DIAMOND amewakimbiza DAVIDO,BURNABOY na WIZKID kwa kujaza watu wengi kwenye show moja,ashika namba..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
    #middlesimba
    #WeAreEverywhere
    #diamondplatnumz

КОМЕНТАРІ • 114

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 5 місяців тому +33

    Simba🦁 Ajawaiii muacha Mtu salama ...
    . Bigapuu sana 🇹🇿

  • @amalone0
    @amalone0 5 місяців тому +25

    Diamond Platnumz ni level nyingine , mi huwa nawashangaa watu wanaomfananisha na wasanii wengine ambao hata Burundi hawajawahi kufanya show huko

  • @merveilgibson1
    @merveilgibson1 5 місяців тому +10

    Simba nimkubwa teana sana kuona msani anaeimba Swahili mpaka anafika apo sio kazi ndogo nivile tuu watuu hawariziki 🤌🤌kwaio tumupe respect yake kama msani kutoka Afrika mashariki ❣️❣️Mimi wakwanza namupa heshima yake 🙏

  • @isodonaman254
    @isodonaman254 5 місяців тому +15

    QATAR WATCHING💯

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 5 місяців тому +10

    Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen

  • @NduneBarrack
    @NduneBarrack 5 місяців тому +13

    🔥🔥🔥🔥🔥 Simba East Africa

  • @user-ku3xb9jk3q
    @user-ku3xb9jk3q 5 місяців тому +5

    Tatizo letu ss mashabi uwa tunashabikia bili kuchunguza ila kiukweli diamond platnumz anatufanya ss mashabiki zake Tue na furaha sana ❤❤❤

  • @SIMBADANGOTE-jj3ip
    @SIMBADANGOTE-jj3ip 5 місяців тому +7

    Wcb wasafi tujuane apooh ndugu zanguni ❤❤❤❤

  • @luckybarbershop2342
    @luckybarbershop2342 5 місяців тому +8

    Ogera sana mr diamond platnumz

  • @siamejerry9239
    @siamejerry9239 5 місяців тому +10

    Simba big one

  • @Itszydanny
    @Itszydanny 5 місяців тому +6

    🦁 simba 🔥

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 5 місяців тому +3

    Mashaallah diamond🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @HazardHbcomEmmanuelprodduseign
    @HazardHbcomEmmanuelprodduseign 4 місяці тому

    courage Diamond Platnumz je t'aime fort malgré je suis congolais 🇨🇩

  • @sentimali2011
    @sentimali2011 5 місяців тому +9

    🔥🔥🔥

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 5 місяців тому +5

    Kweli middle Simba umekuja n'a fact Kila mtu ashinde merch zake , Diamond Plantamz anatuwakilisha East Africa

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 5 місяців тому +3

    💥💥🔥🔥🔥🦁🦁

  • @LumengeYondo
    @LumengeYondo 5 місяців тому +8

    Good job

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 5 місяців тому +2

    💥💥💥💥🤝🙌

  • @widebrainclassic
    @widebrainclassic 5 місяців тому +9

    Simba

  • @Smithdaob1
    @Smithdaob1 5 місяців тому +19

    Washabiki wa harmonize huku wakizani diamond alikua anaboost watu 😂

    • @ShafiiRashid-zg3sh
      @ShafiiRashid-zg3sh 5 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 5 місяців тому

      Mnaamini ujinga kutoka kwenye channel za wajinga, hv huyu awe wakwanza kupost ishu kama hyo bila wasafi? Acheni kukurupuka watu wabafosi viewers kwenye channel zao ili waingiza pesa

    • @DjemsTorontos
      @DjemsTorontos 5 місяців тому

      😮😮we vipi kwahiyo unataka ku mlinganisha diamond plantumz na harmonize? Harmonize msanii mkubwa ww sio levo za diamond plantumz.

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 5 місяців тому

      ​@@DjemsTorontos Harmonize ana ukubwa kwa vigezo gani?

  • @NdakhiSusu-qz9md
    @NdakhiSusu-qz9md 5 місяців тому +11

    We zombie!!🔥🔥🔥🔥

  • @widebrainclassic
    @widebrainclassic 5 місяців тому +6

    Wanaongea sana ila mwishowe simba anawin🎉🎉😂😂

  • @abdulishaban380
    @abdulishaban380 5 місяців тому +4

    Simba in Africa 🔥🔥🔥

  • @falialawelole565
    @falialawelole565 3 місяці тому

    Simba🔥🔥🔥💐💐💐💐💐

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 місяців тому +3

    ❤❤❤❤❤

  • @ramadhanjuma7254
    @ramadhanjuma7254 5 місяців тому +16

    WA kwanza nipewe like zangu

  • @user-ws6rw1fj3o
    @user-ws6rw1fj3o 5 місяців тому +2

    Simbaaaa

  • @edwinsimbaa
    @edwinsimbaa 5 місяців тому +3

    Simba i love you so much I'm from kenya but huyu KRG the don ako na utoto sana please middle simba can you explain to this ktg about currency pay ,,he disrespect diamond platnumz because he is from Tanzania

  • @user-us4tg2it5q
    @user-us4tg2it5q 5 місяців тому +4

    Daaa hiyoo ngoma au hilo biti Linalo lia mwisho ngoma gani please

  • @nashommagwe5112
    @nashommagwe5112 5 місяців тому

    Manguli hao ❤❤❤simba

  • @LWANGELAKIZA
    @LWANGELAKIZA 5 місяців тому +4

    big unahuwa sana

  • @user-jq9rj4dm5u
    @user-jq9rj4dm5u 5 місяців тому +4

    Sikupingi Middle uko sahihi kaka mkubwa akili kichwani😅

  • @hassansuleiman-ph3jg
    @hassansuleiman-ph3jg 5 місяців тому

    The one and only 💯💯💯

  • @sergetyga1387
    @sergetyga1387 5 місяців тому +3

    Kwenye wasani wenye wamefanya vizuri kwaku jaza watu kwa kweli diamond platnumz ayupo ata kwenye top 10 barani Africa

    • @user-jq9rj4dm5u
      @user-jq9rj4dm5u 5 місяців тому

      Huyu Somali nae wawapi kw maana Kila mara yy akonyuma na masaa!!!😂😂😂

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 5 місяців тому

      Toa list yako basi tuone

  • @kalistuschaula
    @kalistuschaula 5 місяців тому +3

    now tunajua

  • @DevicFausti
    @DevicFausti 5 місяців тому +5

    Ooooh les golois où es tu? 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @marlodemarlove9281
      @marlodemarlove9281 5 місяців тому

      😂😂 français swahili
      Noma sana
      Il faut savoir parler

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 5 місяців тому +2

    SIMBA 🔥🔥 MUNGU AKUZIDISHIE MAISHA MAREFU ILI UZD KUTUWAKILISHA WATZ.

  • @edgaramiani
    @edgaramiani 5 місяців тому +8

    𝓝𝓲𝓹𝓸 ❤

  • @vee896
    @vee896 5 місяців тому +1

    middle simba am ur big fun from 254 say hi to mee plz

  • @almaseassy910
    @almaseassy910 5 місяців тому +5

    Oyaa hiki kiumbeee kina barha

  • @nashommagwe5112
    @nashommagwe5112 5 місяців тому

    Pongezi sana middle 🦁

  • @raphaelnovatus7085
    @raphaelnovatus7085 5 місяців тому +2

  • @user-zv2ng6ov2k
    @user-zv2ng6ov2k 3 місяці тому

    dimond tunamukubari🎉🎉🎉 sisis

  • @ShabanKarim-tv3vn
    @ShabanKarim-tv3vn 5 місяців тому

    Anawanyoosha bila huruma❤❤❤

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 5 місяців тому +6

    Uyo ndo msani mwenye nguvu apo kwenu tanzania alikiba yy anajua redio tu na mademu 😂😂😂

  • @nashommagwe5112
    @nashommagwe5112 5 місяців тому

    Simba noma Mungu mbariki sana ❤❤❤

  • @jayramadhan2820
    @jayramadhan2820 5 місяців тому +4

    I understand Diamond is ur boss 😂😂😂😂😂😂

  • @Chrisngoie-by2xr
    @Chrisngoie-by2xr 4 місяці тому

    Simba la Simba

  • @samsonmatwiga6098
    @samsonmatwiga6098 5 місяців тому +7

    Wezombie🦁

  • @toneboytz6655
    @toneboytz6655 5 місяців тому +3

    Big mwongo san sikuelewag

  • @user-lh8sq4jo5w
    @user-lh8sq4jo5w 5 місяців тому

    Wow fally ipupa

  • @user-xn2ih2br7y
    @user-xn2ih2br7y 5 місяців тому +7

    Oya tunaangalia international west Africa ndio wababe ni hilo tu,🙌

  • @assatz3
    @assatz3 5 місяців тому

    Kweli

  • @SlambienSimon-fo6eg
    @SlambienSimon-fo6eg 5 місяців тому +3

    First from namibia

  • @Official-bataboy
    @Official-bataboy 5 місяців тому +3

    Sasa kumbe😂😂😂

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 5 місяців тому +3

    Mapenz ua sio nakiwango

  • @user-dw4jl5lo4m
    @user-dw4jl5lo4m 5 місяців тому +2

    We tunakujua kama choko daimondi anakugonga na ndomaana unamsifia hata akiwa hafanyi kit cha kueleweka labda awazidi kutoboa toboa pua

  • @user-pf9rk6jp4f
    @user-pf9rk6jp4f 5 місяців тому +2

    Vipi kuhusiana na numbers kwenye digital platforms kama Spotify na nyinginezo

  • @rahelclement4298
    @rahelclement4298 5 місяців тому

    🙌🙌🙌

  • @IzaTway
    @IzaTway 5 місяців тому

    Middo hiyo goma ya nani please nisaidie jina lake.l ask for help support

  • @user-xn2ih2br7y
    @user-xn2ih2br7y 5 місяців тому +4

    Sasa wasifia Simba mtu ambaye anajaza Africa aenda uko o2arena mambele we wamsifia apa kweli hauko sawa

    • @amilyabdu1563
      @amilyabdu1563 5 місяців тому

      Fuatilia Hapo Juu Kabla Middle Hajasema Akili Kumkichwa

    • @user-jq9rj4dm5u
      @user-jq9rj4dm5u 5 місяців тому

      Sasa 02 arena inauwezo wakubeba watu elfu 60 pekeake wakati mwamba kashajaza watu laki mmoja Ethiopian akili kichwani zombie 😅😅😅

    • @MattarSalim-jw3lp
      @MattarSalim-jw3lp 5 місяців тому

      Acha utoto diamond hiyo amejaza South Sudan wa naijeria hata pale kwao kwa nini washindwe kujaza hivyo, hata kama wamewahi kujaza pale nyumbani kwao iyo dadi ingaliwekwa kwenye mkeka acheni roho mbaya

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 місяців тому +2

    Diamond mnao mchujulia poa endereeni tu ila huyu mtu sio wakitoto tuache naziea ukisikiriza rekodi hizi ndio unajua diamond sio wamchezo

  • @babuCosmas
    @babuCosmas 4 місяці тому

    Bro samahani sana nimefatilia ila nimeshindwa naomba nisaidie jina la song linalool play nyuma apo ukiwa unaongea pleasee

  • @user-df5gw2mq2n
    @user-df5gw2mq2n 5 місяців тому +7

    Simba si mchezo

  • @user-jn8im4ph3g
    @user-jn8im4ph3g 5 місяців тому

    😂😂😂 toka wacha kudanganya watu

  • @soundmale
    @soundmale 5 місяців тому +1

    Kuna watu hawamini kuhusu diamond😂..hata kukisema burna boy aje bongo na diamond aende nigeria lzma mondi ampiku burna😂

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 5 місяців тому +2

    Ndiomana wabongo wengi hawaelewi wanapoambiwa Mondi ni msanii mkubwa wanataka awe anaongea kizulu au kifaransa ndipo watakubali

  • @user-cy2kb4xf1y
    @user-cy2kb4xf1y 3 місяці тому

    simbaaaaa

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 4 місяці тому

    Simbaa anatisha

  • @DjemsTorontos
    @DjemsTorontos 5 місяців тому +1

    Kajaza wapi we naye mjinga wewe middlia simba harmonize msanii mkubwa kuliko uyo diamond plantumz wenu mjinga mwenzenu 😮😮

    • @user-re4ve4nf3p
      @user-re4ve4nf3p 4 місяці тому

      Maskini yaani mna force harmonize mahali kuna facts wow

  • @MimahMimi-rv8vu
    @MimahMimi-rv8vu 5 місяців тому

    Jamaa balaa na nusu

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 5 місяців тому +9

    Simba mNyama mwingine wewe mwacheni alivyo

  • @abdulkarimu6548
    @abdulkarimu6548 5 місяців тому

    mbona haukuzungumuzia arena England kama diamond nimusani mkubwa anawazidi wasani kutoka Nigerian

  • @user-pz6yt4kw5b
    @user-pz6yt4kw5b 5 місяців тому

    Bonn yan wakajaze mambeke hilo sasa

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 5 місяців тому +1

    hiyo ni kitambo sana wewe ndo unasema saizi

  • @mohamedmwinjuma
    @mohamedmwinjuma 5 місяців тому +1

    Mond ni habari nyengine

  • @user-yt2bw7bc8b
    @user-yt2bw7bc8b 4 місяці тому

    Kk mbona sijasikiya uyoo harmo ambaye iko nataka kushindana na mondi

  • @user-qf6dh9hy8c
    @user-qf6dh9hy8c 5 місяців тому

    DPM weka mbali na watoto ni noma

  • @jayramadhan2820
    @jayramadhan2820 5 місяців тому +2

    Burna boy South Africa ame Jaza watu laki 100.000 mbona sioni apo fake news

    • @MattarSalim-jw3lp
      @MattarSalim-jw3lp 5 місяців тому

      Nyinyi ni wapuuzi mliokuwa hathamini vya kwenu hiyo ni moja ya record ambazo mpaka sasa wasanii wa naijeria hawajaweza kuvunja na wataumia sana

    • @erickrugabela7747
      @erickrugabela7747 5 місяців тому

      Hakunaga laki 100 mkuu

  • @francisdeomassawe6307
    @francisdeomassawe6307 5 місяців тому +1

    Alf unaskia alikiba akijitamba kua nimsanii mkubwa kumzidi mwamba kweli?? Ahahahahah 😂

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂 tunajitekenya na kucheka 😅😅😅😅😅

  • @babalao3250
    @babalao3250 5 місяців тому +1

    ni simba la Masimba dangote

  • @hudhaimarajab9103
    @hudhaimarajab9103 5 місяців тому +1

    We middle sijui km hukanyagwi watu wanajaza arena unasigia east afrika 😂

    • @MattarSalim-jw3lp
      @MattarSalim-jw3lp 5 місяців тому

      Acheni utoto sisi tu naangalia numbers kwa nini wao washindwe kujaza hata pale nyumbani kwao Ah! Bro mbona ingaliwekwa kwenye mkeka pia

  • @paschalekagito3507
    @paschalekagito3507 5 місяців тому +1

    Uyu atakua anakanyangwa na mondi

  • @ramamohamed492
    @ramamohamed492 5 місяців тому +1

    sinbaaaaaa

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 5 місяців тому

    Mwamba. Anapepeaa

  • @jayramadhan2820
    @jayramadhan2820 5 місяців тому +1

    Toka uko muongo wewe

  • @dicklovetheventure9848
    @dicklovetheventure9848 4 місяці тому

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @kulwajeremiah1576
    @kulwajeremiah1576 5 місяців тому +3

    Simba

  • @VITUSPROTUS-wh4mn
    @VITUSPROTUS-wh4mn 5 місяців тому

    Simbaaaaa

  • @yanickmustafa7221
    @yanickmustafa7221 5 місяців тому +3

    Simba

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 5 місяців тому +2

    Simba

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 5 місяців тому +2

    Simba

  • @FabriceKihanga-de7rp
    @FabriceKihanga-de7rp 5 місяців тому +3

    Simba

  • @EmanuellVictoria
    @EmanuellVictoria 5 місяців тому +1

    Simba

  • @user-lr1wy7de1c
    @user-lr1wy7de1c 5 місяців тому

    Simba