Bwana wa Vita - Eli Sanga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Kila Vita kwenye maisha yako ni nafasi ya kumuona MUNGU akikupigania; hivyo imani yetu kwa MUNGU inaimarishwa hata katika Vita. 'Roho wa Mungu'
    Every battle you experience in life, is the opportunity of seeing God fight for you, thus our faith is strengthened in Battle. 'The Spirit of God'

КОМЕНТАРІ • 167

  • @Upendo.945
    @Upendo.945 Рік тому +7

    I can't get enough of this song🙏😭😭 MUNGU azidi kukutumia kwaajili ya utukufu wa jina lake 🙌🙌

  • @TheLiftersMusicGroup
    @TheLiftersMusicGroup Місяць тому +1

    Am still been blessed by this annointed song. July 27, 2024❤❤❤..more Grace to you Bro

  • @shukranikyando2128
    @shukranikyando2128 2 місяці тому

    Kuhani ABBA akulinde wewe ur uncle zakaria,karib,moses,md vanessa,md caro,md desh GOD to grant u more❤❤❤❤❤❤❤

  • @adeadominic6997
    @adeadominic6997 4 роки тому +24

    Wimbo mzuri sana... Am blessed 🙏🙏 wapi likes za kenya

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 4 місяці тому

    Amina, Yesu ni kamanda ushindi ni lazima,, ,,,maadui zangu ni maadui zako

  • @isabelmazik4153
    @isabelmazik4153 Рік тому +2

    Hakika yeye ni BWANA wa Vita,GOD bless you all 🙏 🙏.

  • @user-hl2kn6si2i
    @user-hl2kn6si2i 11 місяців тому

    Maaduw zangu ni maaduwi zako Bwana, sitahofu chochote, 🙏🙏🙏

  • @jedidiahsayoh9928
    @jedidiahsayoh9928 2 роки тому +4

    Vita ni vyako Bwana. Ushindi ni lazima. Such a powerful song. I am blessed.

  • @nchekumunuo5134
    @nchekumunuo5134 Рік тому +1

    Maadui zangu ni maadui zako ,uuuuu hallelujah am blessed

  • @irenesanga3859
    @irenesanga3859 2 роки тому +1

    Yesu mtetezi wangu ushindi ni lazima. Barikiwa sana mtumishi Mungu sanga

  • @pricemlay
    @pricemlay Рік тому +1

    Wimbo huu umenipa mbawa Mpya na nguvu kuu .

  • @bongomasoko6800
    @bongomasoko6800 2 роки тому +1

    Receive grace holy spirit

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 Рік тому

    Adui zangu ni Adui zako Mungu

  • @godwinelly590
    @godwinelly590 Рік тому

    Huu wimbo lazima huyu mwimbaji alikuwa anapitia vita kubwa na ajui hiyo vita inatokea wap na Mungu alimvusha ndipo wimbo ukaja moyoni mwake

  • @roselynandrew8118
    @roselynandrew8118 2 роки тому +2

    Amazing GOD
    USHINDI NI LAZIMA 🙏🙏🙏

  • @gladnesslyimomosha2380
    @gladnesslyimomosha2380 2 роки тому +1

    Ni kweli kupitia wimbo huu navushwa navuka kwa Jina la Yesu. Ni bwana wa vita Mtetezi wangu

  • @dorophinadeus9203
    @dorophinadeus9203 Рік тому

    Ooh asantee Yesu kwa mtumishi wako huyu mbariki

  • @sumamwaijele
    @sumamwaijele Рік тому

    Naihitaji wimbo wa ee rafiki mwema naupataje

  • @user-xp9mn2xw7k
    @user-xp9mn2xw7k 9 місяців тому

    Wimbo wa kutufungulia siku barikiweni mno

  • @neemasusan4063
    @neemasusan4063 3 роки тому +5

    Aminaaa Maadui zangu ni maadui zako Yesu.....BWANA WA VITA MTETEZI WA VITA

  • @mosesjonaslaizer1949
    @mosesjonaslaizer1949 Рік тому

    Mungu awatunze Sana barikiwa na wimbo mzuri

  • @theresiandasuya1849
    @theresiandasuya1849 3 роки тому +1

    Waoooo wimbo mzuri sana, umenibariki mno hongeren sana sana waimbaji Mungu awabariki, nimeutafuta sana huu wimbo jamani

  • @edinahmaganga3528
    @edinahmaganga3528 2 роки тому +1

    Wimbo mzuri sana Hongera mtumishi 🙏🙏

  • @gracerevocatus9857
    @gracerevocatus9857 3 роки тому

    Kabisakabisa yeye ni bwana wa vita

  • @ndalawasimon7842
    @ndalawasimon7842 4 роки тому +2

    Amen,Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi huyu asante kwa wimbo wa faraja ya mioyo yetu Mungu akubariki Mtumishi

  • @anneabayo3116
    @anneabayo3116 Рік тому

    Bwana wangu wa vita. Nakupenda.

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 4 роки тому +3

    Yesu ni nuru yangu kamanda wa vita be blessed

  • @uswegemwakajinga4218
    @uswegemwakajinga4218 2 роки тому

    Hakika ni bwana wa vita

  • @immajustin1780
    @immajustin1780 2 роки тому

    It is a nice song , nimebarikiwa asante.

  • @bongomasoko6800
    @bongomasoko6800 2 роки тому +1

    Ameen mtume maana yupo MUNGU ushindi ni lazima gongo & fimbo yipo mbele yangu yani zunguka sitamuhufo yeyote kwasababu ninamungu wangu anayenizuka mm sitashindwa hate maadui zangu gawatanishinda kwasababu mungu ni kombora langu jemadari wangu bwana wa vita

  • @witnesskira29
    @witnesskira29 3 роки тому +1

    Naupenda sana huu wimbo barikiwa mtumishi

  • @elvinmaro4662
    @elvinmaro4662 Рік тому +1

    Wow!!☺☺☺☺☺😢😢😢😢😢

  • @wilfredlaizer2965
    @wilfredlaizer2965 3 роки тому +1

    Tena ni kamanda ushindi nilzana🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️💓❤️

  • @marionwanjiku4226
    @marionwanjiku4226 3 роки тому +2

    Holy spirit directed me here

  • @safinasimfukwe4305
    @safinasimfukwe4305 2 роки тому +1

    Hallelujah! Barikiwa watumishi

  • @ndossytumaini85
    @ndossytumaini85 3 роки тому +1

    Mungu akubariki mtumishi , wimbo huu unanigusa sana

  • @teddytesha9075
    @teddytesha9075 Рік тому

    I like this song 😘

  • @lilianchuma215
    @lilianchuma215 4 роки тому +2

    Ubarikiwe sana mwanangu nilikuwa nausubiri kwa hamu kubwa😍

  • @user-fh1ow4xo6s
    @user-fh1ow4xo6s Рік тому

    Asante wimbo mzuri sana

  • @mamamosha844
    @mamamosha844 2 роки тому +1

    RUACH KODESH bless you bro Eli ♥️🙏

  • @mercypaulofficial9256
    @mercypaulofficial9256 2 роки тому +3

    Wooow awesome may the Lord bless you 🙏❤I love you worship am also a gospel minister and can tell there is more in this

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 2 роки тому

    Mungu akubarik8 mtumishi

  • @afualusigi923
    @afualusigi923 2 роки тому

    Bwana wa vita!barikiwa mno

  • @nawabustanley5232
    @nawabustanley5232 3 роки тому +1

    Wimbo mzuri Sana. Barikiwa Mtusmishi wa Mungu. Wimbo unafariji sana

  • @mdk7976
    @mdk7976 Рік тому

    Very touching. I bacame emotional

  • @johnriwa2854
    @johnriwa2854 2 роки тому +1

    Very touching song deep kweli Mungu ana kutumia husali na huu wimbo

  • @mdk7976
    @mdk7976 Рік тому

    Halelujah Yesu. Beautiful

  • @yezaniahmotte282
    @yezaniahmotte282 3 роки тому +1

    Nabarikiwa sana na uimbaji wako..mungu akupe kibali zaidi mbele yake cha kumtumikia

  • @Blessed_Ann
    @Blessed_Ann 3 роки тому +3

    Maana yupo Mungu atuteteyae tena ni kamanda ushindi ni lazima! Pokea machozi yangu Jemedari wa vita vyangu
    🙌🙌 This is powerful

  • @naomimwandibwa3182
    @naomimwandibwa3182 2 роки тому

    Nimejikuta nauimba sana huu wimbo leo...BARIKIWA MTUMISHI ELI

  • @robsonamos7391
    @robsonamos7391 4 роки тому +1

    Hongera wimbo mzur na una bariki

  • @ballackntaliho2597
    @ballackntaliho2597 Рік тому +1

    Wimbo mzuri sana mbalikiwe watumishi.

  • @josephmagiri4552
    @josephmagiri4552 3 роки тому +3

    blessing.... i really love this team and your songs too... may God bless you and keep the spirit high in you

  • @liliantitus7067
    @liliantitus7067 3 роки тому

    Aminaaaa Aminaaaa

  • @tegemeareuben7618
    @tegemeareuben7618 2 роки тому +2

    Haki this minister is immeasurably blessed ALL GLORY TO GOD

  • @kyaruzifred7562
    @kyaruzifred7562 4 роки тому +4

    BWANA wa Vita....
    Kazi nzuri sana,ujumbe mzuri sana,vyombo vimetulia..good sound 👏👏

  • @mamamosha844
    @mamamosha844 2 роки тому +1

    Nice

  • @naphtalijacob3810
    @naphtalijacob3810 4 роки тому +1

    Naishiwa cha kusema kabisa Brother, Worship hii inanifanya nibubujike

  • @lucymapunda4653
    @lucymapunda4653 2 роки тому +1

    Very powerful ...Am surrounded by his power i will never fail.

  • @felixmasabile6009
    @felixmasabile6009 4 роки тому +1

    Hallelujah, wimbo mzuri sana, ambao unaujumbe mzr sana

  • @eluljacob7242
    @eluljacob7242 4 роки тому +2

    'Maaadui zangu ni maadui zako' 👏👏👏👏

  • @innocentnnko2292
    @innocentnnko2292 3 роки тому +1

    Hakika ni Bwana wa Vita!

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 2 роки тому

    Mpigaji wa trumpet ni hatari mara nyingi napenda kusikiliza hiyo trumpet

  • @meriamsekei4054
    @meriamsekei4054 4 роки тому

    Maadui zangu ni maadui zako Yesu kabla ya kufika kwangu wapitie kwako🙏🙏🙏🙏

  • @teklamalemba5141
    @teklamalemba5141 3 роки тому

    Huu ni wimbo wangu wakumlilia Mungu wakati wa majaribu ... unanipa nguvu isiyo ya kawaida

  • @annethmndeme6496
    @annethmndeme6496 3 роки тому

    Kweli ni bwana wa vita ,mungu wangu azidi kukuinua ktk huduma yako nzuri

  • @martinchambai5460
    @martinchambai5460 2 роки тому

    Hongereni sana kwa kazi nzuri. Hongera kwa wote mliohusika kuandaa na kufanikisha wimbo huu. Mungu azidi kuibariki huduma yenu.

  • @winfridaphilbert6511
    @winfridaphilbert6511 Рік тому

    Nice song

  • @josephjacob589
    @josephjacob589 4 роки тому +1

    Halleluyaaahhh this sasa mbona is my favourite Sanga

  • @florencekabado8931
    @florencekabado8931 3 роки тому

    Yesu ni kamanda wa Vita,ushindi ni laxima

  • @ndoabora1917
    @ndoabora1917 2 роки тому +4

    A song from the th rone room,my husband and I , incorporating it in our morning prayers.Its lifting.This is indeed a pure call.Powerful.

  • @njaukate1627
    @njaukate1627 3 роки тому +2

    Maadui zangu ni maadui zako, kabla yakufika kwangu watangulie kwako🙌🔥

  • @kevinkaranja7099
    @kevinkaranja7099 3 роки тому +2

    Nimekujua leo, thank you Lord for Eli, May you keep him and lift him in Jesus name. Upendo mwingi toka Kenya.

  • @vivianchawe7561
    @vivianchawe7561 2 роки тому

    Yesu nii nuru yangu

  • @bucheetv9124
    @bucheetv9124 4 роки тому +3

    The trumpet, the melody, vocals everything on standard. ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 4 роки тому

    Jamani nampenda sana huyo mdada alonyoa nywele ameimba wimbo wa joel lwaga pia alicheza nitajitahid nami nimahirikishe sijui nitawapataje watumishi wa Mungu

  • @TheLiftersMusicGroup
    @TheLiftersMusicGroup 2 роки тому +1

    Amen..God is a Mighty Warrior 🙏🙏🙏❤❤❤

  • @malimamagosho9372
    @malimamagosho9372 3 роки тому +1

    saaaaaaafi sana

  • @spenciozakato1286
    @spenciozakato1286 3 роки тому +1

    Hongera ,na Asante umetokea kunibariki Sana huu wimbo,nimeangaika kufaham muuimbaji Zaid ya mie 3,nimekupata❤️

  • @sarafinagerald7989
    @sarafinagerald7989 3 роки тому

    Sitahofu giza lapita Yesu ni nuru yangu. Mbarikiwe

  • @neemakaikiti3144
    @neemakaikiti3144 2 роки тому

    Kai Kiti

  • @TheLiftersMusicGroup
    @TheLiftersMusicGroup 2 роки тому +2

    Indeed He's the Lord who fights our battles n gives us Victory🙏🙏🙏❤❤❤Amen

  • @gwakisamwakajajo4021
    @gwakisamwakajajo4021 4 роки тому +2

    Gud music, b blssd man

    • @janethsura3711
      @janethsura3711 3 роки тому

      Bwana wa Vita ni wewe Bwana Yesu Maadui zangu watangulie kwako.wewe ndiye uniteteae.

  • @hidayasanga1571
    @hidayasanga1571 3 роки тому +1

    Prophetic words! Powerful! Congratulations mwa Sanga!

  • @emmanuelchatawe9929
    @emmanuelchatawe9929 4 роки тому +4

    Powerful powerful powerful. Go go go son. May the Lord bless you. What a wonderful ministry. Wow wow wow. Thank you Jesus Christ our Lord and saviour.

  • @betsykinya4709
    @betsykinya4709 2 роки тому

    Awesome.

  • @stewartmlanga1263
    @stewartmlanga1263 4 роки тому +5

    Hi Elli. This is a great calling. Your dream will definitely be achieved. Keep focus andon truck. Be blessed son.

  • @eufrasiandaskoi2657
    @eufrasiandaskoi2657 2 роки тому

    Amen

  • @dianajohn8520
    @dianajohn8520 3 роки тому

    Amina

  • @yacinthakyebwe6720
    @yacinthakyebwe6720 4 роки тому

    Huu Wimbo Niliiupenda kabla hujautoa rasmi broo,. Hongera sana

  • @Wakio231
    @Wakio231 3 роки тому +2

    Powerful song! Much love from Kenya 🇰🇪

  • @BenjaminMassawe
    @BenjaminMassawe 4 роки тому +3

    Bwana wa Vita....💪🏾
    Good Work brother 🙏🏽

    • @ikundaswai7770
      @ikundaswai7770 3 роки тому

      I am in Fountain of joy bro one of your younger sister in class 4 Yellow Careen Rodgers Samaly you dod the right thing Bro Eli I love your song brother

    • @ikundaswai7770
      @ikundaswai7770 3 роки тому

      Correction did

  • @nailamakeup1210
    @nailamakeup1210 3 роки тому

    This a very powerful song...May God continue to use you for his glory..Thank you Jesus

  • @madamemariam8637
    @madamemariam8637 3 роки тому +1

    Blessed byGod

  • @tanzanianchef8647
    @tanzanianchef8647 4 роки тому +1

    I subscribe this channel am happy brother the way unamtumikia Mungu na rafiki yangu nice Mungu awabariki sana nafurahi sana

  • @prospermosha2124
    @prospermosha2124 4 роки тому

    Emeni Eimeni barikwa Sana kwa wimbo huu

  • @davisruiru8345
    @davisruiru8345 2 роки тому

    A wonderful song , the lord is my commander i will not fear.

  • @florencenjeri1698
    @florencenjeri1698 3 роки тому

    Bwana wa vita.. Tumpiganie na ututetee

  • @aleglory99
    @aleglory99 3 роки тому

    🙏Hakika atutoogopa yy ni Bwana wa Vita

  • @raphakalamba3453
    @raphakalamba3453 4 роки тому

    Bless the name of Jesus Christ powerful song