WACHINA WANAVYOKULA CHURA, NYOKA, KONOKONO, MENDE, NG'E NA MAMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • #VYAKULACHINA #YIWUNIGHTMARKET
    Yiwu Night Market ni sehemu maarufu kwenye mji wa Yiwu China eneo ambalo Wachina wengi hulitumia wakati wa usiku kama sehemu ya kupata vyakula vyao vya asili baada ya shughuli zao za kila siku, soko hilo hufunguliwa kuanzia saa 12 jioni hadi ya saa 10 alfajiri, Ayo TV, millardayo.com imepita eneo hilo na hii ni ripoti yake.

КОМЕНТАРІ • 579

  • @jndaki8273
    @jndaki8273 4 роки тому +40

    Kam umemuona jmaaa anapiga miayo mbele ya vykula ivi gonga like😂😂

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 2 місяці тому +1

    Mimi napendelea kula kaa pamoja na hiyo mikate nimekuwa nakuja hapo kwa. Wiki mala tatu jumatatu ijumaa na jumapili nimeolewa na muchina.❤❤❤

  • @twahatktekele9227
    @twahatktekele9227 4 роки тому +34

    Nimependa Mzee Baba avokigonga kichina.,dadeq kam Jet Lee😁😁😁

  • @jisamjoseph4558
    @jisamjoseph4558 4 роки тому +10

    Hilo jamaa linagonga kiswahili cha mtaani kabsa🤣🤣🤣eti we piga tu hyo

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 4 роки тому +3

    Kma umesikia jamaa anamuuliza Bei kwa kichina #xiukayi😀😀😀😀 twende pamoja

  • @katotalifestylemedia1789
    @katotalifestylemedia1789 4 роки тому +2

    Kaka napenda Sana kazi yako.
    unatufungulia dunia.
    ningependa kufanya kazi kwako tafadhar.
    ......Amir Katota, Kigoma Tanzania.

  • @carenprudence4011
    @carenprudence4011 4 роки тому +81

    Kama nataka kwenda china aisee nita beba vyakula vyangu kabisa 😂

  • @fredrickwebiro3605
    @fredrickwebiro3605 4 роки тому +6

    Kwamtazamo wangu nahisi kutokana na kuwa china ndio nchi yenye watu wengi kuliko nchi zote duniani inawezekana kunakipindi ilitokea baa la njaa watu hao wakakosa chakula ndipo wakaanza kula kila walichokiona mbele yao. Pia nafikiri kipindi hicho kiliendelea hadi hali ya chakula iliporejea lakina kwakua mazoea hujenga tabia basi wakajikuta wameanza kuzoea kula hao viumbe na kuweka hiyo kuwa kama tamaduni yao.
    Pia haina madhara sana kwenye miili yao kwakua viumbe hai wengi wana madini na proteins kwa wingi. Kikubwa ni kujua namna ya kuvitoa sumu kwa vile viumbe vyenye sumu kama nyoka walio na sumu au n'nge na viumbe wengine wenye sumu. Maana imagine hata watu wakiwa porini wakikosa chakula huwa wanakamata chochote wanachokiona mbele yao wanakichoma na kukila Mfano: wanaweza wakala kobe, nyoka, panya, nungunungu na hata konokono na bila kupata madhara yeyote. Hii inasaidia kupunguza njaa na kufanikisha kuokoa maisha yao kipindi cha njaa.
    Hongera kwa Millardayo.com na timu yenu nzima maana unasaidia kuwafumbua macho wa tz wengi kufahamu mambo yaliyokuwa yakisemekana kama stori kuwa ni ukweli.
    ******************** Shei shei **************

    • @OmariNyota
      @OmariNyota Рік тому

      Kumbe una jua histori♥️♥️

  • @shekinahfaymatatiana5875
    @shekinahfaymatatiana5875 4 роки тому +36

    Kweli adamu nahawa wange kuwa wachina atunge kuwa na dhambi ulenyoka wange mla😂😂😂😂😂

  • @twahatktekele9227
    @twahatktekele9227 4 роки тому +19

    Mzee Baba umepewa msosi mbna hujala.,utakosa vitamin😁😁😁

  • @purymark5281
    @purymark5281 4 роки тому +1

    Wachina na Philippines hawana tofauti,mbwa anachinjiwa mgeni wa heshima

  • @estherkoya8410
    @estherkoya8410 4 роки тому +27

    Ndo maana wanyamq wengi wapo Afrika, china wangeisha had fisi

  • @luganohenry6141
    @luganohenry6141 4 роки тому +45

    kama namuona jux anaandaliwa tandu na mchina wake😂ajipange😁

  • @wazirikhamisi4828
    @wazirikhamisi4828 4 роки тому +3

    LEO NDIO NIMEAMINI HAKUNA KABIRA CHAFU KAMA WACHINA NAWW KAMA UNA AMINI ACHIA LIKE WAZEE WA SAMAKI NCHANGA BINDA

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Рік тому

    😂😂Mmmh kwye vinyakula nd shida Kupe money ya tz iko up🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ingawajekalupula8063
    @ingawajekalupula8063 4 роки тому +3

    Dadadeeq Kobe anauzwa kitoweo Kama kuku😂😂😂😂nimejikuta nacheka kwa sautii

  • @faucynkrctian6607
    @faucynkrctian6607 4 роки тому +7

    4:47 ..😂😂😂😂 Kuna mchina apo pembeni anakula kwa macho

  • @merrycastor5836
    @merrycastor5836 4 роки тому +15

    Mmmh jaman kichefuchefu 😆

  • @brigitamash2007
    @brigitamash2007 4 роки тому +9

    dou wanakula vituko inchi ya china wanakula wadudu mamayoo

  • @merryjulius4098
    @merryjulius4098 4 роки тому +7

    Duh hapana kwa kweli..

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 3 роки тому

    China China China, mmmmmh noma snaA

  • @chobastian-chobo5759
    @chobastian-chobo5759 4 роки тому

    Hamisi kutoka pasiansi mwanza kule mlimani mpaka china 😂😂 safi sana kijana karibu sana mjini, we are proudly Tanzanians diaspora 💪🏼💪🏼🇹🇿

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 4 роки тому +10

    Konokono watamu sana.siyo china hata sisi huku kwetu hao wanaliwa.

    • @veronicatweve4786
      @veronicatweve4786 4 роки тому

      Cosmas Thomas mhuu!🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️

    • @osmundixavel780
      @osmundixavel780 4 роки тому

      Haaaaaaaa

    • @christinakanan7450
      @christinakanan7450 4 роки тому

      R

    • @cosmasthomas9164
      @cosmasthomas9164 4 роки тому

      Eeeh dada angu, usisikie la kuambiwa,yaani is one of delicious meat!ungekuwa karibu nami ningekutafuta siku ili nawe upate onja radha yake.

    • @cosmasthomas9164
      @cosmasthomas9164 4 роки тому

      Ndiyo,yaani siyo wachina tu,huku kwetu hata watu wa Western Countries(Europeans) wanapitia kaka.yaani ukiikuta imetengenezwa na ipo kwenye sahani ww hata hautofahamu kuwa ni 🐌.

  • @qasammawa5310
    @qasammawa5310 2 роки тому

    A see,wafate maandiko,nazani hawana ustarabu s vyakula, vilivyoerekezwA namwenyezi mungu

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu6280 4 роки тому +3

    Eti nile Mitandu sijui Minnge na mijoka . Dah labda nishikiwe bastola ,kwanza uyo tandu unaweza sema ni mcheni flan hivi umening'inizwa ,wachina kuleni tu izo vitamin zenu.

  • @keshenidaniel5176
    @keshenidaniel5176 4 роки тому +1

    Wachina ni watu washamba sana nini sasa icho

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 4 роки тому +9

    Mimi chakula ninachokipenda kuliko yote hapa ni konokono. Hahahahaaaaaaaaa dahhhh hahahahaaaaaaa, uwiii

    • @AK-is9xi
      @AK-is9xi 4 роки тому

      Kuna ainambili wazanzibar pia wanakula na wanawapenda kichizi

  • @gracejane4013
    @gracejane4013 4 роки тому +8

    ati waenda hoteli waitisha. waiter naomba nyoka nusu na mix ya konokono😋😋😋

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 4 роки тому +50

    Mi hiyo harufu tu nahisi nitajamba wiki mbili mfululizo😁😁

  • @shabanismaily5777
    @shabanismaily5777 4 роки тому +11

    Uchafu kama wote daah!

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 2 роки тому +1

    Yan hao ,,, duuuu
    Mbn bala

  • @moodychanday9220
    @moodychanday9220 4 роки тому

    Mi nikiwa China nakulaga sana hawa ila nikurudigi Tz nakausha

  • @rashidsuleiman1531
    @rashidsuleiman1531 4 роки тому +1

    nakukubali mkalimani tulikua pamoja pale Zhejiang Shanghai ndani ya qming big up broo.

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 4 роки тому +1

    Ndomana wanapata maradhi ya ajabu ajabu. Na maradhi makubwa

  • @manenojames2011
    @manenojames2011 4 роки тому

    Uko akufai kwenda

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 4 роки тому +13

    Kwa namnahiyo utakuwa na uno kweli...ndio maana wamepigwa pasi kalio zao

  • @mukhtarmahat4131
    @mukhtarmahat4131 2 роки тому

    24 hour economy..Let us try we Africans .
    we can prosper

  • @vonexmobile9116
    @vonexmobile9116 4 роки тому +1

    China zipo Restaurants ambazo hawapiki wadudu (Arabian Restaurants) unapata Halal Foods hamna mambo ya nyoka na mende lkn kama ww ni mgeni basi uje na begi lako la Vyakula vya kibongo.

  • @Moon-wf2ec
    @Moon-wf2ec 4 роки тому

    Bado nyau washawash sisimizi ngadu

  • @hadijajumbe6291
    @hadijajumbe6291 2 роки тому

    Sie tanga twala hiyo yaitwa mirindi ety konokono😂😂🙌🏼

  • @Mr_Ben255
    @Mr_Ben255 4 роки тому

    Millard Ayo kweli we fighter

  • @hassanmkotya8167
    @hassanmkotya8167 4 роки тому +4

    mmmh wananukia hadi hukuu kwelii noma

  • @leilathango8411
    @leilathango8411 4 роки тому

    Wewe kaka yetu umewnda huko china umebeba chakula au unakula cha wachina

  • @loisjackeliakim4339
    @loisjackeliakim4339 4 роки тому +3

    Wapo chalinze ( tywford , keda ) wananunua chatu kwa laki 3 sharti awe mzima tu

  • @nyingos
    @nyingos 4 роки тому +2

    Halafu Kuna watu wanadharau samaki nchanga. a.k.a. panya

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 роки тому +21

    Kamba ao watamu kinoma ata huku tz tunatumia na has a huku Zanzibar

    • @AK-is9xi
      @AK-is9xi 4 роки тому

      Hapo sio kamba tu vingi zanzibar wanakula takriban vyote

    • @sgfdhaikuhusu6086
      @sgfdhaikuhusu6086 4 роки тому

      @@AK-is9xi mhh si kweli Mimi nimeviona km vitatu tuu Acha kutufananisha na wachinaaaaa

  • @westzonetv366
    @westzonetv366 4 роки тому +2

    Millard bwana

  • @aminamohamed1914
    @aminamohamed1914 4 роки тому +6

    Jamani huyo muarabu ala mdudu gani

  • @justerkaregi8044
    @justerkaregi8044 2 роки тому

    Ni tamu sana sana wewe

  • @asyabinmaulid9570
    @asyabinmaulid9570 4 роки тому +1

    Heeeh wenzetu mungu akunusuru na coronavirus....

  • @francissaanane5874
    @francissaanane5874 4 роки тому

    aisee bora nisingeangalia, yak yak

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 4 роки тому +10

    Hao wana asili ya majini sibure khaaaa toba roho yangu duh mimi hata nikiwauwa bs naogopa jee kumla

    • @nellywizz9631
      @nellywizz9631 4 роки тому

      Asil hzo mzee

    • @antoinettedjumapili2522
      @antoinettedjumapili2522 4 роки тому

      Fatma khanii
      kwa nini watu wasio na elimu huweka mambo ya kishirikina na majini kimbelembele?

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 4 роки тому

      @@antoinettedjumapili2522 sio ivo mpenzi bali hivo sio vitu vyakawaida kula binadam niviumbe hatari

    • @antoinettedjumapili2522
      @antoinettedjumapili2522 4 роки тому +1

      @@fatmakhanii1676
      sio viumbe hatari kila watu na desturi zao na chakula vyao hata wao na wazungu wanaona chakula vya kiafrika na wanajiuliza maswali

    • @antoinettedjumapili2522
      @antoinettedjumapili2522 4 роки тому +1

      @@fatmakhanii1676
      naishi Australia nilipika majani ya viazi nikaweka samaki wa chunvi nikamupatia rafiki yangu mzungu akani uliza kwani chakula imekosekana kabisa ili nile majani ya viazi( matembele)

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 4 роки тому

    Hapo kwenye mende napo uwiii

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 3 роки тому

    Mmmh, maradhi hayataisha duniani

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 роки тому +1

    sana ayooo tunakupata sana

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 4 роки тому +1

    kula kila kitu kama sio sumu ,mm yenyewe naona mbwa wamezagaa zagaa huku tz wakiwe bhna na konokono,paka deal kwel

  • @freddokuckelmann8502
    @freddokuckelmann8502 4 роки тому +6

    Wasemeni tu Wachina na nyie muendelee kufa njaa wakati mna kila kitu cha kuliwa. Madini mnayo mnatupa wazungu tunachukua bure, baadaye mnapanda ndege zetu (ndege zenu hamzitaki) kuja kutuomba pesa (hizo hizo za kwenu) tena kwa kutupigia magoti. Mmepata raisi mjanja wa kuwasaidia, mnaanza kumsema vibaya. Kweli penye miti hamna wajenzi.

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 4 роки тому +4

    Waafrika tunakwama wapi, muhimu sana kula haya mavitu maana yanaboresha hata kwenye ubongo, ndio maana huwa hatubuni chochote, tumekomalia ugali na wali tu.

  • @aliceuhiriwe8814
    @aliceuhiriwe8814 4 роки тому +1

    Wakuje wachukue hizi mende zinatusumbua hapa

  • @bhoketugara9703
    @bhoketugara9703 4 роки тому

    Kula sio ili mradi yako maelekezo mazuri katika eneo la kula hata ukiwa mchina ukiyatafuta utayapata.

  • @arapharuhinda6308
    @arapharuhinda6308 4 роки тому

    Umeoneka tu

  • @walivyojuma7095
    @walivyojuma7095 4 роки тому +11

    Mmh wachina kiboko wamenishinda tabia adi mede nyuki

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 роки тому

    Dulla unatangaza vizur sana big up

  • @leokadiamkemesa464
    @leokadiamkemesa464 4 роки тому

    Hata kaka miladi ayo unamoyo wakuwatazama wadudu hao muda wote huo mi hoi hapa jamani mh!

  • @abubakarikisuju5374
    @abubakarikisuju5374 4 роки тому +1

    Hawa pumbavu ndo mana wameleta corona

  • @consolathamsanga9733
    @consolathamsanga9733 2 роки тому

    China kwangu hapana jamani

  • @liliannaomi6981
    @liliannaomi6981 4 роки тому +2

    Hiyo we piga wala husijali😂😂😂😂

  • @DenrichStar
    @DenrichStar 3 роки тому

    Daah inatisha

  • @anodijuni778
    @anodijuni778 4 роки тому

    Hapo kwenye konokono hapan

  • @frankmapunda5017
    @frankmapunda5017 4 роки тому +4

    Ahsante Millard

  • @princematta2150
    @princematta2150 4 роки тому +6

    china adi matapishi watu wanakula ndio chakula chao cha taifa

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm 2 роки тому

    Mtangazaji anavyoangalia,,, anaogopa kana kwamba asije akapewa ofa😄😄😄😄😄😄

  • @husnanetto4154
    @husnanetto4154 3 роки тому

    We usile ayo madude bwana hao wamebakisha kula nywele za kwapa tu

  • @sophiawerema5861
    @sophiawerema5861 4 роки тому +1

    Hapo korona haiwezi kuisha jamani.

  • @sarahemmanuel3455
    @sarahemmanuel3455 4 роки тому

    Mmmh nasikia kinyaa nikitizama wanavyokula dooh

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter Рік тому

    Hao wachina wanaweza kula hata mawe 😂😂😂maana si kwa kufuru hizo

  • @rehemshehoz8704
    @rehemshehoz8704 4 роки тому +3

    Mungu anawaon nyie n mtakuf nyie mmetuletea coron kwa kul hz wadud 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @zawadiyusuf538
    @zawadiyusuf538 4 роки тому +2

    Kazi ipo

  • @egideyakobo1565
    @egideyakobo1565 4 роки тому

    Cakula nzuli sana ndoma Africa tunakufa na Magojwa Ikuwa ngumu kwangu kuzowea mbonga hawo ila nimezoweya cakula kitamu sana sio chana tu Korea Vyetinamu izi inci zote zahuku Asia wanakula

  • @scholasticajackson6760
    @scholasticajackson6760 4 роки тому

    Aisee wangejaa huku bongo, tusingekuwa na dawa za wadudu.

  • @shaban6644
    @shaban6644 4 роки тому +6

    Ndo mana hawa jamaa uchumi wao upo juu sana Coz Wanapiga kazi masaa 24., imagine saa sita usku nyomi la watu kama wote utazani saa 8 mchana.,

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 роки тому +1

    Wachina nyie ni noma mpka tandu🤨🤣🤣yan mdudu mbaya hyu akikungata leo maumivu hayaishi mpka kesho...

  • @naomileonald8895
    @naomileonald8895 Рік тому

    Duuuuuh nimeangalia mara mbimbi jamni mmmh

  • @kassimulugajo6512
    @kassimulugajo6512 4 роки тому

    dula tza nakubali sana

  • @sarahamos5535
    @sarahamos5535 4 роки тому

    Ndo maana wanaiteketeza dunia na maulafi yao jaman

  • @husnanetto4154
    @husnanetto4154 3 роки тому

    Chainis bufee😂😂mpaka nataka kutapika uyu mzung anagonga mshikaki wa nge'

  • @elisantemrita9894
    @elisantemrita9894 3 роки тому

    Mm nitaanza kuwatengenezea vifaranga huku bongo

  • @bonipahcemsigwa6375
    @bonipahcemsigwa6375 4 роки тому +3

    Hiyo wee piga tu wala usijali. Ni vitu vya uhakika!!!! Mtangazaji vp mbona hujapiga vitu vya uhakika hivyo? Duh! 😁😁😁😁😁😁😁

  • @shaffihsiraji3141
    @shaffihsiraji3141 3 роки тому

    We Piga tu hata usijali😁😁😂😂

  • @victormneney8236
    @victormneney8236 4 роки тому +16

    Supu ya konokono ntatapika wiki
    Mendee mwezi chura 😤😤😤😧😧

  • @eddimalon6051
    @eddimalon6051 4 роки тому

    Sijawahi hata kutamani kwenda China.

  • @meshackmarwa2016
    @meshackmarwa2016 4 роки тому +1

    Wakija bongo hawatanunua msosi maana kama huku mwanza hayo mazagazaga mengi tu!

  • @annahisack3860
    @annahisack3860 4 роки тому +2

    Mimi kwa kweli nimempenda huyo kaka anaekula ng'e aliekupatia kijiti akakwambia kula na ww kama vp naomba uniunganishe nae awe rafiki angu wa karibu

    • @annahisack3860
      @annahisack3860 4 роки тому

      Plz niunganishe huyo aliekwambia ww piga tu nimemuelewa hatareee

    • @asiajuma8330
      @asiajuma8330 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣

  • @salmaiddy6059
    @salmaiddy6059 4 роки тому +2

    Mhhh mpaka nmesisimka

  • @maalimrajabu1634
    @maalimrajabu1634 4 роки тому

    Nadhani hata watu wanawala hao wachina

  • @adijaadija2335
    @adijaadija2335 4 роки тому +1

    Duuuh hamu yakonokono iko nanijia afu ina taka inakuja inakata😂😂

  • @rodapesambili7650
    @rodapesambili7650 4 роки тому

    Hao sio panya no simbilisi

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 4 роки тому +3

    Jamaa hadi lafdhi yake kama mchina😄😄😄😄

  • @sadantashavu293
    @sadantashavu293 4 роки тому

    Corona inawahusu kabisa... mtangazaji kaokopa kula mshkaki wa mende😅😅😅

  • @mathewndunguru6340
    @mathewndunguru6340 4 роки тому +1

    Wachina ni shidaa nimekubali wana apply sayansi ilivyo kuzingatia vitamin mbalimbali