GOODLUCK GOZBERT afunguka kumpeleka POLISI dada anayemtaka KIMAPENZI "Kaniharibia" NGOMA yake mpya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @starcell5555
    @starcell5555 2 роки тому +2

    Seriously where is this generation ending to..God have mercy on us🙏🙏Mungu akulinde sana goodluck much love from Kenya

  • @irinemwachia6744
    @irinemwachia6744 2 роки тому

    nampenda sana goodluck mtumishi wa mungu i like the wisdom you have mungu akulinde. na huyu dada awache kukuharibia jina
    atafute wake.

  • @LadyLucille12953
    @LadyLucille12953 3 роки тому +8

    Kenyans Love you Goodluck! God Bless!

    • @angieblessed
      @angieblessed 3 роки тому +1

      We love you bro,a worshiper. I love all your songs.preach the gospel 🙌❤

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому +6

    Nampenda huyu kaka goodlucky gozbet yuko na hekima ya mungu sana mungu amubariki sana.

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 3 роки тому

    Mungu akubariki!usisikilize maneno ya watu keep moving.

  • @officialhonestyadonicha3813
    @officialhonestyadonicha3813 3 роки тому +2

    Jaman watumishi mbadili minyoo ya nyele msiwe kama wamataifa tunapo mwimbia Mungu na kumsifu tunatakiwa tuwe smart tusiwe kama wamataifa

  • @prispeter3914
    @prispeter3914 2 роки тому

    Pole, Mungu azidi kukupa neema

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 2 роки тому

    Love you from Michigan

  • @esthermwanasiti5074
    @esthermwanasiti5074 3 роки тому +3

    Huyu dada naye anatuaibisha wanawake jaman sasa alpenda mpaka anajisumbua tu
    Hivi mwanaume atamng'ang'ania mwanamke kwa sababu atamgaramikia kama upande wa mahari so huyu dada anavyo lazimisha upendo Mungu wangu wasaidie watumishi wako maana vita vmezid sasa

  • @helenaboyo5659
    @helenaboyo5659 3 роки тому +1

    Pole Sana mdogo wangu hakika mungu atakushindia

  • @rachelkelembu5651
    @rachelkelembu5651 3 роки тому

    Mungu akubariki

  • @magrethysamboni6015
    @magrethysamboni6015 3 роки тому +2

    Pole Sana Kaka yangu goodlk nimapito tu jipe moyo mkuu.

  • @StarwaYesu
    @StarwaYesu 3 роки тому +4

    Mdogo wangu owa umalize shida na pia badilisha style yako ya maisha

  • @christinemangaza5758
    @christinemangaza5758 3 роки тому +17

    Tujuane apa kwenye like 👍 Nikiwa niko o🇺🇸🇺🇸🇺🇸🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 3 роки тому +3

    Nimepanda umeongea vzr Mungu azidi kukutumia

  • @Dreidamaa
    @Dreidamaa 3 роки тому +11

    my relatives🇰🇪
    Naomben like nyingi apa
    Mana soon to nami ntaendaa
    Kwenye SNS kuintroduce song yangu naamini ndo yakwanza inaiywa
    .. .... SMILE....
    Pia
    Nwakubali Sana Hawa SNS
    Wanajituma,wanajitoa Sana
    Mungu awabariki mzidi kuwa
    Na nguvu kill siku
    Muweze kitupa habary zenye uhakika
    Amen

    • @Dreidamaa
      @Dreidamaa 3 роки тому

      @@NUHUONLINETV kuuliza c ujinga pia kukujibu ninavyo feel sio ujing wacha ni keep secrets answer niliyo kuwa nakupatia cz unaweza shindwa kunielewa then ukanona nimekudharau cz
      I don't know you
      Even you, you don't know me

    • @vickyayo8712
      @vickyayo8712 2 роки тому

      Mungu aendelee kukutia nguvu kwani unayaweza mambo yote ktk yeye akutiaye nguvu mpe tano Mwaitege

  • @anahna6788
    @anahna6788 3 роки тому +17

    Sema Hivi umempa chochote kitu ili akupeleke wimbo wa mgambo mjini

  • @ladyannmusic5763
    @ladyannmusic5763 3 роки тому +1

    My brother watu watabaki kuwa watu Mungu ni mungu usjalishwe na na watu " endelea na kazi ya mungu

  • @burtonmwansamale2512
    @burtonmwansamale2512 3 роки тому +13

    Muonekano siyo wa Kimungu, wa kimtaani mbona? Badilika ndugu.

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 3 роки тому +10

      Unaweza ukawa na uonekano wa Mungu na ukawa shetani kiroho! Don’t judge the book with out side cover!

    • @happiemicky4459
      @happiemicky4459 3 роки тому

      @@teychriss3248 kwel Mmy

    • @brigithadidas5128
      @brigithadidas5128 3 роки тому +2

      Muonekano wa kiMungu ukoje huo ebu tuambieni wenzetu mliofanikiwa muina Mungu vile anaonekana

    • @happiemicky4459
      @happiemicky4459 3 роки тому

      @@brigithadidas5128 atuambie bac

    • @florakibona8042
      @florakibona8042 3 роки тому +3

      Kwan Mungu ana simu mbona wewe unasimu acheni kujudge watu

  • @giftwieland6322
    @giftwieland6322 3 роки тому

    Mtumish wa MUNGU barikiwaaa

  • @nz6181
    @nz6181 3 роки тому +1

    Amazing ...SnS @Chris na wote at SnS
    ,,,what does 21x30 meaning behind your Studio@ 🇬🇧

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 3 роки тому +2

    Barikiwa Mtumishi. Creez 👍

  • @nounundayishimiye5483
    @nounundayishimiye5483 3 роки тому

    Goodlck we love you From Brd🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @mahewamahewa6461
    @mahewamahewa6461 3 роки тому +7

    Wadangaji wanampenda kimapenzi wanashindwa kujua uyu ni mtu wa mungu Hana shida na malaya

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 3 роки тому

      Wewe huyo mwenyewe malaya

    • @mahewamahewa6461
      @mahewamahewa6461 3 роки тому

      Haha Malaya wakwanza kajitokeza nilijua kahaba yeyote yule lazima kitamuuma una akili kahaba mchafu

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 3 роки тому

      @@mahewamahewa6461 wewe ndio kahaba mbwa wewe

    • @mohamedirumambo7178
      @mohamedirumambo7178 3 роки тому

      @@sifatiiman umejuaje??

    • @subiramichael3840
      @subiramichael3840 3 роки тому

      Mchawi yule achana nae usimchekee sio mwalim wara nini mwizi taperi mshamba mjinga

  • @philemonpaulo1790
    @philemonpaulo1790 3 роки тому

    Uko vizuri mwamba wa imani

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 3 роки тому +5

    Wewe ni mti wenye matunda, zoea mawe. Mungu yuko upande wako daima, songa mbele.

  • @sekelamwangosi3289
    @sekelamwangosi3289 3 роки тому +7

    Gud uowe mtu awa washenzi waache kujidangisha kwako mtumishi owa wabakig wakisema tu dada anafaid uyu😀😀😀uliempenda ana raha mtumishi

    • @lovenessibrahimu6730
      @lovenessibrahimu6730 3 роки тому

      Hahahaha Umenichekesha Mie Kuoa So Shida Mana Watu Wameoa Still Wanapendwa Hata Nipende Vipi Sitoenda Kwa Media Weeee Nitadharirilisha Ndugu Aseeee

    • @lilianbitutu1072
      @lilianbitutu1072 3 роки тому

      Very true

  • @rachelkelembu5651
    @rachelkelembu5651 3 роки тому

    Pole sana brother

  • @euniceshirima5639
    @euniceshirima5639 3 роки тому

    wewe dada wee mshamba kweli yaan mwalim gani wee mshenzi naisi umetumwa wewe kumfanya mtumish wa mungu arud nyuma ushindwe kwa jina la yesu na urud kwa huyoo umwambie umemshidwa goodluck

  • @DaughterofLionofJudah
    @DaughterofLionofJudah 3 роки тому +2

    Kupenda watu wote kwa upendo wa Yesu! kweli kabisa Mtumishi! tunakupenda Mtumishi, pokea baraka na neema!

  • @leahmwapamba1943
    @leahmwapamba1943 3 роки тому +2

    Mungu akubariki sana kaka kazi yako ni njema

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 3 роки тому +5

    Napenda wimbo wake wa SHUKURANI yani naupenda sana sana sana

  • @irenejustine2765
    @irenejustine2765 3 роки тому +1

    Mpk vidio call zinapneshaga pic feck naomba kuuliza

  • @leahjohnsimba4088
    @leahjohnsimba4088 2 роки тому

    Pole usikate tamaa hayo ni majungu

  • @sumeiyatatumohammed2608
    @sumeiyatatumohammed2608 3 роки тому

    Pia mmi na barikiwa nkiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🙏🙏✈✈

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 3 роки тому

    I stand on your side. Wewe ni mtumishi wa MUNGU. Keep soaring

  • @veronicasilas5598
    @veronicasilas5598 3 роки тому +7

    Eti oza huyo mtumishi jamani yuko mwendo kasi.

  • @bibianajangandu1727
    @bibianajangandu1727 2 роки тому

    Good lucky wewe ni mtumishi wa Mungu na unakitu kizuri cha kimungu sasa shetani anataka kukutoa jua hila za shetani barikiwa

  • @naomimassawe5625
    @naomimassawe5625 3 роки тому +16

    Hivi wanawake wenzangu huwaga mnavutiwa na nini had mnachanganikiwa akili? au mi sijui mwanaume mwenye mvuto? mi namuona wa kawaida sana yani

    • @bimkubwaali1605
      @bimkubwaali1605 3 роки тому +5

      Nipo kama wewe.yaani huyu dada amejuwa kutudhalilisha.kwa mapenzi yake yakipuuzi katuvuwa nguo sote.ujuwe yule dada mcharuko.vepe unamfwata mwanamme usiemjuwa na una mkomand kama mmeo mxiew mpuuzi nazi

    • @bimkubwaali1605
      @bimkubwaali1605 3 роки тому +6

      Hata angekuwa mwananmme mzuri kama nani siwezi kumpandia basi hiii inaonesha dhahir yule dada anapepo la ngono.

    • @neemakawogo7153
      @neemakawogo7153 3 роки тому +1

      Yaan ni shida jamn kwanza ametuaibisha wanawake

    • @witneyjerry1293
      @witneyjerry1293 3 роки тому +3

      Yaan huyu angekua hana kazi,hata akikusimamisha njian hausimami 🤣

    • @naomimassawe5625
      @naomimassawe5625 3 роки тому

      @@bimkubwaali1605 yanii🙌

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому +2

    Doh hawa matapeli Mungu awaone nani wengi sana

  • @fettyally602
    @fettyally602 3 роки тому +2

    mimi naamini kabisa niwewe ndio umemfanyia unyama yule dada sasa namba yako ameitowa wapi na WhatsApp mlikuwa mnaongea inamaana hakujui wew mtumzima yule bhana

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 3 роки тому

    Msamehe tu....

  • @dadajuma3999
    @dadajuma3999 3 роки тому +1

    Pole sn kaka ni changamoto ya dunia

  • @josephchuwa1206
    @josephchuwa1206 3 роки тому +1

    😀😀😀Subira kapenda jamani😭😭

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 роки тому +1

    Mengine mampepo tuu mungu akusimamie Sana kijana Wana wake wengine bwana

  • @rosekigombola7737
    @rosekigombola7737 3 роки тому

    Goody Tatizo La Mngindo Limekuzalia Faida Kwa Jina La YESU Kristo Aliye Hai..

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 3 роки тому

    Am the #SNS’s Best #MVS, if you disagree with that, comment #SNS’s #MVS on all UA-cam channels you watch....🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺
    #Great interview

  • @lovenessibrahimu6730
    @lovenessibrahimu6730 3 роки тому +2

    Songa Mbeleeee GG Tunaoelewa Ufanyalo Hatutatishwa Na Hizoo Mambo Za Wakorofi

  • @Gaudensia_
    @Gaudensia_ 3 роки тому +1

    Ndugu usijieleze sana Mungu anaujua ukweli atafungua muda ukifika

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 3 роки тому +2

    Hee kumbe Mwalimu Mgindo hakurudi kwao siku ile walivyo onana! Mwalimu anajua kupenda jamani

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +1

    Jamani mie nkijua wanaigiza na vile Mwijaku hakuwa serious kivile kumbe ni habari ya kweli

  • @jubilightkimario6726
    @jubilightkimario6726 3 роки тому +3

    Sasa namba yako aliipata wap? Kama sio kuna namna unatudanganya

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza 3 роки тому +1

    Very Wise

  • @leonemomanyi6848
    @leonemomanyi6848 2 роки тому

    its so ugly. Sorry for all victims including Subira an Goodluck

  • @rosemofuga6313
    @rosemofuga6313 3 роки тому +3

    I trust you kwahyo nlijua hayo ni mapito tu G, you don't have to worry only god can judge you

  • @michaelelisha2241
    @michaelelisha2241 3 роки тому +2

    Kua makini usimtanie mungu wakala wamungu unamuweka ndani binadamu mwenzako kusamehe nijambo zuri sana siamini kama wewe nimutumishi wa mungu

    • @jubilightkimario6726
      @jubilightkimario6726 3 роки тому

      Hahaaaaaa. Mtumishi amemuweka dada wa watu ndani

    • @alexkilumile1689
      @alexkilumile1689 3 роки тому

      Hv umemuelew vzur!?🤔 Au unaandik tu uschokijua🙄🙄

    • @magdalena7223
      @magdalena7223 3 роки тому

      Ssa angepata wap msaada nahy dada hajaokoka polis ndio panamuhusu hy dada hawez ita wachungaj

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 3 роки тому +4

    Wiseman Goodluck

  • @lizybonnickson4584
    @lizybonnickson4584 2 роки тому

    Nakuunganisha ma madhabahu ya mbingu nakutenganisha na madhabahu ya hibilisi

  • @fatumamohamed2229
    @fatumamohamed2229 3 роки тому +1

    Hilo nalo litapita good luck. sio wote watakuelewa.songa mbele.

  • @sirizawa3360
    @sirizawa3360 3 роки тому +2

    Sns mm simuamini gud hata kidogo kunakitu ana ficha nimefatilia ilijambo toka linaanza ila akae akijua mungu aja lala

    • @priscaken4987
      @priscaken4987 3 роки тому +2

      Mungu kweli ajalala alali wala asizii yeye yule yule leo kesho hata milele mungu atasimama

  • @saranasser542
    @saranasser542 3 роки тому +8

    Jamani kuna wadada wana matatizo jamani niaibu

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 роки тому +5

    Jamani had umepeleke porisi

  • @jamesmkuyu4967
    @jamesmkuyu4967 3 роки тому

    Aaah nimekubali nyimbo

  • @daudikiula3595
    @daudikiula3595 3 роки тому +2

    Kingereza kingi kiswahili hujui?

  • @ramahamis5793
    @ramahamis5793 3 роки тому +4

    Wa kwanza jomon naombeni like zenu

  • @OliverKisaki
    @OliverKisaki Рік тому

    Na me nakupenda 😂😂 😂😂😂😂😂😂😂 kweli binadamu kazi awaishiwi maneno jaman loho kaka jaman kupendwa sio matangazo bola ata mgemaliza wote wawili kuliko dunia zima kujuw kiukweli umemuaibisha mwenzako jaman ase kazi kweli

  • @andrewsteven5375
    @andrewsteven5375 3 роки тому +6

    Tujuane tunao fuatilia hii habari

  • @aminamogan6547
    @aminamogan6547 3 роки тому +2

    Kaka simama katika kusudi la Mungu asikutie majaribuni huyo nyoka songa mbele

  • @merrymwakisyala6646
    @merrymwakisyala6646 3 роки тому

    Mtumishi mtoto wa mama jamani mwacheni...wahaya mpooooo watani wangu

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 3 роки тому +2

    Wengine ni mapepo tuu na ulivoongea nimeelewa kuwa binti ametumwa kukuharibu utumishi wako

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 3 роки тому +2

      Tukirudi kiundani utakuta katumwa huyo dada kakukosa kiroho kaamua kuja manyual akunase bora umemuwahi angekudidimiza huyo binti analake

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 3 роки тому

    Point yako ya Upendo nimeielewa sana kaka

  • @spenciozakato1286
    @spenciozakato1286 3 роки тому +1

    Kama alimtapeli,Alipewa nafsi anahitaji kulipwa garama zake ili a chukue hamsa zake ,akakataa anagangania aolewe kwann Sasa,katumwa huyo labda.

  • @caritasmushi461
    @caritasmushi461 2 роки тому

    Goodluck ana msimamo anajua anachofanya

  • @jmytz983
    @jmytz983 3 роки тому +1

    Thanks for forgiveness,imeonyesha kuwa wewe Ni mtumishi kweli

  • @diahemedsalumdia6594
    @diahemedsalumdia6594 3 роки тому +3

    Wapo wengi matapeli wanatumia majina ya wasanii

  • @rehemakalamba5249
    @rehemakalamba5249 3 роки тому

    Watu wengine sijui ni mapepo kaka jipe moyo utashinda majaribu mengine bwana daa

  • @happymerry8675
    @happymerry8675 2 роки тому

    Wasichana bana watu wa ajabu sana hapa ni jina ndio linawasumbua

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 роки тому +1

    Watu woteroho zetu zinapishana maneno tuya achiyemungu

  • @josephndaki8003
    @josephndaki8003 3 роки тому

    Gud nimekuelewa ndo changamoto za ustaa

  • @sekelamwangosi3289
    @sekelamwangosi3289 3 роки тому +6

    Owa mtumishi unachelewa mno 🤣

  • @naomikalinga3042
    @naomikalinga3042 3 роки тому

    Pore mtumishi MUNGU azidi kukulinda yote hayo ni shetani anakupima kaza mwendo kufanya kazi ya MUMGU

  • @hijahsaidy1562
    @hijahsaidy1562 3 роки тому +1

    Hakufanya vizur

  • @erickmother3973
    @erickmother3973 3 роки тому +1

    Siuliowe sasa unasubiria nin? Kujidhalilisha tu huku

  • @butturachel1794
    @butturachel1794 3 роки тому +2

    Hadi gospel mnakiki, nilichogundua mnawatapeli watuu alafu mnajifanya sio nyinyi

  • @sharonke7442
    @sharonke7442 3 роки тому +3

    wee muongo alipata Je number yako na akwa anawasiliana na wewe mpaka video call?

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 роки тому +5

    Goodluck nikikukuta ktk ndombolo nakushtaki kwa malaika mkuu haki tena. Sa uyo mchumbaako kakupataje pataje mie nilijua hauna izo mambo aaah 😌

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 3 роки тому +1

    Wewe ni mtumishi wamtumikia ktk kumsifu MUNGU. ushauri wangu hizo Kiki hazikufai waachie wahusika

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 3 роки тому

      Jamani kiki ikowapi hapo sanasana kakunyooshea kila kitu, Mngindo ndio anatafuta kiki sasa huyu kiki ipi? Huyu anajulikana mpaka kwa mashehe na wapagani

  • @magrethpeter7954
    @magrethpeter7954 3 роки тому +1

    Huo ni uongo mtupu Kama agekuwa taperi agekujuwaje utoporo mtupu huo hakuna lolote mnajifanya watumishi kumbe utoporo

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 3 роки тому

    Mmmmh huyu Dada

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 роки тому +5

    Nampendaga uyu mtangazaj anavyoojigi

  • @donardmsomi8451
    @donardmsomi8451 3 роки тому +2

    Acha uongo, Mwl Subira amesema mlikuwa mnawasiliana na kupigiana simu video call, na sura yako aliiona , sasa sipati picha unavyo sema alikuwa anawasiliana na tapeli, swali langu nikwamba, hata tapeli anaweza kutumia hata sura yako kwa video call kutapeli watu?

    • @teclatecla1245
      @teclatecla1245 3 роки тому

      naona kama kuna utata hivi ,mungu ndie anaemjua

    • @kennykennedy1394
      @kennykennedy1394 3 роки тому

      kwani ni watu wangapi wanatapeliwa huko kwenye mitandao

    • @victorialucasmosha1973
      @victorialucasmosha1973 3 роки тому

      Sikiliza vizuri utaelewa maana anasema hata smart phone huyu dada hana wala hana account ya insta,wala haelewi maana ya DM

    • @magdalena7223
      @magdalena7223 3 роки тому

      Aaawap subra mwenyw ht smat hana anakiswaswadu hy vdeo call wap nawap

  • @alajmialajm8794
    @alajmialajm8794 3 роки тому +1

    Hata mm nilijua ww ni tapel na nilishangaa sana...asante kwa kusema ukweli

    • @agneskighenda3795
      @agneskighenda3795 3 роки тому

      Hata mimi kwa kweli!

    • @sayunyonah4614
      @sayunyonah4614 3 роки тому

      Niliambiwa nitume pesa ya mafuta, mbona nlimtoa hadhi huyu kaka!! Kumbe matapel

  • @adambakule7066
    @adambakule7066 3 роки тому +5

    Huyu anatumia kivuli cha dini kujipatia kipato. Anaimba bongo flover

    • @Mazoea
      @Mazoea 3 роки тому +1

      Very true..alafu kucheza kwakwe kukata mauno hana tofauti na diamond

    • @KasB254
      @KasB254 3 роки тому +2

      @@Mazoea kama atakata mauno kwa ajili ya YESU..basi inakubalika,. Daudi alipinda mgongo akakata miuno Hadi Nguo zake zkamwagika....+254

    • @floridajonhmatata4365
      @floridajonhmatata4365 3 роки тому +1

      @@KasB254 vizuri

    • @teclatecla1245
      @teclatecla1245 3 роки тому

      mmmh

    • @editherkigabo9541
      @editherkigabo9541 3 роки тому

      Sikupingi

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 роки тому +1

    Wakenya tunakupenda bro keepup.

  • @masabasaid6118
    @masabasaid6118 3 роки тому +5

    Wangindo bhana🤣🤣😂😂😂🤸🤸🤸🤸🤣😂😂

    • @hijahsaidy1562
      @hijahsaidy1562 3 роки тому

      Mapenzi mpaka upelekwe polisi

    • @neemaebenezer5836
      @neemaebenezer5836 3 роки тому

      Songa mbele Gdlk. Mungu Pekee ndio anayeujua Moyo wako. Mapito yapo tuu hata kama hutaki. Dhahabu ili ing'ae lazima ipite kwenye Moto.

  • @officiallymercymargaret3259
    @officiallymercymargaret3259 3 роки тому

    Watching 👀 from 🇳🇦 🇳🇦 🇳🇦 🇳🇦 🇳🇦 🇳🇦 🇳🇦

  • @stokeraustinkumwendawanadi6948
    @stokeraustinkumwendawanadi6948 3 роки тому +1

    Try to use English as well #Malawi

  • @matelinimndanga1136
    @matelinimndanga1136 3 роки тому +3

    Nampendaga huyu kaka jamani

  • @credo7837
    @credo7837 3 роки тому +1

    Amekaa kiutumishii kabisaa

  • @zamdachiguru2054
    @zamdachiguru2054 3 роки тому +1

    Matapeli mtandaoni wapo wengine hutumia majina ya viongoz kutapel watu,kuna dada pia aliliwa na mtu aliyejifanya harmonize, wadada hebu tulieni

    • @florakibona8042
      @florakibona8042 3 роки тому

      Kweli kabisa

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 роки тому +1

      Tatzo mnahangaika sana kupenda mastaa utafikiri na nyie mna hadhi hiyo. Mnaatuacha sisi ambao ndio type yenu. Washenz sana nyie mademu!

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 3 роки тому +1

      @@rumdeesonsoa1811 hahahahaha duuu

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 роки тому

      @@salmaalimusa547 mambo