Mimi mtoto wangu ana kipaji maalumu naa anapenda Sana mpira wa miguu,naa Mtaalamu wa kushambulia kuingiza mpira wavuni Yaani namba 9 Mgongoni ndio namba yake pendwa,Sasa nitawapataje Zaidi ili muweze kumchukua mwanangu aweze kulelewa katika soka?Asante
Mimi naitwa Moses ganagana ninakipaji Cha kucheza mpira was miguu nawaomben sapoti yenu
Ninakaa mbeya Kijiji Cha lupa tingatinga naomba namba ya wats ap nitume pafomans yangu
Habari, naishi kibaha, mwanangu ana kipaji cha mpira na anatumia mguu wa kushoto, anapenda sana mpira
Hii ninamb ya mama nimemuomb sim yak
Naombeni namba zenu za simu
Nitumie namba ya simu nina mwanangu anakipaji cha mpira
Naomba mnisaidid mtoto wangu kipaji chale ni kucheza mpira,naomba mumpatie nafasi,hatashule hataki anataka mpira tu
Unapataje mawasiliano yao na ww
Habari,Mimi ni kijana wa kidato cha tatu nitaji kujiunga na nyie Niko arusha napenda mpira kwanzia mdogo, asenteni
Mimi mtoto wangu ana kipaji maalumu naa anapenda Sana mpira wa miguu,naa Mtaalamu wa kushambulia kuingiza mpira wavuni Yaani namba 9 Mgongoni ndio namba yake pendwa,Sasa nitawapataje Zaidi ili muweze kumchukua mwanangu aweze kulelewa katika soka?Asante
ata mimi kijana wangu anaitaji kucheza mpila nawaomba namba zenu nisaidien namba zen tafazali
Naitwa jeninaishi bunju naomba namba ya sm Nina mtt naitaji aje apo
Habali kaka mimi ninakipaji kikubwa sana sema2 uzami hamuna nisaidieni mi nipo Dodoma
How much
Naomba namba ya sm
Kujiunga ni shingapi mimi nahitaji nipo kahama nauli ipo ya kufika hapo na pakulala pako hapo
Mimi nipo mkoani,sasa nifanyeje mpira anaujua sana tu
Mwanangu ana kipaji mnapatikana wapi?
Naomba mnitumie namba zenu ili nipate kuwasiliana nanyi ninamwanangu
Jaman. Naomben nafas mwanang anacheza mno mpira kuna wakat watoto wenzake kumchangia ya kununua jezi na viatu naomben mnijibu comment tafadhali
Nawesa pata namba ya wasapa niko arusha
Naam
jaman me Nina mdogo angu anafikaje apo na ada VP
Km hamtojali naomba mnitumie namba mda huu
Mimi naitwa Kelvin namiaka kumi na tisa nacheza namba tatu naomba namba
Iyo academy iko dar pande zip
Naitwa Hussein Fundi mwanangu ana kipaji anatakakujiunga naklabu yenu
Seem gan
ada xhilingi ngap wanalala kambini
Naomben mnisaidie namba mwanangu anakipaji mno naomben mnisaidie namba nataman mwanang. Mwez huh wa tano awehap tafadhali sana
Naomba namba zn tafadhali mwanang. Anakipaji mno
Ada shilingi ngapi
Nitmie namba za simu ninamwanzangu anakpaji cha mpira
Naomba namba zenu za simu
Nawapa wapi sasa
Habari kaka naomba unisaidie namba ili niweze fika hapo nimrete kijana wangu
Mkowapi nataka kucheza mpir
Naomba naomba ya siku
Au namba yenu ya simu
Muna lipa bei gani
Tuna watoto tunaomba mawasiliano
Nawapataje
Naomben no zenu tuwaxiliane
TUFANYAGE WANAO KAA MBALI
Bei gani mtto wangu anakipaji cha mpira
Naomba number yako ya simu tafadhali nakuomba
Mawaxiliano Yenu je
Namb ya wasap naomba
Academy hii iko wap
Ipo kila siku au kila jumamosi
Nata kani mlete mwanangu apo tupo karibusana
Nahitaji nijiunge na accademic
Samahani naomba mnisaidie ninakipaji Cha mpila wa miguu namba yangu hii 0748128542 please naomba mnisaidie
Naomba nitumien namb na mwanang naitaj ajiunge na kituo maan anakipaji mno wenzake awaend kwenye mechi bila yeye naomba nitumien namba
Weken namb za simu basi
Bei gani?? Naomba no yasimu
Mpo sehemu Gani ilala
Je kwa saivi mnafanya Michezo nataka nimlete mwanangu
Kuna hostel?
Kwa bado hawana hostel ila ndio zinajengwa
OK,coz kuna watoto wako mikoani wangeweza kukaa huko na kukuza vipaji
@@longatv7977 je hostel itakuwepo baada ya lini
Sawa sasa ni kiasi gani kujiunga hapo wakuu
je kuna hosterl?
Jaman kujiunga hapo ada shingap
Itakuaje wanao kaa mbali
Nahitaji
Nami kijan nahitaji kujiunga nakadem ila naumri wamiaka 20 naweza nikapokelew
P
Watoto wa dini zote
Namba yangu ni 0717 054 360
Hiyo ni namba yangu ya WhatsApp
Nitumie namba ya whatsapp namtoto wangu anakipaji cha mpira
Number zenu za simu
me nipo 2nduru mwanangu anakipaji Cha mpira naomba namba ya sm TU wasiane
Naomba namba ya whatsapp
Naitwa Hussein Fundi mwanangu ana kipaji anatakakujiunga naklabu yenu
Naomba namba zn tafadhali mwanang. Anakipaji mno
Nahitaji nijiunge na accademic
Naomba namba zn tafadhali mwanang. Anakipaji mno