apo nimekuelewa sana mzee mohamed wallah mm nilikua najiuliza imekuaje marehem babu yangu mzee wa kinubi alitoka sudan akadifikia K.koo Gerezani lindi st pale na alishawah kuniadisia walikuja km askar wa mkoloni wakajagakubadilika wakaunda chama cha Taa na rafiki yake mkubwa ni mzee ally kweli historia wameigeuza wazee we2 waasisii hawatajwi anatajwa mmoja tu aliyokaribishwa na wazee we2 kutokea uko kwa wazanaki so sad 😭😭😭😭😭
Hii ndio tunu ya taifa iliyobaki hongera sana mzee mohamed
Nihambane napafahamu Mozambique sehemu yenye beach 🏖️ nzuri sana nimewahi kufika,nakutokea south Africa au Swaziland sio Mbali nikaribu tu.
History MUST BE TOLD
Huyu mzee anaijua sana historia ya Tanu na Tanganyika vizuri sana
Mashaallah nafuatilia kwa umakini kipindi hiki kina mengi
Hakika pro Mohamed said ni hazina kubwa ya nchi ya Tanganyika
apo nimekuelewa sana mzee mohamed wallah mm nilikua najiuliza imekuaje marehem babu yangu mzee wa kinubi alitoka sudan akadifikia K.koo Gerezani lindi st pale na alishawah kuniadisia walikuja km askar wa mkoloni wakajagakubadilika wakaunda chama cha Taa na rafiki yake mkubwa ni mzee ally kweli historia wameigeuza wazee we2 waasisii hawatajwi anatajwa mmoja tu aliyokaribishwa na wazee we2 kutokea uko kwa wazanaki so sad 😭😭😭😭😭
Mzee Mohammed anastahili sifa mno...
🤯🤯🤯
Paul rupia alikuwa mdogo alban rupia ndio mkubwa kwa watoto wa mzee john rupia
Nafuatilia kwa makini!