SIRI IMEFICHUKA, GOODLUCK GOSBERT KUCHOMA GARI ALIYOPEWA NA GEO DAVIE, wanakuingiza kwenye ushetani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 98

  • @MuyamaMarrion
    @MuyamaMarrion 10 днів тому +1

    Pastor God bless you continue and continue ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ love from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 I love you 💯 percent 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Younomane
    @Younomane 10 днів тому +7

    Safi kabisa tunawindana duniani naukijichanganya unariwa kichwa 🇿🇦🤝

  • @JacobKazoba-k1k
    @JacobKazoba-k1k 9 днів тому +2

    Great interview... Big up kwa IPM. Jamaa huwa hapepesi maneno. Nyeupe nyeupe, nyeusi nyeusi..

  • @ShalifaMton
    @ShalifaMton 10 днів тому +2

    Kaka umeongea point Leo nakupa mauwa yako kwadhati ❤🌹🌹🌹🌹🌹

  • @abdurazackimimu7743
    @abdurazackimimu7743 10 днів тому +6

    Huyu kaka anaongea point

  • @daudluswema-mx3ok
    @daudluswema-mx3ok 10 днів тому +7

    hapo ipm umenikosha sana ndugu wa karibu hawapendi mafanikio yako.

  • @GetrudaSilverster
    @GetrudaSilverster 4 дні тому

    I want to say that good luck he has done are good thing to put in the fire his own car l proud for him glory to God

  • @TwahayusufuMaziku
    @TwahayusufuMaziku 9 днів тому +2

    Nakukubali sana unamaneno na masomo mazuri sana ya maisha

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 10 днів тому +6

    Huyu jamaa kanyoa kipara amekua na akili anaongea point.

  • @isaacmligo9187
    @isaacmligo9187 9 днів тому +2

    Kama kweli ni mtumishi wa Mungu inatakiwa ufundishe watu kuwasaidia ndugu not otherwise labda kama humtumikii Mungu wa kweli. 1TIMOTHEO 5:8

  • @barnabasjames2293
    @barnabasjames2293 4 дні тому

    Upo vizurii mtumishii nimekuelewa sanaa

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 8 днів тому +2

    Kuchoma gari sio suluhisho coz kma anavyosema good luck nyota ishachukuliwa na anataka kuuwawa kishirikina then angemshtakia Mungu madhabahuni ampiganie na sio kutuonyesha kuchoma gari......hela nazo kazichoma pia ama karegesha alizopewa

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 3 дні тому +1

      Si ndio hapo police wangemkamata kabisa ni kosa kisheria kuchoma gari lalilichukua la nini

  • @Glory89Izengo
    @Glory89Izengo 10 днів тому +8

    Kwaiyo nae uyo jama apo na yeye nimchungaji apana ayupo serious na mungu yaani uvaaji wake alivyo kama mandonga2

    • @GideonKweka
      @GideonKweka 10 днів тому

      @@Glory89Izengo 😂😂😂 Yani wewe huna Iman mazoez ni muhimu Kwa afya ya binadam

    • @LilianEdwin993
      @LilianEdwin993 10 днів тому

      @@Glory89Izengo kwahiyo ulitaka ajae kama mrisho mpoto

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 10 днів тому

      @@LilianEdwin993 🤣🤣🤣🤣

    • @jackmabirangacharles9398
      @jackmabirangacharles9398 10 днів тому +2

      @@Glory89Izengo ndugu yangu Nani? Alikuambia vazi ndio Alama ya Mungu fuata anacho nena sio Matendo yake

    • @Joshuajereman
      @Joshuajereman 9 днів тому

      Shogatu unazani mungu anataka suti matako yako wanakunyandua

  • @IbrahimMohamed-yy2il
    @IbrahimMohamed-yy2il 8 днів тому

    Kaongea point sana inabidi kila Kijana asikilize hii interview, kaongea maisha halisi kabisa yanatuzunguka.

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 8 днів тому

    Mambo ya Mwenyezi Mungu yana usiri sana kwa wapotoshao, Mung u anaweza kukupambia ujinga wako au uhovyo wako ukaonekana kama mtu wa kweli, kumbe sivyo. Kuna viumbe hovyo wanao wazunguka wanadamu wajipe Utume ama U nabii. Hayo mambo ya po mengi chini ya JUA.

  • @GeofreyHelman
    @GeofreyHelman 8 днів тому +1

    Barikiwa

  • @JoaquimMashalangende-fw7xs
    @JoaquimMashalangende-fw7xs 10 днів тому +2

    Mm nakukubali sana

  • @immichaelwale5147
    @immichaelwale5147 10 днів тому +2

    Watumishi tujitahidi sana tunapotoa maoni yetu tujikite katika neno ili kuwafundisha watu bila ivyo watu wataendelea kubaki chini ya mapokeo tu .

    • @johnmayunga4445
      @johnmayunga4445 10 днів тому

      Nani alikwambia mapokeo ni mabaya?

    • @johnmayunga4445
      @johnmayunga4445 10 днів тому

      Maana hata namna ya kuishi na kuvaa ni mapokeo pia

  • @richardkajura2940
    @richardkajura2940 10 днів тому +27

    Goodluck atakuwa ameanza kulichoma katika ulimwengu wa roho na kuhitimisha zoezi katika ulimwengu wa mwili

    • @JuliethMshiu
      @JuliethMshiu 10 днів тому +3

      @@richardkajura2940 ndiyo hivyo, aliongozwa na Roho wa Mungu

    • @salvinahassan8778
      @salvinahassan8778 10 днів тому

      @@richardkajura2940 irizi huwa tunachoma Kwa moto live

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 10 днів тому

      Hakikaaaaaaaa Hakikaaaa​@@JuliethMshiu

    • @VictorBugobola
      @VictorBugobola 8 днів тому +1

      Acha kumpambaa😂 kjn et kaanza kulichoma rohon kjn kapotea huyu mtumishi nae n mnafiki tu

  • @MariamAbinala-m2k
    @MariamAbinala-m2k 10 днів тому +5

    Umenifurahisha sana😂😂😂😂

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 10 днів тому +8

    Huyu Mchungaji Mimi Namkubari sana pamoja Muslamu Mawaiza yake Mashekh wengu kawapita😂🙏

  • @NtindaFrance
    @NtindaFrance 10 днів тому +2

    Aise kweli that's real life we live in the community.

  • @alexandrucarmen3185
    @alexandrucarmen3185 10 днів тому +3

    Kwa sisi waislam ndugu kwanza kabla ya mtu baki na kusaidia wazazi ni jukumu sio ombi lazima kutunza wazazi wawili sawa kama unavyotunza mke

    • @AllyMrisho-t8i
      @AllyMrisho-t8i 10 днів тому

      @@alexandrucarmen3185 hayo ni maagizo ya dini sio maaisha halisi kwa wIsilam tumejaw unafikisana

  • @SamirBSam
    @SamirBSam 10 днів тому +1

    facts🎉

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 3 дні тому

    Ukimsaidia mtu msaidie lakini hawana shuklani sana sana ukijukwaa kidogo hao hao wanakucheka

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 10 днів тому +1

    Kwa mifumo ya dunia ni sawa lakini kiimani ni jambo la aibu mzazi aliyeuza ng'ombe zake akakusomesha leo unasema unamaisha yako. Asiye wapenda wa kwao ni mbaya kuliko asiyeamini. Ukiwa kiongozi wa kiroho maoni yako yalingane na mitazamo ya kiroho.

  • @HidayaIbrahim-b4h
    @HidayaIbrahim-b4h 9 днів тому +1

    Nikweli ndugu hawezi kukusaidia niwachache sana

  • @IbrahimMohamed-yy2il
    @IbrahimMohamed-yy2il 8 днів тому

    Wachokonozi washasema hela itoe vile ulivyoingiza, au kwa mtu/ kitu kinachoongeza au kuzalisha. Sasa kumpa mtu asiefanya hivyo ni kujirudisha nyuma wengine wanaenda kukurogea hiyo hiyo pesa. Bora kama mtu anahitaji kitu mnunulie sio kumpa pesa.

  • @keviolotu
    @keviolotu 9 днів тому +2

    HUU UKWELI UNAUMA

  • @kabungatv
    @kabungatv 9 днів тому

    Umezungumza ukweli usiyo pingika hata kama unawauma Waja. 👍👍👍👍

  • @giftgift-g4x
    @giftgift-g4x 2 дні тому

    Waefeso 6:-12 -13 hakuna Mungu kwenye mahamuzi ya mchoma gari

  • @issanassoro9175
    @issanassoro9175 9 днів тому +1

    Huyu mjomba ni mwerevu sana!!!!

  • @HalimaMayunga
    @HalimaMayunga 9 днів тому

    Kweli kabisa❤

  • @malyondanga4635
    @malyondanga4635 10 днів тому +3

    Kwahiloo umenikeraa kumbee wee chawa wa ccm

  • @obadiaedward1127
    @obadiaedward1127 9 днів тому +1

    KWELI ni mtu asiyekujua ndo anayeweza kukusaidia. Mimi hiyo naweza thibitisha

  • @GeofreyHelman
    @GeofreyHelman 8 днів тому

    Amen

  • @AkibaYaMsomi
    @AkibaYaMsomi 5 днів тому

    Hiyo tisheti hizo chata hapo mbele zinanitoa wasiwasi sana bro

  • @Hamylove_25
    @Hamylove_25 8 днів тому

    Niwape habari za chini chini au nyepesi nyepesi ya kwamba Konde Gang yataka kumsaini Msanii mpya anaeitwa Hamy Love anaetamba kwa wimbo wake wa Subira andika Subira by Hamy Love ukaone utamu wa huyo mwamba

  • @AdamJackson-y4w
    @AdamJackson-y4w 5 днів тому

    👏👏👏👏👊👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @aloycemwambwiga2318
    @aloycemwambwiga2318 10 днів тому +2

    Baba yangu kauli yake ilikuwa hivi, nakusomesha ili uje kujikomboa!

  • @AminaMukhandi
    @AminaMukhandi 10 днів тому +1

    Yaani kaka umeongea point hayo yote uliongea yamejaa kwenye jamii yaani lawama tupu..

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 10 днів тому +1

    Hilo k linamajokasana

  • @bhaiyaasaady8768
    @bhaiyaasaady8768 9 днів тому

    mmekosa la kufanya hivi jambo lipi linakuzwaa apaa. au mda kwenu si thamanii

  • @MariaEvance
    @MariaEvance 8 днів тому

    Hapo naww unadanganya makafara hayochomwi sio kweri huyo mpk anachoma hata maombi kafanya

  • @Annakileo-j8y
    @Annakileo-j8y 8 днів тому

    Kweli kaka yani unamafuzo nimependa

  • @jorgitolucasbaluth8903
    @jorgitolucasbaluth8903 10 днів тому +3

    kweli

  • @OthumanNdembo
    @OthumanNdembo 8 днів тому

    Jamani mbona kama mwamb ana sjda kwenye paji la uso hapo au hamjaona

  • @Isayahekima
    @Isayahekima 10 днів тому

    Prophet Ipm, nimeanza kuelewa ulichomaanisha, siku ulizosema Mtu hawezi kukununulia gari bila jambo fulani anataka kwako...Hadi ukizungumzia swala la kuibiwa nyota

  • @ChipokaRashidi-u5h
    @ChipokaRashidi-u5h 10 днів тому +1

    Sure ipm unachonena

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 9 днів тому

    Me binafsi nimekuelewa sanaaaaaaaaaa

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 10 днів тому

    Kwani wachawi hawaoni ukivua njiani, mm najua wachawi wanaweza fatilia mtu mpaka ulaya

    • @samwelmusa2812
      @samwelmusa2812 9 днів тому

      Pia mchawi anaanza kukufuatilia pindi anaokuwa na mashaka yaani akiona mabadiliko chanya

  • @kabungatv
    @kabungatv 9 днів тому

    Kabisa ndugu wengi wamekuwa miba kwa ndugu zao na ilihali wana uwezo tena wa ajabu kabisa

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 10 днів тому

    IPM anazungumza facts

  • @KelvinDaudi-n8d
    @KelvinDaudi-n8d 8 днів тому

    Kaa kmya kenge ww

  • @mansurirectification
    @mansurirectification 10 днів тому

    Umeongea fact kaka

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 10 днів тому +6

    Mchungaji kwa hili umesema kweli usitegemee kusaidiwa na ndugu

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile 8 днів тому

    MIMI NIPO.

  • @saidel-amr3226
    @saidel-amr3226 9 днів тому

    Eti Kila mmoja atakufa na mzigo wake

  • @LucyNgowi-r2o
    @LucyNgowi-r2o 10 днів тому +1

    Mimi namwelewaga huyu anaongeaga ukweli

  • @AureliaDidas-o8y
    @AureliaDidas-o8y 5 днів тому

    😅

  • @MariaEvance
    @MariaEvance 8 днів тому

    Hata huyo atakiwi kuchukua nchi subiri picha

  • @EdithaEditha-z3s
    @EdithaEditha-z3s 9 днів тому

    Kaua duh lakin ndo ukweli

  • @DaudJames-m1z
    @DaudJames-m1z 10 днів тому

    Ipm nakukubal sana

  • @carlosdigitals
    @carlosdigitals 9 днів тому

    wangapi hatujapata tulichokitafuta.

  • @esterryoba5753
    @esterryoba5753 10 днів тому

    Kabisa ndugu sio umejuaje

  • @Haarun-h4q
    @Haarun-h4q 9 днів тому

    Tanzania manabii wamekuwa wengi,kila mkoa mkuu wa mkoa mmoja anatosha inakuwaje kuwa na manabii wengi?Nigerians pesa wanangu ,wajinga ndio waliwao.

  • @puffbigiri2464
    @puffbigiri2464 9 днів тому +1

    Huu jama mwizi, wala siyo profet sema tu ana hakili nyingi nakipaji pia chakuongea sana
    Hujamaa sijawahi kumuona hata siku mmoja akihubiri sema tu waumini wake anawafundisha jinsi yakupata hela tu

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 8 днів тому

      Mwizi alikuibia Chupi Yako au mavuzi Yako alicho sema hapo kipi kibaya na anaelimishs watu kama wewe unaye mwitamwizi chuki tu imekuja wivu alicho ongea kinamana usimtegemee mtu

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 8 днів тому

      Mwizi alikuibia Chupi Yako au mavuzi Yako alicho sema hapo kipi kibaya na anaelimishs watu kama wewe unaye mwitamwizi chuki tu imekuja wivu alicho ongea kinamana usimtegemee mtu

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 8 днів тому

      Mwizi alikuibia Chupi Yako au mavuzi Yako alicho sema hapo kipi kibaya na anaelimishs watu kama wewe unaye mwitamwizi chuki tu imekuja wivu alicho ongea kinamana usimtegemee mtu

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 8 днів тому

      Mwizi alikuibia Chupi Yako au mavuzi Yako alicho sema hapo kipi kibaya na anaelimishs watu kama wewe unaye mwitamwizi chuki tu imekuja wivu alicho ongea kinamana usimtegemee mtu

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 8 днів тому

      Mwizi alikuibia Chupi Yako au mavuzi Yako alicho sema hapo kipi kibaya na anaelimishs watu kama wewe unaye mwitamwizi chuki tu imekuja wivu alicho ongea kinamana usimtegemee mtu

  • @EdithaEditha-z3s
    @EdithaEditha-z3s 9 днів тому

    Nimekuelewa vizur

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 8 днів тому

    😂😂

  • @carlosdigitals
    @carlosdigitals 9 днів тому

    😅😅😅