- 106
- 402 457
AfricanLiberation TV
Tanzania
Приєднався 13 лип 2018
African Liberation Tv is an online digital platform owned by African Liberation Heritage Centre which is a multi-country program hosted by Tanzania’s Ministry of Culture, Arts and Sports. The Centre is dedicated to conserve, safeguard and commemorate the legacy and history of Africa liberation.
Відео
Tutafikisha Elimu ya Historia ya Ukombozi Kidigitali
Переглядів 273 місяці тому
Msikilize Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uchapishaji ya Mkuki na Nyota akielezea umuhimu wa ushirikiano baina ya Kituo na Kampuni ya Mkuki na Nyota hususani katika uchapishaji wa vitabu vya aina mbalimbali vitakavyosaidia kufikisha elimu ya historia ya ukombozi katika jamii. Ameyasema hayo katika Hafla ya utiaji saini Hati ya Makubaliano baina ya Kituo na Kampuni hiyo iliyofanyika tarehe 6 Septemba,...
Hafla ya Utiaji Saini Hati ya Makubaliano baina ya Kituo na Mkuki na Nyota Publishers
Переглядів 463 місяці тому
Hafla ya Utiaji Saini Hati ya Makubaliano baina ya Kituo na Mkuki na Nyota Publishers
Ufahamu Uhusiano wa China na Tanzania
Переглядів 1303 місяці тому
Ufahamu Uhusiano wa China na Tanzania
Kutoka Maktaba ya Kituo cha Ukombozi
Переглядів 963 місяці тому
Kutoka Mkataba ya Kituo cha Ukombozi Tunakupa nafasi ya kuyafahamu mengi kuhusiana na Maktaba yetu yenye hazina kubwa kuhusu Utamaduni na Historia ya Afrika.
Hotuba ya Mwl. Nyerere Mwaka 1958, Jangwani DSM iliyoamsha Vuguvugu la kudai Uhuru, Sehemu ya II
Переглядів 100 тис.3 місяці тому
Hotuba ya Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere Mwaka 1958, Jangwani DSM iliyoamsha vuguvugu la kudai uhuru SEHEMU YA PILI Ni hotuba ya Baba wa Taifa ya Mwaka 1958 ukiisikiliza utajua kwanini tulidai uhuru wetu kutoka kwa Waingereza kwa jazba. Historia ndio kiini na msingi wa uzalendo kwa Waafrika
Jamii Yoyote Inayopuuza Historia Yake Haijui Inapokwenda
Переглядів 204 місяці тому
“Jamii Yoyote Inayopuuza Historia Yake Haijui Inapokwenda” Wanafunzi wanaofanya mafunzo ya vitendo katika kituo cha Urithi wa Ukombozi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Dodoma wameeleza namna ziara ya kimasomo waliyoifanya katika Makumbusho ya Taifa na Jumba la Utamaduni ilivyowajengea uelewa katika nyanja ya historia, utamaduni, urithi na uhifadhi wa makusanyo ya kihistoria, na kuongeza k...
Hotuba ya Mwl. Nyerere iliyoamsha Vuguvugu la Kudai Uhuru, Mwaka 1958, Jangwani DSM
Переглядів 1,3 тис.4 місяці тому
Hotuba ya Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere Mwaka 1958 , Jangwani DSM iliyoamsha vuguvugu la kudai uhuru Ndugu zangu, hakikisha unafuatilia Hotuba hizi kuanzia Episode 1 hadi ya mwisho. Ni hotuba ya Baba wa Taifa ya Mwaka 1958 ukiisikiliza utajua kwanini tulidai uhuru wetu kutoka kwa Waingereza kwa jazba. Historia ndio kiini na msingi wa uzalendo kwa Waafrika
Vijana tuwe na Tamaa ya Kuijua Historia ya Afrika
Переглядів 2844 місяці тому
Vijana tuwe na tamaa ya kuijua Historia ya Afrika Wanafunzi wa Mafunzo kwa vitendo waliopo Kituo Cha Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, wanaelezea namna historia ya Afrika inavyo badili mtazano wao wa kifikra, kiakili na kiuchumi. Sikiliza 👆🏿👆🏿
Kituo cha Ukombozi na Makachu Forodhani
Переглядів 434 місяці тому
Kituo cha Ukombozi na Makachu Forodhani
IFAHAMU KONGWA, Eneo lililobeba Historia ya Ukombozi wa Afrika!
Переглядів 8994 місяці тому
IFAHAMU KONGWA, Eneo lililobeba Historia ya Ukombozi wa Afrika!
Tunu Adhimu ya Historia ya Afrika ipo Hapa
Переглядів 1225 місяців тому
Wanafunzi wa Jeshi la Wokovu waonesha Kiu ya kutambua Historia ya Ukombozi wa Afrika Kituo Cha Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kinaendelea kushibisha Vijana hususani wanafunzi wenye njaa ya kuifahamu historia ya Afrika. Wanafunzi hawa wamesema kuwa wao wanafurahia matunda ya amani, umoja na mshikamano ambao wanahamu ya kujua kwa undani wake nini asili yake. Kwa sasa imekuwapo kasumba ya ba...
Kituo Cha Ukombozi ni Hazina ya Historia!
Переглядів 505 місяців тому
Uelewa wa historia yetu ni jambo muhimu sana katika jamii. Historia ni muhimu katika kudumisha utamaduni, maadili, na mshikamano katika jamii yetu. Kituo cha urithi wa ukombozi kina jukumu muhimu katika kutoa elimu na kuhifadhi historia ya ukombozi wa Afrika. Kupitia kituo hiki watu wanaweza kujifunza kuhusu harakati za ukombozi, viongozi wa kihistoria, na matukio muhimu ambayo yamechangia kati...
Mandela’s historic visit to Cuba to honor the support provided by Fidel Castro and the Cuban People
Переглядів 4146 місяців тому
Mandela’s historic visit to Cuba to honor the support provided by Fidel Castro and the Cuban people during South Africa’s struggle for freedom. Reflecting on the profound solidarity between Cuba and the African nations in their fight against colonialism and apartheid. Cuba’s contribution was pivotal, providing military aid and training to freedom fighters which was instrumental in the struggle ...
Miaka Mitatu ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uga wa uhifadhi wa historia ya Ukombozi wa Afrika
Переглядів 356 місяців тому
Miaka Mitatu ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uga wa uhifadhi wa historia ya Ukombozi wa Afrika
"Tukiuacha Umoja Tutazidi Kuonewa" Nyerere juu ya Umoja Barani Afrika
Переглядів 3306 місяців тому
"Tukiuacha Umoja Tutazidi Kuonewa" Nyerere juu ya Umoja Barani Afrika
Wanafunzi wa Shule ya Mother of Mercy Junior Academy Ziarani katika Kituo Cha Ukombozi
Переглядів 337 місяців тому
Wanafunzi wa Shule ya Mother of Mercy Junior Academy Ziarani katika Kituo Cha Ukombozi
60 YEARS OF FRIENDSHIP: The China-Tanzania Chronicle
Переглядів 1167 місяців тому
60 YEARS OF FRIENDSHIP: The China-Tanzania Chronicle
"Mtu Mwenye Akili Haulizi Kwanini Tuliungana"- Mwl. JK Nyerere.
Переглядів 1,4 тис.8 місяців тому
"Mtu Mwenye Akili Haulizi Kwanini Tuliungana"- Mwl. JK Nyerere.
Hili ndilo lilikua Lengo la Mwl. Nyerere juu ya Muungano wa Tanzania!
Переглядів 5988 місяців тому
Hili ndilo lilikua Lengo la Mwl. Nyerere juu ya Muungano wa Tanzania!
The Epicenter of African Liberation History
Переглядів 358 місяців тому
The Epicenter of African Liberation History
Mfahamu Mzee Mshume Kiyate na alivyomsaidia Mwl. Nyerere katika Harakati za Uhuru.
Переглядів 2328 місяців тому
Mfahamu Mzee Mshume Kiyate na alivyomsaidia Mwl. Nyerere katika Harakati za Uhuru.
"Wanawake Walimsaidia Nyerere Asifungwe Gerezani na Wakoloni": Mchango wa Wanawake Katika Uhuru!
Переглядів 2798 місяців тому
"Wanawake Walimsaidia Nyerere Asifungwe Gerezani na Wakoloni": Mchango wa Wanawake Katika Uhuru!
Dondoo za Mashuhuda wa Harakati za Ukombozi wa Afrika
Переглядів 879 місяців тому
Dondoo za Mashuhuda wa Harakati za Ukombozi wa Afrika
Wanawake Kituo Cha Ukombozi Watoa Rai kwa Jamii kuwekeza kwa Wanawake kwa maendeleo Endelevu
Переглядів 259 місяців тому
Wanawake Kituo Cha Ukombozi Watoa Rai kwa Jamii kuwekeza kwa Wanawake kwa maendeleo Endelevu
Mwinyi: Jabali la Mapinduzi ya Kiuchumi na Uhuru Barani Afrika, Pumzika kwa Amani Mwana wa Afrika.
Переглядів 699 місяців тому
Mwinyi: Jabali la Mapinduzi ya Kiuchumi na Uhuru Barani Afrika, Pumzika kwa Amani Mwana wa Afrika.
Likuyu Sekamaganga Namtumbo - Eneo lililohifadhi Wapigania uhuru wa Msumbiji
Переглядів 13810 місяців тому
Likuyu Sekamaganga Namtumbo - Eneo lililohifadhi Wapigania uhuru wa Msumbiji
Kituo cha Ukombozi Kujenga Uelewa na Utambulisho wa Kiafrika kwa Kudijiti Historia ya Ukombozi
Переглядів 4110 місяців тому
Kituo cha Ukombozi Kujenga Uelewa na Utambulisho wa Kiafrika kwa Kudijiti Historia ya Ukombozi
Hafla ya Makabidhiano ya Vitabu vya Historia ya Ukombozi Kusini Mwa Afrika kwa Familia ya Mbita
Переглядів 4710 місяців тому
Hafla ya Makabidhiano ya Vitabu vya Historia ya Ukombozi Kusini Mwa Afrika kwa Familia ya Mbita
Umeharibu hotuba nzima kwa kelele za huo mziki... Labda ulihitajika lkn ilipaswa iwe kwa sauti ya chini mno ili tusishindwe kumsikiliza Mwalimu...
Video na maneno haviendani🤣🤣🤣🤣🤣
African statesman Great leader Nyerere
Very good
Hiyo hutuba sio ya mwaka 1958 niuongo hutoba hiyo ni baada kupata uhuru
Nyerere Mungu akulaani huko uliko kwa ulicho wafanyia wazanzibari ngombe mkubwa wewe. Itakae muuma comment hii aje akalie mdole huu🤟
Hatutaki mungano
Utautaka tu udongo ulishachanganywa na waasisi wa taifa ww ni nani mpaka upinge muungano
Ulituingiza chakike znz
Sasa Maprofesa na wasomi nchi hii oneni aibu mnashindwa kupata katiba mpya ya umma mnabaki makongamano na mazungumzo yasiyokwisha. Kweli mngeweza kupigania uhuru ikiwa katiba tu ndani ya nchi huru matatizo? Maprofesa na Phds ngapi nchi hii? Tuna feli wapi?
Mababu zetu
Two thousands are problem, how do you love the songs which you was not there?
How old is she? I always thought she was dead someone older made me believe?
Ukimsikiliza mwalimu katika hii hutuba halafu uwaangalie akina lisu na Mzee za wa msoga wanavyotumia nguvu kubwa kuwaaminisha watanzania wazungu hao ndio watu wa kututoa basi kama mtanzania wa kweli lazima utawachukia hawa watu.
Wakale wa eldoret we corrupted that song "kanyii chakit" 😂 translation the jack is full
I heard this song while in primary school. We used to match according to the mentioned African countries. Waaau. Crazy days.
Dziko ilikukoma zakufya szinkasowa
Nice truck Nkutha thank you ❤
😮lsusana by0 john de
where pamela nowadays
Vdeo na saut n vtu viwl tofaut kabisa
Yah kwasabab ilirekodiwa saut bila video
Waislam tupuu
Crying for my motherland africa
Very rare spirit, i wish mwalimu rose back to life
nbnb
Urithi wa Ukombozi, Fahari ya Afrika 🔥
mwl.ahsante
Apo wote hawapo nasi
❤
Picha za video inayomwonyesha Mwalimu hapo siyo ya 1958 ila sauti ni ya mwaka 1958 Hizo Chuelay mwalimu alianza kuzivaa baada ya Azimio.la Arusha.Inawezekana video ni ya 1968. Kwanza mwaka 1958 Mwalimu alikuwa kijana sana na akivalia Suti za kawaida au mashati na suruali.
Saafi sana umejua kuwaelewesha
Mwalimu JK❤ Mmoja wa mashujaa wa Uhuru wa Afrika lakini, Haile Selassie I wa Ethiopia alikuwa namba 1 na aliikomboa dunia kweli.
Oh Pamela,if you could only use this talent for singing gospel music. What will it profit you if gain this world and loose your life in hell?
I almost left studies in 90's coz of Pamelas songs every thursdays i would go to market where her songs were played full blast 😅 joseph from eldoret kenya
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, the Great
I can the Kenyan flag!!? This is not 1958!!!!
Mm
Yes, this is Nyerere. Very different from the proposed stocky, burly statue at the AU.
Best music everything inside me
Hii video sio ya 58 acha kuchanganya na kukanganya vitu na mambo
Ii ndio ujinga tunaosema, waandishi wa habari kuweni na wivu MKUBWA SANA na kazi yenu, Hawa waandishi uchwara wanafanya Kazi yenu tukufu kudharauliwa, eti hotuba ya mwaka 1958, kweli Nyerere alikuwa na mvi? Be serious
Acha kutudabganya,nchi haijapat uhuru bendera ilitoka wapi in pia hakukuwa na video,na hata kama ni projector,nani alilipia
Ila sauti ilkuw ya huo mwaka 1958
This is our Africa... Am from Kenya and I cherish this African song
Umaasai ulitajwa kumbe
80% Walishafariki, Duniani kweli tunapita tuu😢
I remember this
Mzee... hauwezi kupatikana tena..akili nyingi kuliko maprofesa wote...akili nying kuliko viongozi wote wa sasa hata hapo nyuma.... ulale pema peponi Baba wa taifa langu la Tanzania
Lewis Amy Walker Helen Rodriguez Angela
Asante sana Mwalimu, ulipambana sana
Nyerere alipumbaza waTz wenzake akijifanya mkombozi ili awatawale tu, hamna elimu wala maendeleo ya maana....UPUUZI MTUPU !
Wewe sio m bongo na aujui historia ya bongo
Mshenzi mkubwa. Tena huna adabu wewe kibaraka mkubwa wa watwana wako! Kafie mbali kenge wewe😮😮😮
Shida Bado Iko Afrika uhuru bado
The beats, instrumental music 🎵🎶 tops.
1975 shilingi 1 sawa na dola 7! tazama 2024?
Hakika ulikuwa zawadi baba. Pumzika kwa amani, I love you so much... The special one!
Hotuba na picha haviendi pamoja. kwani ilipotolewa hakuwa amevaa Shati la aina ya nusu shingo. Ni kweli Jangwani ndipo alipotoa hotuba hiyo. Kwani Jangwani palitumika kuwa eneo la mikutano. Picha ya mwanzoni ipo sawa, lakini nyingine siyo.. Shati la muundo wa duala shingoni. alianza kuvaa enzi ya Ujamaa, tukiwa na urafiki na mwanzo na Wachina. Hotuba hiyo ni kabla ya Uhuru.
Nafikiri ungezingatia zaidi juu ya hotuba kama alivyodhamiria mwanahabari kutuhabarisha. Matumizi ya video/ picha kuna wakati vinaweza visihakisi uhalisia wa habari inayotolewa.