Kaka aya mambo yapo duniani kote tena ni heri Africa imepungua ila sio ulaya kwa wazungu ndio janga, kama uliwai kusikia HUMAN TRAFFICKING inafanywa sana kwenye DARK WEB, Binadamu wanauzwa kutolewa viungo
Tulisha sahau vifo vya albino 😢 leo tena mnatukumbusha kwanini tusiwape uhuru mwenzetu waishi kwa amani imani za kishirikina zisiwadanganye R.I.P mtoto Mungu atawahukumu waliousika
Daaah maskini mtoto mzuri mdogo amekufa kwa mateso makubwa sijui wamemuua ndo wakamkata au wamemkata ndo akafa?! Subhanallah allah awaangamize wote waliohusika
Nami nilishajiuliza sana Hilo swali Kwa kifupi mtoto kaondoka Kwa mateso makubwa sana. Hata kama walianza kumuua bado mtoto aliteseka sana maana kutoka roho sio kazi ndogo kapitia mateso mtoto wa watu. Bado najiuliza inamaana huyo baba ake Hadi mtoto anateswa Ivo yeye katulia tu? Inamaana kashuhudia kila kitu jamani huyo baba ni zaidi ya shetani.
Walio husika wote wataje mtandao na kwa srkikali yetu🇹🇿❤fanya jambo mungu asimame nasi wote kila mmoja wtu ana mtoto tumefika pabaya kama taifa mungu ibaliki kagera ibaliki🇹🇿📿❤
Haya mambo bukoba yanatokea zikikaribia chaguzi,kwann?😢😢😢 Mara watu watolewe kiromeo mara albino wauliwe,ifike mahala serikal ifanye utafit kama zinavyofanywa tafit nyingine,kila chaguz zikikaribia matukio ya mauaj yanaibuka,soooo sad pole mama Asimwe 😢😢😢😢,mungu atalipa
Hiyo ishara unayosema, serikali wapeni adhabu kali waalifu iwe fundisho !!!! Nao wanyofolewe viungo wakiwa hai ndo wafungwe !!! Otherwise wataendelea, hawathibitiwi !!!! Serikali hurumieni wananchi wenu watendeeni haki.
Nimelia kwa uchungu😢 mtoto ameniuma huu ni ukatili ulio pitiliza. Ee mungu ulio umba mbingu na ardh mmiliki wa viumbe sote waanike watoe hadharani walio husika na dhulma hii. Damu ya mtoto iwatese isiwaache salama. Mungu ampe subira na nguvu mama mtoto.
Pumzika kwa amani Mtoto mzuri! Mungu tunaomba wahusika wakamatwe haraka! Damu ya huyu Mtoto iwafuate popote walipo na wasiishi kwa amani hao watu wao na watoto wao😭😭😭
Mwenyew Mungu shughulika na walio husika na kifo Cha mtoto huyuuu..... Alazwe mahalo pema pepon
Mashetani wameanza tena kuuwa ndugu zetu wenye ulemavu wa Ngozi , ni bora wakaombe hifadhi kwenye balozi za ughaibuni waje huku kuendeleza maisha
Kitoto kizuri sana. Wameenda kukiua. Haya mambo ya kipumbavu yapo huko Afrika tu.
Inauma 😢😢😢 mambo ya kishirikina hayo
Kaka aya mambo yapo duniani kote tena ni heri Africa imepungua ila sio ulaya kwa wazungu ndio janga, kama uliwai kusikia HUMAN TRAFFICKING inafanywa sana kwenye DARK WEB, Binadamu wanauzwa kutolewa viungo
MUNGU AWAFICHIUE WAUAJI HAWA, NA EWE ARDHI USIWAFICHE ULIFUNIA KINYWA KUMEZA KILE KIJITO LEO WAMEZE HAWA WAUJI WOTE WA NAMNA HII KTK JINA LA YESU
Tulisha sahau vifo vya albino 😢 leo tena mnatukumbusha kwanini tusiwape uhuru mwenzetu waishi kwa amani imani za kishirikina zisiwadanganye R.I.P mtoto Mungu atawahukumu waliousika
Uchaguzi karibia Sasa mambo haya yataludi yan jaman Mungu fungua akiri za watu wakujue wewe Mwenyezi Mungu
Mungu atusaindie, Muluyo yatenda haya Mungu hatawaacha hivyo, mutalipa kwa machozi mengi sana
Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele Asiimwe
Oh my God protect our children u the one who given us such children
Daaah maskini mtoto mzuri mdogo amekufa kwa mateso makubwa sijui wamemuua ndo wakamkata au wamemkata ndo akafa?! Subhanallah allah awaangamize wote waliohusika
Mmmh ata usiulize ndo yazidi kuumiza
Nami nilishajiuliza sana Hilo swali Kwa kifupi mtoto kaondoka Kwa mateso makubwa sana.
Hata kama walianza kumuua bado mtoto aliteseka sana maana kutoka roho sio kazi ndogo kapitia mateso mtoto wa watu.
Bado najiuliza inamaana huyo baba ake Hadi mtoto anateswa Ivo yeye katulia tu?
Inamaana kashuhudia kila kitu jamani huyo baba ni zaidi ya shetani.
hivi vitu viliisha kabisa yani daa tutamkumbuka.sana magufuli allah ailaze roho yake mahali pema peponi 😢😢😢daah hakika vizury havidum
Daaah mungu atuepushie hizi roho za kikatili😭😭😭🙏🙏
Jamani eeeeh aaaah moyo wangu umeteswa leo na habari hii aaaah janamani
Daah inauma Sana haiseee mungu tusamehee ss waja wako yote iyo Imani yakishikina
Walio husika wote wataje mtandao na kwa srkikali yetu🇹🇿❤fanya jambo mungu asimame nasi wote kila mmoja wtu ana mtoto tumefika pabaya kama taifa mungu ibaliki kagera ibaliki🇹🇿📿❤
🥲🥲🥲Eeh mungu we ndo ujuwae adhabu ya alietenda hvyo
😢😢 haya maswala si yaliishaga kulikoni watanzania wezangu
Uchaguzi umefikaa
Mungu aturehemu sana ila waganga wa kienyeji hawafai hayo ni maelekezo ya kishirikina wahawi waganga na washirikina hawafai kuishi kabisa
Nimelia Sanaa nimeumia sanA 😢 Mimi najuwa setikari haishindwii kwachochote ikiamuwa inawamata mudaa jamànii mtoto mzurii
Mmmmmh mungu wang Kagera tuanaenda wap jaman tumuogope mungu
Lailahailah hao n kua TU masikni mtoto mzuri lailahailah,santarah mama yake wa ahilyhaaa lailahailah,oh
Haya mambo bukoba yanatokea zikikaribia chaguzi,kwann?😢😢😢 Mara watu watolewe kiromeo mara albino wauliwe,ifike mahala serikal ifanye utafit kama zinavyofanywa tafit nyingine,kila chaguz zikikaribia matukio ya mauaj yanaibuka,soooo sad pole mama Asimwe 😢😢😢😢,mungu atalipa
Mungu amjaarie apumzike kwa Aman ...dam yake isimwagike bure Bali watafte ili mtoto apewe haki yake
Maumivu alioyapata tu inaniumiza sana 😢😢Ee Mungu walinde watoto wetu.
Mbona ss binadam tunataka utajir kwa kupata zambi kubwa hv
MUngu atusamehe na watoto wetu hof ya Mungu ime watoka watu kabisa awaogopi jamani 😢😢
Mungu uwajibike nawalio tenda ovu ilo
Uuuuuuwiiiii Uchaguzi umekalibia. Jamani kuweni makini na maalbino tuwalindeni jamani uuuuuuuwiiiiii ,wameshaanza kupewa masharti na waganga mbwa hawaa uwiiiiiiiiiii😭😭😭😭😭😭😭😭
Yaani kwa ninibwasiweke sheria kali kuhusu hili jambo kama walivyofafanyia panya road? Uchaguzi huu ndio iwacoast maisha ya binadamu jamani😢😢😢
Jaman nn hiki binadam wenzangu yan unauwa binadam kama ww utajirike alafu yy azikwe roho gan hyo
Allah anawaona
ILA IPO SIKU AMBAYO HAIJULIKANA MUNGU ATAWAPIGA PIGO LA KIMATAIFA WATU WAOFANYA HAYA MAMBO😢😢😢😢😢
Jamani Hawa watu niwakuekwa wenda nao wakajilite wenyewe
😢😢😢😢mtoto kapitia maumivu makubwaa sana😢😢😢
Sana sana sana wallah roho inaniumaa 😭😭😭😭😭
Mlaaniwe mtoto mdogo malaika wa Mungu unamuua
😢😢😢pumzika kwa Amani Asiimwe🙏
Huyo mtoto alichukuliwa. Mkononi MWA mama yake usiku mtu alibisha hodi naomba chumvi jamani😢😢
Maushirikina haya!!!! Hii Nchi kuna watu wa ajabu sana.
Eee ushirikina😢😢 uyo
Na huyo mganaga wao pia akipatikana achomwe moto hadharani ni ushirikina tu hakuna kingine 😢😢😢
Hakika ni machungu 😭😭Mungu awatie nguvu Wanafamilia wote😭😭
Yn naomba mungu dam u yahuyu Mtoto iwatese wakose amani
Amiin 🤲🤲🤲😭😭😭😭🖕
Ondoeni kwanza hao wanaojiita waganga wapiga ramli ndo tutashinda vita hii.
Wanastahili adhabu ya kifo tena bila huruma,wanyongwe mpaka kufa
MUNGU tusamehe makosa yetu mpokee mtt wako kwa mikono miwili hakika watalipa waliomfanyia hv mtt mdg malaika
😢 mila za kishirikina au tamaa za pesa watanzani still baadhi yetu tunamila potofu
Jamn hao haribin wan tesek san jmn hat me nilish wahi kukaa nao lkn una kaa nao kwa upendo jmn mbn niwazur sana kisa pesa ty hay maisha mmmh mmmh
Uchunguzi ufanyike watafutwe washikwe yarrabiiii pole kwa mzazi huyu😢😢
Hiyo ishara unayosema, serikali wapeni adhabu kali waalifu iwe fundisho !!!! Nao wanyofolewe viungo wakiwa hai ndo wafungwe !!! Otherwise wataendelea, hawathibitiwi !!!!
Serikali hurumieni wananchi wenu watendeeni haki.
Halafu kuna watu(taasisi)wanataka hukumu ya kifo iondolewe..
wauwaji nao wauwawe tu...tena fasta
Huu uzaifu unatokea wap tena jamani mbona tulishaanza kusahau matatizo haya
Pole wana familia
Nimelia kwa uchungu😢 mtoto ameniuma huu ni ukatili ulio pitiliza. Ee mungu ulio umba mbingu na ardh mmiliki wa viumbe sote waanike watoe hadharani walio husika na dhulma hii. Damu ya mtoto iwatese isiwaache salama. Mungu ampe subira na nguvu mama mtoto.
Duh! Huyu si ndiye aliyekuwa amepotea bukoba akashikwa mume wake au ?
Uchungu wa mwana....😭😭
Duu inatisha 😢😢😢
Emungu na mtu watu so wazur alofanyaa hiv hawatakiwa mbali wafatiliwe hata kwa ndumba hao
Dah inaumiza sana
Pumzika kwa Amani mtoto mzuri jamanii 😭😭😭
Subuhanallah😢😢😢
Uyu arie fanya ivi yeye ataishi mirere mungu anamuona wengine utasikia zambi tunafanana kweri kweri uyu anyogwe kabisa 😂😂😂
Huu ni ukatili wallah
Hawa waganga serikali inatakiwa kutoa ungozo mkali
Waganga wanaofanya ivo wanajulikana si wakamkamate si baba wa mtoto ameshikiliwa
😢😢😢
Jmn 😢😢😢
😢😢
Aiseeee...! Hii dunia hii khaaaa 🏃
Mbona manara wamemuacha
Kipindi cha hayati magufuli hayamambo hayakuepo kabisa 😢
Yalikuwepo ya kutekana na kupiga watu risasi
😢
POLENI SANA 💔💔💔
Ameteseka mwanangu jamani
Ishomile vipi tena uko mbona mnatuangusha
Jmn wat bado wanaiman potof
😢😢😢😢😢😢😢
The baby she's very healthy aki watu😢
Pumzika kwa amani Mtoto mzuri! Mungu tunaomba wahusika wakamatwe haraka! Damu ya huyu Mtoto iwafuate popote walipo na wasiishi kwa amani hao watu wao na watoto wao😭😭😭
Kabisa sema watoto hawana hatia daaah inaumiza mpaka usingizi umekata
Amiin 🤲🤲🤲😭😭😭😭😭
R.i.p beby girl 😢😭😭😭😭😭😭
Hatari kwweli😢
R. I. P baby girl
😭😭😭😭😭😭😭😭🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
Pole
😭😭😭😭😭😭😭
😢😢😢😢
Dah jaman 😢
😅😅😅
😅
😂😂😂😂😂
Jamani Hawa watu niwakuekwa wenda nao wakajilite wenyewe
😭😭
😭😭😭
😢😢😢😢😢😢
😢😢😢😢
😭😭😭😭😭