- 515
- 585 339
Sabri Zamil Almendhry
Canada
Приєднався 9 лип 2015
Kazi yetu ni kukusogezea mafunzo sahihi, kukumbusha na kukuletea majawabu kutoka kwenye vinywa vya masheikh wetu. Hapa ni Elimu kwa dalili القران الكريم والسنة ومنهج الصحيح هي منهج السلف الصالح Subscribe now!
Welcome to our channel dedicated to providing accurate and insightful educational content based on the Quran and Sunnah. Our goal is to remind and provide answers from the teachings of our scholars. Join us for beautiful Quran recitations, Tafsir in Kiswahili, and English translations. Subscribe now for valuable knowledge and guidance.
Welcome to our channel dedicated to providing accurate and insightful educational content based on the Quran and Sunnah. Our goal is to remind and provide answers from the teachings of our scholars. Join us for beautiful Quran recitations, Tafsir in Kiswahili, and English translations. Subscribe now for valuable knowledge and guidance.
NILIKUWA SUFI SAFARI YA KUSOMA YA SHEIKH ABUUBAKAR KIZA KAMA MWALIM WAKO NI SUFI UNATAKIWA KUMPENDA?
NILIKUWA SUFI SAFARI YA KUSOMA YA SHEIKH ABUUBAKAR KIZA KAMA MWALIM WAKO NI SUFI UNATAKIWA KUMPENDA?
Переглядів: 919
Відео
𝗨𝗞𝗪𝗘𝗟𝗜 𝗪𝗢𝗧𝗘 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗭𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗞𝗔𝗦𝗦𝗜𝗠 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔 𝗭𝗜𝗟𝗜𝗭𝗢𝗦𝗔𝗠𝗕𝗔𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗡𝗗𝗔𝗢𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗡𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗣𝗜𝗔
Переглядів 4,1 тис.4 години тому
𝗨𝗞𝗪𝗘𝗟𝗜 𝗪𝗢𝗧𝗘 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗭𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗞𝗔𝗦𝗦𝗜𝗠 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔 𝗭𝗜𝗟𝗜𝗭𝗢𝗦𝗔𝗠𝗕𝗔𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗡 𝗔𝗢𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗡𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗣𝗜𝗔
𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗛𝗨𝗥𝗔𝗙𝗜 𝗪𝗔𝗖𝗛𝗔𝗪𝗜 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗦𝗛𝗔𝗥𝗜𝗙𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗨𝗦𝗜𝗞𝗨
Переглядів 1,7 тис.4 години тому
𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗛𝗨𝗥𝗔𝗙𝗜 𝗪𝗔𝗖𝗛𝗔𝗪𝗜 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗦𝗛𝗔𝗥𝗜𝗙𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗨𝗦𝗜𝗞𝗨
𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗡𝗡𝗘 ( 𝟰 ) 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗙𝗨𝗡𝗭𝗔 𝗟𝗨𝗚𝗛𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘 𝗜𝗟𝗘 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗜𝗨𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜
Переглядів 1,3 тис.7 годин тому
𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗡𝗡𝗘 ( 𝟰 ) 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗝𝗜𝗙𝗨𝗡𝗭𝗔 𝗟𝗨𝗚𝗛𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘 𝗜𝗟𝗘 𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗜𝗨𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜
𝗦𝗔𝗟𝗔𝗙𝗜 𝗛𝗔𝗜𝗞𝗔𝗧𝗔𝗭𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗢𝗠𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗢𝗠𝗢 𝗬𝗔 𝗘𝗡𝗚𝗜𝗡𝗘𝗘𝗥𝗜𝗡𝗚
Переглядів 1 тис.9 годин тому
𝗦𝗔𝗟𝗔𝗙𝗜 𝗛𝗔𝗜𝗞𝗔𝗧𝗔𝗭𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗢𝗠𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗜 𝗨𝗡𝗜𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗢𝗠𝗢 𝗬𝗔 𝗘𝗡𝗚𝗜𝗡𝗘𝗘𝗥𝗜𝗡𝗚
𝗛𝗔𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 𝗔𝗡𝗔𝗘𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗥𝗜𝗗𝗛𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗠𝗠𝗢𝗝𝗔
Переглядів 98512 годин тому
𝗛𝗔𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 𝗔𝗡𝗔𝗘𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗥𝗜 𝗛𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗞𝗘 𝗠𝗠𝗢𝗝𝗔
𝗨𝗗𝗛𝗔𝗜𝗙𝗨 𝗪𝗔 𝗕𝗜𝗕𝗟𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗝𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗘𝗟𝗙𝗨 𝟲
Переглядів 58814 годин тому
𝗨 𝗛𝗔𝗜𝗙𝗨 𝗪𝗔 𝗕𝗜𝗕𝗟𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗘𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗝𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔𝗜 𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗘𝗟𝗙𝗨 𝟲
𝗛𝗔𝗜𝗪𝗘𝗭𝗘𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗘 𝗗𝗔’𝗔𝗪𝗔 𝗨𝗣𝗘𝗡𝗗𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗢𝗧𝗘
Переглядів 43116 годин тому
𝗛𝗔𝗜𝗪𝗘𝗭𝗘𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗘 𝗔’𝗔𝗪𝗔 𝗨𝗣𝗘𝗡 𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗢𝗧𝗘
𝗠𝗝𝗨𝗘 𝗧𝗛𝗔𝗕𝗜𝗧 𝗤𝗔𝗬𝗦 𝗦𝗛𝗔𝗠𝗠𝗔𝗦 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗘𝗞𝗜𝗠𝗕𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗬𝗔 𝗦𝗨𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗘
Переглядів 1,1 тис.19 годин тому
𝗠𝗝𝗨𝗘 𝗧𝗛𝗔𝗕𝗜𝗧 𝗤𝗔𝗬𝗦 𝗦𝗛𝗔𝗠𝗠𝗔𝗦 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗘𝗞𝗜𝗠𝗕𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗞𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗬𝗔 𝗦𝗨𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗘
𝗦𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗬𝗘𝗠𝗘𝗡 𝗞𝗨𝗩𝗨𝗡𝗝𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔𝗠 𝗟𝗔 𝗭𝗜𝗟𝗞𝗛𝗔𝗟𝗔𝗦𝗪𝗔
Переглядів 78821 годину тому
𝗦𝗔𝗙𝗔𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗞𝗪𝗘𝗡 𝗔 𝗬𝗘𝗠𝗘𝗡 𝗞𝗨𝗩𝗨𝗡𝗝𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔𝗠 𝗟𝗔 𝗭𝗜𝗟𝗞𝗛𝗔𝗟𝗔𝗦𝗪𝗔
𝗝𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗟𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔𝗟𝗢𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗨𝗣𝗘𝗡𝗗𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗡𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛
Переглядів 344День тому
𝗝𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗟𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔𝗟𝗢𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗨𝗣𝗘𝗡 𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗡𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛
𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 WA 𝗠𝗜𝗝𝗔𝗗𝗔𝗟𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗛𝗨𝗥𝗔𝗙𝗜 𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗪𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗣𝗔 𝗧𝗨
Переглядів 1,4 тис.День тому
𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨 𝗔 WA 𝗠𝗜𝗝𝗔 𝗔𝗟𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗛𝗨𝗥𝗔𝗙𝗜 𝗦𝗜𝗡𝗔 𝗠𝗨 𝗔 𝗪𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗡𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗣𝗔 𝗧𝗨
𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗗𝗜𝗞𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗜𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗗𝗛𝗔𝗛𝗔𝗕𝗨
Переглядів 289День тому
𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗔 𝗞𝗨𝗔𝗡 𝗜𝗞𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗜𝗡𝗢 𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗛𝗔𝗕𝗨
𝗠𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗞𝗜𝗦𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗧𝗨 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗘𝗙𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗥𝗜𝗬𝗔𝗗𝗛
Переглядів 2 тис.День тому
𝗠𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗞𝗜𝗦𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗧𝗨 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗘𝗙𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗥𝗜𝗬𝗔 𝗛
𝗧𝗨𝗡𝗔𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔 𝗧𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗦𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘 𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗧𝗔𝗛𝗥𝗜𝗥 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗪𝗔
Переглядів 1 тис.День тому
𝗧𝗨𝗡𝗔𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔 𝗧𝗢𝗞𝗘𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗦𝗢𝗠𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘 𝗧𝗔𝗛𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗧𝗔𝗛𝗥𝗜𝗥 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗪𝗔
𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝟭𝟬 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗔𝗠𝗔 𝗧𝗢𝗕𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗧𝗔𝗣𝗢𝗞𝗘𝗟𝗘𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗧𝗢𝗞𝗨𝗪𝗘𝗣𝗢 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗘𝗠𝗔
Переглядів 38714 днів тому
𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝟭𝟬 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗔𝗠𝗔 𝗧𝗢𝗕𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗧𝗔𝗣𝗢𝗞𝗘𝗟𝗘𝗪𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗧𝗢𝗞𝗨𝗪𝗘𝗣𝗢 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗘𝗠𝗔
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗨𝗨 𝗛𝗔𝗦𝗛𝗜𝗠 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗔𝗟𝗜𝗞𝗪𝗔 𝗥𝗘𝗗𝗜𝗢𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗠𝗧𝗨𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 ABUU OMAR 𝗞𝗔𝗦𝗦𝗜𝗠 𝗧𝗨𝗟𝗜𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗝𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔
Переглядів 5 тис.14 днів тому
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗨𝗨 𝗛𝗔𝗦𝗛𝗜𝗠 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗔𝗟𝗜𝗞𝗪𝗔 𝗥𝗘 𝗜𝗢𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗠𝗧𝗨𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 ABUU OMAR 𝗞𝗔𝗦𝗦𝗜𝗠 𝗧𝗨𝗟𝗜𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗝𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔
𝗠𝗔𝗭𝗜𝗧𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗬𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗢𝗧𝗛𝗠𝗔𝗡 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔
Переглядів 47014 днів тому
𝗠𝗔𝗭𝗜𝗧𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗬𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗢𝗧𝗛𝗠𝗔𝗡 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗨𝗡𝗜𝗔
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗗𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜𝗗 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗪𝗜𝗧𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗦𝗜𝗝𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗨𝗞𝗨𝗥𝗨 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗟𝗔𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜
Переглядів 85514 днів тому
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗪𝗜𝗧𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗦𝗜𝗝 𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗨𝗞𝗨𝗥𝗨 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗟𝗔𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗜
𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗠𝗔𝗦𝗦 𝗠𝗦𝗜𝗝𝗘 𝗞𝗨𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗧𝗘𝗚𝗢 𝗛𝗨𝗨
Переглядів 52214 днів тому
𝗧𝗔𝗛𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗠𝗔𝗦𝗦 𝗠𝗦𝗜𝗝𝗘 𝗞𝗨𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗧𝗘𝗚𝗢 𝗛𝗨𝗨
𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗡𝗔𝗘 𝗘𝗧𝗜 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗙𝗜 𝗢𝗥𝗜𝗚𝗜𝗡𝗔𝗟 𝗠𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔𝗢 𝗨𝗠𝗘𝗢𝗧𝗔 𝗠𝗔𝗝𝗔𝗡𝗜
Переглядів 55114 днів тому
𝗛𝗨𝗬𝗨 𝗡𝗔𝗘 𝗘𝗧𝗜 𝗡 𝗜𝗢 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗙𝗜 𝗢𝗥𝗜𝗚𝗜𝗡𝗔𝗟 𝗠𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔𝗢 𝗨𝗠𝗘𝗢𝗧𝗔 𝗠𝗔𝗝𝗔𝗡𝗜
𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗩𝗜𝗣𝗔𝗝𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗭𝗢 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗙𝗦𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗔𝗢
Переглядів 51314 днів тому
𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗩𝗜𝗣𝗔𝗝𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗭𝗢 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗙𝗦𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗔𝗢
𝗥𝗔𝗗𝗗𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗛𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗝𝗨𝗨𝗥𝗜𝗬 𝗡𝗔 𝗕𝗜𝗗𝗔𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗙𝗔𝗔𝗟𝗜𝗛 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗥𝗕𝗬 𝗛𝗔𝗗𝗔𝗔𝗗𝗜𝗬𝗬𝗔𝗛
Переглядів 27121 день тому
𝗥𝗔 𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗛𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗝𝗨𝗨𝗥𝗜𝗬 𝗡𝗔 𝗕𝗜 𝗔𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗙𝗔𝗔𝗟𝗜𝗛 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗥𝗕𝗬 𝗛𝗔 𝗔𝗔 𝗜𝗬𝗬𝗔𝗛
𝗠𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗢𝗦𝗘𝗠𝗔 𝗧𝗨𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗭𝗔𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗞𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗥𝗔𝗗𝗗𝗜
Переглядів 33328 днів тому
𝗠𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗢𝗦𝗘𝗠𝗔 𝗧𝗨𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗭𝗔𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗞𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗥𝗔 𝗜
𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗜𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗔𝗨𝗗𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗝𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗙𝗔𝗪𝗭𝗔𝗔𝗡 𝗜𝗟𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗙𝗨𝗡𝗗𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗠𝗔𝗡𝗛𝗔𝗝 𝗬𝗔𝗢
Переглядів 37828 днів тому
𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗜𝗘𝗡 𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗔𝗨 𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗝𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗙𝗔𝗪𝗭𝗔𝗔𝗡 𝗜𝗟𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗙𝗨𝗡 𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗠𝗔𝗡𝗛𝗔𝗝 𝗬𝗔𝗢
𝗛𝗢𝗝𝗔 𝗗𝗛𝗔𝗜𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗔𝗠𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗔’𝗔𝗧𝗨 𝗧𝗔𝗕𝗟𝗜𝗚𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
𝗛𝗢𝗝𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗔𝗠𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗔’𝗔𝗧𝗨 𝗧𝗔𝗕𝗟𝗜𝗚𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
𝗪𝗔𝗞𝗜𝗜𝗧𝗪𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗪𝗘𝗪𝗘? 𝗠𝗕𝗢𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗧𝗨𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗠𝗜𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜𝗡𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗪𝗘 𝗭𝗪𝗔𝗭𝗪𝗔 𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨
Переглядів 543Місяць тому
𝗪𝗔𝗞𝗜𝗜𝗧𝗪𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗘𝗡 𝗔 𝗪𝗘𝗪𝗘? 𝗠𝗕𝗢𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗧𝗨𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗠𝗜𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜𝗡𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗪𝗘 𝗭𝗪𝗔𝗭𝗪𝗔 𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨
𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗡𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔 #القرآن_الكريم ماشاءالله حفظه الله
Переглядів 566Місяць тому
𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗡𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔 #القرآن_الكريم ماشاءالله حفظه الله
𝗧𝗨𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔𝗡𝗘 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡 𝗔𝗟𝗦𝗢𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗔𝗕𝗗𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜𝗗 حفظهم الله 𝗡𝗔𝗦𝗦𝗢𝗥 𝗕𝗔𝗖𝗛𝗨 رحمه الله
Переглядів 578Місяць тому
𝗧𝗨𝗣𝗘𝗡 𝗔𝗡𝗘 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡 𝗔𝗟𝗦𝗢𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗔𝗕 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜 حفظهم الله 𝗡𝗔𝗦𝗦𝗢𝗥 𝗕𝗔𝗖𝗛𝗨 رحمه الله
𝗙𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗔𝗧𝗛𝗜𝗥𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗜𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜
Переглядів 271Місяць тому
𝗙𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗔𝗧𝗛𝗜𝗥𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗜𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜
Jazakallahu khair
Otea wapi ulipopotea?
بارك الله فيك
آمين وفيك بارك الله
جزاك الله خيرا
آمين، بارك الله فيك
Naam akhyu shekh abuu mussa kiza alisoma kwa shekh Ahmed muselem au
😂😂mboko tu
ولا تزقوا أنفسكم هو أعلم بمن اتقى
Andika ولا تزكو Sio ولا تزقوا
Wote ndiyo wao wao wakuwatukana Masheghe wengine Huna jipya
Sio kiarabu tu hata lugha zingine ni hivyo hivyo
Li hizbi dilele
Hio kukata maneno si limefanya lile li Arafati Barmaky dhidi ya shekh Yahya alhajuuri na nyinyi mkabeba kama ilivyo, we mwenyewe
Mahizbi
Allah awahifadhi Maduat wote wa kiislam...aamin
Weye dilele ulokuwa wa kuropoka tu na mjadala hutaki 😂 mpaka umsemee wewe yeye hana mdomo?
haya usiwe na akili mimi nakuongezea maarifa ili uzinduke itizame hiyo passport size na picha vizuri bega la kulia utagundua kuwa passport size ni ndogo kuliko picha sasa kama ingekua asili ni passport size ingekua zipo sawa au passport size ingukea kubwa hiyo passport size ndio editor muache ujinga mawahaabiii
Acheni upumbavu nyie salafy mafasiq wakubwa Mafuta alisema taasisi ni uyahudi na akafungua taasisi vipi iwe picha? Nyie ni matahira ikiwa viongozi wa masalafy wafalme wa Saud wanapiga picha iwe nyie watumwa? Najua huenda wakazuka wajinga wa kisalafy wakasema MBS mdhamini wa mashoga sio kiongozi wenu na hali yeye ndiye anafadhili usalafy Salafy kazi yenu ujasusi tu hamna dini wala tauhiid
PASPOTI MPTYA ZA KUPINDA HATARI
Sasa ninyi Hijja mnaendaje maana lazima mpige picha
Mnalipwa mlitembea afrika mashariki mkifedhehesha masheikh na waislam saiv kineumana nabado mtawaka tu
ALLAAH ATAWAVUNJA MIGONGO KILA MWENYE KUIPIGA VITA DAAWAH SALAFIIYUN
Mbona Abuu Hasheem Abdulqadir anapinga shule
Ni kweli mm naeza kukubal kweli wame edit lkn naomba kuuliza hv kwel passport size mtu anavaa kofia au kilemba ?
We mjinga kweli tujaaliye ni kweli huu upuuzi wanaomzulia Shaykh Allaah amhifadhi...sasa ndo tupige picha kwa sababu amepiga?? Hivi salafy akinyoa ndevu sasa ndo tunyoe ama mwamaanisha nni?? Hamuoni hamkusudii ispokuwa fitnah TU kutaka kumdogosha Shaykh Abul Fadhl?? Hamuezi bana na Allaah atalifungua jambo hili kwa uwazi kabisa na atamdhalilisha aliyefanya kitendo hiki ikiwa sio hapa bila shaka kesho ataekwa wazi.
Hapa ata iweje uharamu wa picha utabakia pale pale tu haijalishi ni picha ya aina gani Huwezi ukamuona mtu anakataza kuiba halafu ukamuona anaiba ukachukua ushahidi na kuupeleka kwa watu halaf ikaonekana alie leta ushahidi ana dhambi sana kuliko mwizi Maana ukisema ilipigwa kwa dharury inamaana ya kwamba hata makosa mengine yalio haram km kuiba, zinaa, shirki, kuua na mengine yanaweza kuhalalika kwa kisingizio cha udharura.
Wewe kasome kwanza maana nahisi mlango wa dharura hujauelewa bado. Kwani mbona Quran imeharamisha nguruwe n.k. ila vikaruhusiwa kwa dharura? Kaisome dharura na vidhibiti vyake kisha ndo uzungumze.
@shazilumnalima9708 udhuru wa kula nguruwe na kusema uongo hivyo vinajulikana Swali lipo hapa usizunguke sana picha zimeharamishwa kwa mujibu wa hadithi zinazotolewa sasa je udhuru wa picha umeletwa maeneo gani quran au hadithi jibu ni rahisi usilifanye likawa gumu kuzunguka sana kama huna jibu basi tulia
@shazilumnalima9708 tatizo lenu mumekalia kiushabiki tu mtu kama kafanya kosa bs kakosea isiwe kosa hilo likifanywa na watu fulani munalitakasa lkn kinyume chake likifanywa na wengine munaliona ni kosa na mnalipinga hamlitakasi
Wakati mnaendeleacna mzozo wa kijinga wa picha....wenzenu wanasonga mbele kwenye fikra za maendeleo... Hivi dunia ya Leo uwe na msimamo wa kutokupigwa picha itakuwaje.. Passport inajitaji picha. Vitambulisho NIDA picha lazima. Mwanafunzi shuleni picha inahitajika. Usajili wa Taasisi picha lazima. Sasa we endelea
@@Nassorseif-y7oSasa wewe hata waelimishwa wapi uachwe wapi ikiwa hujui kuwa Kuna mlango wa dharura umefunguliwa katika picha?? Minakuona wwe ndo huyo shaykh anaesema squared wwe hata hujibiki...na hapo ulipo una kitambulisho...we mwenyewe huoni kuwa umtuupu
سبحان الله
Afwan nna swali..Yule mke nae atakae achwa nyumbani mume akiwa yuko safari akipata matamanio nae ni nani atakaemtimizia haja zake. Ikiwa mume yuko safari mwaka mzima na mke mwengine.
ALLAH AWAHIFADHI MASHEYKH ZETU NA AWAANGAMIZE MAADUI WA DAAWAT SSALAFY ALLAH AWAPE AFYA MASHEYKH ZETU SSALAFIYYIIN
HAKUNA WATUKANAJI WASENGANYAJI NA WATOVU WA NIDHAMU NA ADABU KULIKO NYNIYI WEWE DILELE NA MAFUTA TAA ZENU
Hakuna mjina na bwege na Allah amekuoiga muhuri wa ujahili kama wewe Hizbi mkubwa wewe
Eti albabib ndio nini sasa tena wewe ni al hizbi mkubwa sufi usiyejitambuwa
DILELE LEO UNAJUA KUHUSU ADABU? LEO UNAJUA HADITHI YA MTUME واذا خاصم فجر؟
Abdallah Humeid ana Elmu wewe Mashaallah na vile wewe bwege mkubwa maneno ya Allah na Mtume wake Muhammad Rehma za Allah ziwe juu yake ukiyafikisha ukweli wa kuyafikisha mnaona anakosea mlinganizi kumbe Daawa Salafiyya ni Daawa ya haki hizbi mkubwa wewe
Musisingizia taaluma za kisasa zimeeditiwa laaaa kukosea ni kama kawaida.
Acheni ujinga na kusema uongo.Kwani picha za passport size anapozi anatabasamu anakaa upnde na kukenyua meno.
Shekhe maneno yako mazuri ila tumuogope sana mungu tukizungumza tuwe makini
Yuko makini sheikh we fuatiltilia vzr jambo hilo utaona
Namimi sikwamba nawatetea ahlulbida'a la,akina haji upepo na mfano wake,ila tusimfanye mwanadamu mwenzetu kama kama malaika wasiokosea,
Allah aku hifadhi hakuna alie salimika na makosa ila tukio lililo tokea ni la kuzuliwa halina ukweli wowote ndani yake ni dhulma na uadui wa baadhi ya watu mtu hawezi tetewa kwa batili Allah aku baarik
Mnajitahidi kumsafisha lakin tatizo Watu wanaakili Hata ukisema hizbi, nani Sisi.twajiwa picha yake Na kama si yake Ale kiapo.mbele ya allah s.w Na laana iwe juu yake Apo.ndo tutaamini
picha ni yake. na kama kweli ni passport size hicho kiapo na hizo laana una weza uka zirejesha kwako?? tafadhali
@@chande-f3cpazito hapo asubutu kufanya
Nawe wawez kuapa na kujilani sio kutuhum watu tu
Tunaamini kwa dalili za kisheria za qurani na suna wanadamu ni watu w kukosea tu,aijalishi msomi au jaahili,kitu cha kushangaza hapa hawa majadida wamemfanya kassim mafuta hawezi kosea!!😮,
Shekh Qassim ana kosea sababu ni binadamu na hakuna binadamu asie kosea ila katika hilo ambalo ana tuhumiwa kua ame kosea jee ni kweli ame fanya hilo kosa ama haja fanya !?? hapa ndipo mahala kwenye mzozo hivyo bas kama ni kweli tuta sema Shekh ame kosea na kama si kweli tuta sema Shekh ame tuhumiwa kwa tuhma za uongo. Allah aku hifadhi
Mabwege nyie mnacoment chuki.zenu hamna tafauti na makafiri Allah amewapiga muhuri nyie mahizbi wakubwa
Nyi ndio mlikuwa gizani ila watu walishapana Nuru ya SUNNA kabla huyo shekh wako hajakwenda kusoma huko danmaji na safi Arabia SEMA USALAFI feki ulikuwa haujafika hapa nchini
Wallahi hawa niwabaya sana, wanatumia nguvu kubwa kuchafua madaaii
Kasimu mafuta amezalilisha mamia kwa maelfu ya waislamu kwa kuwatukana na kuwakejeli acheni na yeye azalikike tu kumbe nyie inawauma atavuna alicho kipanda jahili huyu
Mi niseme tu MAKHURAFI mmeona kufanya ivi ndio mutauwa daawatu salafiyah na badoo mi naon niwambie bora muunge chama cha siasa tu mugombanie udiwani saw
heee nyny hasa mambumbu kweli ndo picha ya paspot size ile ndo imeeditiw ile achen ujing
Wape somo hao majadida mbumbumbu😂😂
Mtoto hata uchafu washingo hajatoka awasema wakubwa zake adabu ndogo mno wallah Mtu hata unachuki nae basi usipende kumvunjia heshima yake. Heshima nikitu muhimu mno kukichunga na kimezungumzwa ktk dini yetu. Jambo sio picha kama mzungumzaji anavyo ongea laa. Jambo nikiasi gani shekh atavunjiwa heshima na wengine kumtukana n. K lkn sababu niwewe dhambi zakubunjiwa heshima hazibakii kwaane mvunjia Bali aliesababisha anafungu. Allah atuthibitishe Katka haki
Haji upepo nakundi lake la bidaa wameumbuka kwa uongo hii ni dalili kuwa wa ni watu wa shari
Haya maelezo mazuri kweli ila angekosea mwengine si katka nyinyi angekipata kweli kikubwa haikumtoa kwenye uislamu amekosea kama binadamu sio mkamilifu akikose na mwengine aelekezwe asitole kwenye uislamu Ili tufikie lengo
Aliyekosea ni nan na kosa Lake ni lip?
Hebu nyamaza maana hujaelewa atakilichozungumza
Wewe ni kipofu huwoni au ni ujadida umekuzidi?
Ameelewa vizuri sana❤ ila ulichokasirika ameguswa hizbu mwenzako kaasim mafuta😂vumilia tu,makosa ni yakilabinadam,
HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab 1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu 2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika 3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim "Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta 4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano " Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli" Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ? 5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta , ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San , Mfano " Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima " Soud of Mafuta . Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?
سُبْحَانَكَ هَٰذَا بُهْتَانٌ عَظِيمٌ😢
Mahzb twawajua waongo mimi pia nilishtuka sana ila sikua nasubiri ispokua maneno kama haya au kutoka kwake Ila wamezid sasa kam huku wako hivi kwenye dini watakua wakweli ---0
HUMEID Kuamia Sana kwa kuonekana Picha Za swahib Yake ,na Kudai kuwa Amefanyiwa Dhulum ,Wakti kiuhalisia Ile ni Hakii Yake kufanyiwa vile kwa Sabab 1. Uwongo Waliooneza vijana Wa Kasim Mafuta na yeye mwenywe ni Mkubwa Zaid ya Hio Picha ,Masheikh Wakisunna Wangpi Mumewadhulum kwa Mdomo Yenu michafu 2. Hakuna Picha Ya Passport saiz Inayopigwa Upande upnde ,Alaf Kasim Mafuta Yeye mwenywe anasema alipigwa hajui ,lkn Vijana wake munsema kuwa Ni Passport Size Nani Mkweli Kati yenu ,Mban Munababaika 3. Maneno Machafu Anayotumia Kasim Mafuta ,na Dilele ,Pamoja na Watu wake , Pindi wanapowsema Masheikh Wengine wa kisuunn. hicho Ndio kilicho pelekea watu Kufurahi kwa kuumbuliwa hyu Kasim Mafuta , mafno wa maneno Mabovu ya Kasim "Yule islam hanifiiikii Yule Dr yake ya Mifugo Hana Usomi Yule ,ni Hizbi kwli kwli" sound of Mafuta 4. Ubabe Wa Kasim Mafuta na Majigambo Yaake Dhidi ya Watu Wa Sunna ambao yey Kawakuta Tayr Washaivusha Tanzania kutoka katika Bidaa ,lkn Alipo dhihiri yeye na Genge Lake Wale wote waliokataaa kufta msismamo wake Bas Akampchika Uhizbi Na kunadi kila Mahala .mfano " Yuleee Barahiyan ni Rais wa Mahizb ,Yuleee Mzee Mwizi Sna, Ulee mzee tapeli" Je ni hya maneno anayotumia Kasim Mafuta ni Mazuri Kisheria ? 5 . Maneno Machafu Anayo tumia Kasim Mafuta Na Genge Lake ,Dhidi ya Watu Sunna ,Wallah sijapta kuona Watu Wenye Hulka mbovu Kwa Masheikh Wengine Kama hawa Vijana wa ksimu Mafuta , ila ikitokea Mtu akiwafanyia kama Yale ambao wao huyafaanya Basii Huumia San , Mfano " Ylee Barahiyan Haosheki Kajiharia ,Hata Ichukuliwe Bahri Nzima " Soud of Mafuta . Jamniii hizi ni Baadhi Tu ya Kashfa Ambazo hyo Munaseema kadhalilshwa ndio Kawaida Yake kuwafanyia Maduwate Wenziwe SWALI LANGU JE HAYO MAMBO ANAYOYAFANYA YEYE KWA MASHEIKH WENZIWE JE NI SAHIHI JE HIIZI SI DHULMA ?
Je kunawatu waongo kuliko nyinyi majadida? Watu wa furka na ta'assub msiokubali mashekhe wenu wanakosea😮nyinyi mnasehemu ktk ushia na usufi majaahili kwelikweli na Bado povu litawatoka kwa kumnusuru binadamu ktkt kumtetea kwenye makosa badala ya kuinusuru dini ya allaah😢
Ssa wey muhusika anasema wamefanya edit wey nani wakusema kama wanamtetea kwenye makosa...hakuna aliye kataa kama sheikh anaweza kosea kama binaadam...ila kwanin wamzuliye uongo kama jins anavyo Dai...hiy n dhulma na ikiwa unaendelea kutetea hiy dhulma na wey utakua miongoni mwao...yani mtu unataka tu ionekane sheikh kafanza SubhanaAllah
Nyie ni mbwa msiojielewa passport size iwe halal alaf picha ya kawaida iwe haram iyo sheria ya wap
Wewe Mbumbumbu kweli yani mlango wa dharura huulewi unaropoka tu ,kwa hiyo unataka watu wakaishi mbinguni? WEWE TETEA TU UJINGA NA UZUZU ULOKUWA NAO UTAINGIA KWENYE SIFA YA YULE KAHABA@@hemedahmed3094
Allah awahifadhi Maduat wa kisalafi na family zao,awape thabat juu ya hii Da3wa,awalinde kutokamana na vitimbi vya wenye vitimbi.
Aamyn
Sisi TUNAJUA MAHIZBI NA MASUFI SIFA YAO NI UONGO....NA NYAMBU MFANO BARAHIYANE.......KWA HY HATUSHTUKI TUNAJUA NI UONGO.........NA PIA TWAJUA WANAVOUMIA MASUFI NA MAHIZBI WAPENDA UBWABWA.......HATUSHANGAI
Wewe ni chizi kwelikweli😂nyinyi hata muwachukie answaarusuna ambao ndio masalafi wa haki hamuwezi kuiyangusha da'wa Yao hata kidogo imejengwa kwa misingi ya tawheed,mnajisumbua tu😂nyinyi mmeshakubali kumtumikia binadamu mwenzenu kassim mafuta😢 ndomana hamkubali kuwa anakosea😮 na hii ni dalili lau kassim mafuta atawapeni mavi awambieni hii ni futari mtakula😂😂 wajinganyie,
Unamwita sheikh saalim barahiyani ni nyumbu!!kwakweli utakuja juta kwa hayo uliosema juu yake,
@@SameerMdumbemalongo Ni Jinsi Gani Hwa Mazezeta Ya Kasim Mafuta Na mdomo Yao Michafu ,Kwa Masheikh Wa kisunna vp Unawita Sheikh Salim Kuwa Ni Nyumbu ,wakti Hata Babako Alo kuzaa Huwezi kumtusi Tusi Hilo ,Je Unaweza kumwita Baba ako Nyumbu ,au Je Unaweza Kumwita Kasim Mafuta Kuwa Ni Nyumbu ?
Allah aku hifadhi hakuna alie salimika na makosa ila tukio lililo tokea ni la kuzuliwa halina ukweli wowote ndani yake ni dhulma na uadui wa baadhi ya watu mtu hawezi tetewa kwa batili Allah aku baarik@@HassanIddy-v1b
Kwer WEW TAIRA kabs Kwa manene yko yasio kuwa na busar usarf gan huo ZAID ya chuki Kwa answar SUNNA Kwa juhud zao mpka Leo SUNNA IPO hai Kwa ajir ya Allah nambie nyinyi mnaojita masarafu nini impact yenu kwenye jamii soon Mtapotea nyote inshallah
Shukraan ustadh
Baarak Allah fiyk
Allah amuhifadh Sheikh wetu mpendwa Qassim mafuta na amkinge na fitna na mpe subra
Ameen
mashallah