A great song. Can't escape the angelic voice of Annastacia Muema. Keep the God given talent skyrocketing. God bless Ray, Lawrence, the Choir and Rajo Productions. Always praying for you guys.🙏
Breathtaking angelic melody truly filled with pomp & exuberance of Christmas. With open arms and grateful hearts we welcome our infant savior Jesus. Shukran na baraka Rajo 👍🙏👌🙏
This is just amazing...looking at the faces have met before doing the best moves with such a soul touching smiles;for sure this is the right timing of the song.
une chanson qui a été composée par Ray sonne bien normalement! Ray bwana unatushika daadeki.. We ni mkali balaa.. Endelea kubarikiwa uishi sana utumie talanta yako vyema!
Mwenyezi Mungu na atukuzwe sana kwa huu wimbo ulio bora sana, hongereni waimbaji kwa sauti tamu kweli kweli; Ray...kumbe you are that flexible, Lawrence, Anastacia....thumbs up!!!! Merry Merry Xmas
Wow!!🤦🙏👏👏👏 Just amazing and soul touching melody. Am so humbled and greatful to see choir of our own Evangelizing globally through media 👏🙏. Rajo I salute you man🙏Bwana abariki kazi yako na Nia zako njema.
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
aiseee nyie jamaaa mnajuaa Sana.Mungu awabariki Hadi mshangae
u have our support 💯🙏🙏
Anastacia muema, Ray ufunguo and you Mr kameja nawapenda sana 🥰🥰 mungu azidi kuwajalia nguvu na afya njema mzidi kueneza injili.
Hallelujah mbalikiwe mnajitoa Sana'a katika kazi ya mung atazid kuwalinda na sio hapo tu mtazidi kumtukuza mung
Barikiwa sana rajo production one love
Lovely voice barikiwa sana
Safi mkuu....
Hongera mkubwa,,
Doing great job.
❤🇷🇼
Good music!🥰
Hongera kwa waimbaji wote waliofanikisha hii video!👏👏
Longlive Rajo productions!!!🤗
Amen Anastacia, Hongera pia kwa sauti nzuri...
Tunaeza pata aje nyimbo zako tiktok my dear ,nazopenda sana av been looking for them but sijaipata moja
A sua voz é super doce! Não parei de escutar esta música. A partir do Brasil.
Congrats Tano,ray very astonishing
@@dimitriaugustotchantchalam6168 thankyou so much🙏
You did a good job Imana mushobora vyose ugukomeze Kandi Ubuntu bwayo buyishitse kure peee
Another 💥💥💥aki tutembelee nasi pia st. Patrick's utawala
Asante sana Megimeg... Tutakuja ukitualika.
It's always the Alto for me. Proud to be part of this beautiful FAMILY.
May God Bless you
I love this song hongera wanakwaya pamoja na rajo production 🙏
A great song. Can't escape the angelic voice of Annastacia Muema. Keep the God given talent skyrocketing. God bless Ray, Lawrence, the Choir and Rajo Productions. Always praying for you guys.🙏
Be Blessed
Hongereni sana hakika amezaliwa, mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri😘
Weuweeeheee Shangwreeeeee Wimbo mtamu sana.Ray ufunguo kazi nzuri hii
Asante sana Winfrida...Ubarikiwe sana
Kumbe kuna Wimbo mtamu huku wa Noeli na mko Kimya....😃
Aleluya Aleluya Amezaliwa Mwokozi Mkombozi wa Dunia.
Hahahhaaa. Arnold ubarikiwe sana
Anold, umenifanya nicheke
Nimebarikiwa kwa wimbo mzuri wa Noeli
Asanteni Sana kwa wimbo mzuri uliosheheni ujumbe wakuzaliwa kwake Masihi wetu Yesu Kristo.
Shukrani sana Davis
👏🥀 Hongereniii sana kwa wimbo mzuriii 🥀 Mungu azidi kuwabariki daima 🥀👏
Ujumbe na, uimbaji safi sana hakika mmeugusa moyo wangu. Barikiwa sana🙏🙏🤔
Usiku Wa manane kazaliwa mwana Wa Maria Noeli , Noeli aleluya shangwe kweli kweli Kwa Yesu ni Raha waimbaji mko vizuri sauti nzuri.
May good God bless rajo production together with our lady of Guadalupe be blessed guys kwa kazi nzuri ya uinjilishaji
Amen. Be Blessed
Sincirely speaking, your songs are much encouraging, I will never loose hope,nice songs,naomba mutunge zingine mingi.
Hongereni watumishi wa Mungu.. Kazi nzurii mnoo.. Nawatakia sherehe njema ya Noel.. Mbarikiwe na Bwana
Amina sana. Barikiwe sana
This choir have outdone themselves. Amazing piece...
Mwenyezi Mungu aendelee kukuza kipaji chenu cha uimbaji. Mbarikiwe sana.
Hongereni kwa kazi nzury
Asante sana
Hongereni kwa kumuimbia Mungu natamani siku 1 nami nionekane nikimsifu Mungu
My choir back in those days. Congratulations team led by Tr. Robert. You inspire me always mwalimu
Lovely and Great Noel🎄🎄🎄,👍 beautiful, sweet song I have played this again and again be blessed,I have enjoyed it ,am blessed
Breathtaking angelic melody truly filled with pomp & exuberance of Christmas. With open arms and grateful hearts we welcome our infant savior Jesus. Shukran na baraka Rajo 👍🙏👌🙏
Thank you Kinuthia. Be Blessed
It's the alto for me 😍😍😍
Hongereni nyote mlishiriki 🔥🔥
Asante sana Trizah.. The Alto...
@@rajopro karibu. Nimenogewa sana.
Swafi kabisa
Bravooo.... mko juu sana . blessed for your
super voices. God bless you guys, keep it up
Waaaa.hii imeweza.mbarikiwe sana mnapo mwimbia mungu
Nakupenda sana kwaya hii nabarikiwa nanyimbozenu.
Hongera .. Nina furaha sana kuwa umeitikia wito wa kuimba na waimbaji kutoka nche zingine.... Kazi mzuri sana...
Your melody voices🥰 i can't get bored listening to these beautiful catholic songs ....you bless me and other many more.Continue doing Gods work
Naomba mawasiliano yako Ray ufunguo kuna kwaya inahitaji iwasiliane na ww ili uwatungie wimbo warekodi..🙏🙏
Utunzi bora kabisa, uimbaji bora, production bora,...yaani, wimbo bora! Hongereni!
Asante sana Murimi. Ubarikiwe sana
Wimbo Bora kabisa kwa wakati sahihi sanaàaa.....hongereni sana kwa wimbo Bora kabisaaa
Ubarikiwe sana
Nafurahi kusikia sauti zenu nzuri Mungu alizowajalia mnazitumia kumtukuza yeye Mungu . Sifa, heshima na utukufu sirudi kwake. God bless all.
Asante sana na ubarikiwe sana Calista.
This is just amazing...looking at the faces have met before doing the best moves with such a soul touching smiles;for sure this is the right timing of the song.
Thank you John. Ubarikiwe sana
Ray Ufunguo hapo tu kwa your dancing style ❤️🤣🤣🤣, I love this❤️🤩
Hahahahahaaa, Asante Philis, Ni kuenjoy tu.....
Doo!! Kweli nikipaji kazi nzuri sana sichoki kusikiliza saut zenu
I am so glad I found this song early enough. @Rajo @Lawrence, @Anastacia,, noma kuliko kawaida. Mungu aziwidi kuwabariki 🙏🙏
Asante sana Dannis. Uzidi kubarikiwa
Amezaliwa kweli kweli Tumshangilie kwa sauti nzuri kama hizi
Christmas imefika tena... Listening to these sweet voices is a blessing
Safi sana. Hongera mtunzi, hongereni waimbaji. Mbarikiwe sana!!
aaaaaaaaaweeeeeeeeeeeeee😍😍😍😍😍😍😍 kigongo kikaliiiiii na bado cha motoooo🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶,Noeli njema kwa woteeeeeeee.
Asante sana Faustina
Nimefulahiya nyimbo zenu. Ni tamu sana.
Kazi nzuri sana hongereni wanakwaya..Ray ufunguo kazi nzuri sana..Mungu akuzidishie..
Je suis stupéfait vraiment, mon coeur est dans la joie♥️👌
Aleluya tushangilie amezaliwa Mwana wa Mungu Emmanueli ❤️❤️
Aleluya Amezaliwa
Good music, energy, smiling faces everything on point...💥💥💥
Mungu awabariki, awapatie akili na hekima ili mtangaze Enjili kwa wimbo
Asante sana Fosques
I'm here after i saw short clip from a friends status kibet thank you for the link this is just pure awesomeness.
Ooh. Thank you Mercie. Be Blessed
Kazi nzuri sana nakukubali sana kakaangu kwa kazi nzuri shabiki yako sana,nimebarikiwa
Asante sana Revania. Mungu azidi kukubariki
Wow such a lovely song..with beautiful voices🥰🥰🙏🙏
Be blessed Samantha
Amazing. Doing a good job,be blessed. Can't stop listening.
Hongereni saaana rajo,mmeutendea haki huu wimbo
Asante sana Magreth
God is great 🙏❣️❣️ big up wasee may He continue blessings you
TYK,wimbo mzuri unabariki,hongereni kwa sauti nzuri,,lkn mavazi jamani kwa Dada zangu hapo ni mafupi mno
Mbarikiwe sana Rajo production ❤️♥️ mnanibariki sana
Jamani kawimbo katamu Hadi raha jamani mbarikiwe kwa kutuinjilisha
Uzidi kubarikiwa Enerica
Hongera sana wana rajo production kwa juhudi zenu, Mungu awazidishie baraka
Ubarikiwe sana Wambua
Oooh it's xoo beautiful song Anastasia we have been waiting for new song that's great endelea kutoa xingine God 🙏🙏🙏🙏❤️ blessed you abundantly
You're doing great you people, I love it. I can't stop listening to these songs. Rajo production may God bless you
I really love this ❤️❤️❤️, kazi njema sana 🤗
Hongera rajo production ,,,,
une chanson qui a été composée par Ray sonne bien normalement! Ray bwana unatushika daadeki.. We ni mkali balaa.. Endelea kubarikiwa uishi sana utumie talanta yako vyema!
Tuendelee kumshukuru Mungu Wilfredy
Woow 🎉🎉🎉 ghài mbona nzuri saaaan hongereni nyote kwa kazi yenye ufanis mkubwa
Barikiwe wimbo mzr hakika amezaliwa
Good music there......shangwe za Noeli. Good work Ray and team ❤❤
Thank you Faith. Ubarikiwe sana na uwe na Christmass njema sana
Have a merry Christmas full of God's blessings too. continue with the good work Rajo Productions.❤
Tamu na maridadi sana.. baraka tele kwenu
Asante sana Francis
Nimekosa Cha kusema kwani niviwango vya juuu Sana baba Ray unasauti na unacheza vizuri
Shukrani sana. Heri ya Xmass
That's my parish..wow,aour lady of Guadalupe parish Adams😊
Niiiiiiiiice one I love base na alto Iko👌 congratulations to all of you
Asante sana
Bass loves you back
Baraka za Mwenyezi Mungu ziwepamoja nanyi kwa kazi hii nzuri
Amina
Kazi nzuri Ray..Good music🔥🔥
Thank you Kelvin
Hongereni sana Vijana! Mungu Mwenyeenzi awatunze pamoja na Karama alizowajaalia Wimbo hauchoshi kuutazama na kuusikiliza! No Shangwe za Noeli.
Mwenyezi Mungu na atukuzwe sana kwa huu wimbo ulio bora sana, hongereni waimbaji kwa sauti tamu kweli kweli; Ray...kumbe you are that flexible, Lawrence, Anastacia....thumbs up!!!! Merry Merry Xmas
Asante sana Liz
Mungu akutumze
Asant sana ley.mungu baba awabariki
Great music. Rajo iko juu 👏👏👏
Thank you Dingii... May God Bless you.
🎉🎉hakika nabarikiwa na wimbo huu.❤ Hakika amezaliwa
Wow! Nice song, angelic voices congrats 👏👏 my brothers and my sisters
Thank you Nerimanawiri
May Almighty God bless you!! And keep you Up!! Mzidi kuinjilisha
Wow .....senior tech👏👏👏👏
Noeli amezaliwa kweli kweli, beautiful song
Barikiwa sana
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️Rajo Production hujawah kosea😘😘😘
Asante sana Mumy Hendry
An Angelic voice from Muema...nakupenda❤
Kaka mungu akubariki Santa na mm natamani Sana kuwa muimbaji ❤❤❤❤
Aisee dingii, kazi amazing sana, my Christmas is made already! Mungu akubariki sana
Asante sana Dingii. Barikiwa sana...
@@rajopro dingii vile umedance nimependa😂😂
Wimbo mzuri ... quality ya Hali ya juu..
Ubarikiwe sana James
This indeed is the ultimate home of soothing catholic music. I love the singing and dancing. #rajoproductions❤️❤️
Thank you Marube
Great job St. Bernadette.. naipenda😊😊
Ubarikiwe sana
proud to be part of this amazing team
May God Bless you Ken
watching from Texas Marekani, kazi nzuri
Asante sana Dennis. Ubarikiwe sana
Hakika mnaimba kama Mbingu ipo pembezoni yetu .nimefurahi Hadi chozi na furaha nikahisi .barikiweni mno kwa ubunifu huu
Its another year for this song God thank you for another Noel..merry Christmas to you all
Hongereni Saana Watumishi
Mko vizuurii na Rajo
Asante sana Conrad
Asante kwa kazi njema y kuriubiri neno kupitia nyimbo
Congrats ni kazi nzuri
Asante sana Jackline
Wow!!🤦🙏👏👏👏 Just amazing and soul touching melody. Am so humbled and greatful to see choir of our own Evangelizing globally through media 👏🙏.
Rajo I salute you man🙏Bwana abariki kazi yako na Nia zako njema.
Asante sana Dennis kwa matashi mema. Uzidi kubarikiwa.
Kazi Safi wapendwa👏👏❤️
Merry Christmas!
Ubarikiwe sana Mercy
@@rajopro thank you!
Ray🔥🔥🔥🔥 kazi nzuru sana🙏🙏 may all of u never lack anything good
Ubarikiwe sana
@@rajopro🙏
Good Music from Ray,Anastacia And Kameja you never disappoint the song is well arranged and peformed well. kudos Rajo
Thank you