BABA wa ASIMWE AKAMATWA na POLISI AKISHUKIWA Kuhusika na MAUAJI HAYO, BABU ASIMULIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 229

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 3 місяці тому +36

    😢😢😢haya mambo ni kwanini niwakati wa uchaguzi tu???? Watanzania tuache roho za kishetwani😢😢😢😢

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 3 місяці тому +16

    Aisee poleni sana wafiwa ila naimani hao waliofanya hivyo lazima watakamatwa tu

  • @stellaMwakatulie
    @stellaMwakatulie 3 місяці тому +12

    Jamani izi Imani bado zipo mungu tusaidie pole wana familiar😭😭😭

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 3 місяці тому +22

    Binafsi mtoto ameniumiza sana yahani bora wasingeweka picha yake..

    • @abdulrahimmohamed7066
      @abdulrahimmohamed7066 3 місяці тому

      Acha tu

    • @ZeProDJay
      @ZeProDJay 3 місяці тому

      For sure inauma sana yaani ni kama naona alkua ndugu yangu aisee ninae mjua sabu ya hiyo picha..

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 3 місяці тому

      Yaan kama mim picha yake nikiona tu jamn aliumia mtoto huyu😭 bas tu

    • @faustinebahenobi3412
      @faustinebahenobi3412 3 місяці тому

      Nililiasana

    • @MvuviJuma
      @MvuviJuma 3 місяці тому +1

      N mrembo sn

  • @EstarBruno
    @EstarBruno 2 місяці тому +1

    Poleni sana mungu amutangulie asimwe🙏🙏🙏

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 3 місяці тому +5

    Mungu ailaze Roho ya Mtoto wetu mahali pema

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 3 місяці тому +15

    yaani hilo suala limerudi tena ! duh

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 3 місяці тому +10

    Polen sana ila mzee maerezo mazury sana waziii mzee umetisha unafaa upewe ukamanda wahapo kwenu polen sana ila selikal zuia hilii akikamatwa mtuu asukumwe kuzim sio ndan itasaidia 😢

  • @josephusimbanilo9500
    @josephusimbanilo9500 3 місяці тому +2

    Hata hivo ni Mungu tu, cheki nyumba waliyokua wakiishi, Tanzania Bado Kuna umaskini sana Mungu atusaidie kwakweli 😢😢😢

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 3 місяці тому +10

    Pumzika kwa amani mtoto mzuri Asiimwe.Inauma sana😢😢😢

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 3 місяці тому +5

      Mtoto mdogo sijui walimtesa kias gani akalia 😥 wakamkata wakamuua

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 3 місяці тому

      ​@@mimahmimah1595😢😢😢aaahh jmn

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 3 місяці тому +6

    Mungu wetu watu hao wapate adhabu kali kwa unyama huu

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 3 місяці тому +5

    Lala salama mtoto mzuri rip 😢

  • @ReginardKajuna-y8n
    @ReginardKajuna-y8n 2 місяці тому

    Mungu ailaze maari pema peponi amen

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 3 місяці тому +4

    Poleni sana wanafamilia

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 3 місяці тому +4

    Poleni sana majirani zetu watz 😢😭😢nko 254🇰🇪..ila imeniuma sana..afaddhali wangemtumia na wamwachie uhai roho yake....imetuuma sana..wanaojiita watalamu wanaotoa viungo za watu waache na wakome kabisa..watumie jia zingine za kujinufaisha lakini sikutoa roho za watu...wachukuliwe sheria kali wakipatikana ili iwe funzo kwa wengine

  • @saraphinalupondo1115
    @saraphinalupondo1115 3 місяці тому +6

    Jamani moyo unaniuma jinsi pka natetemka Mungu wajalie ujasir familia haswa mama mzaz😊

  • @WaziriOmari-f3h
    @WaziriOmari-f3h 3 місяці тому +5

    Umaskini naupiga vita sana nyie huyu mtoto angekua kwenye mazingira ya kitajiri yaani familia Bora isingetokea hivi kabisaaaa mungu amlaze mtoto mahali pema Peponi😢😢

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 3 місяці тому +15

    Poleni sana , mzee umetoa maelezo mazuri

  • @Said13Mashakaog
    @Said13Mashakaog 3 місяці тому +7

    Uchaguzi umekaribia ni matukio ya kawaida sana muda huu ila poleni sana

    • @jescarwegoshola1754
      @jescarwegoshola1754 3 місяці тому +1

      Umeonae,lkn Mungu hashindwi,tunamuomba aingilie kati haya maswala kwakweli hayapendezi

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 3 місяці тому

      😢 nonsense 😠 kwani uhalifu na ukatili huu hufanyika tu uchaguzi unapokaribia? Watu wanauwa wengine kila siku, haijalishi ni kipindi cha uchaguzi au la. Kwakweli ulichokiongea hakina mashiko.

  • @hamimujoseph4741
    @hamimujoseph4741 3 місяці тому +1

    Sis kama wana kagera tunalaani tukio hilo nasikitisha sana wanatuharibia sifa ya bukoba hatukuwa kuwa na tabia hiyo

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 3 місяці тому +4

    Iviíii kweri badoooo kunahutajiriii wakishambaaa namnaaa hiyoooo emmmm badirikeniii kwani ukihishiiii maskin duniani kunaanini kumbukeni munguuuu yupoooo

  • @aminaramadhan-cx7dh
    @aminaramadhan-cx7dh 3 місяці тому +2

    Polen sana jaman

  • @AmAl-x9j
    @AmAl-x9j 3 місяці тому +2

    Inauma mno tena sanaaa,,,,
    Polen wpndwa wetu

  • @RashidRamadhani-b5o
    @RashidRamadhani-b5o 3 місяці тому +2

    Asimwe pumzika Ndugu yetu Mungu Mkubwa 😭😭😭

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 3 місяці тому +2

    😢😢😢😢😢😢dunia imeishaaa sanaaaaaa uwiii baba tn jmn

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 3 місяці тому +5

    Ni huzuni kwa kweli hivi kwanzia tatehe 30 serikali mpaka tarehe 17 mnakuja kuokota mwili wa marehemu aseee na vyombo vya habari mlishindwa kupaza sauti kila kona nimeumia sana eti mnaenda kuwapa airtime za media wale wanao kamata madada poa mnashindwa kuangaikia mtoto huyu 😢

  • @benprograms
    @benprograms 3 місяці тому +1

    *LEC 01 ●* | TWO WEEKS|●
    - Husaidia kutibu athari za punyeto
    - Huzibua mishipa ya uume
    - Huongeza stamina ya uume
    - Huanda Tissue za uume kukua
    - Huimarisha misuli ya uume
    *LEC 02 ●* | AFTER LEC 01|
    ☆Hukuza uume wako| length gain program|
    ☆Hunenepesha Uume wako| girth gain Program |
    ☆Hukuza na kunenepesha uume | complete Program |
    ☆Hukuza kichwa cha uume
    ● Husimamisha uume Kama Msumari
    ☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka 3 місяці тому +1

    Jamani hayo madhambi yanatugalimu mwisho wa siku maduriko yanakuja mambo ya ajabu hatukumbuki yanasababishwa na Nini ila damu isiyo na hatia inamwagika tukeshe tukimwomba mungu pia atusamehe sana kwahaya

  • @TwitikeMwakyonde
    @TwitikeMwakyonde 3 місяці тому +1

    Mungu walani waliofanya ichokitendo yesu yesu,yesu,shukakwenyeiifamilia,mtiyenguvu,uyumamawauyu mtoto,dadamwenyezi,mungu.ndiyeanayeweza

  • @benatusmarwa8360
    @benatusmarwa8360 3 місяці тому +13

    Asimwe ameniuma sana hakika.

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 3 місяці тому +1

      An Angel Asimwe

    • @charlessomba2783
      @charlessomba2783 3 місяці тому

      Mtoto huyu atakuwa ameuawa kikatili sana aiseee!!! Kwani anauawa huku anaona so bad

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 3 місяці тому +6

    Yakikamatwa yachomwe moto hadharani.

  • @SikwilageEzekia
    @SikwilageEzekia 3 місяці тому

    Kwakwelii inasikitishaa ila malipo ni hapa hapa dunianii,, polen familia ya asimwe na Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi

  • @DanfordStephanoRugaimbuzi
    @DanfordStephanoRugaimbuzi 3 місяці тому

    Jaman inauma sana mungu amlaze mahali pema peponi Amina

  • @Naju645
    @Naju645 3 місяці тому +9

    Siku 17 police hawajajua lakin kauwawa washukiwa wamekamatwa

    • @mymuhnabdallahshaban7763
      @mymuhnabdallahshaban7763 3 місяці тому

      Kwan wao ni majin Watajua t fulan kauwa si baada ya kumshika baba mtoto iinawezekana kawataja na wenzake 😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @SALEHSALEH-lk5jr
      @SALEHSALEH-lk5jr 3 місяці тому

      Bora umemjibu huyo kiazi​@@mymuhnabdallahshaban7763

    • @JohnMuyesi
      @JohnMuyesi 3 місяці тому +1

      Hapa police kidogo walizingua maana cku ya kwanza TU baba wa mtoto alikatwa wakakae naye SIKU 17 Baada ya mtoto kupatkana amekufa ndo watu wanakamatwa,, kama tayr baba wa mtoto walikuwa wamemkamata na wadai pia alihusika mbona ilichukua cku 17 bila taarfa yeyote???
      Anyway pumzika Kwa Amani Asimwe

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 3 місяці тому

    pole yanini afungwe

  • @altamyanfane9850
    @altamyanfane9850 3 місяці тому +2

    Justice for asimwe

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 3 місяці тому

    Poleni watanzania tuache iman potofu tuwalinde alibino niwatu kama ss wanaitaji kuishi ni watanzani Mungu kawaweka tanzania ili tufurai utukufu wa Mungu Amen polen ndgu jamaa nawakazi wa kagera wazazi na ndgu wa mtoto polen pia

  • @MariaNdagile-hx5pr
    @MariaNdagile-hx5pr 2 місяці тому

    Baba umeweza kujieleza vizur

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 3 місяці тому +2

    Inalilahi wainalilah rajighun

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 місяці тому

    Jamani bado kuna wa tz wanaishi kwenye majumba haya!!

  • @tusekelegemonje645
    @tusekelegemonje645 2 місяці тому

    Ukiambiwa Pele SEMA ahsante sio umesha poa kabla hatahujapoa

  • @PatrickDavid-l3p
    @PatrickDavid-l3p 2 місяці тому

    Jaman inauma

  • @MarthaFaida-hk2gr
    @MarthaFaida-hk2gr 3 місяці тому

    Poleni sana family

  • @kajaymopao1672
    @kajaymopao1672 3 місяці тому +1

    R.I.P young angle walio fanya unyama huu Mungu atawa athibu vibaya

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 3 місяці тому +1

    Jamani😢😢😢😢

  • @magesamatiku7506
    @magesamatiku7506 3 місяці тому +2

    MUNGU NI MKUBWA
    #Kataa ushetani kuzaliwa Albino sio mkosi wala laana.
    Ni neema ya MUNGU.

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 3 місяці тому

    Mungu akupokee asimwee😢😢

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj 3 місяці тому +3

    Mtt km hyu amewakosea nn yallah 😢😢😢jmni

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g 3 місяці тому +2

    Uyo baba nae axhukul8we sheria ikiwezekana nae Anyongwe

  • @dicksonjonas1799
    @dicksonjonas1799 3 місяці тому

    Polen sana wanafamilia

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 3 місяці тому +1

    Hao waliomfanyia ktendo hicho Mungu awalaani awalipe hapahapa Duniani nalengo lao halitofanikiwa kamwe

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 3 місяці тому

    Daaa jamani 😭😭😭 inauma Sana .R.I.P Asimwe

  • @HumayraJuma
    @HumayraJuma 3 місяці тому

    Mungu amlaan huyu baba

  • @GavanaLetikaMathayo
    @GavanaLetikaMathayo 3 місяці тому

    Poleni sana jamani

  • @MagrethMoleli-py3zu
    @MagrethMoleli-py3zu 3 місяці тому

    Imeniuma sana malaika yule kuuuwawa tunamuuzi sana mungu wanadamu inauma sana

  • @Naju645
    @Naju645 3 місяці тому +2

    Mtoto mzur kaniumaaa😢

  • @KulwaElias-ky3ig
    @KulwaElias-ky3ig 2 місяці тому

    Polen san

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 місяці тому

    Mungu ipumzishe kwa amani roho ya mtoto Asimwee.
    Na uchunguzi ufanyike wahusika wachukuliwe hatua kali.

  • @moseslawikashindi1822
    @moseslawikashindi1822 3 місяці тому

    😢😢😢

  • @MayolwaGolani
    @MayolwaGolani 3 місяці тому +3

    Jamnii machozi yanaotoka kila maraa

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 3 місяці тому

    Daaaaa Roho Inauma sana daaa AISSEH

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz 3 місяці тому +2

    Poreni Sana wafiwa

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 3 місяці тому

    Ukisikia kwa wengine unasahau haraka sana lakini Mungu atusaidiye

  • @MusaMoleli-t3k
    @MusaMoleli-t3k 3 місяці тому

    😭😭😭😭😭😭Daaaa inauma sana mtoto mzuri hivi 😭😢😢😢😢😢😢😢

  • @georgemahenge
    @georgemahenge 3 місяці тому

    Kwa nn.wakati wa uchaguzi

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 3 місяці тому

    Jamani kawakosea nn mtoto maskini kumfanyia ukatili kama huu mungu hatowaacha salama kwa dhulma hii 😭😭😭😭

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 3 місяці тому

    Pole sana mzee hakika damu yamwanao Italia ndani ya udongo juu yawahusika wote😢

  • @Maftaha-k8m
    @Maftaha-k8m 3 місяці тому

    Polen sana tuwen makin san roho za watu wabay ni nying

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 3 місяці тому

    💔💔💔💔mungu awape subra na watu waliofanya kitendo cja kinyama kumdhurumu huyu mtoto mungu waumbue

  • @RamaJumaa-sq9xw
    @RamaJumaa-sq9xw 3 місяці тому

    5:21 5:22 poleni

  • @thobiasLoti
    @thobiasLoti 3 місяці тому +1

    😭😭😭nikimuona asimwe machoz yananidondoka

  • @babynahya8038
    @babynahya8038 3 місяці тому

    Daah😢😢

  • @olivazaituni2440
    @olivazaituni2440 3 місяці тому

    Sheria ibadilishwe auae kwa upanga leo afe kwa upanga kesho,kifo cha maisha ata maliza bajeti ya msosi .

  • @StenoDeAlphaTv
    @StenoDeAlphaTv 3 місяці тому

    Daaah

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 3 місяці тому

    inalilahi wainailahi rajiun

  • @musamusa6374
    @musamusa6374 3 місяці тому

    Baba kakamatwa kwa kosa la kuokota simu au mm sijaelewa

  • @omaryyusuph7877
    @omaryyusuph7877 3 місяці тому

    Daaah 😢😢😢😢

  • @JovinaWilfred-lc4pb
    @JovinaWilfred-lc4pb 3 місяці тому

    Masikini mtoto mdogo kwakweli Mungu awa laaani wahusika wakamatwe na wafungwe kifungo cha maisha😭😭

  • @لويسلويس-ص6ر
    @لويسلويس-ص6ر 3 місяці тому

    Huy mzee amejua kujieleza vizu san

  • @Ashuramauwa
    @Ashuramauwa 3 місяці тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @obadiahnkwale124
    @obadiahnkwale124 3 місяці тому +1

    ina uma sana kiukwel duh 😢

  • @AguliSimchimba-fq7ep
    @AguliSimchimba-fq7ep 3 місяці тому

    Jamani,mungu atusaidie tu jamani.Ila inauma sana mtoto hana hatia yoyote aiseee.Malipo n hapa hapa duniani

  • @PoleEemanuely
    @PoleEemanuely 3 місяці тому

    Mambo and the family 2:20

  • @beatricemwakasyuka699
    @beatricemwakasyuka699 3 місяці тому +1

    Mtoto ameniuma . Mpaka tumbo limeuma waganga wanadanganya. Namin hakuna hera yakuuwa

  • @rosemneney3244
    @rosemneney3244 3 місяці тому +10

    Yaani mtoto alikua anaishi nyumba ya tope kafa anajengewa kaburi la tofali?????

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 3 місяці тому +5

      Ss hujasikia mazishi yanasimamiwa na serikali?

    • @JoyceLuhasha
      @JoyceLuhasha 3 місяці тому +2

      Mazishi yamesimamiwa naserikali.

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 3 місяці тому

      Mazishi yameaimamiwa na serikali makaburi akina samani na nyumba

    • @pendoanzigar3172
      @pendoanzigar3172 3 місяці тому

      uwe mwepesi kufatilia mambo kabla hujacoment

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 3 місяці тому +2

      Afadhali wew unajua kaburi lako jinsi litakavyokua hongera sana.

  • @ChrisMeshack
    @ChrisMeshack 3 місяці тому +1

    Ila simu

  • @Betty-n2v
    @Betty-n2v 3 місяці тому

    Mtoto alivyo mdogo atakua alimlilia baba yake bila kujua kwmba baba yake ndie nyoka😢😢

  • @priscangimba6194
    @priscangimba6194 3 місяці тому

    Katoto kamekufa kwa mateso😢kanaita mama nisaidie jaman😢

  • @Hidaya-e7x
    @Hidaya-e7x 3 місяці тому +1

    Imeokotwa simu ya mwanaume ina nini sijaelewa

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 3 місяці тому +1

    daah itashangaza sana kama hadi rais wa nchi amesikitishwa na mauaji alafu baba wa mtoto ndio awe muhusika😅

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d 3 місяці тому

    Mungu ailaze pema roho ya mrehemu peponi ila wamemdulumu mtot mdogo inauma si wangemfata haji manara tu kashakula chumvi ya kutosha

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 3 місяці тому +1

    Jmn kwann wamemfanyia hv mtoto haya maumivu yote jmn kwann

  • @RashidMwasiposya-ck6py
    @RashidMwasiposya-ck6py 3 місяці тому

    Mungu Namin upo naomba wahusika walaniwe milele

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 3 місяці тому

    Daah huo wimbo siupendagi basi tu😢

  • @Evnce007
    @Evnce007 3 місяці тому

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 місяці тому +1

    Dah ila Tanzania bado kuna sehem watu wanamaisha magumu mno, iyo nyumba ni ya binadamu kuish. Mungu tusaidie

    • @itiamekimbui722
      @itiamekimbui722 3 місяці тому +1

      hiyo ni ashiria ya kuwa hicho kijiji kimekolea sana kwa ushirikina. hiyo ardhi inaonekana iko na rotuba inaeza toa mazao vizuri lakini wenyeji wamefungwa na shetani

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 3 місяці тому +1

      Usidharau watu. Jua Tanzania bado kuna wananchi wengi sana wenye maisha magumu tofauti na unavyoelewa na kufikiri.

    • @dorcasassenga2005
      @dorcasassenga2005 3 місяці тому

      Ni kweli Jamani. Watu wa vijijini wanaishi maisha ya tabu sana ,kuanzia chakula ,mavazi na hata nyumba za kulala. Umeme hakuna,Barabara shida,Hospitali shida,maji shida. Yaani Kila kitu ni shida.ifike wakati serikali iwakumbuke watu wa vijijini na wenyewe wasijione wanyonge Jamani

  • @EmmanuelKwibukila
    @EmmanuelKwibukila 3 місяці тому

    Jamani dunia imeisha kam na paloko anafanya uwovu huu tunaend wp?

  • @abuujr5578
    @abuujr5578 3 місяці тому

    Enzi ya baba magufuli haya matukio mbona yalipungua kwanini? Yanajirudia tuacheni imani za kishilikina jamani tunakosa amani

  • @JerusaMkuyu-pw1zo
    @JerusaMkuyu-pw1zo 3 місяці тому

    Ushilikina wakipumbavu sana

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 3 місяці тому +1

    Ni ngara au wapo hapo