haaaa🙌🙌🔥🔥 nimeirudia mara mbili lakini bado sijaona nani aliewaficha wenzako woote wameumiza .....ivi vichwaaa sio poa
Love from Bantu Bwoy+257🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Jamani Stamina Anajuaaaaa!!!!Utakunywa Bapa ila sio bapa LA Panga!!!! Oi!!!
Ile goma bana😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Juzi mlikuwa dili leo mmekuwa dilisha
Mapenzi kama uyoga leo mboga kesho sumu
Dah maarifa umeuwa mno mwanangu
Haji Manara naomba uwaambie wanao/
Hata kama simba damu ukifa utazikwa na mbao/ 😂😂😂
Dah mmeuwaaaa wanangu wa kiliiii
Stamina 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍👍 more love from Kenya Broh...
Angekuwepo na Rapcha ingekuwa ni fire🔥🔥🔥🔥 zaidi
Kiri Record mpo vzr sn kwenye bit za hip hop
Nice...The girl is Hot she drops verses ile kinoma kaua...ila mwana Stamina Kills it at the end .. Beat imeenda shule im 100% hiphop still alive in Tanzania
Hakuna aliye mfunika mwenzie wte wana wameua hataaaaaaar
Hii ngoma unapigia kula kumchagua raisi
Duuuuh!!! Weka mbali na watoto🤔🤔🙌
Kuna Wachanaji Halafu Kuna Maarifa 🔥🔥🔥🔥
Nakubali wanangu nyimbo naikiliza wiki zima cjaichoka🙌🙌🙌
hapa kakosekana NACHA goma lingebamba kinoma
Kbsa kka
Hata uwe simba vp lkn utazikwa na mbao🙌🙌🙌🙌🙌
ww Tannah kwn huu Mverse uliahidiwa gar
hiii wasanii wote wahua vikari sana
Hii ngoma ni munoma sana vichwa vilioko humu ni hatar kupitiliza shout kwa home boy #maarifa you kill it buddah kibaha king of rap🤴🤴🤴
Tonaitajizingi bro
Ngoma kaliiii cna brooohhh
Mumeua wotee bando shy1
,,Mpangaji kamdai kodi mwenye nyumba 😂😂😂😂👍
Unaweza ukaishi Tanzania alafu ukala viazi ulaya. Kontawa nyoko wew
Hivi mnao taka kufika lileleni mmekosa pakufika naombeni like dah
Uyu mtoto tannah 🎉
Tannah umewakalisha vidume. Nakufatilia sana michano yako
Uyu mwenye brich ndo katisha sana nan anabisha
Kali Sana hii kbs
Dahh......ngoma kali joint ya maana,,,,,unaambiwa+++ mwenye kiti kabeba na meza
Dada Tanna katisha sanaa❤❤❤❤
Wimbo unaanzia 1:43 huyo Tanna amewakalisha wote humo. Beat iko poa sana inabadilika na bado inatembea fresh tu.
Kweli munaweza
Wimbo Na nusu 🔥✊🏾
nimekubali mashairii ngoma itaishi milele
Duuuh hii michano ya humuu nomaaa asee mlev utakunywa bapa zote ila sio bapa la panga 😂😂😂
Anaitwaa Bea uyuu jamaaa Hataree sana Producer hatare
bando hakika unakipaji nakuomba kaka usije jisahau Kama wengine utapotea mwambie mungu akupo moyo wa uvumilivu 💖💖💖💖💖 By machera msoma town
Oih oih oih oih hatari na nusu ni noma halafu utasikia mlevi mmoja hip hop imekufa
Let's subscriber to kiri records 🤜🤛🤛
Bando '' ukitapasa fungua bank usifungue zipuu '' ...😁😁😁
Ha ha ha. Duuuu mapenz km uyoga Leo mboga kesho sumu
Hii ni Elimu.. Sio tu wimbo.. Love from Kenya
Mlevi utakunywa bapa zote lakini sio bapa la panga
Tana na kontawa wameuwa kuliko mwenye nyimbo
MAGAZIJUTOOO WOTE WAMEUWAA ILA MASKIA MAARIFA NDO KAWAFUMIKA
Noma sana
Namba 6 kideu mmoja apa
Wamemchokozaa meyaaaa@aaaaa
Hili jitu lenye mvi kichaa sana,bonge la ngoma mjini
Tanah anajua Sanaa
🔥☄🔥🇹🇿🇰🇪 kazi nzuri sana mad Respek for Bongo Rap.
Ngoma hii itadumu miaka na miaka 🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥
Mmmmmh wanasema red iz first ye kawekwa kt,
Ngoma na ½
Itikadi kali sana ngoma ya moto
Kumbe ni KIRI sio KILI.
Kama unaamini kontawa kauwaaaa like apo
Ebwanaa balaaa zito bonge la ngoma mjini
Hiikopoa kabisa wakali
Aliliaaa wembe atoe Kucha juzi
Leo analilia analilia wembe atoe.......
Kama kawaida yetu @SHY TOWN Bando ameuwaaaa
🔥🔥😁😂😂 oya nyote ni vichaa hata Tannah akili hana eti umekosa pa kulala mpaka unalalamika, hili jingine kontawa nalo jinga eti wanafunzi walevi ndo wanatembea na kaunta😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿hatar sana
ushawachek kudadekk zao👊🏻
Tannah killed it..🔥🔥🔥,
Mmekoss pakulala ndo mana mnalalamika