Goodluck Gozbert - Kina Muuma (Official Lyrics Video) SMS SKIZA 6983627 TO 811
Вставка
- Опубліковано 2 лют 2025
- Ushindi EP Track 1: Goodluck Gozbert - Kina Muuma (Official Lyrics Video)
Goodluck Gozbert presents his brand new Ep titled "Ushindi". A collection of 6 blessing-packed songs.
Watch the EP: • Goodluck Gozbert - Kin...
Follow Goodluck Gozbert:
Instagram: / goodluckgozbert
Subscribe to UA-cam Channel: / @gozbertministries
Digital Branding & Marketing By:
Black Ozen Entertainment Limited: / blackozenentertainment...
Tracklist
1. Goodluck Gozbert - Kina muuma
2. Goodluck Gozbert - Kimya Kimya
3. Goodluck Gozbert - Sikupanga
4. Goodluck Gozbert - Usinipite
5. Goodluck Gozbert - Winner
6. Goodluck Gozbert - Melody
Goodluck Gozbert - Kina muuma (Lyrics)
Intro
Amengoja Zamani
Aninase na Kamba
Ameaibika,
Ningali Chini ya Mwamba Tena Nashangaa,
Alitumia Wanadamu Mi nina Mungu
Amewatoa Manundu
Wale Wachawi Mabonde
Radi Zilizotumwa
Yesu Alinibeba Mbawani Mwake
Bridge
Kwanza Ngoja Nicheke,
Ha Ha Ha Ha Ha Ha Nicheke Tena
Ha Ha Ha Ha Ha Ha
Kwanza ngoja Nicheke
Ha ha Ha Ha Ha ha
Nicheke Tena Ha Ha Ha Ha Ha Ha
Chorus
Kinamuuma, Shetani Kinamuuma Kinamuuma
Shetani Kinamuuma
Verse 1
Aliyozuia Yote, Yameshindikana,
Wanaoana Amekasirika,
Aliochonganisha,
Wamepatana,
Wale aliopanga Wafe
Ana Waona Tena Kazimia,
Wampepee,
(Wampepee Pepee)
Tena Wampe na Polee (Pepee Peepee)
Mana Ameshinda Tena Yesu (Ameen Ameen)
Ameshinda Na Vitaa (Ameen Ameen) Kinamuuma x 2
Chorus
Kinamuuma, Shetani Kinamuuma Kinamuuma,
Shetani Kinamuuma
Anaona Aibu,
Anapita Kwa Mbali (Kama Kimondo) Alinisukuma Sana,
Nianguke Imekataa,
Akatuma Majeshi,
Yakakuta Majeshi,
Kimeumana, Akachapwa Anashangaa,
Huyu ni Mungu gani,
Anauweza Gani,
Anarejesha Yani, Amani Namshangaa,
Bridge
Kwanza Ngoja Nicheke,
Ha Ha Ha Ha Ha Ha Nicheke Tena
Ha Ha Ha Ha Ha Ha
Kwanza ngoja Nicheke
Ha ha Ha Ha Ha ha Nicheke Tena
Ha Ha Ha Ha Ha Ha
Kinamuuma x 2
Chorus
Kinamuuma,
Shetani Kinamuuma Kinamuuma,
Shetani Kinamuuma
Outro
Watu Wametoboa
Maisha Yanaendele
Wametoboa, Toboa Toboa
Watu Wametoboa
Mungu Kawatetea Wametoboa
#GoodluckGozbert #KinaMuuma #UshindiEP