Annoint Amani - Ulichagua Kunichukia (official music Vdeo )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • #UlichaguaKunichukia#annointamani#
    Kuchukiwa bila sababu ya Msingi,Ni matokeo ya kushindwa kuudhibiti wivu wa maendereo ya mtu mwengine,
    kwa mwadamu yoyote anae pambambana kwaajili yake na watu wengine,
    kuleta badiriko lenye faida kwa kila mtu,
    Ni lazma achukiwe ,maana huwez kufanya Jambo la kuwafurahisha watu wote,
    Pia chochote kinacho pigwa vita ujue kina madhara kwa wanaokichukia,
    Hivyo usiogope vita ya maneno au kuumiza kwa namna yeyote ile,
    Ujue wewe sio wa kawaida ndo maana unakutana na mambo yasiyo ya kawaida💪Songa mbele wewe ni shujaa
    Annoint Amani
    Song,Ulichagua kunichukia
    Album,Kiboko yake ni Usingizi Album Vol 6.
    Language Swahili)
    Annoint Amani For booking
    Instagram Annoint Amanitz
    Tiktok Annoint Amani tz, +255767240181=+255755099942)
    VIDEO, Directed by Meddy ( A.E.A)
    AUDIO,A.E.A Tones studio producer by Meddy
    Dar Es salaam Tanzania )

КОМЕНТАРІ • 168