Annoint Amani - Hebu nipishe njiani mpumbavu we ( official music video )
Вставка
- Опубліковано 28 вер 2024
- #hebunipishienjianimpumbavu#
hizi ni siku za mwisho shetani presha iko juu,
maana muda wa hukumu yake una karibia hivyo ana tumia kila mbinu kuwapumbaza watu wasijue majira na nyakati za kujiliwa kwao,
lengo la shetani aingie na watu weengi motoni,
lakini Asifiwe Yesu kwa kupigwa kwake sisi tumepona,
itumie vizur neema tuliyo nayo na usikubari kuenda Jehanam ya moto,
mpinge shetan na kaz zake zote,ikitokea umeanguka kidogo simama enderea mbele mpka Tuingie Mbinguni kwa ushindi mkuu🙏
👇
Tiktok,Annoint Amani tz
whatsaApp & call
+255767240181 = +255755099942
Dar es Salaam Tanzania )
Essau keep moving ujumbe mzuriii sana
Piga Kazi hiyo Kabisa kwani Malipo ipo 😭😭🥰🥰😍 Yesu Yuko
Mungu azidi kukutia nguvu mtumishi. I always learn something from you❤
Nice woooowe 💕💕🇰🇪🇰🇪
Amen shetani haniwezi kabisa
Nice song annoint God bless you
Pongezi xna broo ,,,,,,am proud of you 💪💪💪❤️❤️❤️❤️❤️,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow wow good song, mbarikiwa bro ♥️🔥👏
Ubarikiwe sana kakaetu nazielewa sana nyimbo zako❤❤
Amen shetani hanipati ng'oo ubarikiwe sana kakangu
Nipishe mm shetani jiani naenda na yesu mungu tusaidie shetani unipati ng'o
Wow good song barikiwa bro❤
Nipishe nipite shetanii congratulations 🎉🎉🎉 amani kali sana mungu aendelee kukuinua
Good work bro 🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi Kubwa Sana
Mungu akubariki mwanaangu🙏🙏🙏🙏
God 🙏🙏🙏🙏 you annoit amani nice song
Kongole kongole, rabbi wangu mungu baba ukupeleke viwango vya juu.uzidi kuwaleta wengi Kwa kristo.
Ameen..shetani nipishe nipite ❤
Nice one❤❤❤
wow nice song
WIMBO MUKUBWA ƙwakweli MTUMISHI wa MUNGU ANNOINT AMANI BABA YANGU kipenzi❤
I like ni meet n ww nikupe ata kama ni ,50 y soda good song ❤❤❤❤ great job
Safi sana ❤
Barikiwa sana na bwana baba mtumishi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nipishe shetani🕴
Shetani Mimi umenikosa, naenda na Yesu Mimi...tamu sana mtumishi wa Mungu...
Amen Amen 💖💖💖
Amen amen amen may God bless us all amen 🙏
AMEN AND AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥
Hii ndo injili ya kweli barikiwa sana kaka wimbo mzuri sana wakubariki
Hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪 twazidi kubarikia na nyimbo zako kaka 🙏
Mungu wa mbinguni akubariki annoint
Nakuombeya Sana MEDD PROD
Director MUKUBWA Mwaka wa 2023
MUNGU Akutanguliye piya Akutangaza Mwenyewe Kati Ya wa director wa KUBWA Africa Nzima
WEWE Ni Mtu wasamani
Usijitangaze MWENYEWE ila kazi Yaƙo KUBWA itakutangaza yenyewe
Piya MUNGU abarikiki kiongozi wa A•E•A ANNOINT Essau AMANI
Na kundi Lake Nzima❤
Amen,kweli kabasi
Niliwaona last week Friday mkishoot hii song pipeline Kenya ❤
A very nice song and educative one...God bless you
God bless you abundantly MOG 🙏 powerful song
kama Mimi kijana kutoka kenya Aki wimbo zuri Sana my brother God bless you my brother annoint amani God bless you Kaka Mimi ni kuria kutoka sirali Kaka 🙏🙏
Oooh my Goodness shetani shindwe teketea
🎉🎉🎉🎉ngapenda nyimbo hii kabisa gospel legit God bless you amani
ndugu yetu Amani tunapenda nyimbo zako sana.maana ata ni mahubiri kwangu
Neema yakifalme
Sitakubali anitafute shetani huyo, good job annoint
Ubarikiwa
Nzuri sana annoint jameni wakenya tumpe mtumishi wa mungu likes kwa wingi
Kenyans tuko Kila mahali ❤❤❤❤
Wakenya tuko kbxaa,,,,,huyu kijana ako level ngine ya juu xna,,,,,Mungu ampee Neema tu🔥🔥💞💞💞
Baaas sifa na heshima simrudie yesu🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪kazi nzuri jitu💪💪💪💪💪
Keep up brother 🙏🇰🇪
Nice song
Moto sanaaaaaaa
❤️🙏🙏mungu azidi kuku tumia kaka naomba na mim nataka kuomba na wewe sku moja
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nipishe nipite kabisaa shetani
Waw am in love with this song from Kenya tiktok be blessed bro u are going far keep the good job
ubarikiwe kk
Congratulations amani mungu akubariki sana💥💥💥
Mungu akutunzess mtumishi wake maan unaitangaza injil kwa uwimbaji
Barkiw kaka hauna kazi mbovi😮 you always up 🎉🎉
Umenitoa mbalii sana amani mungu akubariki
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen. Amani Great Man of God❤❤❤❤❤❤❤❤
Ninzuri sana mungu akubariki sana Annoit
Shalom shalom na amiina nyingi barikiwa cna mutumishi wa mungu akupe umri umutumikie🙏🙏🙏🙏🙏
🔥🔥🔥
Mungu akubariki kwa KUHUBIRI KWA NJIA YA UIMBAJI MTUMISHI WA MUNGU.
Ameen atupishe tuu uyu mjinga
🎉🎉🎉 yes 🙌
from kenya, I am very happy for you Anoint, your songs are a blessing to me. God bless you and keep you , to continue ministering to us. AMEN.
Kijana Mungu akubariki saaaaaaaaana na nyimbo Zaki za enjili
Hallelujah ubarikiwe sana mtumishi 🙏
Mungu akubariki sana mtumishi kwa kipawa chako
Nice song
Ur the best Annoint
Keep it up
-"Satan fears our discovery of God's Word, because our ignorance of it is the most effective weapon he can use against us." 👀🧠
Nice song.
Amazing song
Safi sana hongera
🎉🎉🎉🎉🎉🎉👑👑👑👑👑👑
Nice one
Vizuri sana anoint
Amina 🙏🙏🙏🙏👏👏
Kama Rose Muhando😂❤ hongera sana mtumishi.😊
Amen amen 🔥
Amen mungu akubariki mutumishi
Nangoja
Amen bro💓💚💜
Barkiwa Sana Ujumbe mzur 🙏
Great song mtumishi 👏
Amen 🎉🎉🎉🎉🎉
May God lift you up..amen
Nzuri sana
Great song be blessed ❤❤
Hongera sana🙏🙏
Emen Emen mubarikiwe ❤❤❤❤
Wooww be blessed brother
Be blessed man of God
Nzuri hii dady
Such a lovely and blessing song 🙏 but can someone re-write the first stanza for me please
❤amen 🥰
Nice one 🔥🔥🔥
❤❤❤
Powerful
Amen
Keep up brother❤❤