Historia ya Marehemu HEMEDI MANETI Gwiji la Muziki kutoka Band ya Vijana Jazz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2020
  • Je unamfahaaamu Gwiji la Muziki kutoka Band ya Vijana Jazz nchini Tanzania ?? Mkongwe aliyetamba na nyimbo mbalimbali , alikuja duniani akafanya makubwa katika tasnia ya muziki , akaishi,akatunga nyimbo nzuri,akazaa watoto,akaongoza, akamaliza umri wake , Mungu akamchukua wakati bado tukiwa tunamuhitaji Huyu ndiye Hemedi Maneti Ulaya (Chiriku)

КОМЕНТАРІ •