JINSI YA KUJIUNGA NA TIMU ZA VIJANA ZA AZAM FC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 130

  • @user-ec2ur3ut8e
    @user-ec2ur3ut8e 19 днів тому

    Asanteeh kwa maelezo mazuri, Naitwa Faraja Davis nina uwezo wa kutumia miguu yote naomba utaratibu, Asanteeh

  • @AminaSultan-g5v
    @AminaSultan-g5v 13 днів тому

    Mwalim wangu mimi ni naitwa Omary Nina miaka 15 Nina kipaji cha kuchez a mpira wa miguu nina omba kujiunga na academy yenu ahsante

  • @AminaSultan-g5v
    @AminaSultan-g5v 13 днів тому

    Mwalim mimi naitwa Omary na kipaji cha kuchez mpira nafasi ya beki naishi urambo asante

  • @janethmasakia-yq1pf
    @janethmasakia-yq1pf 6 місяців тому +2

    Habari walimu wangu wa mpira wa miguu ninaitwa Gerald Nina miaka12 ninaomba kujiunga na academy yenu ahsante

  • @jumaadison4229
    @jumaadison4229 2 дні тому

    Habar mwalimu Niko na mtoto wangu ana kipanji Sana cha mpira ila hatuko dar tuko mkona naomba msaada wa mtoto wangu kwa kumusaidia kipanji chake

  • @yuzarzifhazard9465
    @yuzarzifhazard9465 8 місяців тому

    Mimi ni Hussein Mbaraka mahambi ninakipaji cha kucheza mpira katika nafasi tofauti ninamiaka 15 nasoma kidato cha kwanza shule ya sekondari kalimaji ninaomba msaada wa kujiunga nanyi katika program zenu kwakua kwetu kunashida kifedha ninaomba msaada wenu natumaini maombi yangu yatakubaliwa INSHAALLAH napatikana ARUSHA njiro mtaa wa egosengiu

  • @hermansasuri9743
    @hermansasuri9743 2 роки тому +4

    Ni vizuri saana na mnafanya jambo jema saana sasa je vip kwa wale walioko mbali na Dare es salaam, wanapataje hizo nafasi.

  • @CatherineKisomba
    @CatherineKisomba 19 днів тому

    Habari mwalimu naitwa Catherine kisomba naishi mbezi beach mm napenda kcheza mpira na nafas ya kiungo

  • @YudaBaraka
    @YudaBaraka Годину тому

    Mwalimu naomba kujiunga

  • @user-ev1bt4lj4w
    @user-ev1bt4lj4w Місяць тому

    Shikamoo mwalimu wangu wa mpira wa miguu ninaitwa ethan martin nina miaka 23 ninaomba kujiunga na academy yenu asante

    • @LenadiShini
      @LenadiShini 21 день тому

      shikamoo.mwalim.wangu.wa.mpira.miguu.ninaitwa.karim.ramadhan.nina.miaka.16.ninaomba.kujiunga.na.akadem.yenu.asante

  • @TillionsMon
    @TillionsMon 3 місяці тому

    Inapendeza sana wakuu,Mimi naitwa baba JOHN
    Mimi mwanangu anapenda mpira naa anakipaji hivyo nitamleta waalimu,Umri wake miaka 15,Asanteni
    Ila Kama hamtojali ninaomba namba zenu wakuu

  • @AminaSultan-g5v
    @AminaSultan-g5v 13 днів тому

    Naitwa Omary naishi urambo napenda mpira naomba kujiunga na academy yenu ila wazazi wangu Hawa a uwezo naomba mnisaidie

  • @meruworriorsfootballprojec9494

    big up , By meru warriors football project TANZANIA

  • @JullyMaira-if6kd
    @JullyMaira-if6kd 8 місяців тому +2

    Naomben nimlete mwanangu naomben msaada wenu maana anakipaj kikubwa

  • @AzizaHussein-wq8ql
    @AzizaHussein-wq8ql 6 місяців тому +1

    Fei toto ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HamisKapembe
    @HamisKapembe Місяць тому

    Mim mzazi wa said khamis kapembe nilikua naomba nafasi yakujiung katika a academy ya mpira wa miguu

  • @EliaUtenga
    @EliaUtenga 17 днів тому

    Mwalimu mm naitwa elia utenga nina miaka 15 napenda xana mpila

  • @NemenceTesha43k
    @NemenceTesha43k 4 місяці тому

    Kwa majina naitwa kelvin paul nina umri wa miaka 18 napenda sana kucheza mpira wa miguu naomben mnisaidie nina ndoto za kuwasaidia wengi kupitia kipaji changu naombeni sana mnisaidie

  • @AthamanIssa
    @AthamanIssa Місяць тому

    Naitwa athumani issa niko mwanza nataka kujinga nanyie ila wazazi wangu awana uwezo naomba mnisaidie

  • @jacksonernest-g4r
    @jacksonernest-g4r 28 днів тому

    Nata man I kujiunga na academy Hi yo ya azam

  • @AishaSafia-iz9qb
    @AishaSafia-iz9qb Рік тому +1

    Mi naitwa adan nime furahi nakupendezwa natim hiyo ya Azam fc naeza penda mtoto wangu ajiunge na Tim hiyo y a under 17 so naeza pata location vipi

  • @ElikanaEmanweli
    @ElikanaEmanweli 5 місяців тому +1

    Ninakipaji champira Na baazi yawatu Wanasemaga kwe dog unakitu mguuni.. Ila nduguzang Sina Baba pia Nimekosea.. Sapoti.. Shule Nime ishia la 7 Nilikosa wakuniendeleza.. Nimemaliza 2020lasaba.. Ilakwasabu.. Nimekosea wakuniendeleza.. ndotoyangu Nataka iwe mpira

  • @TillionsMon
    @TillionsMon 3 місяці тому

    MUNGU azidi kuichipusha AZAM ,Amiin.

  • @isahawolee
    @isahawolee 5 днів тому

    naomba vigezo nameme nije au namba zenu ahsante

  • @user-dp7tl5dx9j
    @user-dp7tl5dx9j 8 місяців тому +1

    Nataka kujiunga happy assuming inakuaje

  • @MayaraMssa
    @MayaraMssa 3 місяці тому

    Ntafurah Sana mkuu nisaidie mdogo wako

  • @SakhoJohn
    @SakhoJohn 3 місяці тому

    Ninaitwa deo msacky Nina miaka 17 naomba kujiunga na academy yenu ahsant naombeni mnisaidie

  • @user-ez3qj8tm2k
    @user-ez3qj8tm2k 6 місяців тому

    Mimi naitwa Abubakar Amri naishi mbezi naweza kucheza kama kiungo lakini wazazi wangu hawana fedha za kutosha hivyo naomba msaada wa kujiunga nanyi tafadhali kwa masharti yoyote

  • @MichaelShayo-rt1gm
    @MichaelShayo-rt1gm 2 місяці тому

    Kwa majina naitwa Michael novatus shayo mwalimu wa michezo wa mpira wa miguu na umri miaka 18 naomba nafasi ya kujiunga na academy sports yeni naombeni niweze kutimiza kipaji nicho nachoo

    • @MichaelShayo-rt1gm
      @MichaelShayo-rt1gm 2 місяці тому

      Mwalimu wa michezo wa Azam academy naomba msaada wenu

  • @ImanWilliam
    @ImanWilliam 9 місяців тому +1

    naomba kjiunga

  • @HashimuShaban
    @HashimuShaban Місяць тому

    Naitwa barak Shaban nina mika 18 ninaomb kujiunga kweny timu yenu

  • @elishabomba9063
    @elishabomba9063 7 місяців тому

    Naombeni munisikiye jamani minipo

  • @MayaraMssa
    @MayaraMssa 3 місяці тому

    Jaman naombben nafasi ya kujiunga na azam academy umri naitwa Julius sospeter selema umri miaka 18

  • @WazalendoMeneja
    @WazalendoMeneja 9 днів тому

    Kwema

  • @user-pf7tb5og5d
    @user-pf7tb5og5d 8 місяців тому +1

    nahitaji kumleta kijana wangu ajiunge na academy ya azam ili aendeleze kipaji chake cha mpira wa mguu U15 mnielekeze vizuli au mnitumie namba ili tuongee vzuli

  • @MayaraMssa
    @MayaraMssa 3 місяці тому

    Kama kutakuwa na Mambo mengine tujurishane ndugu zangun ntafuata utaratibu wote na nidham kwa sana

  • @RonginoKitalika
    @RonginoKitalika 3 місяці тому

    Mtoto anajiungaje

  • @PatriceYuda-vy1rg
    @PatriceYuda-vy1rg 10 місяців тому

    Kwa majina naitwa Patrice yuda natokea mkoani manyara kwa sasa nipo mlandizi natamani sana kujiunga Na academ naomba maelekezo samahani kwa usumbufu

    • @BethodyBogias
      @BethodyBogias 10 місяців тому

      Kuhusu maombi ya academy umepata mwelekeo gani Hadi kufkia saizi?

  • @user-si2ih9pu7u
    @user-si2ih9pu7u 9 місяців тому +1

    Nilikuwa naomba naamba

  • @_maseed
    @_maseed 2 роки тому

    Eeeenshallahou taaalaaa...🙏🏻Mola azid kuipa nguvu taasis nzima ya #azambakhresa

  • @GoodnesHamis
    @GoodnesHamis 2 місяці тому

    Naitwa azz rajab nimchezaj mzuri pia nimewah kuchezea kwenye academy ko namba nafas

  • @JUMANUHU-do8ll
    @JUMANUHU-do8ll 3 місяці тому

    Shkamokni kocha me naitwa juma nuhu na miaka 15 nilikuw Naomba kujiunga na academy yen nakipaj asante

  • @ZainaMshana-gn9is
    @ZainaMshana-gn9is 3 місяці тому

    Naomba namba nipo mkoani Nina kijana wangu nahitaji kumleta

  • @FabianNghwani
    @FabianNghwani 4 місяці тому

    Mm nina itwa festo naomba kujiunga na academy yenu

  • @user-pq8pu5vs3z
    @user-pq8pu5vs3z 7 місяців тому

    Azam njoon kigoma🎉tutafanikiw mm Agustihno sokola nippo kigoma mwanga

    • @user-pq8pu5vs3z
      @user-pq8pu5vs3z 7 місяців тому

      Mm no Agustihno sokola nippo kigoma mwanga mtaa wa shaurimoyo

  • @user-et3kf9yg9e
    @user-et3kf9yg9e 6 місяців тому

    Mimi Ezra naomba kujiunga na academy Naomba namba ya wsp

  • @elishabomba9063
    @elishabomba9063 7 місяців тому

    Habali mimi nina uwezo wa kucheza pila naomba muni saidie ninamyaka 17

  • @jacksonernest-g4r
    @jacksonernest-g4r 28 днів тому

    Napataje nafasi ya kuja

  • @lilianmakula2399
    @lilianmakula2399 11 місяців тому +1

    Ntapataje namba zenu mwanangu ajiunge

  • @MshoshaCharles
    @MshoshaCharles Місяць тому

    Kuanzia umli gan

  • @user-ww7tz2ke2l
    @user-ww7tz2ke2l 6 місяців тому

    Mimi ni mzazi wa maliki ramadhani naomba nafasi yakujiunga katika academy ya Azam fc

  • @user-rd9hl1df9v
    @user-rd9hl1df9v 10 місяців тому +1

    Natamani Kuna nipen maelekezo

  • @user-eq4uy8vg9v
    @user-eq4uy8vg9v 5 місяців тому

    Habari mwalimu Nina mwanangu anaitwa kasim anaumri was miaka 12 anakipaji kikubwa Cha mpira was miguu naomba ajiunge na academy yenu

  • @neemarehani5941
    @neemarehani5941 7 місяців тому +1

    nataka nijiunge

  • @hermansasuri9743
    @hermansasuri9743 2 роки тому +1

    Mimi ninapenda saana mpira na mwanangu natamani asome huku akicheza mpira lakini niko Geita nafanyaje ili kumuweka mtoto hapo

  • @user-wq8kw3hm5n
    @user-wq8kw3hm5n 6 місяців тому

    Kwa majina naitwa jumma nuhu na kaa mkoa wa manyar na miaka 15 na kipaji Cha kucheza mpir nilikuwa na omba number mama anataka kunileta uko na kipaji San Cha mpira was miguuu

  • @user-eq4uy8vg9v
    @user-eq4uy8vg9v 5 місяців тому

    naomba mwanangu kassim ahmad ajiunge

  • @ogaoga2385
    @ogaoga2385 Рік тому

    Naitwa good luck naomba kujiunga na academy yak inafanya vizur sana

  • @user-ek4sn3ib2m
    @user-ek4sn3ib2m 7 місяців тому

    Mtoto wang anahitaj kujiunga na academy ya azam nawapataje

    • @FrankRichard-qn9id
      @FrankRichard-qn9id 6 місяців тому

      Hallo,Nina mtoto wangu anapenda sana kujiunga nanyi Niko tabora je mna shule hapohapo nimlete na vp gharama na mahitaj mengine

  • @johnhosea6389
    @johnhosea6389 2 роки тому +1

    Karibuni kwa mechi

  • @elifurahachuri9917
    @elifurahachuri9917 Рік тому +1

    Nahitaji kujiunga na azam under 17 naomba maelezo zaidi kuhusu kategori hiyo,

  • @KasimAli-fn1zh
    @KasimAli-fn1zh Рік тому

    Vp sis ambao tupo katika wilaya ya lushota na tuna vipaj mnatusaidiaje

  • @ChrissShani
    @ChrissShani 4 місяці тому

    Hi coach mm chriss emmanuel naomba kujiunga na sports acadomy ya azam

  • @PatriceYuda-vy1rg
    @PatriceYuda-vy1rg 10 місяців тому

    Naomba maelekezo jumamosi nataka nije nikuanzia SAA ngapi mnaanza

  • @user-rc9ih9hg2w
    @user-rc9ih9hg2w 6 місяців тому

    Nahitaji kujiunga na academy

  • @user-yb6nh9fd8z
    @user-yb6nh9fd8z 10 місяців тому

    Naomba unisaidie mwanangu aje azam mwakani nitafanyaje uder 15

  • @SuleimanMrisho
    @SuleimanMrisho 5 місяців тому

    Namb ya sim nilikuw naomb

  • @YussufYussuf-pu1ie
    @YussufYussuf-pu1ie 6 місяців тому

    Naitw haji soud haji maaruf dube ninawaomb sn ten san naomb nafas na mm ya kujiunga na academ ya azam nin kipj il ttz sn mtu tu ilo nd ttz naomb mung akupen iman muwez kunitaft familia yang ni maskin san na ninandot ya mpir il kuitoa familia yang nakuomben san muwez kunisaidia jaman nakuomben sana natekemea mutanisapot kwa hl asanten

  • @user-gb9gs1dd5w
    @user-gb9gs1dd5w 7 місяців тому

    Nataka kujiung naakadem yenu

  • @user-rm3mq9jj4h
    @user-rm3mq9jj4h 7 місяців тому

    nina miaka 15 toninahitaji kujiunga nahitaji namba zenu

  • @jacksondalushi3865
    @jacksondalushi3865 2 роки тому

    Ninavijana wangu wanapenda mpira sana tupo Mwanza

  • @user-ps9zv8he3k
    @user-ps9zv8he3k Рік тому +1

    Nawezakupanaba

  • @elishabomba9063
    @elishabomba9063 7 місяців тому

    Nipo tayali kuona jinsi kipaji changu kinapo kuwa

  • @user-et3kf9yg9e
    @user-et3kf9yg9e 6 місяців тому

    Naomba kujiunga na academy

  • @user-mf5pn4ee4n
    @user-mf5pn4ee4n 8 місяців тому

    Habali mkuu mm naitwa twalibu ni mkazi wa dar ningependa kujiunga na academy yenu nina miaka 17 boss nawaomben jaman ninamaisha yatabu sn mkuu

  • @user-wb4cx8jh9w
    @user-wb4cx8jh9w Рік тому

    Naitaji kujiunga na academy naomba sana

  • @sahimameir1099
    @sahimameir1099 2 роки тому +1

    Mimi nina kipaji nafanyaje

  • @user-fj4np4oe5c
    @user-fj4np4oe5c 7 місяців тому

    Habari

  • @MathayoJuma-dy9pj
    @MathayoJuma-dy9pj Рік тому

    Naitwa mathayo nipo mwanza napanda sana kucheza mpira mawezaje iupata maelekezo ya kufka huko ama kujiunga tafadhari

  • @zamdadedela297
    @zamdadedela297 Рік тому +1

    Naomben mnielekeze namba ya kujiunga

    • @zamdadedela297
      @zamdadedela297 Рік тому

      Naomben mnielekeze namba zenu Ili nimlete mwanangu

    • @zamdadedela297
      @zamdadedela297 Рік тому

      Naomben mnielekeze namba zenu Ili nimlete mwanangu

  • @AminaAthumani-yf5qz
    @AminaAthumani-yf5qz Місяць тому

    Mtu akitaka kujiunga atua gani afate

  • @PatriceYuda-vy1rg
    @PatriceYuda-vy1rg 10 місяців тому

    Naomba maelekezo

  • @halimasalum8894
    @halimasalum8894 Рік тому

    Ishaallah

  • @AlachuFamily-bh6sg
    @AlachuFamily-bh6sg Рік тому

    Mm lakson ruga naomba nafasi apo

  • @saidyiddy8512
    @saidyiddy8512 Рік тому

    napataje nafasi ya kuleta vijana wangu napenda sana awe hapo azam

  • @samachampion7268
    @samachampion7268 2 роки тому +1

    Free session jumamosi inaanza sangapi?

    • @galaxyboe5762
      @galaxyboe5762 2 роки тому

      Free session jumamosi inaanza na kuisha saangapi?

  • @EMANUELASSENGA
    @EMANUELASSENGA 6 місяців тому +1

    MY name is emanueli need tojoin with Azam academy, i have talent number 3,6 and 8

  • @obedeliza2475
    @obedeliza2475 Рік тому

    Nina mtoto wangu ana Lilia nimlete azam nipen maelekezo

  • @laizerstephen4927
    @laizerstephen4927 8 місяців тому

    Naomb kujiunga tim ya azam under 17

  • @ABASSAGHA-zk3nu
    @ABASSAGHA-zk3nu Рік тому

    Ni mfano wa kuigwa kw timu nyingine azm fc bizaa bora timu boraaa

  • @neemakumbuaeli2168
    @neemakumbuaeli2168 7 місяців тому

    Wa mikoani inakuwaje

  • @ImanWilliam
    @ImanWilliam 9 місяців тому

    naomba namba zenu

    • @SangaSefania
      @SangaSefania 9 місяців тому

      Naitwa frans naomba kujiunga na kituo chenu

  • @feristeranthony-ec3qs
    @feristeranthony-ec3qs Рік тому

    Mwaka huu trial link?

  • @zamdadedela297
    @zamdadedela297 Рік тому

    Ninawezaje kupata namba zenu Ili nimlete mwanangu hapi

  • @cashmoneytz2759
    @cashmoneytz2759 2 роки тому

    Hakika mtafka mbali

  • @sijalimwampenza4786
    @sijalimwampenza4786 2 роки тому

    Mtoto wangu anataka kujiunga na azam yawatoto nipen maelekezo

  • @user-gb9gs1dd5w
    @user-gb9gs1dd5w 7 місяців тому

    Naomb namba zenu

  • @KasimAli-fn1zh
    @KasimAli-fn1zh Рік тому

    Katika wilaya ya lushoto mkoa watanga ipo timu inayo itwa mbugusi f.c inavipaji vya kutosha mnatusaidiaje hawa vijana Ili waweze kutimiza ndoto zao

  • @perusiezekiel1758
    @perusiezekiel1758 Рік тому

    Nataka kujiunga

  • @eliassaruni3719
    @eliassaruni3719 Рік тому

    Naomba namba yako ya wasapa