Content kubwa sana hii, bahati mbaya watu wanakuhusisha na udini, lakini hatutaki kujifunza na kurekebisha panapobidi ambayo ndiyo kazi kuu ya historia............Mungu akupe umri zaidi.
Masud makala yako na Shekh Muhammad ilikuwa nzuri,mjulishe Mohamed lile jimbo alilotoka Sykes kule mozambiki linaitwa INYAMBANE na wenyeji wake wanaitwa Manyambane

Hao wanodai kuwa ni Mdini hawataki ukweli lkn Ukweli utasemwa
Ni ngumu kukwepa dini ktk mchango wa kuleta uhuru wa Tanganyika
Allah akufanyie wepesi inshallah
Maa Shaa Allah Inspired!
I want copies of that book in both Swahili and English versions, where do I find them !?
WEA CAN I GET THAT BOOK
Mbona unachelewa mwendelezo wake 5