Mohamed Said
Mohamed Said
  • 611
  • 288 475

Відео

TAWI LA TANU NYUMBANI KWA LA ALI MSHAM ILIPOSOMWA DUA SAFARI YA KWANZA YA JULIUS NYERERE UNO 1955
Переглядів 11916 годин тому
TAWI LA TANU NYUMBANI KWA LA ALI MSHAM ILIPOSOMWA DUA SAFARI YA KWANZA YA JULIUS NYERERE UNO 1955
MOHAMED SAID: AL FATAH SEMA NASI
Переглядів 33016 годин тому
MOHAMED SAID: AL FATAH SEMA NASI
SAFARI YA MWISHO KULIENDEA KABURI LA ABUSHIRI BIN SALIM AL HARITH PANGANI
Переглядів 3,2 тис.14 днів тому
SAFARI YA MWISHO KULIENDEA KABURI LA ABUSHIRI BIN SALIM AL HARITH PANGANI
HAJI MOHAMED NUNDU ANAELEZA UJENZI WA NYUMBA YAKE JUU YA KABURI LA ABUSHIRI BIN SALIM PANGANI
Переглядів 84814 днів тому
HAJI MOHAMED NUNDU ANAELEZA UJENZI WA NYUMBA YAKE JUU YA KABURI LA ABUSHIRI BIN SALIM PANGANI
23 October 2024
Переглядів 12814 днів тому
23 October 2024
ULIZA UELEZWE UJUE
Переглядів 56521 день тому
ULIZA UELEZWE UJUE
ABOUD JUMBE NA UJENZI WA CHUO KIKUU ZANZIBAR
Переглядів 41021 день тому
ABOUD JUMBE NA UJENZI WA CHUO KIKUU ZANZIBAR
DARUL IMAAN
Переглядів 21421 день тому
DARUL IMAAN
ABOUD JUMBE MATAYARISHO
Переглядів 8521 день тому
ABOUD JUMBE MATAYARISHO
ABOUD JUMBE NA SIASA ZA TANZANIA
Переглядів 8 тис.21 день тому
ABOUD JUMBE NA SIASA ZA TANZANIA
NYUMBANI KWA BI. ASHA ZANZIBAR KHITMA YA ABBAS SYKES
Переглядів 16221 день тому
NYUMBANI KWA BI. ASHA ZANZIBAR KHITMA YA ABBAS SYKES
SHEIKH KASSIM JUMA
Переглядів 39921 день тому
SHEIKH KASSIM JUMA
AHMED HAIDAR MJUKUU WA BI MWAMTORO BINT CHUMA
Переглядів 47128 днів тому
AHMED HAIDAR MJUKUU WA BI MWAMTORO BINT CHUMA
Mahojiano Idhaa ya Kiswahili Sauti ya America SD 480p
Переглядів 28728 днів тому
Mahojiano Idhaa ya Kiswahili Sauti ya America SD 480p
MADARAKA NYERERE NA HISTORIA YA TANU
Переглядів 26828 днів тому
MADARAKA NYERERE NA HISTORIA YA TANU
Mahojiano na Wasafi FM
Переглядів 48828 днів тому
Mahojiano na Wasafi FM
MAHASIMU WA OSCAR KAMBONA WAKAMWAMBIA MWALIMU KAMBONA ANAHUSIKA NA MAASI YA TANGANYIKA RIFLES 1964
Переглядів 3 тис.Місяць тому
MAHASIMU WA OSCAR KAMBONA WAKAMWAMBIA MWALIMU KAMBONA ANAHUSIKA NA MAASI YA TANGANYIKA RIFLES 1964
KUMBUKUMBU:ABDUL SYKES (12 OCTOBER 1968) JULIUS NYERERE (14 OCTOBER 1999)
Переглядів 3,9 тис.Місяць тому
KUMBUKUMBU:ABDUL SYKES (12 OCTOBER 1968) JULIUS NYERERE (14 OCTOBER 1999)
"KARIBU NDUGU JELA NI YA WANAUME" JOHN OKELLO ANAMKARIBISHA ABDILATIF ABDULLA KAMITI PRISON
Переглядів 2 тис.Місяць тому
"KARIBU NDUGU JELA NI YA WANAUME" JOHN OKELLO ANAMKARIBISHA ABDILATIF ABDULLA KAMITI PRISON
PROF. SAIDA NA TAFSIRI YA SAUTI YA DHIKI
Переглядів 417Місяць тому
PROF. SAIDA NA TAFSIRI YA SAUTI YA DHIKI
UZINDUZI WA "VOICE OF AGONY" (SAUTI YA DHIKI) KITABU CHA ABDILATIF ABDULLA
Переглядів 319Місяць тому
UZINDUZI WA "VOICE OF AGONY" (SAUTI YA DHIKI) KITABU CHA ABDILATIF ABDULLA
NYERERE NA WANAWAKE TBC1 NYERERE DAY 2024
Переглядів 377Місяць тому
NYERERE NA WANAWAKE TBC1 NYERERE DAY 2024
KITWANA SELEMANI KONDO NA MDF DIAMOND JUBILEE HALL 2004
Переглядів 453Місяць тому
KITWANA SELEMANI KONDO NA MDF DIAMOND JUBILEE HALL 2004
SAFA AND MARWA 2014
Переглядів 45Місяць тому
SAFA AND MARWA 2014
MAKKA 2014
Переглядів 30Місяць тому
MAKKA 2014
TAAZIA: SAYYID HASSAN NASRALLAH (1960 - 2024) SEHEMU YA PILI
Переглядів 1,5 тис.Місяць тому
TAAZIA: SAYYID HASSAN NASRALLAH (1960 - 2024) SEHEMU YA PILI
TAAZIA: SAYYID HASSAN NASRALLAH (1960 - 2024) SEHEMU YA KWANZA
Переглядів 1,4 тис.Місяць тому
TAAZIA: SAYYID HASSAN NASRALLAH (1960 - 2024) SEHEMU YA KWANZA
UTANGULIZI MFUPI: HISTORIA YA WANAWAKE WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Переглядів 210Місяць тому
UTANGULIZI MFUPI: HISTORIA YA WANAWAKE WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
HISTORIA YA WANAWAKE WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Переглядів 335Місяць тому
HISTORIA YA WANAWAKE WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA

КОМЕНТАРІ

  • @Space-f9y
    @Space-f9y 3 дні тому

    NYERERE ALIKUWA MSOMI SANA enzi hizo, hakuna muislam aliyekuwa msomi enzi hizo wa kuweza kuwa na hekima ya kufight na muingereza, ukweli muukubali, lakini hata ivo nyerere hajawahi kusema wakristo ndio wamepigania uhuru ni kwasababu hakutaka mbegu ya udini katika nchi hii, ninyi hamna aibu mpaka leo hii mnatoka jasho ili eti muislamu ajulikane kuwa alifight uhuru , kwanini usiwataje kwa majina yao tu mpaka mseme walikuwa waislamu😂😂😂😂, nimeamini nyerere alikuwa genius aliwaona mna mbegu ya udini ndio maana hakutaka muandikwa , sasa msiturudishe nyuma , hii historia yako haina tija kabisa wazeni kujenga uchumi na kuwa na maisha mazuri , gistoria hizi hazitupeleki popote ,zaidi mnaleta mbegu mbaya kwenye jamii na mbegu za hasira , NYERERE MWENYEWE HAJAWAI KUTAJA DINI YAKE KUWA NDIO IMEHUSIKA KWENYE UHURU, KWA HILI ALISTAHIRI KUWA BABA WA TAIFA SASA NINYI NI AKINA NANI KUTAKA DINI IJULIKANE SANA KULIKO MAJINA YA WAHUSIKA, MKUBALI TU MLIKUWA NA ELIMU NDOGO NDIO MAANA MZEE ALIWAWEKA PEMBENI

  • @AmanMediaTz
    @AmanMediaTz 3 дні тому

    Abood Jumba yeye watanzania waislamu, Nyerere watanzania wote, Acheni kupandikiza chuki za udini

  • @mohamedyahya1602
    @mohamedyahya1602 5 днів тому

    Jazakallahu khyri kwa elimu unayotupa mzee wangu ila tafuta host wa kipindi mwingine huyo kijana wako hana utulivu

  • @mohamedyahya1602
    @mohamedyahya1602 5 днів тому

    Kijana anaharibu mahojiano analeta utaahira kwenye mambo ya msingi

  • @mohamedyahya1602
    @mohamedyahya1602 5 днів тому

    Huyu host wako wa kipindi anaharibu mahojiano

  • @mohamedyahya1602
    @mohamedyahya1602 5 днів тому

    Huyu mzee hasemi udini anachosema ni historia halisi ya tanganyika ambayo hauwezi kukwepa kuutaja uislamu ndo mana serikali ya Tanzania inashindwa kuisema inaamua kupindisha historia

  • @mohamedyahya1602
    @mohamedyahya1602 5 днів тому

    Jazakallahu khyri

  • @HawaAdam-gu6to
    @HawaAdam-gu6to 5 днів тому

    Sud WA bwejuu

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 6 днів тому

    Sound mbovuuuuuuuuuu😢

  • @Abdicloser47441
    @Abdicloser47441 6 днів тому

    Uyo mtangazaji wako musa na mdai😂😂😂😂😂😂😂

  • @MpumaLanga-vc4zh
    @MpumaLanga-vc4zh 7 днів тому

    Allah amuhifadhi mzee wetu. Haki itasimama tu ipo siku

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 8 днів тому

    Huyu muandishi mzinguaji, kama ana misimamo yako si angekaa akatoa lecture yy?

  • @mvanoissa9197
    @mvanoissa9197 9 днів тому

    Mzee.mohd saidi.wewe.ni.hazina kubwa na.uweke.bayana.historia inapindishwa.sana na.makafiri

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 9 днів тому

    sheikh mohamed said ,tatizo tunalo sisi waislam kushidwa kuthamini na kutambua historia zetu,haswa kutokana na umasikini,anagalia mji wa pangani ulivyo.

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 9 днів тому

    waliokuwa wasomi wa zamani wanaijua hii historia lkn walitumika vibaya kupoteza historia za kweli ktk nchi hii,ni aibu sana lkn leo mambo yanafichuka.

  • @husseinescoba9740
    @husseinescoba9740 10 днів тому

    Safi sana watakuelewa baadae

  • @mohamedmakambi4412
    @mohamedmakambi4412 12 днів тому

    Jaman sayansi na historia wapi na wapi

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 12 днів тому

    Muingereza aliyeongoza mapambano ni Brigedia Douglass,alikuwa amejificha chini ya ubalozi wa uingereza hapo, dar,kambona ndiye aliyempitia wakapanda boat kwenda katika monuari ya uingereza.Ila meli hazikuwa karibu zilikuwa Ghuba ya Aden Somalia,zilianza sogea baada ya malkia kukubali msaidia Nyerere.Brigedia Douglas alichukua helicopter gun fighter ya kiingereza na kufika juu ya anga ya colito barracks Lugalo,na kutangaza askari wote wajisalimishe,waligoma kisha gun fighter ikapiga jengo moja na kufumua paa ndipo walipojisalimisha.Pia Brigedia Douglas ndiye aliyekuwa mkuu wa jeshi mzungu aliyekataliwa.Mwalimu aliona hofu katika uwezo wa kambona na kutilia shaka uhusika wake.Kambona aligundua hili na kutoroka kupitia Tanga kwenda Nairob na asubuhi akaondoka na British Airway kwenda Uingereza Kuokoa maisha yake.Au kwa ufupi alimzidi kete Mwalimu.Tafdhari tupe kisa kwa nini kaka yake Kambona Otini alikamatwa na Nyerere kama Nyerere kweli alikuwa na TAARIFA kuwa Kambona angetoroka.

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 12 днів тому

    NAULIZA KAMA KUNA KITABU CHA MAISHA YAKE NA PICHA.

  • @BabySheni
    @BabySheni 14 днів тому

    Zito hajambo uko wapi lupumba nae Yuko wapi msalimie

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 15 днів тому

    Tafadhali tuonyeshe vitabu vyako. Library bookshelf tour.

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 16 днів тому

    Waislam kuwa nyuma ni matokeo ya utamaduni tofauti wa magharibi na mashariki. Wa magharibi, ambao ni Wa Kristo walipofika kwetu Afrika walijenga Makanisa, pembeni shule na dispensary. Wa Mashariki, ambao ni Waislam hususan Waarabu, wao walijenga misikiti n madrassa, lakini si shule za elimu dunia wala dispensary. Kwa hiyo wakristo wakakua huku wakisoma. Waislam wakakua bila kusoma. Ndio maana waislam wengi niaka ya 50, 60 na 70 walisoma shule za Wakristo kwasababu ndipo elimu ilipokuwa inapatikana. Matokeo ya histotia hiyo ndio hayo: kwa Ujumla Wakristo wamesoma zaidi na wame endelea zaidi. Ni ajali ya kihistoria.

  • @abubakar_nyangala
    @abubakar_nyangala 16 днів тому

    Hazina ya taifa letu hii. ❤❤❤ Tanzania 🇹🇿🔥

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 17 днів тому

    Historia ya Tanzania inamsifia mtu anaeitwa mwl Julius Kambarage Nyerere basi. Ndio peke yake aliyeikomboa na kule tea uhuru na ndio mana ameizika Tanganyika hataki hata itajwe Kama ni nchi iliyopata uhuru mwaka 1961 tarehe 9 December kwa sababu alijua watu watam - challenge. Nampenda sana bw. Mohamed kwa jitihada zake za kujaribu kuweka mambo sawa. Asaidiwe tupate historia sahihi ya Tanganyika kwa sababu ndio nchi yetu iliyoungana na Zanzibar.

  • @angojothammbossa6385
    @angojothammbossa6385 17 днів тому

    Ok, kuanzia leo kuanzia rais na mawaziri wote, wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na watumishi wote wawe waislamu. Yaani Sumbawanga, Mbeya, Iringa, Songea, Dodoma, Moshi, Arusha kote hawakuwepo Wakristo wanaohitaji wala kuupigia kelele Uhuru? Kisa hiki kanihadithia sheikh....... Yote umbe uzushi fitna na uongo wa kawaida

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 18 днів тому

    Hii ni kwa mara ya tatu au pili nakuomba namba yako

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 18 днів тому

    Sheikh Mohammed naomba namba yako ya mkononi

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 18 днів тому

    Hii inaonesha wazungu walianza zamani kuuchukia uislam

  • @salimmbarak2825
    @salimmbarak2825 18 днів тому

    Tatizo historia ya wapigania uhuru imefichwa na kuwekwa historia ya kumsifia mtu mmoja tu...lkn yote hawataki kwa sababu walioanzisha na kuikomboa Tanganyika ni waislam asilimia 95

  • @Shefeeqtz
    @Shefeeqtz 18 днів тому

    Allah yarhamhu

  • @Magotimwteregina
    @Magotimwteregina 18 днів тому

    Hii ndio tunu ya taifa iliyobaki hongera sana mzee mohamed

  • @ablamar98
    @ablamar98 18 днів тому

    Allah akuhifadhi kwenye taaluma yako shekh Mohammed said allahuma amin

  • @FotoBaraza
    @FotoBaraza 18 днів тому

    Hata neno "Shukrani" huenda lisipate kutosha. Mmetutendea haki timilifu wazee wetu, Mwenyez Mungu akulipeni hapa duniani na Akhera zaidi na zaidi. Sheikh Mohammed karibu ujombani 😁. Mama yangu mzazi akizaliwa Tanga mwaka wa 1952, ila mwenyewe akisema wazee wake ni wenyeji wa Rukwa wakija Tanga kutafuta sarafu za kulipia kodi katika mashamba ya mkonge Korogwe. Nimefurahi sana kuwaona wajomba zangu...

  • @antarsangali4456
    @antarsangali4456 18 днів тому

    Bushir Bin Salim Al Harith hakujihusisha kabisa na biashara ya utumwa.Amepakaziwa na kuchafuliwa jina lake ili asitambulike katika vizazi vijavyo Ni shujaa wa Tanganyika aliyepingana na utawala wa kijerumani kwa muda mrefu hadi alipokamatwa na kunyongwa hadharani 1888 huko Pangani. Atakumbukwa na kuenziwa sana kwa ujasiri wake wa kuamua kupambana na majeshi ya wajerumani akishirikiana na Mtwa Mkwaw 17:27 a wa Kalenga huko Iringa

  • @FahmiNassor
    @FahmiNassor 18 днів тому

    Mimi alinionyesha babangu hapo kwa haji nundu mwaka 1985 nina umri wa miaka kumi akanambia hapa ndipo alipozikwa Abushir bin salimu na kweli yuma ya ukuta wa razza kulikuwa na kikuta kirefu cha alama la hilo kaburi lilijengewa na mawe ya matubawe

    • @Mauya23
      @Mauya23 18 днів тому

      Kiskoda a.k.a

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 18 днів тому

    safi kazi nzuri,kuhusu kwamba alikuwa anawaua watu kwa kukataa silimu sio kweli,askari wa Bushiri waliwaua wamisionary pale Pugu makapchni wajeruman walidhani ni askari,walipogundua ni wamisionari Abushiri alisikitika sana na kuomba msamaha

    • @marcnkwame1835
      @marcnkwame1835 18 днів тому

      Afadhali. Ukweli mwingi huwa unafichwa kwa kutetea dini. Waafrika wakiacha kukumbatia imani za kitumwa itatusaidia sana

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 18 днів тому

      @@marcnkwame1835 Umeongea vizuri sana kaka,ni mtu mwenye mawazo mapana,dini hizi tulizoletewa na watu weupe hutugawa sana waafrika na kututoa katika kujitambua,zinatufanya tuzidi kuwa watumwa

  • @123A-t7q
    @123A-t7q 18 днів тому

    Shekh muhammed said mimi mwanafunzi wako mpya wa hii historia ya tanzania tunaomba utuandikie na utukusanyie ulichokiandika ili watu wapate kujua historia yao

  • @zully756
    @zully756 19 днів тому

    Inna lillahi wainna illahi rajiun

  • @FahmiNassor
    @FahmiNassor 19 днів тому

    Hapo ulipo kwa haji nundu ndipo haswa lilipo kaburi la abushiri bin salim mwaka 1985 marehemu baba yangu NASSOR bin ZAHRANI alinionyesha kuwa hapa ndipo alipo zikwa abushiri bin salim

  • @kamotemedia3329
    @kamotemedia3329 20 днів тому

    Ninashida na mawasiliano ya huyu Mzee nimpe japo mkono wangutu maana amenifundisha mambo mengi sana maishani mwangu, Umri wangu ni miaka 36 sina uhakika na umri wa huyu Mzee na kifo hakichagui umri, Lakini sitorizika kama nitatangulia mimi au yeye bila kukutana nae Ili namimi niandike historia ktk maisha yangu kwamba niliwahi kukutana na mtu anaeongea ukweli ktk historia ya nchi yangu. Kama muandishi unaweza kunisaidia mawasiliano yake nitakushukuru sana. Naitwa Ally Othmany Ally Kamote Niko tanga.

  • @Magotimwteregina
    @Magotimwteregina 21 день тому

    Nakufuatilia sana mzee wangu, unamambo mengi ambayo shule hatukufundishwa,vitabu vyako vinapatikana wapi

  • @HansKipengele
    @HansKipengele 22 дні тому

    Nnashida kubwa sana ya namna nnaweza kupata vitabu vyako Mzee Said nipo Arusha lakini sijafanikiwa kabisa kupata hivi vitabu. Naomba kupata mawasiliano yako mzee Mohamed

    • @samitungo
      @samitungo 21 день тому

      Mimi simu yangu 0687 500 699 na ni no ya WhatsApp pia.

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 22 дні тому

    Masimulizi ya Mohamed Said yametawaliwa na udaku zaidi.Mengi hayatokani na utafiti wa kisayanzi.Hilo jambo siyo sawa.

    • @froma3732
      @froma3732 22 дні тому

      Watu hupinga kauli kwa kauli wewe tupe yalikuwa Sawa ndio tutakuelewa

    • @mohamedyahya1602
      @mohamedyahya1602 5 днів тому

      Hana udini sema hauwezi kutaja history ya kweli ya tanzania Bila waislamu na hicho ndo kinafanya serikali ipotoshe history ya kweli

    • @AmanMediaTz
      @AmanMediaTz 3 дні тому

      ​@@mohamedyahya1602 😊😊😊 Acha vituko , wapi hawajatwa acheni Udini hiii NI Tanzania na sio Macca

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 23 дні тому

    kama Nyerere aliona hofu ya uislam mbona mrithi wake alikuwa muislam mzuri sana Mzee Mwinyi?tufundishe hili,nadhani dini na mapungufu ya pande zote mbili kwa mtu binafsi,

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 21 день тому

      Uliisikia na kuifahamu kauli ya Alhasan Mwinyi akiwa madarakani na Mwalimu nyerere akimkosoa ktk baadhi ya mambo? Alisema hivi:-"...MTOTO AKIBEBWA UANGALIA KISOGO CHA MAMAE..."

    • @AmanMediaTz
      @AmanMediaTz 3 дні тому

      ​@@OmariShuliAcha ujingaa wa Akili na Udini......ukiamuwa kuutafuta udini hata ukabila na ukanda utapata tuh na utauonah, nyerere hakuwa mdini ila alikuaa na sera ya watu wote wawe sawaa, nyerere alikosoa wote hata mkapa alimkosoa

  • @midnight_12
    @midnight_12 23 дні тому

    Mzee namkubali sana huyu! Mumgu amjaalie umri mrefu wenye afya tele!

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 23 дні тому

    Huyu mpiga picha wenu kidogo hakuwa makini kwasababu inatakiwa uone mdadisi na mdadisiwa vizuri sawa lakini ukweli ni tafauti. Asanteni kwa mchango wenu

  • @salame05-zc2wg
    @salame05-zc2wg 23 дні тому

    Allah akulipe kheri mzee wetu

  • @axmedcumar6196
    @axmedcumar6196 23 дні тому

    Mzee Yupo Vizuri na Historia Ikn anaonekana Kama ame base sana kwenye UDINI so inatu put off na Ndio mana kwenye story zake Kama aanamchukia Nyerere coz Mwalimu alikuwa akipinga sana UDINI

  • @KhamisMouktar-kk2yq
    @KhamisMouktar-kk2yq 24 дні тому

    Historia ya nchi hii imevurugwa makusudi

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 24 дні тому

    Haki zake ziligubikwa watu wakiogopa kusema mazuri yake na Alivyoitendea haki visiwa vyako wakati wa uongozi wake ❤ hata hiyiiiiiiooooooo hicho chuo cha tunguuu haukusemwa nani alikuwa ndio muanzishi.❤lkn kama tunayoambiwa haki ya mtu itatoka hata miaka mia.shukran kwa kutujukusha Slh mohd.Allah atakujaza endelea kutuekimisha na jamiiii kwa jumla .