# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Wakristo wanaweza kuishika Sabao? Karibu

КОМЕНТАРІ • 81

  • @mercymjunior9684
    @mercymjunior9684 Місяць тому +2

    Asante sana mwalimu Ndacha nimeokolewa na ukweli unaohubiri hakuna ukweli mbili maandiko yakisomwa na kufafanuliwa vibaya yanaweza kupoteza wengi kama nilivyokua apo mwanzo kabla ya kumskiza Mwalimu Ndacha..ubarikiwe sana mtumishi Nina Imani umesaidia wengi

  • @user-wi4nb7fg8v
    @user-wi4nb7fg8v Місяць тому +1

    Mungu akubariki sana na akupe hekima zaidi tuko nyuma yako hapa nilipo tuko watu kumi kwa kukusikiliza na kukupa moyo na kukuombea sana hakuna anayekuweza

  • @ishmaelsimon6617
    @ishmaelsimon6617 Місяць тому +1

    Pastor Mwankema unakosea sana kusema kuwa Yesu alikuja kurekebisha amri za Mungu. Sio Kweli bali Yesu alikuja kuzifafanua na kuzitekeleza na kwa sababu zinaandikwa moyoni anasema ukimtamani mwanamke umeshazini kwamba roho imeshatenda inasubiri execution ya mwili tuu. Hapo hamna rekebisho wala badiliko hapo ndio Mungu anakufundisha.

  • @paulmutuajustus5277
    @paulmutuajustus5277 Місяць тому +4

    Bona wafute Moja wambakishe Tisa,mwakemwa
    Una shida na kuelewa .

  • @glorialaizer9450
    @glorialaizer9450 Місяць тому +3

    Mwalimu ndacha mi naomba somo la jinsi ya kutunza sabato

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 Місяць тому +2

    Danieli ungana na wenzako mukafanye kazi ya mungu , huwezi hiii hoja,

  • @Janemutakale
    @Janemutakale Місяць тому +1

    Mwalimu Dacha Mungu anasema mwenye masikio na asikie Damu ya Mwankemwa aitakuwa mikononi mwako umekamilisha yako kazi atapewa ufahamu na Mungu

  • @paulmutuajustus5277
    @paulmutuajustus5277 Місяць тому +3

    Tena bibilia Iko wasi ,hakuna neno ya kipindi hiki na kile
    Warumi 15:4

  • @lucasharison2441
    @lucasharison2441 Місяць тому +3

    Daniel acha uongo wala kutetea uongo njaa niyo inakusumbua unaongea kwa kiwango cha chini sana kwenye uelewa wewe siyo mwalimu

  • @MatikoJames-c8m
    @MatikoJames-c8m День тому

    Kulingana na mwali Daniel ni kwamba katika bibilia ikate na ubanga au chochote kile lile agano la kale na kulitupilia mbali pole sana mwalimu Daniel

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 Місяць тому +7

    mwalimu ndacha nakuelewa..wewe ndiye umenikomboa kutoka kwenye uongo

    • @albertmwangi3297
      @albertmwangi3297 Місяць тому +2

      Amina mtumishi, ila ni Mungu aliyekukomboa kupitia Ndacha, sifa zimrudie YEYE milele

    • @sheyosquad5755
      @sheyosquad5755 Місяць тому

      @@albertmwangi3297 amina amina

    • @RinsonChaula
      @RinsonChaula 9 днів тому

      ​@@albertmwangi3297nakuelewa

  • @user-wi4nb7fg8v
    @user-wi4nb7fg8v Місяць тому +2

    HONGERA MWALIMU NDACHA MUNGU AKUBALIKI Hwakuwezi wao wa jumapili wanafanya ngera mwachema hahui kitu

  • @daudmtoba191
    @daudmtoba191 Місяць тому +2

    Kutoka 16:29 Angalieni, kwa kuwa Bwana amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.

  • @ModestNdolo
    @ModestNdolo Місяць тому +1

    Ndacha anaeleweka vizuri

  • @user-wi4nb7fg8v
    @user-wi4nb7fg8v Місяць тому +2

    Ndacha Biblia yote iko kichwani hakuna mtu atakaye mshinda kwa hoja

  • @johnnjoroge6614
    @johnnjoroge6614 Місяць тому +1

    Nafurahia mujadala lakini nataka kuwaelezea kwamba siku ya Kwanza ya Kwanza ya juma hapa nataka musome kjf baada ya pasaka tarehe 14 nisan siku ya 15 yaaitwa highway Sabbath nasiku ya mwisho tarehe 22 ni highway Sabbath na Pentecost inahesabiwa siku 50kutoka siku ya highway Sabbath on 15 nisan

  • @MildrenObare
    @MildrenObare Місяць тому +1

    Kweli nawambia ndugu zangu. Zaidi mtu anavyo kataa ukweli kutetea mienendo yake, uikuza imani yake kinyume na ukweli. Hivi moyo wake huwa ngumu na pia giza huwa kuu ndani yake. #ujumbe huu umfikie Daniel wote wa imani sawa naye#

  • @alicekarugi9791
    @alicekarugi9791 Місяць тому +2

    Sunday ni mfano
    Sabatu ndio original

  • @user-wi4nb7fg8v
    @user-wi4nb7fg8v Місяць тому +1

    Hao wengine kweli sitaki hata kuwasikiliza waende na jumapili yao hata natama kusogeza mbele hWana la maana

  • @LESRACHETTEDECHRISTTV
    @LESRACHETTEDECHRISTTV Місяць тому +2

    Ata kutetea juma pili yenyewe hajui

  • @user-cf3fe3cu8v
    @user-cf3fe3cu8v Місяць тому +2

    Mbona mnakwepa kuitunza sabato nyie ? Yesu ana sema mkimpenda mtazishika amri zake katka kitabu cha yohana14:15

  • @RAZALOCHUMA
    @RAZALOCHUMA 8 днів тому

    Yani hapo pana mwanafunzi na mwalimu na mwanafunzi anafoace kufundisaha mungu amsaidiee

  • @daudmtoba191
    @daudmtoba191 Місяць тому +1

    Sabato TAKATIFU ndo siku ya kuabudu zingine zote Amna kitu ni udanganyifu wa shetani

  • @user-ps3nt2in3c
    @user-ps3nt2in3c Місяць тому +1

    Mwalimu nafuatilia masomo nikiwa Juja barikiweni but mwalimu Daniel anatatea uogo

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c Місяць тому +3

    Mwankemwa ana chekesha kweli eti amlibya sabato iliondolewa. Ila hizo zingine Tisa zililekebishwa. Kwanini zisiondolewe zote.iondoke mojatu.mwankemwa hebu ondoa hicho kibanzi kilichoko akilini kwako. Funguka. Huoni Kama nimuongo dhahili. Kama nikuondilewa zingeondolewa zote.

    • @juliuskalama2746
      @juliuskalama2746 Місяць тому

      Kwani si ziliondolewa zote tu na ikabaki upendo Kwani hujui

    • @dubedangali4262
      @dubedangali4262 Місяць тому

      Upendo ni nini?​@@juliuskalama2746

    • @daudmtoba191
      @daudmtoba191 Місяць тому +1

      Sabato ni ya milele

    • @juliuskalama2746
      @juliuskalama2746 Місяць тому

      ​@@daudmtoba191wewe unafikiri mbinguni kuna sabato?

    • @daudmtoba191
      @daudmtoba191 Місяць тому

      @@juliuskalama2746 wew sabato ni yamilele

  • @MildrenObare
    @MildrenObare Місяць тому

    Matthew 6:22-23
    [22]The light of the body is the eye: if therefore thine eye be single, thy whole body shall be full of light.
    Taa ya mwili ni jicho; basi jicho lako likiwa safi, mwili wako wote utakuwa na nuru.
    [23]But if thine eye be evil, thy whole body shall be full of darkness. If therefore the light that is in thee be darkness, how great is that darkness!
    Lakini jicho lako likiwa bovu, mwili wako wote utakuwa na giza. Basi ile nuru iliyomo ndani yako ikiwa giza; si giza hilo! Kutumikia Mabwana Wawili.
    # Daniel soma na jamani andiko hilo

  • @paulmutuajustus5277
    @paulmutuajustus5277 Місяць тому +2

    Kumbe wewe ulienda shule ya bibilia,ndio maana tuna subuana

  • @makuwasamakambako2815
    @makuwasamakambako2815 День тому

    ndacha ni mwalimu

  • @mwinzilavincent3774
    @mwinzilavincent3774 23 дні тому

    shida yangu ni moja... kuna mtu anakiri alibadirisha sabato.. na pia catechism ya catholic inasema wanajua sabato ni jumamosi but wao walibadilisha kwa kupenda kwao.. mimi hapo nko na shida kutoka kwa mwalimu mwakemwa

  • @alicekarugi9791
    @alicekarugi9791 Місяць тому +1

    Muhubili Daniel una kubuka kwa madiko vile Yashuah alisema,yeyote atawakishesha mja wa kodoo zake kwa kufunza kinyume na vile madiko time Nena atawekwa ile kitu ya kusiaga kwa shingo yake,namwenye atatowa neno Moja nayeye atatolewa kwa ufalume wa yah

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 Місяць тому +1

    Nakumbuka uliiimba hiii mada , mbona hujajiaandaaaa????? Mimi ni mluther lakini mmmmmmm

  • @joelmairo5229
    @joelmairo5229 14 днів тому

    2:05:35 Jamani Mwankemwa anauliza swali baada ya yesu kufufuka je aliitunza sabato?
    Nami nimuulize je yesu baadae ya kufufuka kuna andiko linalo onyesha aliingia kuabudu siku ya kwanza ya juma?
    Hakuna ushahidi wowote wa maandishi unaoongelea hayo katika Biblia
    Ila amri mpya yesu aliyotupatia ya upendo imebeba amri zote 10 za Mungu na wala sio tisa, ukimpenda Mungu utazishika amri zake (Amri ya 1 -4) na ukiwa na upendo kwa jirani yako utazishika amri za Mungu (Amri ya 5 -10). Na hiyo ndiyo maana ya Amri mpya yesu aliyosema anatuachia

  • @isayaogola8733
    @isayaogola8733 Місяць тому +1

    mwalimu daniel acha kusimamia uongo

  • @mwoso
    @mwoso Місяць тому +1

    Watu wote wa shule ya theologia ni wa utatu. Usipokubaliana na utatu utafukuzwa shule!

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 25 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @LESRACHETTEDECHRISTTV
    @LESRACHETTEDECHRISTTV Місяць тому +1

    Uyo sio musomi ata kidogo

  • @jamesondara6585
    @jamesondara6585 Місяць тому

    mwalimu Daniel as no idea over the Sabbath

  • @user-wi4nb7fg8v
    @user-wi4nb7fg8v Місяць тому

    We hujui lolote hata unabwabwaja tu jumapili haina hata mshiko untupotezea wakati mwachie Ndacha ndiye kiboko yako

  • @MatikoJames-c8m
    @MatikoJames-c8m День тому

    Daniel ni aya gani katika bibilia inasema amri kumi zilikomeshwa msalabani?

  • @nancyjematian2358
    @nancyjematian2358 Місяць тому

    MWALIMU MWANGEMWA KARIBU KATIKA SABATO UKUWE MWANAFUNZI WA BIBLIA.

  • @Nolithajack12
    @Nolithajack12 Місяць тому

    😂😂😂Daniel nimusani kabisa huna hoja yoyote sabbath niyamungu

  • @albertmwangi3297
    @albertmwangi3297 Місяць тому

    Ni kweli nimeamini kuwa Sunday law inakuja, na watu kama Mwankemwa wanatayarisha ulimwengu kupokea udanganyifu huu unaotoka kwa shetani, ole wenu mnaokataa sabato

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 Місяць тому

    Mwalimu Daniel, ulipewa shilingi ngapi kubwabwanya hapo studio?????????

  • @LESRACHETTEDECHRISTTV
    @LESRACHETTEDECHRISTTV Місяць тому +1

    Mwalimu uyo mutu hawezi kuelewa

  • @ishmaelsimon6617
    @ishmaelsimon6617 Місяць тому

    Pastor Mwankema ni lini Yesu alipofufuka alifanya ibada siku ya kwanzaa? Na pia Mwankema Agano jipya lipo moyoni sasa kama lipo moyoni kwanini unasemani siku ya kwanza sasa, si ingekuwa siku yeyote?

  • @JoviniFaida-uj5qb
    @JoviniFaida-uj5qb Місяць тому

    kwani ukisema siku ya kwanza ya juma na jumapili sikitu kimoja elimu ya mwakemwa ni ndogo sana

  • @Bible-Medical-Missionary-Work
    @Bible-Medical-Missionary-Work Місяць тому

    THE TWO COVENANT? "Tell me, ye that desire to be under the law, do ye not hear the law? Gal 4:21. For it is written, that Abraham had two sons, the one by a bondmaid, the other by a freewoman. Gal 4:22. But he who was of the bondwoman was born after the flesh; but he of the freewoman was by promise. Gal 4:23. Which things are an allegory: for these are the two covenants; the one from the mount Sinai, which gendereth to bondage, which is Agar. Gal 4:24. For this Agar is mount Sinai in Arabia, and answereth to Jerusalem which now is, and is in bondage with her children." Gal 4:25. NB "Which things are an allegory (MFANO - EXAMPLE) for these are the two covenants" Galatians 4:25. HOW ARE THEY THE EXAMPLE OF THE TWO COVENANTS? How did the two covenants enter into the family of Abraham? SINCE HAGAR is one and an ALLEGORY (MFANO) of the two Covenants HER STORY is the STORY of the Covenant from SINAI.
    BIG QUESTIONS? (1) TO WHOM PROMISE WAS ISHMAEL BORN IN THE FAMILY OF ABRAHAM? (2) WHO MADE THE SCHEME (PROMISE) OF ABRAHAM MARRING AGAR? (2b) WAS IT GOD"'S SCHEME (PROMISE) OR PEOPLES SCHEME (PROMISE)? (3) IF SARAH AND ABRAHAM HAD BELIEVED GOD'S PROMISE AND HELD FAST ONLY TO THAT, WOULD ISHMAEL EVER HAVE BEEN FOUND A PLACE IN THE FAMILY OF ABRAHAM? (4) WOULD TWO SONS EVER HAVE BEEN BORN TO ABRAHAM? NO! YET "these are the two covenants" Gal 4:25, WHY? Because the AGAR Covenant of the bondwoman "was born after the flesh; (MWILI) but he of the freewoman was by promise. Gal 4:24.
    Lord did not make a covenant of bondage with Israel but as AGAR COVENANT entered into the house of Abraham SO Israel entered in the LORD"s Covenant in FRESH and bore the fruits of FRESH WHICH MADE THE COVENANT A BONDAGE to them. "But Israel, which followed after the law of righteousness, hath not attained to the law of righteousness. Rom 9:31. Wherefore? Because they sought it not by faith, but as it were by the works of the law. For they stumbled at that stumbling stone"" Rom 9:32. "Which things are an allegory: for these are the two covenants. Gal 4:25. FEW OF THE ISRAELITES ENTERED THE COVENANT AS WAS THE PROMISE "I delight to thy will. O mu God: yea thy LAW IS WITHIN MY HEART" Psalms 40:8. There is no man that can do Gods will if that will, is and cannot be written in his heat; he will stumble at that stumbling stone" Rom 9:32.

  • @RubenFelix-z2e
    @RubenFelix-z2e Місяць тому

    Yan hat uso wako unaonyesha kua ni muongu unabambanya maneno

  • @LESRACHETTEDECHRISTTV
    @LESRACHETTEDECHRISTTV Місяць тому

    Mwankemwe unachekesha kabisa.na watu wanao kufata wote wamepotea

  • @JoviniFaida-uj5qb
    @JoviniFaida-uj5qb Місяць тому

    huyu mwakemwa Hana nukuu Wala mafungu nimaneno maneno2

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 Місяць тому

    Mwl Mwankemwa acha MANDIKO yajieleze

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq Місяць тому

    ningekuwa na uwezo ningemuonga ndacha gari maanake anastahiki kuwa mtumishi wa ukweli

  • @user-wi4nb7fg8v
    @user-wi4nb7fg8v Місяць тому

    Unaongea maneno ya kutoka wapi hii ni hadithi unatusimulia au unasoma ngojera we mwachie mwalimu wako Ndacha akufundishe bwana tumekuchoka

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj Місяць тому

    Mwankemwa umeshindwa hoja kabisa, na unapotea kwa kutojua maandiko

  • @lucasharison2441
    @lucasharison2441 Місяць тому

    Daniel kumbe ujuwi biblia wewe ni wakala wa shetani kabisa sabato ni muhuri na alama ya Mungu kasome kwanza Mungu akusamehe kwani ujuwi unalalolitenda

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh Місяць тому +1

    kisha Daniel anaitwa mwalimu mm sijuwi kwa nini wanamuita mwalimu,mwalimu gani uyu ambae anakana amri za Mungu kisha nakuambia watu wavunje amri za Mungu shida sana kweli!

    • @juliuskalama2746
      @juliuskalama2746 Місяць тому

      Wewe ndiye huelewi amri kumi ziko kimwili haziko kiroho brother acha kumfuata ndacha vingine unahitaji roho mtakatifu akusaidie na sio kumsikiliza ndacha kila kitu

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 Місяць тому +1

      @@juliuskalama2746 yaan alichoandika Mungu kwa mkono wake zipo kimwili ?
      Kitu gani kimeandikwa na Mungu zaidi amri zake 10 ?

    • @juliuskalama2746
      @juliuskalama2746 Місяць тому

      @@richardchimba3800 si yeye alimtuma mwanawe abadilishe agano liwe jipya basi likawa agano kiroho lakale lilikuwa nikuchinja wanyama sahii Yesu ndiye sadaka aliye chukua nafasi ya wanyama tena yeye ndiye sabato basi

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh Місяць тому

      @@juliuskalama2746 umeshapotea kitambo sana ata mm nimekuwa katika ibada za juma pili ila kwa sasa sipo tena maana akuna ukweli!

    • @furahinimrutu3085
      @furahinimrutu3085 Місяць тому +1

      mwakemwa wewe ni dhaifu wa kuelewa maandiko

  • @AgnesKasayaMigiro
    @AgnesKasayaMigiro Місяць тому +1

    Hayo maneno ya mtume Paulo yana msumbua Mwankemwa inafaa atoe Andiko Mungu au Yesu kapadirisha Amri ya inne huyo anasifia jumapili

  • @GoodluckTumaini-uz4ix
    @GoodluckTumaini-uz4ix Місяць тому

    Mwakemwa Mungu akusaidie utoke kwenye mapokeo

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Місяць тому

    Nguruwe zimekutana sasa 🐖🐖