Holy Trinity Studio - Shangwe za Noeli ( Official Music Video )
Вставка
- Опубліковано 14 гру 2024
- HUU NI MMOJA KATI YA NYIMBO ZILIZOMO KATIKA ALBUM YAO MPYA.
WIMBO: SHANGWE ZA NOELI
MTUNZI: BERNARD MUKASA
AUDIO BY: HOLY TRINITY STUDIOS
VIDEO BY: HOLY TRINITY STUDIOS
Hongereni sana kwa wimbo Murwa kabisa Endeleeni kumtumikia Mungu.
Hongeren sana, kwaya penndwa yaannavyopenda hatar sana mungu awabarki karb osterbay one day kwa unjilshaj wen
I'm not a Catholic, but this one of my best choirs
Wimbo mzuri nota zake zinapatikana aje]
Kazi nzuriiiii. Wapendwa
Jamani nimependa kin and a chakeeee hatariii mungu awabariki sanaa
Blessed gonga like kama.umeikubal
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzur Mimi kutoka jimbo katoliki LA kahama parokia ya familia takatifu kagongwa
and i'm not acatholic, but this one of my besy choirs love so much
Super sanaaa!!! Sifa Kwa Mungu
Kaka Mukasa ujawahi kuniangusha... Hongera kwa kazi nzuriii... Pia Kaka Mushobozi kibanda kimetulia saana..
Hongera saana kwa kazi nzuri
Wimbo mtamu kweli, kweli nh shangwe kwa Noeli. Hongera Choir ya Mt. Karoli Lwanga, na nyie pia Wana Holy Trinity, mpo juu Sana, nawatakia heri njema za Krismasi na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Hope for more in the year 2020
Beautifully sung, be blessed
Barikiwa Sana,Mukasa hujawahi bahatisha kaziyako
Hongereni sana kwa kazi nzuri.
Nimependa shangwe hiyo ya christmas
You have never let me down Holy Trinity Studios....Wimbo mzuri sana..MPiga kinanda huyu na waimbaji sauti zenu Mungu awabariki sana
Sauti na vyombo vimeundwa jameni Barikiweni sana.
Wimbo uko vizuri, Mungu azidi kuwabariki ktk utume. Hongerani nyote mliofanikisha mtunzi, studio na wanakawaya nk mmeutendea haki
Wimbo mtamu Sana Mungu awafariji Sana na mzidi kumtukuza
Mungu ni mwema
Hii record companyinayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa.
Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo. Rajo na Verony na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music.
Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record
Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
Jamaniii be blessed 🙏🙏🙏🙏 proud to be catholic
safi sana. mbarikiwe sana
Nice song, nice voices, nice outfits big up, to God be the Glory.
Hongereni sana kazi nzuri sana👏👏
Nashukuru kwa wimbo huu
Another beautiful Noelic composition from Ray Ufunguo.
Mungu awabariki waimbaji wote.
Its a Mukasa composition
Beautiful 🌹🌹🌹 sung God bless you 🙏 🙏💕🙏💖
hongereni kwa uinjilishaji
beautifully done,
Wimbo Bora kabisa ...merry Christmas to you
Wimbo mzuri sana hakika ni Shangwe za Noeli
Good song. Keep it up!!!
Konki konki konki master 🔥🔥
Kuanzia mtunzi hadi kwaya, producers (audio & video)
Mbarikiwe sana wakuu
Kazi nzuri🔥🔥🔥🔥
Hongereni kwakutubaliki nawimbo mzuli bila kumsahau kakayetu mpiga kinanda
Benard Mukasa uko vzr sana kwenye utunzi. Holy Trinity one of the best productions studios in Tz
Nice one 🔥 🔥 🔥 🔥
Balikiwa sana ktk uinjilishajj wa utume huo muwe na tumaini la milele ktk yeye atutiaye nguvu amina
Nice work, naisubiri kwa hamu sana kazi yetu!
Ipo taari
Safiiiiii.aisee
Hongereni Sana wimbo upo juu Sana
Mie daima huona FAHARI kuwa Mkatoloki. Kwa wimbo mtulivu na mtamu namna hiyo; utawashangaa wanaorukaruka kama walioumwa na nyuki!
Safi sana sauti nzur merry x mass
Kazi safi
Shangwe kweli Kristo kazaliwa!
Mary's boy child Jesus, was born on Christmas day.. Joy to the world
hongereni kwa wimbo mzr
Nice ..mwokozi akazaliwa
Hongereni sana.... Kazi nzuri
ni shangwe
Hongereni sana. Nyimbo nzuri!
Good song
Mnapendeza. Wimbo mtaamu
Hongera Sana
Barikiwa Sana 🙏
Safi sana
Hongereni
Be blessed nice one
Sauti tamu sana
Mambo ni motooo
Mbarikiwe sana
Kazi nzuri
napenda mlio wa kinanda .......sadakta
kweli shangwe
Safi
𝗠𝗮𝗸𝗼𝗳𝗶 𝘁𝗮𝗳𝗮𝗱𝗵𝗮𝗹𝗶👏🏾🔥❤️
Good
🔥🔥🔥👂👏🏾
AMINA
Hongeren sana
Shangwe kweli, barikiwa sana 💯✅🎄🎄👍
Mushoboz respect sanaaa daima unanifurahisha sana
Congrats to u
❤
Pourquoi vous ne mettez pas des partitions?
Amina
Nice Song
Nice
🎅🏽🎅🏽🎅🏽🎄🎄🎄❣️
Upo vizuri sana
👏🏻👏🏻
The
Hongereni Sana kwa kazi nzuri
Mbarikiwe sana
Safi sana
Nice Song
Safi sana
Nice song