Eli Sanga
Eli Sanga
  • 6
  • 1 225 944
ELI SANGA - KWA HURUMA NIKUBALI ft Gwamaka Mwakalinga
PROJECT MINISTRATION:
Karibu katika ushiriki wa Ibada ya 'Kwa Huruma Nikubali' (Kutoka kitabu cha TUMWABUDU MUNGU WETU), nyimbo namba 298.
Kujisalimisha kwetu katika MUNGU, hakuhitaji ukamilifu wa matendo (maana hata walio waovu hujikamilisha katika hayo); bali BWANA yu katika kutafuta MIOYO ya wale waliomkubali kwa vile walivyo na kumuamini katika njia zao zote. - 'Kwa Huruma Nikubali' ni maombi ya kutuweka mimi ni wewe katika nafasi hiyo, ili ROHO MTAKATIFU atufanye kumfanania KRISTO katika mambo yote.
PROJECT DETAILS:
Live recorded at: Fountain of Joy Schools Mbezi Luis, Dar es Salaam.
Audio captured by: Mbepela Daniel
Music Arrangement: Winners Voice
Mixed/Mastered by: Sam Mboya
Video Edited by: Syber Pic
Video Directed by: Syber Pic
Music Directed by: Jaques Muhindo
Переглядів: 128 043

Відео

Eli Sanga - UNIONGOZE (ft Mathias Walichupa) Official Music Video #Ruach
Переглядів 59 тис.2 роки тому
Isaya 30:21 Mkienda kulia au kushoto, mtasikia sauti nyuma yenu ikisema, “Njia ni hii; ifuateni.” Zaburi 32:8 Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; Nitakushauri, jicho langu likikutazama. SPECIAL THANKS: Ministered: Elpraise Ministries Audio: Winners Voice Label Video: Syberpic Lighting: Nyakalo Stage Lights Setting 1: Golden Tulip Setting 2: Fountain of Joy Schools Bass Guitar: @of...
MAOMBI YETU - Eli Sanga (ft Jaques, Flora Kachema & Salome Shillah)
Переглядів 63 тис.3 роки тому
"In the Last days..." Many times has it been written, manifestations of Fears and Terrors of darkness knowing that He (the enemy) has but a little time. Also "In the same last days," it is written in Joel 2:28 and Acts 2:17 that "I will pour out My Spirit on all Flesh." That God kept a Generation in Charge, and gave them HIS OWN SPIRIT. We are that generation, equipped with The Spirit of God to...
Huchoki Kuhurumia- Eli Sanga
Переглядів 533 тис.3 роки тому
Maombolezo 3:22‭-‬23 Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. "Mwisho wa siku, ni kwa Huruma za Mungu tu.." - Huu ni ushuhuda wangu.
Bwana wa Vita - Eli Sanga
Переглядів 240 тис.3 роки тому
Kila Vita kwenye maisha yako ni nafasi ya kumuona MUNGU akikupigania; hivyo imani yetu kwa MUNGU inaimarishwa hata katika Vita. 'Roho wa Mungu' Every battle you experience in life, is the opportunity of seeing God fight for you, thus our faith is strengthened in Battle. 'The Spirit of God'
Eli Sanga Ft Flora Kachema - MUNGU WA KUREJESHA
Переглядів 213 тис.4 роки тому
Ayubu 42:10 'Kisha BWANA akamrejeshea Ayubu ... BWANA naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliyokuwa nayo kwanza." Job 42:10 And The Lord restored Job's losses ... and The Lord gave Job twice as much as he had before.

КОМЕНТАРІ

  • @RoseAdhiambo-s8k
    @RoseAdhiambo-s8k 12 днів тому

    Kwa kweli hachoki kuhurumia❤❤❤

  • @HarounMalekela
    @HarounMalekela 21 день тому

    Barikiwa xaaana watumishi wa mungu wimbo unanfarij xaaana xaaana 🎉

  • @TheLiftersMusicGroup
    @TheLiftersMusicGroup Місяць тому

    Kweli Mungu wetu ni wa huruma, Asante Yesu kwa kunichagua na kutupenda. More Grace to you Min. Eli ❤❤❤❤❤

  • @TheLiftersMusicGroup
    @TheLiftersMusicGroup Місяць тому

    Am still been blessed by this annointed song. July 27, 2024❤❤❤..more Grace to you Bro

  • @isyuisaga6171
    @isyuisaga6171 Місяць тому

    My sisters is Joanna Mazigo l am Jonelle Mazigo

  • @isyuisaga6171
    @isyuisaga6171 Місяць тому

    Eli sanga our school director uniongoze you have done many things at Fountain of Joy

  • @joelomondi8086
    @joelomondi8086 Місяць тому

  • @RosertFelixMyinga
    @RosertFelixMyinga 2 місяці тому

  • @RosertFelixMyinga
    @RosertFelixMyinga 2 місяці тому

  • @Iamwitynes
    @Iamwitynes 2 місяці тому

    ❤️❤️❤️✝️✝️✝️

  • @user-db8ou3tz2b
    @user-db8ou3tz2b 2 місяці тому

    😢kweli vigezo ni kitu kingine jaman asante kaka eli

  • @sarikokiagape7685
    @sarikokiagape7685 2 місяці тому

  • @AtufenaChristian
    @AtufenaChristian 2 місяці тому

    Kwakweli

  • @shukranikyando2128
    @shukranikyando2128 2 місяці тому

    BWANA atusikilize maombi yetu❤❤❤

  • @shukranikyando2128
    @shukranikyando2128 2 місяці тому

    BWANA awaongoze milele❤❤❤❤

  • @shukranikyando2128
    @shukranikyando2128 2 місяці тому

    BWANA awahurumie inside mlivyo❤❤

  • @shukranikyando2128
    @shukranikyando2128 2 місяці тому

    MUNGU awakubali hata nyakati za changamoto zenu either weak,tired❤❤

  • @shukranikyando2128
    @shukranikyando2128 2 місяці тому

    Kuhani urejeshewe❤❤❤

  • @shukranikyando2128
    @shukranikyando2128 2 місяці тому

    Kuhani ABBA akulinde wewe ur uncle zakaria,karib,moses,md vanessa,md caro,md desh GOD to grant u more❤❤❤❤❤❤❤

  • @jacklinetumaini4559
    @jacklinetumaini4559 2 місяці тому

    Am here June 2024

  • @JacklineMlay-jn3ti
    @JacklineMlay-jn3ti 2 місяці тому

    Unanibariki sana huu wimbo ❤❤

  • @user-bg6oj6ug2w
    @user-bg6oj6ug2w 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana umegusa moyo wangu na aendelee kukutumia kwa viwango vikibwa zaidi.

  • @giftluyana1390
    @giftluyana1390 2 місяці тому

    Hakika. Ni. Rahaaa.

  • @colnelmush7955
    @colnelmush7955 2 місяці тому

    This song Is new everyday

  • @Ritah-us6qz
    @Ritah-us6qz 3 місяці тому

    Likes for anyone still listening to this song in 2024.

  • @elizabethraphael5494
    @elizabethraphael5494 3 місяці тому

    wimbo unaonibariki sana

  • @user-dq3op3gs2d
    @user-dq3op3gs2d 3 місяці тому

    Yesu nikubali nilivyo

  • @BernadettaThomas
    @BernadettaThomas 3 місяці тому

    I ❤ this song bro eli from brightness

  • @BernadettaThomas
    @BernadettaThomas 3 місяці тому

    Congrats for ur marriage🎉🎉🎉 its me brightness

  • @Jasmin_Godfrey
    @Jasmin_Godfrey 3 місяці тому

    Who is here 2024, Uniongoze baba

  • @user-bg8en4qc3d
    @user-bg8en4qc3d 3 місяці тому

    Aaamen

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 4 місяці тому

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana ❤❤🎉

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 4 місяці тому

    Kwa vigezo nisingechaguliwa😢😢❤❤

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 4 місяці тому

    Amina, nabarikiwa na wimbo huu sanaaa❤❤❤🎉🎉🎉

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 4 місяці тому

    Amina, Yesu ni kamanda ushindi ni lazima,, ,,,maadui zangu ni maadui zako

  • @sheilachristine2523
    @sheilachristine2523 4 місяці тому

    God is doing something through men🙇‍♀️🙇‍♀️

  • @JosephDhahabu
    @JosephDhahabu 4 місяці тому

    Baba Bwana Yesu Azidi kukupigania.

  • @mellissaking9762
    @mellissaking9762 4 місяці тому

    Am blessed 🙏🏾

  • @legolasgandalf-yo5xw
    @legolasgandalf-yo5xw 5 місяців тому

    Bwana awatunze 🙏🙏🙏🙏

  • @isyuisaga6171
    @isyuisaga6171 5 місяців тому

    Beautiful 😍 🤩 its me joanna mazigo

  • @kenzybrenda1643
    @kenzybrenda1643 5 місяців тому

    Huchoki kunihurumia bwana ..😢😢😢nitaimba sifa Zako siku zote

  • @user-ny3pw2rn5h
    @user-ny3pw2rn5h 5 місяців тому

    Natafuta raha Bwana ntaona Kwako tu 🙌🙌🙌🥲🥲

  • @rehemacheptoo4752
    @rehemacheptoo4752 5 місяців тому

    I'm crying,not because of what I'm going through but because of who you are Lord😭😭😭😭😭😭😭

  • @mbokastivin5443
    @mbokastivin5443 6 місяців тому

    Jamani mmeimba sana daaa

  • @TulamvonaMtulo-mu8xp
    @TulamvonaMtulo-mu8xp 6 місяців тому

    Uwu wimbo mbona tukidanload audio unagoma

  • @HappyPhilipo-ws3jx
    @HappyPhilipo-ws3jx 6 місяців тому

    ❤❤❤

  • @HappyPhilipo-ws3jx
    @HappyPhilipo-ws3jx 6 місяців тому

    God bless you all ❤❤❤

  • @marthalangia
    @marthalangia 7 місяців тому

    Natafura hara Bwana 2024 nimechoshwa na tabu za 2023

  • @user-rx9gx9gj5j
    @user-rx9gx9gj5j 7 місяців тому

    Thank you LORD for your love. Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.

  • @adelinechami4727
    @adelinechami4727 7 місяців тому

    I will never stop thanking bro for you have taught me what and who holy spirit is