TOP 10 YA WASANII WENYE MAGARI YA KIFAHARI NA BEI KALI TANZANIA 🇹🇿
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Mdau wetu Hii ni orodha inayojuimuisha mastaa wa Bongo Fleva Pekee sio kiwanda chote cha mastaa ikiwemo wale wa Bongo Movie hapo ni muziki tu.
Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
#diamondplatnumz #alikiba #tanzania #live #simbasc #yangasc #harmonize #wasaniiwenyemagarimakalibongo #wasaniiwenyenyumbakalitanzania #mastaawenyemagarimakalitanzania #wasaniimatajiritanzania
Konde gang ni chama cha masupasta na nimeipenda sana sana sana
Siku ambayo diamond atakufa mtamkumbuka mengi sana
Nakubali smba
Namuona harmonize mbali sanaaa few years to come ndo atakua namna moja Tanzania kwa kumiliki pesa,magari na nyumba Kali zaidi.
ua-cam.com/video/jd6f-KeSQ70/v-deo.htmlsi=HmzdFNw-J68rv7tj
Nakubali tjr simbaaa
Harmoniz baba
Big up sana kwa Diamond
Big up
King namber one
nakubali hiyo gari ya mondy ni kali kwanzo hiyo gari inaitwa rolls royce eeh ni noma sana
mimi navyoona ni simba🦁🦁🦁🦁
Alikiba nimtu mkubwa sana bha
Tunawapa hongera kwani watakufa wayaache kwanza diamondi aache ubinafsi hayo ndo yangu bhana sinameng from 🇰🇪
katafute zko sio ubinafsi😂
Team kiba gongeni like hapa ❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hongera mond
Simba juu
Simba number 1
Uwongoooo
M noma sasn
Amin kwamba
Diamond bebe
Nakubal san
Nakubali simba
😮 tembo kikohozi mwamba simiyu ndani
Big up❤❤
Nakubali sana babu
Konde boy harmonize
We nandi atavunja rekodi ya simba❤❤❤
Akuna zaidi kond boy 1
Namukubali sana
From burundi
Oya brother
Oya brother
Diamondi mukari
Wabongo acheni unafkii kiba Ako top na sio nambar saba
Saw vzl
Nawakubalii xaxa mm nataka kaziii
Kiba number one
Xxx
Namkubali. Kingi. Kiba. Mnyama
Konde gang ndo habar ya mjini
Konde sawa ila apo kwa King kiba mnatuonea
Kaka njoo chunya kaka
Kiba oyeee
Kazi wanayo
Tetezitu hizo kazi ata sizawo
Namkubari mond😂
Habali za wakinga
Iyo nimeikubali
Hakuna zaidi ya alikiba😅😅😅😅
Simba wew nimukali
Namkubali juma jux
kumiliki range si rahisi Kama unavyo fikiria
Wasaidie wasojiweza
Sawa wabongo
Ntawaomba kaz
King
Sijailewa top ten
Hizo gari naskia sijui 80 million 40 milllion my friend ukikuja kenya hizo range Rover ni 3 million kuendelea alafu hapo kwa rolls Royce rank na watanzania wenzako usijumulishe East Africa wasanii wako na ma Lamborghini huku Kenya na hawajisho up
Rolls Royce ni gari ya 40m hadi 70m pesa ya kenya but ka ni Lamborghini pia ni 40m hadi hapo
Mtu wa kwanz ni harmonize
Konde boy ndiye ataivunja hio record
Harmonize amaeza kulipa hyoo
nyey kweli hamuna vichwa sawa
Kweli pongezi kwenyu wasanii wetu
Ahh mondi we Atari
Diamond kaua
You are most being on wasafi side
Mnajua kwa rickross ni ujinga mno umaskin mtupu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉😢😢😢😢😊😊😊
Hatari
Juma marco
jux atvunja record ya diamond
Harmonize akijibanabana anaweza akamfikia , ila mpaka yesu arudi duniani
Diamond 2:31
Diamondi
Wee jamaangu muongo sana du
King kiba
Akuna mwengine kama simba
Kenya kizungu ya walevi na range Rover ni gari la hustler wa chini
Amna ni diamrond
Uyo sasa ndo the giant from africa
😅😅😅 apo kwa simba sas
Mario ndo Baba lao lakn kiba anakwama kuingia katika timu ya makolor TABU LELE ⁵ nakupendaa mario unakuja vizuri 😂😂😂 kibaa unakwama
Saruti kwakondee
Kiukweli napenda sana tanzania.lkn kuna shida moja ambayo hawawezi kuachana nayo nayo ni uninafsi.mana maisha ya alikiba .ni makubwa kuliko ya harmonize na van boy.lkn hapa amewekwa mbali kabisa..yani wataka kumfananisha alikiba na mbosso. Pamoja na zuchu kweli.huu ni unafki....lkn kiukweli wa maisha alikiba yuko juu kisha sana
.wala sio mtu wakutaja vitu visivyo kuwa vyake..ile siku mtabadilika na kuwa wa kweli bac tz itakuwa na nguvu nzuri sana.kwa hawa wasanii
Mana hakuna msanii aliye wahi kuhesabu pesa zake mbele ya waandishi wa habari.hivi haya yote muliyatoa wapi kama sio kuhongwa uli mumwage sifa za kiongo..
😂amesema ma gari Wala sio maisha
😱😱😱😱😱😱😱
Tumechoka range
Nikweli
Konde ndo bas tena
izo nizashambani
Acheni zarau watanzania penden chenu
Simba mkali
Dunia ipo nguvu
Ajapangilia
Range rover kenya 🇰🇪 zimezagaa kila mahali . Ni gari ya kawaida sana
Wew unayo
Kumbe kumiliki range kibongo bongo unakuwa umetoboa.
Harmnz apo anashk nafas a ya one
Jeshii atamyoa
Tunataka wanunue ndege sasa
Rayvanny kumbe yupo na yeye at
Hakuna Zaid ya simba
Wakigua wanataka wasaidiwe
Cha ajabu masanja mkandamizaji hayupo
Range Rover huko Tanzania mwaiona ya Bei sana huku kenya hizo n gari za wa mamah sokoni
Wew muongosana kadanganye washamba
80 milion ni kama 4 million nne za Kenya ,hakuna rage Rover ya hizo pesa kidogo
Nikweri kabisa uku tz msanii nasie msanii akimiliki gali izi anaonekana tajiri mkubwa sana, uko kenya 🇰🇪 mjomba angu godlack ana endea shambani kuchukua chakula ya nguluwe 🤫🤫🤫🤫
😁😁KRG THE DON wa wap
Ndy mjomb wako ww unay nakam unay njoo tz tukuon tajir🤒
Tanzania range Rover mnaona niya kifahari😂uku Kenya range tunakatia manyasi ya ng'ombe
Kweli
Erick Omond alikuwa anaandamana juu ya nini?? Njaa zinawaua Majirani acheni ubinafsi saidieni majirani na ndugu zenu mnatupa tabu huku Sirali hasa mkija kwenye misiba ya ndugu zenu mnabeba kila kitu kha
Achakuongopa ww😂😂
Ongeza volume kidogo mzee ni kama hawajaskia vizuri😂
Hahahahaaa...! Ongeza sauti wakuckie😅😅
Aliye pewa amepewa mungu kawapa tusubirie na sis zamu zetu mungu akipenda atatupa t tuache wivu wa kijinga pia wamejituma sana washikaji wee endelea kukaa kijiweni na kisubiria upewe jitume Mzee mungu sio boya akupe wewe mwenye majungu kama yote
na wewe mwenyewe