Mamajusi Choir Moshi - Nimelala kwenye jiwe (Yakobo)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 38

  • @user-filexonamu
    @user-filexonamu 2 місяці тому +2

    Muziki umeenda shule, accommodating both rhumba and bongo lovers in a gospel way.Utukufu umuelekee aliye juu👏👏👏👏👏

  • @henrynyabuto4480
    @henrynyabuto4480 2 дні тому

    Mungu ametuandaa kwa kesho

  • @Roseline-ld8ed
    @Roseline-ld8ed 10 днів тому

    Wimbo umebeba message kweli 🙏🙏

  • @NeemaMgulu
    @NeemaMgulu 2 місяці тому +1

    DaaAaaah nashindwa hata namna ya kusema! Ki ufupi huu wimbo umeninyanyua nilikua nimekataa tamaaa❤

  • @alexnana7192
    @alexnana7192 13 днів тому

    wimbo huu unijenga sana ninapo fikia mahali pa kukata tamaa kimaisha

  • @NeemaJohn-wf7yi
    @NeemaJohn-wf7yi 4 місяці тому +2

    Ujumbe umejaa upako,mbarikiwa milele watumishi.

  • @henrynyabuto4480
    @henrynyabuto4480 26 днів тому

    Nice song .be blessed

  • @farajajoshua2026
    @farajajoshua2026 5 місяців тому +2

    Kwenye jiwe tu😢wakati Mungu nd wakat sahihi

  • @EliaEzekiel-o7r
    @EliaEzekiel-o7r Рік тому +1

    Wimbo huu unanikumbusha.mbali.xana

  • @EdouardKarim-w5f
    @EdouardKarim-w5f Місяць тому

    Bwana nina haja yako mama jusi choir

  • @StanleySteven-x5b
    @StanleySteven-x5b Рік тому

    Napenda sana huuu wimbo unaniinuaga sanaaa nikiwa katika mapito

  • @alexnana7192
    @alexnana7192 2 місяці тому

    Barikiweni sana wimbo huu unatia Moyo wakati wa Dhiki na fedhea

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 4 місяці тому

    Mbarikiwe sana mama jusi kwaya kutoka moshi Tz.

  • @franciskigodi8030
    @franciskigodi8030 Рік тому +1

    Ujumbe mzur nabarikiwa

  • @joachimluhalala2563
    @joachimluhalala2563 3 місяці тому

    Wimbo mzuri sana. Unajenga na kutia moyo

  • @FlorentNgandu-f7f
    @FlorentNgandu-f7f Рік тому

    Mungu awabariki waimbaji hawa

  • @PkemeiMwok
    @PkemeiMwok 5 місяців тому

    Asante sana ndugu zangu mkiwa tz niko kenya kapenguria

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 11 місяців тому

    Wimbo mzuri SAna. Mungu Baba Mwenyezi Awape Amani.

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 5 місяців тому

    Wimbo mzuri sana watumishi mbarikiwe 🎉🎉

  • @SweetySweety-sr3ks
    @SweetySweety-sr3ks Рік тому +1

    Jaman naomben mtu anikumbushe ule wimbo unaomzungumzia mfalme daudi wa mama jusi moshi unaitwa vipi jmn hapa you tube nausachi sana siupati😢😢😢😢

  • @neemakingori4044
    @neemakingori4044 11 місяців тому

    Wimbo mzuri, Mungu awainue
    zaidi

  • @nyivamulwa1666
    @nyivamulwa1666 2 місяці тому

    Natafuta wimbo shambani mwa Bwana mavuno ni mengi

  • @gracehadidah7501
    @gracehadidah7501 Рік тому +1

    An amazing song 😊

  • @LilianJohn-jf9qi
    @LilianJohn-jf9qi 9 місяців тому

    Mungu wabariki ma.ajusi wimbo unanibariki

  • @Herbeth-semkiwa
    @Herbeth-semkiwa 5 місяців тому

    Wimbo wakuinuliwa huu🙏

  • @StanleySteven-x5b
    @StanleySteven-x5b Рік тому

    Naitwa Stanley steven genda nipo iringa mafinga mjini

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 6 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😇😇😇

  • @dottahkenara9584
    @dottahkenara9584 Місяць тому

    Amen🎉

  • @kiprotichbelio1561
    @kiprotichbelio1561 6 місяців тому +4

    Natafuta wimbo wa mama juzi HILI NALO LITAPITA share please.

  • @EliaEzekiel-o7r
    @EliaEzekiel-o7r Рік тому

    Mbarkiwe

  • @Benito-w9n
    @Benito-w9n 11 місяців тому

    Kinyaturu

  • @elizabethmoses3975
    @elizabethmoses3975 Рік тому

    True gospel

  • @AroniTembo
    @AroniTembo 5 місяців тому

    Amen

  • @stellamalebetoh-jk4ex
    @stellamalebetoh-jk4ex 11 місяців тому

    Jan 18/2024

  • @DorryRichad
    @DorryRichad Рік тому

    Dorry Richad