ELI SANGA - KWA HURUMA NIKUBALI ft Gwamaka Mwakalinga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • PROJECT MINISTRATION:
    Karibu katika ushiriki wa Ibada ya 'Kwa Huruma Nikubali' (Kutoka kitabu cha TUMWABUDU MUNGU WETU), nyimbo namba 298.
    Kujisalimisha kwetu katika MUNGU, hakuhitaji ukamilifu wa matendo (maana hata walio waovu hujikamilisha katika hayo); bali BWANA yu katika kutafuta MIOYO ya wale waliomkubali kwa vile walivyo na kumuamini katika njia zao zote. - 'Kwa Huruma Nikubali' ni maombi ya kutuweka mimi ni wewe katika nafasi hiyo, ili ROHO MTAKATIFU atufanye kumfanania KRISTO katika mambo yote.
    PROJECT DETAILS:
    Live recorded at: Fountain of Joy Schools Mbezi Luis, Dar es Salaam.
    Audio captured by: Mbepela Daniel
    Music Arrangement: Winners Voice
    Mixed/Mastered by: Sam Mboya
    Video Edited by: Syber Pic
    Video Directed by: Syber Pic
    Music Directed by: Jaques Muhindo

КОМЕНТАРІ • 109

  • @pricemlay
    @pricemlay Рік тому +5

    Nitakwenda njia zangu nikikutumaini unishike nisiweze kukuacha daima.Natafuta Raha Bwana nitaona kwako tuu Nibariki unilinde niliye mtoto wako 😭😭😭😭

  • @sweetyalexlema9903
    @sweetyalexlema9903 Рік тому +4

    Natafuta raha bwana nitaona kwako tu nibariki unilinde Yesu wangu mimi mtoto wako

  • @HarounMalekela
    @HarounMalekela 21 день тому

    Barikiwa xaaana watumishi wa mungu wimbo unanfarij xaaana xaaana 🎉

  • @upendodavid2410
    @upendodavid2410 Рік тому +4

    Nawakubari saana Mungu azidi kuwatumia na kuwainua viwango mpaka viwango

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 2 роки тому +4

    Nimebarikiwa sana Mungu awabari sana sana watumishi wa Mungu🙏🙏🙏🙏❤️

  • @elizabethmachio6499
    @elizabethmachio6499 2 роки тому +4

    Kwa huruma nikubali wow so powerful 🔥🔥🔥🔥 much love from Kenya

  • @bongomasoko6800
    @bongomasoko6800 2 роки тому +3

    Nice nipe nuru ya roho mtakatifu nibariki unilinde mm ni mtoto wako.amen

  • @Victor-xo2lg
    @Victor-xo2lg 2 роки тому +3

    Kwake yesu kuna upendo wa Agape Upendo ambao hauwezi vunjika

  • @lmchumbi
    @lmchumbi 2 роки тому +2

    Raha nitaona kwako tu...
    Nipe nuru ya Roho...
    Nimekupa moyo wangu...
    Thank you Minister Eli for blessing us with another powerful song
    🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @kaylasheshe7849
    @kaylasheshe7849 Рік тому +3

    What a very nice and a blessing song😇 jamani mbarikiwe sana kwa kufanya kazi ya Bwana

  • @elizabethraphael5494
    @elizabethraphael5494 3 місяці тому +2

    wimbo unaonibariki sana

  • @shukranikyando2128
    @shukranikyando2128 2 місяці тому +1

    MUNGU awakubali hata nyakati za changamoto zenu either weak,tired❤❤

  • @marthalangia
    @marthalangia 7 місяців тому +1

    Natafura hara Bwana 2024 nimechoshwa na tabu za 2023

  • @leticiawillnthon9312
    @leticiawillnthon9312 2 роки тому +3

    Naupenda Sana huu wimbo. MUNGU aendelee kuwabariki zaid🙏

  • @vailethnicolaus6813
    @vailethnicolaus6813 Рік тому +1

    Nikiona giza tupu nipe nuru ya roho Bwana wangu, niongoze kwenye kweli

  • @mellissaking9762
    @mellissaking9762 4 місяці тому +2

    Am blessed 🙏🏾

  • @lightnesssawe2918
    @lightnesssawe2918 2 роки тому +1

    Hallelujah.
    ......
    Yesu nishike nisiweze kukuacha.
    .......
    Hakika wimbo umekuwa baraka sana kwangu,
    Mungu awabariki sana kwa Utumishi wenu.

  • @vailethnicolaus6813
    @vailethnicolaus6813 Рік тому +1

    Ninakupa moyo wangu, ntaishi na wewe, mpaka macho yangu yawezapo kuona uso wako Bwana wangu.

  • @emmybenny3368
    @emmybenny3368 2 роки тому +2

    Certified Hymn 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽😭on repeat mode

  • @ayubumhavila5014
    @ayubumhavila5014 2 роки тому +1

    Mnanibariki kwakweli nyimbozeni nisalayangu kilasiku nisiposikiliza,na naonakunakitu nimepungukiwa.hasa ulewa maombiyetu.na umefanya mengibwana by gwamaka💖mungu andelee kuwatunza damunimwake mka timize kusudi lake

  • @JacklineMlay-jn3ti
    @JacklineMlay-jn3ti 2 місяці тому +1

    Unanibariki sana huu wimbo ❤❤

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 2 роки тому +2

    So powerful with melodious voice. Mbarikiwe sana wana wa MUNGU

  • @jasinthakalemera9505
    @jasinthakalemera9505 2 роки тому +2

    Ameeeen.be blessed abundantly handsome brothers in christ

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 2 роки тому +2

    Kazi yenu ni njema sanaa watu wa Mungu blessed much🙌📯🎼🎻

  • @johnmwanawaasafu8573
    @johnmwanawaasafu8573 2 роки тому +1

    Wimbo umejaa mafuta
    Barikiwa mnoo
    "Nikiona giza tupu nipe nuru ya roho
    Niongoze kwenye Giza mwenye kweli na nuru"
    Natafuta raha bwana nitaona kwako tu
    Nibariki unilinde niliye mtoto wako

  • @dieumesyaghuswa8888
    @dieumesyaghuswa8888 2 роки тому +1

    Nikiona wakubwa zangu na dada angu dorcas akimutukuza bwana mungu apewe sifa

  • @munirakabullu1049
    @munirakabullu1049 11 місяців тому +1

    Yesu nikubali mimi mtoto wako japokuwa nimefanya makosa mengi na mabaya

  • @vanessasalema6087
    @vanessasalema6087 2 роки тому +3

    Amen..... Amennnn

  • @kiarawhzzy432
    @kiarawhzzy432 2 роки тому +4

    May the spirit keep guiding u brother

  • @nelumwakasege5155
    @nelumwakasege5155 2 роки тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥 Mungu awabariki watumishi

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 4 місяці тому +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana ❤❤🎉

  • @BernadettaThomas
    @BernadettaThomas 3 місяці тому +1

    Congrats for ur marriage🎉🎉🎉 its me brightness

  • @quintavitalis926
    @quintavitalis926 2 роки тому +1

    kwa huruma nikubali nilivo Ee Mungu ♥ , nyimbo zangu zanifanya kuabudu kila mda , God bless you

  • @joelomondi8086
    @joelomondi8086 Місяць тому +2

  • @user-dq3op3gs2d
    @user-dq3op3gs2d 3 місяці тому +1

    Yesu nikubali nilivyo

  • @josephsamuel7088
    @josephsamuel7088 Рік тому +2

    Mbarikiwe sana watumishi

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 2 роки тому +1

    Hakika Mungu tukubali tu Jinsi tulivyo. Sisi ni wakosaji.

  • @jacklinemacha2018
    @jacklinemacha2018 2 роки тому +1

    Yesu wangu kwa huruma yako ukanikubali🙏🙏

  • @amenannamunuo1974
    @amenannamunuo1974 Рік тому +2

    Be more blessed jmn natamani kujiunga nanyi ktk uimbaji.😂

  • @beatricemtely2735
    @beatricemtely2735 2 роки тому +2

    Amen🙏 nikubali kwa huruma zako Bwana🙌🔥🔥🔥🔥 mbarikiwe Sana

  • @conniesande1599
    @conniesande1599 Рік тому +2

    I'm loving this collaboration you guys are blessing me🙏🙏🙏

  • @leonardrobert2688
    @leonardrobert2688 2 роки тому +1

    Hallelujah,,Nikubali Bwana jinsi nilivyo

  • @vainesmwacharo6484
    @vainesmwacharo6484 2 роки тому +1

    My brother Eli Sanga you blessed, your music is powerful. God bless dear. From kenya

  • @virginiamwabena8776
    @virginiamwabena8776 2 роки тому +1

    Hi, wimbo uko moto umejaa upako Mungu atukuzwe daima

  • @evamghase6026
    @evamghase6026 2 роки тому +4

    Ubarikiwe sana kaka

    • @sainoisironga606
      @sainoisironga606 2 роки тому +1

      Hallelujah narejeshewa nguvu za roho mtakatifu ninapowasikiliza

    • @emmanuelsimon8008
      @emmanuelsimon8008 Рік тому

      Amen..... am blessed to listening and sing the song.

    • @dianaeliona2841
      @dianaeliona2841 Рік тому

      Nmebarikiwa kupitiliza hongeren sana sana watoto wa Mungu

  • @gracembwiga4917
    @gracembwiga4917 2 роки тому +1

    Amen....huu wimbo umenigusa sana🙌

  • @linnahsamson8475
    @linnahsamson8475 2 роки тому +1

    Shukran kaka eli by ray

  • @annethmndeme6496
    @annethmndeme6496 2 роки тому +1

    Mungu aendelee kukumbatia ktk mbawa zake

  • @pamelankya8713
    @pamelankya8713 Рік тому +1

    Holy spirit in you makes us to be blessed with the song❤Ameeeeen

  • @mamawawili5529
    @mamawawili5529 2 роки тому +1

    Amen,Mungu azidi kuwabariki watumishi,

  • @andymusicclassamc5304
    @andymusicclassamc5304 2 роки тому +1

    Mbarikiwe sana watumishi mnatubariki kwa huduma yenu

  • @mabtz7296
    @mabtz7296 2 роки тому +1

    Hongerasana mwanangu Mungu akuzidishie

  • @neemawilliam3745
    @neemawilliam3745 Рік тому +2

    What a blessing song 😭🙌🙌🙌

  • @loycemachongo4107
    @loycemachongo4107 2 роки тому +1

    Ameen!! very nice and perfect piece of psalm

  • @vailethnicolaus6813
    @vailethnicolaus6813 Рік тому +1

    Nitakwenda njia zangu nikikutumaini, unishike nisiweze kukuacha daima Yesu wangu mzuri.
    Nimebarikiwa sana na nyimbo hii, Bwana awainue zaidi.

  • @dieumesyaghuswa8888
    @dieumesyaghuswa8888 2 роки тому +1

    Waooouuh napenda uduma sana

  • @luckykyando1157
    @luckykyando1157 2 роки тому +1

    Mungu aendelee kuwabariki

  • @uswegemwakajinga4218
    @uswegemwakajinga4218 2 роки тому +3

    Amen

  • @giftluyana1390
    @giftluyana1390 2 місяці тому +1

    Hakika. Ni. Rahaaa.

  • @lutfialimo1556
    @lutfialimo1556 2 роки тому +1

    Asante yesu, umenibariki sana, tr musa this is someones phone

  • @mariakelly1046
    @mariakelly1046 2 роки тому +1

    Mbarikiwe watumishi

  • @barakakamugisha8182
    @barakakamugisha8182 2 роки тому +1

    Hallelujah 🙌 Mungu awabariki sana back vocals

  • @barikimashusha5658
    @barikimashusha5658 Рік тому +1

    Kwa huruma nikubali

  • @agnessshahanga8738
    @agnessshahanga8738 2 роки тому +1

    Glory to God 🙏

  • @kissahrisha6730
    @kissahrisha6730 2 роки тому +1

    Zidi kubarikiwa Mwanangu

  • @esthermartin9939
    @esthermartin9939 2 роки тому +1

    Nikubali yesu

  • @josevumilia726
    @josevumilia726 2 роки тому +1

    Amen Amen soit bénie serviteur de Dieu 🙏 🙌

  • @hipolitemjungu6935
    @hipolitemjungu6935 2 роки тому +2

    Powerful

  • @joycentitu7547
    @joycentitu7547 2 роки тому +1

    Blessings blessings 🙌🙌

  • @mbokastivin5443
    @mbokastivin5443 6 місяців тому +1

    Jamani mmeimba sana daaa

  • @irenesation9646
    @irenesation9646 Рік тому +2

    Eli Sanga hii ni 🔥

  • @othnielepiphanus9830
    @othnielepiphanus9830 2 роки тому +1

    To God be the glory

  • @mamasmartcollection7063
    @mamasmartcollection7063 Рік тому

    Ubarikiwe mpaka ushangae mtumishi wa Mungu ❤❤🙏🙏

  • @zachariamlima4931
    @zachariamlima4931 2 роки тому +1

    Hallelujah 🙌🙌

  • @saintpetertv4905
    @saintpetertv4905 Рік тому

    More blessings to you people , from mwanza rock City

  • @joycemaige6838
    @joycemaige6838 2 роки тому +1

    Mubarikiwe sana

  • @siahfrancis7082
    @siahfrancis7082 2 роки тому +1

    Amen Amen

  • @bongomasoko6800
    @bongomasoko6800 Рік тому +1

    💕💕 nice

  • @biteselekomu3843
    @biteselekomu3843 2 роки тому +1

    Ameeen 🙏

  • @priscashoo4513
    @priscashoo4513 2 роки тому +1

    Hallelujah

  • @mutaicaleb2025
    @mutaicaleb2025 2 роки тому +1

    Wonderful 🙏🙏

  • @kaylasheshe7849
    @kaylasheshe7849 Рік тому +1

    Kwa huruma nikubali jinsi nilivyo🙏 Be blessed pple of God

  • @lauwrencemilole4148
    @lauwrencemilole4148 Рік тому +4

    Hii nyimbo mbna haipo audio Mack jamani

  • @jacklinemacha2018
    @jacklinemacha2018 Рік тому

    Huu wimbo unanibariki sana

  • @salomehaonga3455
    @salomehaonga3455 Рік тому

    Neema ya Mungu yatosha

  • @chiticollemans
    @chiticollemans 2 роки тому +1

    Wooow!

  • @dfficialkijazi2845
    @dfficialkijazi2845 9 місяців тому +1

    Amen😮😢

  • @user-du7xu2so2c
    @user-du7xu2so2c 9 місяців тому +1

    Sawa it me your student

  • @user-bg8en4qc3d
    @user-bg8en4qc3d 3 місяці тому +1

    Aaamen

  • @jastinasifiwe4877
    @jastinasifiwe4877 2 роки тому +1

    🙌🙌

  • @annewambua8561
    @annewambua8561 2 роки тому +1

    🔥 🔥 🔥 🔥

  • @user-ny3pw2rn5h
    @user-ny3pw2rn5h 5 місяців тому +1

    Natafuta raha Bwana ntaona Kwako tu 🙌🙌🙌🥲🥲

  • @happydaniel2062
    @happydaniel2062 2 роки тому

    Powerfully

  • @lauwrencemilole4148
    @lauwrencemilole4148 Рік тому +2

    Hiii nyimbo mbna haipo audio Mack jamani msaada

  • @theeproverbs31babe82
    @theeproverbs31babe82 2 роки тому +1

    🎶🎶🎶🎶🔥🇰🇪🇰🇪

  • @TulamvonaMtulo-mu8xp
    @TulamvonaMtulo-mu8xp 6 місяців тому +1

    Uwu wimbo mbona tukidanload audio unagoma

  • @samwelieliatosha3814
    @samwelieliatosha3814 Рік тому

    😂

  • @anetboaz8783
    @anetboaz8783 2 роки тому +1

    Hallelujah

  • @sarikokiagape7685
    @sarikokiagape7685 2 місяці тому +1