Majina Yote Mazuri lyrics by Dedo Dieumerci ft. Naomi Mugiraneza ( nikupee jina gani)🙏🏼

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @GeofreyGriffins
    @GeofreyGriffins 10 місяців тому +7

    Majina yote MAZURI ni yako BWANA❤

  • @Mishyyy_szn
    @Mishyyy_szn 9 місяців тому +41

    Aki I really love this song🙏🏽🙏🏽

  • @MargaretBarasa-pn8md
    @MargaretBarasa-pn8md 11 місяців тому +22

    "Wewe ndiwe mchungaji wangu tena kiongozi wangu,wanitazama kama mboni..."❤❤❤.

  • @NshimirimanaJMarie
    @NshimirimanaJMarie 2 місяці тому +2

    Amen mungu kw urinz yako umnipigania❤❤❤❤

  • @Mercy-r5b
    @Mercy-r5b Місяць тому +3

    We must praise God for what he has done for you

  • @ElizabethKileo-l7w
    @ElizabethKileo-l7w Місяць тому +2

    Umeniokoaa nakuita mokozi bwana Mungu wa wokovu wangu...asante Yesu❤

  • @Mwangi490
    @Mwangi490 Рік тому +138

    Mungu amenipigania.Yeye ndiye bendera ya ushindi wangu.Amenifanya kuwa kielelezo Cha waliobarikiwa.🎉🎉

  • @Nacy-vt5yb
    @Nacy-vt5yb 2 місяці тому +2

    Hallelujah majina yote mazuri ni yako mungu nifungue vifungo vyote vya wachawi na ufalme wote wa machetani nionyeshe njia ni ni gani nifuate

  • @LydiaMugambi-d8q
    @LydiaMugambi-d8q 4 місяці тому +40

    Ewe mungu wangu nakuomba unibariki na uniinue ,ill be back to say thank u God😢

    • @JulianaSuleiman
      @JulianaSuleiman 3 місяці тому +1

      Aminaaaa nakila nifanyalo lifanikiwe katika jina la yesu🤲🤲

    • @ValentineJackie-g6t
      @ValentineJackie-g6t 2 місяці тому

      Eeeh mungu jina lako ni la kiheri nakupenda naomba unipiganie hiding maadui

  • @AmaniPhilemonNkulujisungi
    @AmaniPhilemonNkulujisungi Рік тому +2

    Huuu wimbo ukawa baraka katika maisha yangu

  • @francescojackson4276
    @francescojackson4276 3 місяці тому +73

    Mungu na akubariki kila usikiapo wimbo huu

  • @Ngoy-i8c
    @Ngoy-i8c 3 місяці тому +2

    Eeee Mungu wangu nakupenda kimbilio langu❤ nifunze kuishi na watu baba, nipe hekima😢 nakupenda baba❤

  • @VictorLoyeruk
    @VictorLoyeruk 3 місяці тому +4

    Wallahi God amenipigania masomo yangu hamna MTU mwingine kama yeye kwangu

  • @DIANAPIUS-j5z
    @DIANAPIUS-j5z 3 місяці тому +2

    Thanks Lord everything Mungu awabariki wote mlioimba huu Wimborne 🙏

  • @smittyadventures4188
    @smittyadventures4188 Рік тому +43

    All good names are Yours
    Oh Jehovah my Creator
    What name should I give You?
    Because every blessing is unique to you
    You have healed me
    I call you Jehovah Rapha
    God my Healer
    You saved me, I call you Savior
    Lord, God of my salvation
    You fought for me
    I call you Jehovah Nisi
    The flag of my victory
    Be praised, O Lord, my Creator and my Light
    Your kindness fills my heart
    You are my Shepherd
    Again the Leader of my life
    They look at me as the apple of Your eye
    You have made me an example of the blessed
    Most of all, You made me blessed so that I could be blessed
    I have found You and I am satisfied
    You are all in all

  • @pendosway
    @pendosway Рік тому +2

    Mungu naomba Neema juu ya familiar yang🙏🙏🙏

  • @jacquelineassey2438
    @jacquelineassey2438 Рік тому +10

    Wimbo unagusa maisha yangu, unanibariki sana, mbarikiwe mlioimba, Mungu aziidi kuwainua viwango vingine.

  • @MarcusKomba-m4y
    @MarcusKomba-m4y 2 місяці тому +3

    Amiina sana mungu nimwema tunabalikiwa sana na kuponywa wimbo huu

  • @IbrahimLyimo-m8e
    @IbrahimLyimo-m8e 11 місяців тому +1

    Jmn huu wimbo nikiusikia unanibariki sanaaa

  • @juniorAdamson-up6ob
    @juniorAdamson-up6ob Рік тому +21

    Majina mazuri yote ni yako😇

  • @chilandevuchiri
    @chilandevuchiri 3 місяці тому +1

    Moyo wangu umsifu Bwana siku zote. ❤😭🙌

  • @gakiiVivian
    @gakiiVivian Місяць тому +5

    my mum was diagnosed with cervical cancer earlier this year and im hoping for a miracle from you God❤😊im not loosing my hope lord for you have ttold me that you are the king of my life ,unanitazama kama mboni zako

  • @SophiaMichael-py3uz
    @SophiaMichael-py3uz 8 місяців тому +1

    Mungu anapasa kueshimiwa sana anatupigania

  • @StellaMwarome-cb9vj
    @StellaMwarome-cb9vj Рік тому +18

    Jina ambalo ukiliita ....miungu yote inatetemeka duniani🙏Mungu utabaki kuwa Mungu

  • @RestuterTz
    @RestuterTz 6 місяців тому +1

    Asanteni kwa wimbo mzuri hakika umenifariji mungu awabariki

  • @stratonaloyce5682
    @stratonaloyce5682 Рік тому +25

    Wimbo ni Mzuri Sana wanivutia Sana, na unanibariki saaaaana. Mungu azidi kuwalinda na kuwabariki saaaaana mliouandaa Wimbo huu.

  • @IssaBright
    @IssaBright 4 місяці тому +1

    Mungu akubariki kwakutuingizakirohnakimwili❤❤

  • @UbereyemariyaCeline
    @UbereyemariyaCeline 11 місяців тому +41

    Majina yote mazuri ni yakwako eeeeeh Bwana ❤🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @moiparap
    @moiparap 6 місяців тому +1

    Asante Mungu Kwa Mwanao Yesu Kristu

  • @albertuspatroba8117
    @albertuspatroba8117 Рік тому +15

    Kwa Jina la Yesu kila Goti litapigwa na kila ulimi litakiri Jina lake POWERFUL AND MYSTERIOUS NAME JESUS CHRIST

  • @DorineCliopa
    @DorineCliopa 4 місяці тому +1

    "Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa"❤❤❤

  • @FlorenceOgola
    @FlorenceOgola Рік тому +5

    Amina

  • @RUTHHASSAN-pu4lh
    @RUTHHASSAN-pu4lh 7 місяців тому +1

    Amen barikiwa

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb 7 місяців тому +24

    Amin usifiwe Jehova shalome good song mbarikiwe sana naisikiliza nikiwa IRAQ 🇮🇶 kurdistan alipo zaliwa nabii Ibrahim

  • @estheresther4309
    @estheresther4309 9 місяців тому +1

    Umenipigania nakuita Jehovah nisi bendera ya Maisha yangu🙏🙏🙏🙏

  • @cheronohfaith179
    @cheronohfaith179 Рік тому +73

    To everyone going through hard time trust God will make way even if it seems impossible

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 6 місяців тому +2

    Ninabarikiwa sana kila ninaposikiliza huu wimbo

  • @JuliusKimaro-or8kw
    @JuliusKimaro-or8kw Рік тому +9

    Hakika majina yote mazuri ni yako jehova barikiweni sana waimbaji

  • @MasamiCharles
    @MasamiCharles День тому +1

    Bwana yesu asifiwe watumishi wabwana

  • @selivianasimiyu6386
    @selivianasimiyu6386 Рік тому +26

    Nafurahi kuona,kuna watu wanamuabudu Mungu kwa roho na kweli,mbarikiwe Sana,pia kututia Moyo.

  • @DoreenMueni-k4l
    @DoreenMueni-k4l 3 місяці тому +2

    God.bless.u.juu.that.song.uniweka.kiwango.cha.juu.sana

  • @BarackOchieng-r2q
    @BarackOchieng-r2q Рік тому +6

    For sure majina yote mazuri ni yake Mwenyezi Rabana

  • @piusmutsya1214
    @piusmutsya1214 Рік тому +14

    Wimbo huu ni maombi tu kamili

  • @EmanuelMbwilo
    @EmanuelMbwilo Рік тому +15

    Nikikumbuka alivyo teswa naumia

  • @superiordoubledylan1966
    @superiordoubledylan1966 Місяць тому +4

    Wow continue to be successful

  • @protuswabombawanyamawanyam411
    @protuswabombawanyamawanyam411 Рік тому +10

    enyewe hakuna jina lingine zaidi ya jina lako mungu,uinuliwe milele

  • @emanuelmayiani275
    @emanuelmayiani275 Рік тому +2

    Nasikia sana kubarikiwa jina la la bwana libarikiwe

  • @IssaBright
    @IssaBright 4 місяці тому +3

    Naisiuwepo wa Mungu ❤❤❤❤

  • @raelmudavadi9371
    @raelmudavadi9371 Рік тому +16

    Amen may God bless you huu wimbo hunitoa machozi na kunitia nguvu😊

  • @petuakaplaigia7233
    @petuakaplaigia7233 6 місяців тому +13

    2024 its still as deep as the first time I heard. Trusting God for a breakthrough and through it all I will play this song and when I get it, I will come here to give my testimony

  • @AkimanaMedia-fu7vo
    @AkimanaMedia-fu7vo 3 місяці тому +1

    Majina yote ni Yako Mungu wetu❤❤❤

  • @glorykitwala928
    @glorykitwala928 Рік тому +6

    Najisikia fraha na aman katika moyo wangu ninaposikiliza wimbo huu

  • @cecilebitundu3163
    @cecilebitundu3163 9 місяців тому +4

    Ki ongozi ya maisha yangu ni wewe mungu ,wewe ni yote ndani ya yote🙌🙌🙌🙌🙌

  • @GraceMweta-c5k
    @GraceMweta-c5k Рік тому +8

    Mungu ni mwema kwa wote ambao wamekuwa wakifanya kazi ya Mungu

  • @suzanmndasha8315
    @suzanmndasha8315 Рік тому +6

    Hakika majina yote ni yako Bwana Yesu mbarikiwe wote mlioimba wimbo huu

  • @RajabuKimaro-do7ue
    @RajabuKimaro-do7ue Рік тому +9

    Hakika wimbo huu unafundisha na kutukumbusha nguvu tunazopata Toka kwa Mungu muumba wetu Mbarikiwe sana waimbaji

  • @rosemarru3903
    @rosemarru3903 Рік тому +7

    Nyimbo ina nifanya nilie mno jaman MUNGU akubaliki wewe uliye tunga nyimbo hii eeh MUNGU pokea manukato haya

  • @HakizimanaInnocent-o7j
    @HakizimanaInnocent-o7j 6 місяців тому +8

    Majina yote niya mungu mkuu muumba mbingu n'a inchi Nani kama Mungu

  • @elibarikipaul1384
    @elibarikipaul1384 Рік тому +21

    Hakika Majina yote Mazuri ni yako Jehova...this song always moves me away for sure. Mbarikiwe waimbaji

  • @KarenMuriuki-vu4ki
    @KarenMuriuki-vu4ki 7 місяців тому +1

    Uko tu sawa

  • @JohnKanyi-ks9qo
    @JohnKanyi-ks9qo Рік тому +27

    Hakika majina yote mazuri yote ni yake mwenyezi mungu BABA YETU;mungu anapo wabariki naomba anibariki na mimi,AMEN.

  • @IssaBright
    @IssaBright 4 місяці тому +1

    Usifiwe Mungu wangu❤❤❤❤🥰

  • @BeatriceMmbalasi
    @BeatriceMmbalasi 11 місяців тому +7

    Haa haa haa I like your songs

    • @TabbyTabbyv
      @TabbyTabbyv Місяць тому

      Nadai tutoe nyimbo moja

    • @TabbyTabbyv
      @TabbyTabbyv Місяць тому

      Send me your number please

  • @sambayametikana8682
    @sambayametikana8682 18 годин тому

    Unastahili kuitwa majina yote mazuri Mungu mkuu 🙏

  • @AnithaLutumo
    @AnithaLutumo Рік тому +4

    Atukunzwe Mungu aliye kupa huduma nabarikiwa na nyimbo zako

  • @Happynesthomas-l1o
    @Happynesthomas-l1o 10 місяців тому +4

    Mbarikiwe sana Waimbaji,Mungu wetu anastahili sifaa

  • @muduncoo
    @muduncoo 5 місяців тому +9

    God please jibu maombi yangu ❤

    • @RachaelKadzo-rw2ci
      @RachaelKadzo-rw2ci 5 місяців тому +1

      I believe He will 😁be patient because a great reward is on its way🙏

    • @BELINDAKALUMBU-o7e
      @BELINDAKALUMBU-o7e 2 місяці тому

      Jibu yanbu Pia God 🥹🙇

  • @JackieKinyua-qh8es
    @JackieKinyua-qh8es 9 місяців тому +3

    Hiyo wimbo uko sawa napenda praise the lord every day❤❤❤❤

  • @Paulkamau-c9d
    @Paulkamau-c9d 8 місяців тому +34

    Huyu Mungu ni mwaminifu ukimwita aitika anasema na anatenda usife moyo

  • @JudithNafuna-b7g
    @JudithNafuna-b7g 9 місяців тому +1

    Thank you dear God 🙏🙏

  • @AntNaaa
    @AntNaaa 2 місяці тому +6

    Mungu amenisaidia sana kupitia huu wimbo awainue na wengine

  • @KhamicbabaKhamic
    @KhamicbabaKhamic 4 місяці тому +1

    Ebwana msimamie mwanangu nasri Atembee bwana ujawahi shindwa Nina omba baraka zako katika jina lako bwana namleta mwanangu nasri mikononi mwako

  • @rosekwasi3824
    @rosekwasi3824 Рік тому +38

    I have been listening to this song daily and was sobbing by the rememberance of the battles God has fought for me and my family.Kweli umenipigania na kuita Jehova Nissi bendera ya ushindi wangu.God has ,is and will be my all in all.

  • @ZainaMustapha-n8c
    @ZainaMustapha-n8c 10 місяців тому +1

    Jaman kiukwel inanipa faraja Sana naipenda

  • @CastorySangee
    @CastorySangee 3 місяці тому +4

    Jamani huu wimbo umenigusa sanaa ❤🙏

  • @naomiogega3591
    @naomiogega3591 Рік тому +10

    Amen huu wimbo unanipa nguvu 💪🙏 much love from 🇰🇪👌💕👌💕

  • @Iddaqueen
    @Iddaqueen 11 місяців тому +5

    Hakika majina yote maziri niyako Yesu zaidi ya yote ukanifanya baraka ili nami nibariki

  • @maureenmurgor
    @maureenmurgor Рік тому +19

    Beautiful song, There's power in the name of the Lord.Majina yote mazuri ni yako Jehovah

  • @selinanyongesa-k3m
    @selinanyongesa-k3m Рік тому +36

    I shed tears when I listen to this song and think about the goodness of God.

  • @Mercychadal
    @Mercychadal Рік тому +1

    Daah mwenyezi mungu tujarie tuwe na nwisho mwema

  • @annenyaga4523
    @annenyaga4523 Рік тому +24

    Amen,this song plays on my working computer every morning,it amazingly lifts my soul to👏👏 my creator, you are a great blessing to us.

  • @SalomeMwasongwe
    @SalomeMwasongwe Рік тому

    Amina, Mungu amenioioaw a namwluita bwana mungu wa wokovu. wangu

  • @zuhurapeacekarimi9591
    @zuhurapeacekarimi9591 Рік тому +568

    To everyone listening this song, may all your barren situations be fruitful , and may your testimonies be heard from others mouth in Jesus mighty Name.

  • @Official_kinga
    @Official_kinga 9 місяців тому

    This is my favourite song to cry to my lord and to remind myself that l have and always will be a child of GOD

  • @Moses-08
    @Moses-08 8 місяців тому +4

    Perfect one

  • @SallyOkwisa
    @SallyOkwisa 7 місяців тому

    It makes me remember my lovely friend madam flora ayako she liked it very much May her soul rest in peace

  • @jekoniaodhiambo5937
    @jekoniaodhiambo5937 Рік тому +5

    Uinuliwe juu mungu wangu ulie binguni. Be blessed for blessing me singer

  • @ElizabethKiria
    @ElizabethKiria 7 місяців тому

    Wimbo mzuri sna Mungu awatangulie kwa kila jambo

  • @LynetteAtieno-d4n
    @LynetteAtieno-d4n Рік тому +4

    Umenipigania nakuita jehova nissi bendera ya ushindi wangu

  • @williamrweyemamu9082
    @williamrweyemamu9082 6 днів тому

    Asante Mungu kwakua umefungua mlango wa maisha yangu...

  • @nancydawo5735
    @nancydawo5735 Рік тому +19

    May this song continue to manifest the love of God.Powerful,🙏🙏

  • @NorbatWasonga
    @NorbatWasonga 6 місяців тому +1

    Asnte sana mungu kwa siku ya leo pamoja naxikixa na watu wote walio na mimi kwa sasa

  • @RachelNdanu
    @RachelNdanu 9 місяців тому +6

    Akika wewe ni Baba yangu wastahili sifa

  • @KiandaVenza
    @KiandaVenza 3 місяці тому +2

    I love this song very much❤

  • @devothaisaya5833
    @devothaisaya5833 Рік тому +4

    NAHISI UWEPO WAK BWAN WANGU .YEHOVA UMENITETEA BILA WEW SIWEZ BWAN.

  • @baenimuhimafabrice
    @baenimuhimafabrice 8 місяців тому +1

    Asante Yesu Kristo kwakuendela kuni pigania kila iitwao leo

  • @omondijackline6307
    @omondijackline6307 Рік тому +8

    JESUS!!! this song is so powerful Nimekupata nimeridhika Ww ni Yote katika Yote 🙏❤️

  • @jamesodero8189
    @jamesodero8189 9 місяців тому

    This song is powerful and a blessing, amen

  • @valeriamorand1881
    @valeriamorand1881 Рік тому +14

    Mungu awabariki kwa wimbo huu hakika mmefanywa baraka na mmetubariki na sisi kwa wimbo mzuri
    May we be a blessing to someone today

  • @barakakatindasa9899
    @barakakatindasa9899 8 місяців тому +1

    Ahsante kwa uinjilishaji wako kwa kipaji chako....haki atukuzwe mungu....