Annoint Amani - Twenzetu kwa Yesu (Jibebe 0fficial video )
Вставка
- Опубліковано 28 вер 2024
- #twenzetukwayesu#annointamani#
Twenzetu kwa Yesu,ni wimbo wa injili unaowataka watu wote kukimbilia kwa Yesu maana Yesu anamajibu ya kila swali na ufumbuzi wa kila jambo
👇
Tiktok,Annoint Amani tz,
instagram,Annoint Amani tz,
whatsaApp & Call +255767240181= +255755099942
Dar Es Salaam Tanzania )
😂😂wapi likes za hilo wigi limetangulia kwa yesu😂😂😂
😂😂😂😂
No£á@@RayTVAfrica.
😮😮😮😊😊😊😊😊
Hii macho niya kenya 😂😂😂😂
@@irenemwende2738hujakosea😅😅wakenya tunakuwanga makini mambo mbaya
Ulisikiliza maneno yaliyomo kwenye wimbo huu ni makubwa sana na yanafundisha sana. Hongera kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏
Jooni kwa Yesu heri jina la Yesu❤
mimi naskiza mafundisho ya hii wimbo ni mzuri sana imenielimisha 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Waooh 😮soo nice ...hio dance Wacha to congratulations nice song too...Mungu na arndelee kukufunulia kazi nzuri❤
moto kma pasi ya makaa❤❤❤❤❤❤❤ i like it.
Hapa anointing ulijituma, barikiwa ndugu kwa uchumbe
Kazi mzuri bro mungu akuinue Zaidi ya hapo nyimbo zako zinamafunzo mazuri sana
Kazi Safi producer/ Director Meddy. May good God increase u.
Kwa yesu kuzuri🙏🙏twendeni🙌👍
Waoooo MUNGU azidiz kukuinua said nazaidi jinsi apendavyo yeye
Wewe uko sawa kabisa Mungu amekupa kibali kaka annoint nakupenda sana!!!! Halafu usikue unanyamaza saaana kuwa unatokelezea kila siku bana tunamiss kukuona kila siku
Kwa yesu raha jameni❤🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ameeeeeee 🎉✍️🇨🇩
Kwa kweli mungu hamkinai mtu😢😢😢😢
The energy is on onather level
Nimebarikiwa🎉
Congratulations wapi likes za wakenya na tazania
Wow nimefika uku be blessed 🤲 deer ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Walai hii nayo imeenda, my best artist Anoint Amani, Mungu akulinde uishi Maisha marefu ndugu yangu, huwa nabarikiwa Na nyimbo Zako Sana.💐Be blessed 🙏🙏🙏
Kazi nzuri sanaa ❤❤❤❤
Hongera kaka uko vizur nimependa ❤❤❤
Wee kali sana,unaeda Bali bro
Listening here in gulf. Bila yesu huwezi toboa
Kweli kabisa huko ni salama kabisa barikiwa sana mtimishi
Kaz unaijua kaka
Amen barikiwe sana ❤❤❤❤
Umetisha kaka angu mungu akupemaisha.malefu san❤
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu 🙏
Woow... congratulations it's a swittesst song❤❤
Wow lit 🔥 brother you can do it
KAZI NIYENYEWE KABISA 🎉🎉🎉🎉🎉
kazi nzuri amani pamoja rohoni
Safiiii God with us
My all time artist❤ Annoint Amani
Haleluyaaa ❤️❤️❤️❤️❤️
Kazi nzuri bro congrats
Barikiwa sana bro keep it up
Félicitations mon champion
Nzuriii😂😂😊😊
Amin ubalikiwe sn mpendwa
Much love from Kenya.....1st one to comment please like my comment
Waoow utukufu uende kwa MUNGU hongera sana mtumishi
Twenden twenden nzetu Kwa yesus Aminaaa nice work annoint God bless you
Safi sana barikiwa
Huyo mwanadada mwenye anapiga mbinja have rocked it❤
Hiyo ndiyo Injili.
From Kikuyu Kenya
Mwaka mpya na mambo mweeemweee❤❤❤..... you always inspire my heart Annoit God bless you
Kali sana
Huko ni Kumsaliti Mwokozi Yesu Kwa kweli
listening from kenya annoint you always inspire my heart god bless u man of god
not god but God
thanks for correction 🙏@@Mrsyoung29
Amen 🙏🙏🙏
Very true bro 🎉🎉🎉🎉
Jibebe wapendwa tukale mikati. 🎉🎉🎉
I like this music n dances
Burundi tunakupenda. Twenzetu Kwa Yesu
God bless you my love dad ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ amen amen hallelujah hallelujah 💖💖💖💖❤❤❤
Twendeni kwa yesu Kali zaidi Kenya uko mbele Bali kiki isiwai kupata uko sawa kaka likes zikuje
Annoit u r blsn to many of us here in Kenya ❤❤❤
Wakenya wapi likes
Nice song,b blessed
Hakika mung aendeleee kukuinua nyimbo zako uwa zinabariki sana
Ameeeen
Mungu akubariki baba nyimbo zko nazipenda sanaa
Ameeeeeeeeeeen
listening from kenya thank you so much be blessed
Wow
unajua kaka
🙏 nimebarikiwa
Amazing 🤩 amazing,so powerful
😂😂😂🤣🤣♥️♥️
Kazi nzuri congratulations!!!am PQB MSANII gospel singer from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Nice song, be blessed 🙏
Apana umekopi hii nyimbo sio yako Mzee umeishiwa umefulia Hadi unakopi 😂😂😂pole
Waaa kali sana👌
Ubarikiwe kaka mungu akuinue sana
Barikiwa sana❤❤🎉
Kwelikweli
❤❤Mungu akupe maisha marefu 4:06
Aisee siyo kwa mauno hayo Duuu!!! Viungo kama havina mifupa😅😅
Mungu akubariki kaka Annoint.
Kwa kweli, nilikua siku kazaa nikitafuta iyi ngoma ila kwa sasa nimeipata na bila shaka nimetowa pongezi kubwa ndugu yangu annoint amani
wow nice job kaka God bless
🔥🔥🔥🔥🔥
Wow congrats❤❤❤
Pongezi 🎉
𝑵𝒅𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝒚𝒆𝒔𝒖 𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒓𝒂𝒉𝒂 𝑨𝒎𝒆𝒏❤❤❤❤
😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Let's praise our only God we trust and serve Amen
Pongezi
Amazing pitia uku inbox kuna zawadi yako
😅
😂😂😂❤🎉🇨🇩🇸🇯🙏🤣🙏
Umeihubili vizuli lakini cut yako haiongeye neno la bwana
Amen❤
Naomba Mungu sana ushi maisha marefu duniani usiodoke MApema ni ta teseka Mimi mwanao
Mwaka mpya na mambo mapya......woooow 🙏 be blessed Annoint Amani
Weweeeeeee!!!!kwa yesu kumenonga
Wimbo Mukubwa Sana kabisa
Wow kwa Jesus Kuna raha
Wow 🎉🎉 annoint congratulations, napenda the way you bless me from kenya
Bonge la song twende Kwa Yesu