hapana hakuna aliyerudia wimbo huo bali sisi tuliomba huyo mwl kutoka chamazi akatutungia huo wimbo tukamlipa elfu 30000,tukarekodi kipindi tunakalibia kuzindua tukasia wimbo unapigwa kumbe alituuzia wimbo akautoa kopi alafu akafundisha kwaya yake naautoa hatukuwa nanamna ikabidi na sisi tuzindue album yetu na ndo wimbo uliokuwa umebeba album yetu,ndo hivyo by katibu kwaya ya kristo mfalme chalinze.
Thadeo Mluge Acha ushamba wewe yawezekana hata dini na kuimba kwenyewe umeanza ukubwani,nyimbo za R.C zinaibwa mahali popote Tanzania na Duniani unataka kuniambia nyimbo zinazoimbwa na kwaya yenu zote zimetungwa na walimu wenu?
Me naona jamaa wako sawa tu maana kama kuiga hata Augustino chamazi wameiga fuatilia alivyoanza ala mpiga kinanda wao kama si uigaji ni nini ko usitoke povu mkuu
Hakuna kinachoshidikana kwa mungu sema Neno
Hongereni , Mungu awabariki.
Hongera Mr Felix kwa kuendelea kumtumikia Mungu kwa kuimba , zaidi ya miaka 20 sasa umesimama katika utume huu.
Keep burning 🎉🎉🎉 indeed it is a good song
A very powerful voice as wells good dancing styles with perfect moves,watching from Eldoret Kenya
Wanaokosoa nahisi sio wakatoliki,wimbo mmoja unaweza kuimbwa na kwaya zaidi ya moja,mmefanya vizuri sana hongereni
Boniphace Charles kwel kbs
Ila mimi si mkatoliki lakini huu wimbo naona umeimbwa vizuri kabisa.
Duh.. kazi bora kibisa
Najivunia kuwa mkisto mkatoliki. Hongera sana kazi njema na utume mwema
Kiukweli hii kwaya naipongeza kwa hatua hii
Kwenye album hii wameimba vizuri sana
Mola awazidishie kwa uinjilishaji murwa kabisa
Hongereni sana kwa kazi nzuri waumini tukumbuke kwamba hii ni kazi ya mungu tusiangalie tu uuzaji wa cd
Hongereni saana wanakwaya.yaani mmeimba vizuri mnoo,maneno yanasikika vizuri sana hakuna sauti za mvumo kama kwaya ya Mt.Augustino Chamazi.
Kwakweli hongeleni sana
Chalinze wanajihidi sana kwenye kuimba
Hongereni! Mmeimba vizuri. Wanaokosoa siwaelewi hata kidogo. Hakuna wivu katika kutangaza neno la Mungu
Hongereni sana wapendwa kwa wimbo mziri wenye kujaa tafakari na mafunzo
mubarkiwa kwa kaz nzur bwana yesu awe nany
Naomba notes za huu wimbo ,nimeutafuta SMN sijauona
Mungu hashindwi na jambo tukimwamini
This song really speaks to me.
Hongera
kazi mzuri hongereni sana
Sema neno moja
Wimbo mkali sana
sy vizur kurudia kaz ambayo imeganyw na wenzenu mnapenda mtelemko
Good
Iko vzuri
Hamkuwa na sababu ya kurudia wimbo walioimba wenzenu.!!
Tena kwa kiwango cha chini yao!!!
Wow,Wapendwa mola wetu Awabariki ♡♡♡♡♡♡♡♡♡
hapana hakuna aliyerudia wimbo huo bali sisi tuliomba huyo mwl kutoka chamazi akatutungia huo wimbo tukamlipa elfu 30000,tukarekodi kipindi tunakalibia kuzindua tukasia wimbo unapigwa kumbe alituuzia wimbo akautoa kopi alafu akafundisha kwaya yake naautoa hatukuwa nanamna ikabidi na sisi tuzindue album yetu na ndo wimbo uliokuwa umebeba album yetu,ndo hivyo by katibu kwaya ya kristo mfalme chalinze.
Thadeo Mluge Acha ushamba wewe yawezekana hata dini na kuimba kwenyewe umeanza ukubwani,nyimbo za R.C zinaibwa mahali popote Tanzania na Duniani unataka kuniambia nyimbo zinazoimbwa na kwaya yenu zote zimetungwa na walimu wenu?
Me naona jamaa wako sawa tu maana kama kuiga hata Augustino chamazi wameiga fuatilia alivyoanza ala mpiga kinanda wao kama si uigaji ni nini ko usitoke povu mkuu
Lyrics
kan watunzi wameisha jmn
sijaelewa huo wimbo mmetunga nyie au niwa st Agustino chamanzi
Kharidi Ally Kama ndio hivyo hata hao Augustino sio wao fatilia vzr
Hata Augustino hawajatunga wao,kwani kurecord wimbo mpaka muwe mumetunga wenyewe mkuu?
Mmeimba vzuri lakini mmeiga wengine
Sio dhambi kuiga mambo mema
Kuiga kitu chema haimchukizi MUNGU
Safi
Mbona mnarudia kazi iliyofanywa na wenzenu
kwani ni kosa?
wakatoriki ni wamoja sana kuludia vyimbo so shida ;hongereni sana kwa kushirikiano wenu mungu awabariki sana awape nguvu kuonesha upendo ******
@@aggnesshamiss4879 kumba sawa,
ila sio kwa kurekod kazi ya mtu na kuiza bila idhini yake.
Hongereni sana kwa kazi nzuri waumini tukumbuke kwamba hii ni kazi ya mungu tusiangalie tu uuzaji wa cd
Mungu atupe kibali amen
mubarkiwa kwa kaz nzur bwana yesu awe nany