Goodluck Gozbert - Ipo Siku | Official Music Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 4,2 тис.

  • @JulietOmwenga
    @JulietOmwenga 8 місяців тому +80

    Here in 2024 listening to this encouraging song..Ipo Siku ...kama huku hapa Nami gongs like and let's not give up.

  • @BramuelSimiyu
    @BramuelSimiyu 9 місяців тому +89

    Namwamini Mungu ipo siku yangu tu nami nibarikiwe hii 2024.

  • @sylvetnkirote3547
    @sylvetnkirote3547 10 місяців тому +101

    Its 2024 bado ninatumaini ipo siku yangu tu🇰🇪🇰🇪kenyans lets show some love this year

  • @maryndanu9859
    @maryndanu9859 8 місяців тому +256

    Still listening to this song 2024.gonga like kama bado unabarikiwa.

  • @alphasmallpin6951
    @alphasmallpin6951 8 місяців тому +9

    Maisha nifoleni ukiwa na imani zamu yako itafika usife moyo .....wengine wetu tulitengwa ila Mungu alitukumbatia akatuinua na kutuondolea haibu.....kweli #IPO SIKU

  • @DenisChuwa-p7i
    @DenisChuwa-p7i 11 місяців тому +20

    IPo siku yangu tuh! 2024 nami nibarikiwe

  • @roniboymsanii4364
    @roniboymsanii4364 2 роки тому +61

    Wale wote wanaoamini kwake mola watajibiwa maombi Yao Amen 🙏🙏

  • @evalinmokeira5465
    @evalinmokeira5465 3 роки тому +182

    Nami nitabarikiwa nani ako na mim 2021 kutoka Kenya proud of you .gonga likes tukisonga

  • @mourinekerubo5007
    @mourinekerubo5007 2 роки тому +7

    I'm really feel when Ie listen the song but who is God ican't compare my self before

  • @charlesnzwalla3001
    @charlesnzwalla3001 Рік тому +120

    Kama kuna mtu bado anaisikiliza hii nyimbo 2023 Naomba likes tafadhari... Nawapenda.

  • @sundaydaudi7541
    @sundaydaudi7541 10 місяців тому +8

    Huu wimbo unanikumbusha mbali sana wakati Mama yangu anapambana na madeni, Baba hayupo nyumbani na hakuna chakula. sikuchoka kuusikiliza wimbo huu kwani niliamini ipo siku Mungu atafanya kila kitu kitakua sawa. Na leo baada ya miaka 7 nimerudi kushuhudia ukuu wa Mungu

  • @nyaokeviolet4144
    @nyaokeviolet4144 4 роки тому +429

    If this made you believe its never late in life..thumbs up😊🙏

  • @capstoneentertain5453
    @capstoneentertain5453 8 місяців тому +152

    Kenyans,who else is here 2024. ipo siku yangu

  • @shadracksteven2636
    @shadracksteven2636 7 років тому +1347

    Nilikuwa nikiamka naweka huu wimbo kila asubuhi nikiwa nasoma SAUT yaan just b4 sijaenda darasani nimemaliza chuo nipo mtaani Mungu mkubwa nikapata kazi na nimeanza kumjengea mama yangu nyumba siku yangu imefika........kipaji chako kimewatoa wengi MUNGU AZIDI KUKUBARIKI

  • @Martha-s5o
    @Martha-s5o 2 місяці тому +12

    Listening October 2024,ipo siku yangu tu nibarikiwe 🙏🙏

  • @essyquincy7128
    @essyquincy7128 11 місяців тому +68

    2024. Who is listening this masterpiece with me?

  • @mwikaliirene8654
    @mwikaliirene8654 2 роки тому +171

    6 years when this song was new i used to sing it with alot of faith i wanted to God to bless me with children when everyone seemed to be unfriendly to me but as i write this our Good God who hears and listens to our hearts heard my cry and wept away my tears ,He gave me a title that no human being can even erase it i am a living testimony am blessed ,favoured but who is like our God ,i will always bless and adore your holy name"itu yii yi ngai anaasa".translation there is God in heaven brethrens

  • @aliabdi1316
    @aliabdi1316 2 роки тому +35

    Am Muslim and this song gives me motivation weneva I listen 2 it ...

  • @katelynatabo
    @katelynatabo Рік тому +32

    7yrs now....i used to listen to this song when life was directionless and now i can testify that God really exists na si kiziwi...He listens. Mungu wangu ameniandalia meza mbele ya maadaui wangu and am greatful

  • @benpaul.9310
    @benpaul.9310 3 роки тому +100

    In the coming few days ,months and years will come under this comment and write what God has done....ipo siku✊.it's Jan 2021

  • @fatmajamia405
    @fatmajamia405 6 років тому +105

    kila mwanadamu ana siku yake ya mafanikio!!Mungu hajatusahau bado..Ipo siku yangu tu❤❤❤❤

  • @witneyachieng3794
    @witneyachieng3794 Рік тому +24

    Tuongee tu ukweli nani anafeel day yke iko blessed akiskia huu wimbo kila sasubui... 🤗🤗

  • @IreneMwita-fe9nd
    @IreneMwita-fe9nd Рік тому +2

    Ubarikiwe goodlucck nakupenda sana huu wimbo nikianguka nikiusikiliza tu nainika tena na nikiwaza kushindwa inanitia nguvu na kunifanya nijione mshindi naamini ipo cku yangu tu nami nitabarikiwa tu na nitalia kilio cha furaha 😂😂😂😂

  • @timolineodhiambo454
    @timolineodhiambo454 4 роки тому +8

    Hii nguvu ya kudislike song za watu wengine hutoa wapi....my favourite song ❣❣❣❣❣🔥🔥

  • @magdalenew.mwanyota5901
    @magdalenew.mwanyota5901 10 місяців тому +4

    Nikiskiza nyimbo zako walai mwili wa sisimuka waaaaaah zikona furaha na uponaji ubarikiwe sana my brother 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤ipo siku yangu tu nami ni barikiwe ewe mola nibariki ni jengeee mzazi wangu japo kuwa sina huyo mwengine ila mola yuko kunitetea ,mama nakupenda sana mola ailaze roho yako mahali pema peponi 😢😢😢😢😢amin

  • @maryamabdallah2444
    @maryamabdallah2444 8 років тому +235

    am a Muslim.. but I love this song.. IPO siku

  • @irenerimoyrimoy2024
    @irenerimoyrimoy2024 Рік тому +2

    Ipo siku yangu na mimi ataweka baraka zake kwa maisha yangu 🙏

  • @hinakhan3562
    @hinakhan3562 2 роки тому +7

    Sijawai choka na hii wimbo,nikikubuka mahali mungu amanitoa🙏

  • @euniceatamba6309
    @euniceatamba6309 3 роки тому +8

    Wanaodharau wenzao wanastahili kusikilzi huu wimbo kwa makini sana,pia wao watakuja barikiwa,may God bless you bro,uliimba wimbo poa sana

  • @kipkoechraymond8672
    @kipkoechraymond8672 2 роки тому +21

    Ipo siku.i remember having given up hope about my academics.a course that was to take 4 years ended up taking 8 years.Many challenges i encountered along the way including lack of school fees,supplementary exams and many more.but here I am I graduated last year from one of the best universities in Kenya.Indeed my God is alive He gave me hope after I had lost hope.Ipo siku ntabarikiwa

  • @FaithMinayo-sm4zb
    @FaithMinayo-sm4zb 12 днів тому +3

    Maumivu ya kudharauliwa umasikini💔💔💔💔.......God I'm tired of crying everyday because of this life😢.....its time lord i need you in my life😢 i feel loke giving up😢😢
    Its my wish that 2025 gonna be my break through year in Jesus name 🙏🙏#IPO SIKU YANGU TU🙏🙏

    • @winfridacharles4525
      @winfridacharles4525 12 днів тому +1

      Same here... Ooh God nisibaki hivi 2025🙏... Tuendelee kuomba my dear

  • @RobinsonMukanzi
    @RobinsonMukanzi 9 місяців тому +6

    2024 najua huu n mwaka wangu nibarike

  • @olivewanja1057
    @olivewanja1057 3 роки тому +254

    I listened to this song first time on 2019 and I stood by Faith...am here again 2021 with a testimony,,,kweli ipo siku😍😍😍😍😍 TMM

  • @amani-hu6bs
    @amani-hu6bs Рік тому +40

    2023 September still listening to this song I can't get enough of it even though it's my ringtone. Alot of encouragement for those of us still struggling with life let's keep trusting in the Almighty all will be well 🙏

  • @ressanaliaka3584
    @ressanaliaka3584 Рік тому

    IPO siku yangu tu Nani nibarikiwe amen❤❤❤❤

  • @estherbrandy1849
    @estherbrandy1849 6 років тому +635

    I want a husband who fears God like Goodluck , ooh please Jesus answer the desires of my heart, my Lord answer me from your throne on high.

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 6 років тому +357

    Kaka unatufariji sana sisi tulopitia mitihani mikubwa mpaka tukafikia kukata tamaa ila kwa nyimbo zako hutufanya tufarijike nakujipa moyo mungu akulinde babayangu mimi ni muislam nyimbo zako nzuri unaimba unamtaja mungu mungu akuzidishie kaka

    • @karimsumila7854
      @karimsumila7854 6 років тому +2

      Asiah Mariam umenena vema Dada, Asante sana

    • @ruthpaulo8272
      @ruthpaulo8272 6 років тому +2

      mungu akuongoze katika kazi yabwana maana wimbo unatugusa ambao tunapitia magumu

    • @peterpatrick6914
      @peterpatrick6914 6 років тому

      Asiah Mariam good my sister

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 років тому +1

      Na wewe Asiah Mungu akutoe kwenye hiyo mitihani. Kumbuka ni ya kukujenga, na utaipita tu, ipo siku yako ya kubarikiwa

    • @noreentv2034
      @noreentv2034 6 років тому

      @@ilovejesus9303 kweli kabisa uko sahihi

  • @erikakisanga4942
    @erikakisanga4942 8 років тому +5

    huo wimbo kaka umenikumbusha sn ktk maisha yngu

  • @jenniferisrael7354
    @jenniferisrael7354 Рік тому +2

    Ipo siku yangu NAMI nibarikiwe na haitakawia Kwa jina la Yesu

  • @babyanneytvshow3068
    @babyanneytvshow3068 8 років тому +417

    Huwezi amini nilikuwa nimekata tamaa,wimbo huu umenifanya nipate amani ya moyo asante kaka

  • @tatiananjuguna5739
    @tatiananjuguna5739 Рік тому +17

    I used to listen to this song every morning when going for morning church service.....after seeing peoples testimonies ...
    I week didn't pass God answered my prayer I know have a job ...and more glory to God.Dont give up just kneel down and believe

  • @timogach
    @timogach 4 роки тому +105

    This song I remember I first heard it in 2017 after finishing my degree, didn't have a job and I started a business, but after a while I started betting and resulted in my addiction to sports football gambling,,it made me hate my lifestyle and was stressed that i got myself into Shylock debts, waaah my life was a mess.
    Then I had about the song IPO SIKU, made it my wake up alarm, Listened to it daily, God has been faithful am free from betting and debts spirit , I know am a child of God, I can now THANK GOD 🙏 for in Jesus I can do all things through Christ who strengthens me Thank you Jesus 🙏 IPO SIKU YAKO YAJA, SIKU YA KUBARIKIWA, AMEN.

  • @RMWashe
    @RMWashe 4 місяці тому +1

    Mungu ni mwaminifu, atatenda ninaamini. Mitimiza maagano, ni mwingi wa Rehema, ooh asante kwa yale anayonitendea, amekuwa mtetezi, msaada, tumaini, Kimbolio ni mengi anayoniwazia mema. Wimbo huu, unanipa nguvu na faraja, unani

  • @chiefsareto
    @chiefsareto 4 роки тому +123

    I listen to this song daily
    I get encouraged
    I get motivated
    It keeps me going

  • @bettynthembwa760
    @bettynthembwa760 4 роки тому +142

    I am a living testimony of what God can do... This song is a blessing, it reminds of me of the days that I was a laughing stock to many.. friends were too busy,others walked away indirectly... but my family stuck by me....Now, that God I am better, I chose to be a blessing to the same friends ... Nothing is permanent in this world.

    • @muthoni_joyce
      @muthoni_joyce 2 роки тому +4

      Forgiveness and Compassion are the most difficult, and it's where we are tested.

    • @maryayoti3998
      @maryayoti3998 Рік тому +2

      Amen 🙏🏽

    • @maryayoti3998
      @maryayoti3998 Рік тому +2

      One day I will be a testimony 🙏🏽🙏🏽

    • @chebetwinnie1817
      @chebetwinnie1817 Рік тому

      @@maryayoti3998 àp

  • @marthajulia3310
    @marthajulia3310 2 роки тому +7

    Kweli ipo siku na imekaribia in Jesus name,,,,,hii ngoma ilinifanya kutofanya wat I was thinking,,,,, indeed commiting suicide but it encouraged me alot,,,,,,be blessed goodluck

  • @PamelaGatwiri-v5u
    @PamelaGatwiri-v5u 28 днів тому +1

    Bytha Gozbert anakuwanga na nyimbo tamu sana,nazipenda sana

  • @joshuamwangangi5868
    @joshuamwangangi5868 3 роки тому +302

    2021 still being blessed by this song.who else.wapi like zangu?

    • @philyskasaya7317
      @philyskasaya7317 3 роки тому +4

      Nko hapa my favourite song I can testified the way I'm blessed,just believe in him God's time is the best

    • @Lebbzthadj
      @Lebbzthadj 3 роки тому

      @@philyskasaya7317 the support rt the the tyt ey yy

    • @sarahokoti723
      @sarahokoti723 3 роки тому +1

      Am here with you

    • @salahkimali7757
      @salahkimali7757 3 роки тому +2

      Ipo siku yangu tu nibalikiwe

    • @elizamchomvu9402
      @elizamchomvu9402 3 роки тому

      @@Lebbzthadj .

  • @khametephyllice9003
    @khametephyllice9003 Рік тому +12

    Am listening to this song trusting in God for a job. I am an English and Literature teacher but I have never been employed since I graduated...

    • @koonfybeats
      @koonfybeats Рік тому +3

      Usijali and Know that God may use you in a different way not necessarily to be a teacher but you need to repent all your sins even getting angry even jealousy and all small sins that's when everything starts flowing like you're a new person

    • @khametephyllice9003
      @khametephyllice9003 Рік тому

      @@koonfybeats thank you

    • @koonfybeats
      @koonfybeats Рік тому

      @@khametephyllice9003no thank you for listening

    • @koonfybeats
      @koonfybeats Рік тому

      @@khametephyllice9003 God bless you sister ❤️

    • @kenya8201
      @kenya8201 9 місяців тому +1

      @@khametephyllice9003 May God see you through. May you receive more than you request...... be blessed

  • @mbelunln
    @mbelunln 8 років тому +11

    Hakika ipo siku yangu ukiweka imani kwa Mungu unabarikiwa...Yasiyowezekana kwa binadamu kwa Mungu yanawezekana.

    • @mbelunln
      @mbelunln 6 років тому

      Mwaka mmoja baadaye, Mwenyezi-Mungu amenitendea karama kadiri ya mapenzi yake nimeshinda mengi yaliyokuwa kikwazo.
      Kamwe usiruhusu kukata tamaa. Mungu hashindwi.
      UBARIKIWE.

  • @Mga-f3h
    @Mga-f3h 8 місяців тому +3

    Am a Muslim but the way this song give me courage 😊

  • @oderaelizabeth5626
    @oderaelizabeth5626 Рік тому +4

    Ooooh Lord my day is coming have just looked around my situation and the song rung my head Jesus will do it for me

  • @elizabethnjuguna3891
    @elizabethnjuguna3891 2 роки тому +10

    I know my day of healing and overcoming this sickness is COMING!!!
    Siku yangu yakupona inakuja..I know I serve Jehovah Rapha!!!

    • @shikufm9690
      @shikufm9690 2 роки тому +1

      We speak healing in Jesus mighty name 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @lizahmakena4505
      @lizahmakena4505 Рік тому

      Receive a miracle in Jesus name🙏

  • @josephdaniel627
    @josephdaniel627 8 років тому +13

    niliposikiliza hii nyimbo mara ya kwanza machozi yalinotoka na nikaamini kuwa ipo siku kwel na sitokata tamaa kwa chochote@G.gozbert kazi nzuri na Mungu akubariki Sanaa your song restored the hope that was lost once

  • @SahraHalifa
    @SahraHalifa Рік тому

    Huu wimbo unanigusa maisha niliyopitia❤❤❤❤❤❤

  • @joyceshapil6167
    @joyceshapil6167 5 років тому +19

    Najua IPO Siku yangu tu nitabarikiwa with a good husband I have tried several relationships BT have not worked, ooooh lord remember me!!!

    • @suahcoco9685
      @suahcoco9685 5 років тому

      Pray nd wait, when the time is right, He will bring your husband. Don't try to find him, you'll get Satan's agents

    • @effylrobert
      @effylrobert 4 роки тому

      Having the same prayer too

  • @michelleakinyi987
    @michelleakinyi987 5 років тому +46

    "ingawa sipati kwa muda mrefu,mungu si kiziwi....ipo siku... hallelujah!👌maumivu ya kudharauliwa...amen,ubarikiwe♥️

  • @margaretnjoroge9942
    @margaretnjoroge9942 4 роки тому +233

    There's a time i went for an interview in Nairobi from Nakuru, at the interview, one of the panelist told me on my face, Margaret, this job is not for you! You have deamoniur for something else.. I cried my way back to Nakuru replaying this song for three hours till I arrived to Nakuru.😭😭😭😭😭
    It gave me hope!

  • @roselidaawino6712
    @roselidaawino6712 Рік тому

    Ipo siku yangu Nami ntashuhudia, Nina Imani mungu atajibu maombi yangu😢

  • @Hertha_Ambambi
    @Hertha_Ambambi 2 роки тому +111

    I don't understand swahili but I always go to Google to check the meaning, your songs have always blessed me on a deeper level. My family thinks I'm crazy but they have no idea I have searched the lyrics up and I understand them from start to finish... 2022 I'm still vibing to this song like it's new... It speaks to me and reminded me that God is not deaf and I must keep on praying ❤️🙏
    Love from Namibia 🇳🇦

    • @mavoke5389
      @mavoke5389 2 роки тому

      I lost hope in life but that song uplifts me

    • @Hertha_Ambambi
      @Hertha_Ambambi 2 роки тому

      @@mavoke5389 hold in there, love your life even if it's almost impossible to love it that way. Also go watch a sermon by Sarah Jakes Robert titled love your life here on UA-cam you will love it

    • @fabientuyisenge1923
      @fabientuyisenge1923 Рік тому

      Of yes my dear friend.this gospel music is full of teachings and I I can not find a weekend without listening to it.and Swahili is easy keep on yourself as well as possible you will speak it fruently.be blessed

    • @peteropiyo53
      @peteropiyo53 Рік тому

      Lord who did it ,I call him today to it for me

    • @e.k2222
      @e.k2222 Рік тому

      May God bless you abundantly beyond your imagination and expectation In Jesus Christ name!

  • @nancywanjiru9293
    @nancywanjiru9293 2 роки тому +68

    Lyrics
    Ni mbali nimetoka Tena ni ajabu kuwa hai
    Maana ningeshakufaga
    Ni mengi nimeona
    Tena ya kuvunja moyo
    Labda ningeshamwacha Mungu
    Na Kama ni misongo ya mawazo Magonjwa mama
    nimepitia ninazoea
    Maumivu ya kudharauliwa, umasikini
    kila siku, ninajipa moyo
    Ipo siku yangu tu,
    Ipo Siku, siku
    Ipo siku yangu tu
    Nami niba niba nibarikiwe,
    Ipo siku yangu tu,
    Ipo Siku, siku
    Ipo siku yangu tu
    Nami niba niba nibarikiwe
    Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
    Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
    Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
    niba, niba, nibarikiwe
    Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
    Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
    Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
    niba, niba, nibarikiwe
    Ingawa kwa sasa wananisema vibaya,
    Nami sishangai - najua ni ya wanadamu hayo.
    Ingawa sipati na ni kwa muda mrefu
    Siachi kuomba; Mungu si kiziwi.
    Binadamu wema, ukiwa nacho
    Kwa sasa waniepuka sina rafiki wa dhati.
    Ooh Kama ni misongo ya mawazo
    Magonjwa mama, nimepitia, ninazoea
    Maumivu ya kudharauliwa, umasikini
    Ni kila siku, ninajipa moyo
    Ipo siku yangu tu,
    Ipo Siku, siku
    Ipo siku yangu tu
    Nami niba niba nibarikiwe,
    Ipo siku yangu tu,
    Ipo Siku, siku
    Ipo siku yangu tu
    Nami niba niba nibarikiwe,
    Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
    Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
    Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
    niba, niba, nibarikiwe
    Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
    Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
    Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
    niba, niba, nibarikiwe
    Miaka imepita, unaombaga mtoto hupati
    Vuta subira maana Yeye hachelewi
    Ona biashara imeandamwa mikosi hupati
    Usimwache Mungu, waganga watakuponza
    Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna
    Msimwache Mungu - michepuko sio jibu
    Umeugua tumaini la kupona hakuna
    Usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia.
    Najua Ayaya
    Najua ayaya
    Najua ayaya niko poa
    Najua Ayaya
    Najua ayaya
    Najua ayaya niko poa
    Misukosuko ya ndoa
    Mtoto anakusumbua
    Giza likiingia unawaza wapi utalala
    Masimango Mashemeji, ati huzai mtoto
    Masimango mama wa kambo, Umemchosha nyumbani
    Usiwaze usiumie, najua yote yatapita
    Siku imekaribia, najua yote yatapita (uba uba ubarikiwe)
    Nawe ubarikiwe, ubarikiwe
    Ah ubarikiwe ubarikiwe
    Nawe ubarikiwe ubarikiwe
    uba uba ubarikiwe
    Nawe ubarikiwe, ubarikiwe
    Ah ubarikiwe ubarikiwe
    Nawe ubarikiwe ubarikiwe
    uba uba ubarikiwe

  • @denisthiongo5477
    @denisthiongo5477 2 роки тому +9

    Going through hell
    Betrayal, despised, killed alive but this one gives me hope...

    • @lizahmakena4505
      @lizahmakena4505 Рік тому +1

      May God grant you peace and restoration more than you can ask , think or imagine!

    • @mr.s533
      @mr.s533 Рік тому +1

      Hold on brother💪

  • @Lentitoh
    @Lentitoh Рік тому

    ipo siku yangu tu na mimi nibarikiwe..
    amina🙏🙏

  • @paulgithae5713
    @paulgithae5713 Рік тому +6

    i feel blessed 🙏🙏🙏🙏 by the song 😢😢😢😊😊❤❤ AMEN AND AMEN AND AMEN AND AMEN

  • @mwanaahmed3293
    @mwanaahmed3293 8 років тому +7

    Yan nyimbo ni nzur naipenda inanifariji Na ww ubarikiwe kwa kutunga nyimbo nzuri km hii 🙌💃

  • @emtv9675
    @emtv9675 5 років тому +38

    Kama bado unasikiliza huu wimbo mpka november hii gonga like twende sawa😍😍😍😍

    • @neemamussa3626
      @neemamussa3626 5 років тому

      Mungu ni mungu tu

    • @blessedagen3328
      @blessedagen3328 4 роки тому

      Hello friends,, I have done a cover song that was originally done by Mtumishi Goodluck Gozbert,, it's called #SIMU ,, kindly check it out and leave a comment don't forget to subscribe,, thanks alot,, here is the link ua-cam.com/video/EpiyWhc9G_c/v-deo.html

  • @annemwangi9555
    @annemwangi9555 Рік тому +3

    i know that my day is coming for the lord to prevent me from embarrassment

  • @haroynaayoub5388
    @haroynaayoub5388 8 років тому +8

    Surely umenigusa ipo sku nam ntabarkiwa ameen

  • @allankimaro4327
    @allankimaro4327 2 роки тому +71

    I pass through tough times in my education but this song gives me inspiration to move forward despite challenges.

  • @magaifocus2215
    @magaifocus2215 8 років тому +11

    Kwa IMANI IPO siku yangu pia MUNGU ataniinua tu!!!

  • @patiencengendo6650
    @patiencengendo6650 Рік тому +1

    Ipo siku yangu
    Asanti Mungu

  • @newme7766
    @newme7766 Рік тому +17

    God has done me well. I didn't have a job and God gave me one. I was raised ranks and now I'm working in my Boss's office. Trust in God mu brethren. I'm listening this song while at work.

    • @marymbugua515
      @marymbugua515 9 місяців тому

      Blessed be to God Almighty.He Does Everything in His Own Time

  • @waltermotito7364
    @waltermotito7364 2 роки тому +9

    I gave my son the name Goodluck because this man called so is a God fearing man,God continue staying by your side

  • @hildawangui4700
    @hildawangui4700 5 років тому +508

    I had lost hope in life to the extent of wanting to kill my self but when I heard this song in my neighbor s house ,I cried deeply and came back to my senses ,I know my day is coming ,amen

  • @tosh480
    @tosh480 2 роки тому +2

    Ipo siku yangu nami nitabarikiwa

  • @dukestv573
    @dukestv573 4 роки тому +177

    I have reached a point in life where I want to give up,,,am always having suicidal thoughts because nothing is working in my life....but when I heard this song in the matatu,,,I had to search for it....and now I know that IPO SIKU yangu inakuja when everything will be fine... This song has made me change my mind and now am doing good and pray to God for Guidance...
    GOD HEAR MY PRAYERS..🙏🙏😭😭😭

  • @Mwangi490
    @Mwangi490 2 роки тому +41

    I started listening to this song in the year 2019 while admitted to hospital fighting for our lives..i and my new born.Everything seemed crashing..i thank God for bringing us this far,a freind who sticks closer than a brother.I know God holds my destiny.Here i am 2022 and counting.Dont ever loose hope coz all battles belongs to God.

  • @achomrose127
    @achomrose127 Рік тому +6

    My best song ❤❤lots of love from Uganda 🇺🇬

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 Місяць тому

    Namii ninaamini ipo siku pia nitabarikiwa na ndoa in Jesus name 🙌 💖

  • @simonnaro-vh3bt
    @simonnaro-vh3bt 7 місяців тому +20

    2024 but still listening to this song ipo siku yangu😥

  • @kirwakemboi1
    @kirwakemboi1 7 років тому +10

    wimbo huu umenifanya nijitasame kiroho nakujiba moyo kuwa ipo siku yangu pia. Baraka kwako ndugu

  • @Mitchy_Michelle
    @Mitchy_Michelle 2 роки тому +37

    For no weapon formed against me my family or my husband shall prosper Amen.🙏🏼🙏🏼🙌

  • @shahzymimie3804
    @shahzymimie3804 2 роки тому +1

    Ipo siku yangu tu namimi nibalikiwe🙏

  • @bettynkabili6683
    @bettynkabili6683 3 роки тому +14

    I believe that during time of Easter...kupitia Kwa resurrection of Christ that a miracle will happen to me in 3days...it's my time i pray for the fruit of womb and my marriage to be peaceful..I will come back with a testimony bless me Lord

  • @nururehemamdolo2889
    @nururehemamdolo2889 8 років тому +9

    wimbo huu unanpa amani najipa moyo IPO sku na mm ntaolewa

  • @vivianachieng8998
    @vivianachieng8998 8 років тому +21

    "maumivu ya kudharau umaskini" ipo siku yangu nami nibarikiwe. Amen !!! to God be the Glory.

    • @zubeda22f38
      @zubeda22f38 6 років тому

      Kaka Npenda nyimbo Zko Sana

    • @ashaathuman1472
      @ashaathuman1472 5 років тому +1

      Mungu akubariki wimbo umenitia moyo Sana kwa changamoto ninazopitia

  • @marinahjane6605
    @marinahjane6605 Рік тому +2

    Ipo siku yangu God gave a job, permanent and pensionable,I love this song,God healed my marriage,ooh powerful savior You are my God

  • @victorjamal7092
    @victorjamal7092 5 років тому +4

    Naamini ipo siku yangu nitabarikiwa... what an inspiring song.

  • @waitwait1392
    @waitwait1392 8 років тому +14

    holy spirit filled song...ipo siku yangu tu

  • @lindawasike8228
    @lindawasike8228 3 роки тому +59

    2021....this song still blesses me every time I listen to it. God is great.

  • @trizahshim218
    @trizahshim218 Рік тому +1

    IPO siku yngu tu🙏😭😭

  • @simonkipaipai3686
    @simonkipaipai3686 4 роки тому +19

    For those who disliked this song 😭😭 Mungu anawaona......such a powerful song

  • @nekesaashley5247
    @nekesaashley5247 2 роки тому +6

    Glory to God this song gives me strength and courage to keep pushing coz of the things I go as a house maid always ask God to remember me and to bless me with ogood heart of treating others

  • @fetlisheshenry2510
    @fetlisheshenry2510 8 років тому +9

    hongera kaka uko vizuri naamini mungu atakubaliki utafanikiwa zaid ya hapo ulipofikia ameen

  • @dianacheptoo-ed3nz
    @dianacheptoo-ed3nz Рік тому

    Ipo siku nami ntakuja kubarikiwa Gods time is the best

  • @pascalonyango8156
    @pascalonyango8156 4 роки тому +31

    i was about to give up in life but through this song, i believe my day is coming

  • @Ravig25472
    @Ravig25472 8 місяців тому +5

    Mimi Leo tulikuwa na sister na mother ya boss wangu kwa supermarket wa kanunua nguo za pesa nyingi😮,,,,, lakini mm kuzunguka kwa mall Zima cjapata nguo ya pesa zangu Hadi bra 😢 so ii wimbo dyo imekuja kwa mind😔 ipo siku na ctatoka ivo kwa mall😢 namini Kuna Mungu🙏🙏🙏

  • @akinyiteckler3864
    @akinyiteckler3864 6 років тому +90

    Nina Imani sana..Ipo siku yangu nami nibarikiwe👏👏👏

  • @GraciasAsicha
    @GraciasAsicha Рік тому +3

    Nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka kumi na mbili na kwetu hatukua na chochote we were very poor 😢😢 so nikajua nakuru kufanya kazi za nyumba not knowing I was to be connected with my destiny connect nlirudi shule nikamaliza and I was a choir leader I use to sing this song allot 😢😢 saven years down the line I have a big testimony ❤ wallahi ipo siku doni give up

  • @loverbowy0088
    @loverbowy0088 Рік тому +7

    this song ussually give me hope in life espesially in tough times its my favourite song i love it❤❤❤❤❤