THE STORY BOOK : Historia ya Mtume Mohammad S.A.W, Hadithi za mtume, Maisha na miujiza aliyofanya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • #mtumemohammad #thestorybook #islamicreligion
    THE STORY BOOK : Historia ya Mtume Mohammad S.A.W, Hadithi za mtume, Maisha na miujiza aliyofanya
    SUBSCRIBE NOW. THANKS

КОМЕНТАРІ • 110

  • @DulaMudi
    @DulaMudi Місяць тому +2

    imwenye zii mungu tunakuwomba waisiramu wote uwong-oze katika mahaadiri myema amina

  • @BIBISHAKIRA-l7q
    @BIBISHAKIRA-l7q 28 днів тому

    Allah akujaalie uendelee kusimulia hadithi mbalimbali

  • @bekakasambala7108
    @bekakasambala7108 8 місяців тому +1

    Hii sio sawa....hizo picha hazitakiwi.....

  • @user-pf7nd2jc7m
    @user-pf7nd2jc7m Рік тому +1

    Allah akupe ubunifu zaidi mwalimu ili uweze kutujuza hadithi mbalimbali insha'Allah ❤

  • @HimnaAbdallah
    @HimnaAbdallah 4 місяці тому +1

  • @ibrahdullah2329
    @ibrahdullah2329 3 роки тому +4

    Umekosea kuweka picha

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 Рік тому

    Makala nzuri sana isipokuwa kuweka hizo picha za mfano tu.

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz 5 місяців тому

    S❤A❤W

  • @husseinally5550
    @husseinally5550 3 роки тому +5

    Inawezekana huyu jamaa si Muislam.Ukisikiliza lafudhi zake na adabu yake utagundua si muislam

    • @bekakasambala7108
      @bekakasambala7108 8 місяців тому

      Kwan uislamu unahitaj rafudhi

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 7 місяців тому

      Hapo nakataa Waislamu hatuna lafudhi binafsi isipokuwa kila mmoja na lafudhi yake kulingana na anapotoka

    • @nightine19
      @nightine19 7 місяців тому

      History inausiana nanini

  • @asrtechmedia
    @asrtechmedia 3 роки тому +1

    Toa hyo picha ndugu

  • @ShaniSalum-ws6ip
    @ShaniSalum-ws6ip 4 місяці тому

    Ujumbe mnzuri mashaallah,lakini hiyo picha humeitoa wapi na ni yanani

  • @omaryjalyabaggo1113
    @omaryjalyabaggo1113 3 роки тому +3

    Umekosea kutuwekea picha yamtume wetu kumchora nikumkosea hishma

  • @bokasinvestment9219
    @bokasinvestment9219 Місяць тому

    TUNATAKA hizo picha uzitoe unazozinasibisha na kipenz chetu Muhammad s.a.w

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 2 роки тому +2

    Shenzi hujui historia ya mtume s.w

    • @user-pf7nd2jc7m
      @user-pf7nd2jc7m Рік тому

      Huo niudhalilishaji ikiwa hujui kitu Bora tulia usikilize mana matusi hayafai.wote hao wanatafuta riziki mdogo wng.kwaiyo matusi sio njia y kuupata ukweli,Allah akupe uelewa n lugha chafu akuepushe nayo

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 3 місяці тому

    Toa hizo picha mara moja

  • @nahodamussa6794
    @nahodamussa6794 3 роки тому +8

    Wewe elezea sio kuweka sura n kumfananisha n mtume Muhammad n makosa san
    Astahfiru Allah

  • @salumkassim7949
    @salumkassim7949 2 роки тому +1

    Ukomeeeeeee

  • @zubeirislam9068
    @zubeirislam9068 2 роки тому

    Izo Aya unazikosea kuzisoma shekh wangu

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 2 роки тому

    Tupeni aya nan aliemsilimisha Muhammad

  • @dullahshaaban9050
    @dullahshaaban9050 3 роки тому +3

    Unakoseha kuweka hiyo picha

  • @mohamedabdiyussuf3874
    @mohamedabdiyussuf3874 Рік тому +1

    Umefanya makosa makumbwa sana kueka picha ikiwezekana itoe hii video haraka

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 2 роки тому +1

    Waislamu hawaabudu mapicha toeni picha za uongo

  • @salehekioza7222
    @salehekioza7222 Рік тому

    The story book

  • @salehekioza7222
    @salehekioza7222 Рік тому

    The book

  • @DulaMudi
    @DulaMudi Місяць тому

    sawaisitoria rakini III mfano yapinca sivizuri umekosea

  • @MussaKipamila
    @MussaKipamila 2 місяці тому

    Msenge ww

  • @SarumHaridhamonaizikakoseasana
    @SarumHaridhamonaizikakoseasana 4 місяці тому

    Simulizi nzuli ipokua sisi
    Hatupendi picha ungeweka kitabu cha allaa ingetosha

  • @hassannasibu678
    @hassannasibu678 2 місяці тому

    Kwanini unaweka picha ya mtu mwingine na historia ni mtu mwingine unafeli jitathimin kwanza acha mzaa na dini

  • @dabomawe5770
    @dabomawe5770 2 роки тому

    Toa hizo picha

  • @allysharifu9049
    @allysharifu9049 2 роки тому +1

    Wewe huna adabu kumchora mtume futa ujinga wako huuu

  • @edwardchege2623
    @edwardchege2623 4 місяці тому

    Nabi alsi, Sam shamoun, Nabeel Qureshi utajua historia kamili alikua apiga Safari za wafanyi biashara, kuoa binti wa miaka tisa kuoa bibi ya zaid zainabu

  • @emmaculatewambua-ou9nu
    @emmaculatewambua-ou9nu 4 місяці тому

    Hatutaki picha ni harumu kwetu

  • @machanomachano626
    @machanomachano626 2 роки тому +5

    Hiipicha uliipatawapi wakati mtume hakuonyeshwa sura

    • @SALMINSAID-fb9ub
      @SALMINSAID-fb9ub 5 місяців тому

      Sidhani kama ni picha ya mtume hiyo itakua ameweka tu kunogesha story,

  • @suleimandarusi1354
    @suleimandarusi1354 Рік тому

    alisoma vtabu vya kiisilamu na kuigiza ili kuwaelimisha waislamu wenzake msi mzonge na maswal mwenzemu

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 2 роки тому

    Toa hilo picha lako

  • @Mbumbuko
    @Mbumbuko 2 роки тому

    Hujui Kiswahili

  • @sharaarabiy858
    @sharaarabiy858 2 роки тому +1

    Futa historia yko iyo picha umeitoa wapi

  • @ranman4910
    @ranman4910 2 роки тому +1

    Izo picha umeziweka ili iweje wapi ulipata picha yake koma koma ishia hapo na ukiendelea utajuta Mana utakachokipata utajuta popote ulipo, pia futa post hii haraka Zaid kabla ujapata kitu ambacho hutokisahau mpaka unakufa

  • @AbdulyGwandi
    @AbdulyGwandi Місяць тому

    Nani kakuruhusu kutoa hiyo historia?

  • @nasranuur786
    @nasranuur786 2 роки тому

    Alinyonyeshwa na nani

  • @umarbakar1694
    @umarbakar1694 3 роки тому

    Uwaachie wenyewe. Usipende kuzungumzia vitu visivyo vyako.

  • @HajraAkida
    @HajraAkida 7 місяців тому

    Hakuna kitu unacho kijua,, acha kutudangan

  • @bakarhamad6810
    @bakarhamad6810 2 роки тому +1

    Huyu jmaa si muislam hyo anayoyaongea anaongea hku akiwa anasoma sehemu na pia malengo yke ni vitimbi viovu kwa uislam lkn hyo analolitafta lipo njiani linamfata

  • @asrtechmedia
    @asrtechmedia 3 роки тому +4

    Futa hii historia.... kisha uweke nyingine ambayo inafuata protocol...
    Hakuna mtume anayejulikana sura yake ya ukwel kabisa...

  • @mwahamedychilungu8981
    @mwahamedychilungu8981 3 роки тому +1

    izo ni dini za kigeni kama dini zingine zilizo kuja dini zingine africa izo sio dini zetu izo ni dini za ki coroniezel tuu acheni kumtukana mwenzenu sisi ni watu weusi na tamaduni za kigeni wapi na wapi jamani tufumbue macho wa africa jamani

    • @mussaisdory
      @mussaisdory Рік тому

      Aya fumbua wew tuone wapi umefika

  • @allyhassanabdallah4295
    @allyhassanabdallah4295 11 місяців тому

    Qur'an ndio history tosha kila kitu kishabainika history itabaki history tu namaanisha ndoyale binadamu wakwanza alikua sokwe au gorilla nasio Nabii Adam (AS) tusomeni dini yetu tuwache kuburuzwa asili ya history ni uongo....

  • @user-pf7nd2jc7m
    @user-pf7nd2jc7m Рік тому +1

    Jamani mtu akijitolea kutoa hadithi ya aina yoyote msimtukane ndugu.hawa wote wanatafuta riziki jamani n kama kosa niizo picha,nataka mniambie nani alimuona mtu yeyote yule tokea Adam paka Mohammad( S.W.A.)chungeni maneno yenu mn izo picha pia nimifano km wanavyotoa watu kwa mitume myengine.

  • @TRUTHISM.
    @TRUTHISM. Рік тому +1

    Umesahau kusema alioa khadija akiwa na miaka 40 naye Muhammad akiwa na 25. Akaoa aisha akiwa na miaka 54 wakati aisha alikuwa miaka 6, na kufanya naye ngono akiwa miaka 9. Alikuwa mtoto hajapata hedhi, alikuwa akicheza na midoli. Pia alikuwa akipewa asilimia ishirini kwa Mia ya walichokipata vitani. Alikuwa na wake kumi na watatu kwa ujumla. Alifanya mapenzi na Maria kama hajamuoa akafumaniwa na bibiye. Alimchukua zaynab kutoka kwa zaiyd. Alikuwa mke wa zaiyd kabla ya kumtamani. Baada ya kuua Familia ya Sofia pamoja na mumewe Maria, alimuona masaa mawili badaye na kufanya naye ngono. Yani historia ya mtu me niulize mimi ninayeishi medina nitakueleza kwa kina. Alikuwa sio mtu me ila dikteta, wizi nwa mavabu, mnajisi, mbakaji.

    • @jolierazia2432
      @jolierazia2432 Рік тому

      Weye nilatulayi kabisa

    • @KomboNyanje-b9w
      @KomboNyanje-b9w Рік тому +1

      Haujui unacho sema Bora tu unyamaze

    • @TRUTHISM.
      @TRUTHISM. Рік тому +1

      @@KomboNyanje-b9w Sema uongo mmoja ambao nimesema na nitaleta hadith ama quran verse to proove

    • @nasrasheikh1020
      @nasrasheikh1020 Рік тому

      Muongo mkubwa

    • @TRUTHISM.
      @TRUTHISM. Рік тому

      @@nasrasheikh1020 kama upi? If you can't point out one lie you are the lyer

  • @ramazaniebeni5742
    @ramazaniebeni5742 2 роки тому +1

    Usicho kijuwa unauliza towa upagani wako hapo

  • @salimuiddi5344
    @salimuiddi5344 2 роки тому

    kaka unatakiwa kueleza bila kuweka picha

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Рік тому

    hii hadithi ni sahihi?

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 3 роки тому

    Kusema kweli dunia hii ina baadhi watu makini sana lakini inahuzunisha sana pale wanapokua na vichwa ambavyo mtu anafaidika nao isipokua vinyozi

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 3 роки тому +1

    Hiyo pichaa ondoka Ni makosa hujuw hata kuogea upo tuu

  • @zubeirislam9068
    @zubeirislam9068 2 роки тому

    History mbaya tfuta historia y sungur n fisi enzi izo kulkua hkn camera za picha Wala kuchkua shooting...

  • @Mbumbuko
    @Mbumbuko 2 роки тому

    Hiyo picture umeipata wapi

    • @zamyakub1625
      @zamyakub1625 Рік тому

      Mbwa tu huyu nae Auu sio muislam huyu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +1

    Kafiri mkubwa

  • @halmahashim2864
    @halmahashim2864 Рік тому

    Wewe kaka mbona unataja jina tukufu na huwezi kumswalia una mapenzi kweli na mtume Mohammed swalallahu alei wasalam

  • @hamenyimanasalum7289
    @hamenyimanasalum7289 8 місяців тому

    🚫🚫🚫🚫🚫

  • @AllyMKUMBA-gd2ti
    @AllyMKUMBA-gd2ti 5 місяців тому

    Wewe ni muongo

  • @idrissakatend5318
    @idrissakatend5318 2 роки тому

    Vuta iyo pict

  • @fatumauwimana1694
    @fatumauwimana1694 Рік тому

    Mukristo huo

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 7 місяців тому

    SASA HIZO PICHA PICHA ZA NINI NDO NANI HUYO

  • @sharifuteacher5025
    @sharifuteacher5025 2 роки тому +1

    Hii picha umeipata wap wewe

  • @hamissnjumba3034
    @hamissnjumba3034 2 роки тому

    wewe pichaake umeipata wapi

  • @mohammedimshihiri4435
    @mohammedimshihiri4435 2 роки тому +1

    Acha utoto toa hizo picha mtume hakuwa Na hyo sura dunia nzima haijui sura ya mtume wewe jogoo mmoja ndio utuharibie dini toa hzo picha broo

  • @khamisk1273
    @khamisk1273 3 роки тому

    Toa picha uloyaweka wewe utatuvuruga afu uje kujuta ujue

  • @avalonking1655
    @avalonking1655 2 роки тому +1

    Wewe kafiri c ungetoa historia yenu tu ya ukirosto umeona haitosh mpaka uingie ktk historia ya mtume wala huijui mbwa wewe hivo sivo wala huijui historia ya mtume kafiri uliye laaniwa kwanza mtume hana pch tena ukome kuonesha pch ukatoa mfano wa mtume ukome mbwa weee

    • @reemareemo2698
      @reemareemo2698 Рік тому

      Sasa kama hana picha mna amini je kama alikuwepo? 🙄

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 Рік тому

      ​@@reemareemo2698toa unafki wako na wewe

  • @showfive4413
    @showfive4413 3 роки тому

    We mpumbavu kwanza hujui kuongea af unaweka pic shenz kabisa

  • @muhammedsuleyman6501
    @muhammedsuleyman6501 2 роки тому

    Mshenzi wewe picha yake umepata wapi acha kudhalilisha dini isio yako

  • @rosejordan5391
    @rosejordan5391 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂 naona watu wanapanic sana Kwan yeye si anasoma hapo au katoa kichwani

    • @reemareemo2698
      @reemareemo2698 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 Рік тому

      Tunspaniki kwakuwa anakosea kwanza hizo picha hapo ni za Nini?Kama Mambo hsyakuhusu na huyawezi acha

  • @abdulkarimmohamed5494
    @abdulkarimmohamed5494 2 роки тому +1

    Sasa mwamtusi mwenzenu na yy amejaribu kumueleza mtume wke.lki ni mambo ya picha Kuna shida gani .kwani ndie mtume.ni historia yake . kuweni wapole .

    • @SMTBRAND
      @SMTBRAND 2 роки тому +2

      ni makosa ku igilizia sura ya matume Muhammad

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 Рік тому

      Wewe na huyo anaesimulia nyote hamjielewi

  • @MussaKipamila
    @MussaKipamila 2 місяці тому

    Murongo

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 Рік тому

    Wewe ni kafiri usie na adabu,kwanza twaharisha kinywa chako upate ufasaha wa kuongea,halafu toa hizo sanamu mnazotumia kufanyia inada sie kwetu hatuna,kisha jifunze uislamu ndio upate kumjua unaemuongelea hapo maana asiyekujua hakuthamini, halafu sio kila kitu lazima ukiongelee mengine yakupite maana huyawezi,hovyoo

  • @reemareemo2698
    @reemareemo2698 Рік тому

    Sasa kwanini mnasema afute picha sindoushahidi uo na kuamini kuwa alikuwepo au 🙄 kwaiyo nyie mkifa hamutaki kuacha picha wajuukuu wawatoto wenu wasiwaone? 🙄😂

  • @hosseinkileo6843
    @hosseinkileo6843 2 роки тому

    Toa izo picha ndugu