skiliza kisomo na Dua hii Kama umefanyiwa ubaya uchawi nuks au maradh ya kishaitwani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 733

  • @fatmamusa6236
    @fatmamusa6236 2 роки тому +11

    mashallah Mashallah Allah akubaaarik ustadhi kwa baraka Cha kisomo hiki Allah atuondolee kila aina ya mitihani na matatizo yaliyotusibu Aminiiii aamiiin

  • @user-ff4hn7vc5o
    @user-ff4hn7vc5o 10 місяців тому +11

    Inshallah mola wangu niondoshe maradhi yote niliyokuwa nayo yawe ya kitabu au tunguli..Unijalie afya njema amiin

    • @ShabaniKondo-wr1xh
      @ShabaniKondo-wr1xh 3 місяці тому

      Inshallah allahumma amiin marazi yangu yanaisha na matatizo yangu yanaisha na watu wangu wa karibu matatizo Yao yaishe

    • @ShabaniKondo-wr1xh
      @ShabaniKondo-wr1xh 3 місяці тому

      Amina Allah niondeshe matatizo yangu

    • @jitihadaonlinetv739
      @jitihadaonlinetv739  День тому

      @@user-ff4hn7vc5o amiin

  • @bintmwanyello2350
    @bintmwanyello2350 Рік тому +10

    Shukrn kwa Dua mwili wote unaishiw nguvu ya Rabbi matatz nliyonayo yaondoke kwa uwezo wako mola wang

    • @OmAn-cz8kt
      @OmAn-cz8kt Місяць тому

      Mwiliwote kama Kuna vitu vinajivu allaha naomba niponye allah maladhi yote yalabi

    • @OmAn-cz8kt
      @OmAn-cz8kt Місяць тому

      Naomba matatizo yatoke ishallah

  • @SayidatkhadijaIdikasim
    @SayidatkhadijaIdikasim День тому

    Mashaaalha alha atupe umri mrefu na wenye barka naneema ishaalhaa.❤

  • @user-ly5bn2cf5d
    @user-ly5bn2cf5d 6 місяців тому +4

    Allah kupitia duea hii naomba uniondoshe mm na uzawo wa tumbo langu maradhi ya kinjinni, hasadi, nuksi uchawi, maradhi na kila tatizo mungu wewe ndio unajua zaidi naomba uponyaji kujitia due hii

  • @riccotravelntours3817
    @riccotravelntours3817 29 днів тому +1

    Allah Akubar Allah Akubar. Ewe Mwenyezimungu kupitia dua hii naomba yaraby Nirudishie Nyota yangu iliyoibiwa...nimeanza kusikia hii dua leo tarehe 27/7/2024 nimepiga kelele sana huku nikilia na mwili kuishiwa Nguvu

  • @binthatv2794
    @binthatv2794 Рік тому +7

    Manshallah Allah azufungue liski Zako akupandishe darja akupe Amani hapa Dunia I na akupe Pepo yake akuondoleye huzuni shida musukosuko akuondoleye kijivo ftina n'a mutihani akupe afia njema Pia akupe Furaha akupandishe daraja nakupe liski pande 4zote zadunia alizoziumba Mwenyezi Mungu akukutanishe na wakubwa akuweke Mbali namadui akupe Mwisho Mwema Inshallah Allahu Akbar 🇧🇮❤️❤️❤️

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 7 місяців тому +2

    Niondolee maladhi mwili wangu niondolee mikosi na uchawi mwilini mwangu amina amina

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 6 місяців тому +4

    Mashaa allah❤❤ alhamdulillah kwa duwa nzuri 🤲bidhinillah inshaa allah kila kitu kitakuwa kher 🤲

  • @user-ku2ce1mt9r
    @user-ku2ce1mt9r 9 місяців тому +20

    Dua fupi mno lakini inatenda maajabu.❤❤❤.kitambo nianze kuifuatilia imenifungulia baraka na neema kutoka kwa mwenyezi mungu.kila lifanywalo kwangu na kusudio mbaya linangeuka kuwa baraka na hasara kwa mwenye roho nuksi. Mungu akubariki.akinijalia nitakupitia kutoa sadaka yangu.

    • @jitihadaonlinetv739
      @jitihadaonlinetv739  9 місяців тому +2

      Karibu

    • @ashashaban6484
      @ashashaban6484 6 місяців тому

      MASHALLAH MASHALLAH JADHAKA LLAH KHER

    • @AwadhiAbood-ix3rc
      @AwadhiAbood-ix3rc 6 місяців тому

      Mie mambo yangu ayaendi

    • @AmarBoy-zq5sm
      @AmarBoy-zq5sm 5 місяців тому

      Mashalh allha akuzidishiye ruhuma ulonazo kwa kipaji mola alokubarikiya nasikiya kutete mwli mumiza nahisi dawa alha akujaliye ilmu daima uwafikishiye kila muja alo pendwa na mungu malipo yako yapo kwa mungu ishallaha ❤❤❤

    • @SaideOmar-ny8tl
      @SaideOmar-ny8tl 3 місяці тому

      Amina

  • @KhadijaKizumba
    @KhadijaKizumba 4 місяці тому +3

    Amin Inshallah Allah nitibu maradhi yangu yote nijalie baraka n afy njem.Allah mponye mama yangu maradhi yake yote kwanzi muda huu kamponye mama niponye na Mimi n majini wote n wachawi wote n magonjwa yote 😭🙏

  • @user-tt8yg2tm4d
    @user-tt8yg2tm4d 6 днів тому

    Yaa Allah kwa barka ya dua Allah uniponye maradhi ya wasiwasi na unifungulie milango ya ndoa niweze kuolewa

  • @duasufiani2782
    @duasufiani2782 5 місяців тому +1

    Mashallah nakuomba mwenyezi mungu na kwa nguvu ya Dua ii unijaalie afya njema unifanyie wepesi katika maisha yangu nijaalie ridhiki niondolee wabaya wangu niwe na amani amin

  • @HalimaMrisho-gn1jv
    @HalimaMrisho-gn1jv 4 місяці тому +1

    Amina 🤲 kupitia dua hiii naomb uniondosheee matatizo yote yanayo Katika mwili wangu mm pamoja na familia yangu eweee mwezimungu kupitia dua hiii baba yangu spresha na kiskari ewe mwenyezingu kupitia dua Eweeee mwenye zimungu mponye mama angu kifua ambo kinamtesa kama ni husda zaabina damu Eweeee mwenyezimu kupitia dua hiiii naomba uniondolee nuksi niolewe AMINA 🤲

  • @user-lr6us4zy2t
    @user-lr6us4zy2t 8 днів тому

    Mashaallah Allah atufanyie wepesi kila jambo lilo.mbele yetu

  • @user-sp6kx1gp1p
    @user-sp6kx1gp1p Рік тому +5

    Amiin 🤲 kila tatizo lilipo mwili mwangu liniondoke Inshallah hasa wasi wasi nilio nao yaraabi niondoshe mm🤲

  • @NuuratAdinan
    @NuuratAdinan 9 днів тому

    Ishaanllah mwenyezi mungu atufanyie wepesi

  • @samirasaid9176
    @samirasaid9176 Рік тому +5

    Kupitia kisomo hiki Insha'Allah bi idhnillah nitapona Kwa uwezo wake ALLAH

  • @Maremaminie
    @Maremaminie 5 місяців тому +2

    Allah kwa dua hii naomba uniondolee matatizo yote niliyokuwa nayo kwenye maisha yangu

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu Місяць тому

    Maashaallah Allah namuomba aniondoshee kila mzito yaarabi

  • @samirasaid9176
    @samirasaid9176 Рік тому +7

    Insha'Allah ALLAH atuondoshee maradhi yote yanayotusumbua na atupe maisha marefu yenye furaha na amani

    • @allyjumaallyjuma
      @allyjumaallyjuma Рік тому

      Amin

    • @ashaamina
      @ashaamina 9 місяців тому +1

      Mashallah❤

    • @ashaamina
      @ashaamina 9 місяців тому

      Yarabi. Mwenyezi. Mungu. Atuodoshee. Marandi. Nawatoto. Nanyumba zetu

  • @mwanakuumsumbi-em1yl
    @mwanakuumsumbi-em1yl Рік тому +2

    Mungu akuondolee kilamazito akufanyie wepes ishalwaa kwasote ishalwaa

  • @user-jz1xk3dm3k
    @user-jz1xk3dm3k 5 місяців тому +1

    Allahamdullilah namshukuru mwenyez mungu ...shekh ni Leo tu 8/3/2024 nilikua nipo kazin me nsumbuliwa na vitu ktk mwili ilipelekea miez 7 sijaingia ktk hali ya kike Leo nipo ona nikafuta maelekezo nikatulia nika play kwakwe sijatoka kwenye kile kitako nimesikia hali ya kike immwagika nilifurah sana sana nilimshukuru Allah nikaturah sana mashallah mungu akulipe ...nimefurah sana na najikia vzr sitaacha kusikiliza Kila wakat nikiwa na udhu na ktk hali tulivu nafurah sana

  • @user-nl3xn1vt6z
    @user-nl3xn1vt6z Рік тому +2

    Mashallah,,, yarrab tufungulie na utuondolee hasad tulizonazo

  • @user-yl2ju4oc9c
    @user-yl2ju4oc9c 3 місяці тому +1

    Yarab Amin yarab Amin yarab Amin naomba mola ajalie niweze kupata mume nandoa

  • @SihabaNaheka
    @SihabaNaheka 27 днів тому

    Kupitia dua hii mwenyezimungu niondolee maradhi yaliyo mwilini mwangu na kilinde kiumbe kilicho tumboni kwangu nijifungue salama amin

  • @mohamedjuma1585
    @mohamedjuma1585 2 місяці тому

    Alhamdulilah sheikh Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu

  • @najmaally7556
    @najmaally7556 2 роки тому +3

    Aamiin thumma aamiin shukrani sana shekhe wetu Allah akulipe Kila lenye kheri

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 2 місяці тому

    Aaamin nimesikiliza hii dua naisikiliza hii dua mimi pamoja n dadangu INSHALLAH popote alipo Mungu amlinde n yyte aliyamfanyia ubaya naomba Mungu amuadhibu 🙏🙏🙏

  • @salmasliman9865
    @salmasliman9865 5 місяців тому +1

    Mashallha
    Allha azidi kuwabariki mashekhe wetu

  • @FatumaKundonji
    @FatumaKundonji 15 днів тому

    Nimesikiliza siku mbili moyo kulipukà mara kwa màra unapungua na maumivu ya kichwa na hata wasiwasi usiku wakati wa kulala Naona Allah kanifanyia wepesi Inshallah🙏🙏

  • @bintifikirini-wy3kc
    @bintifikirini-wy3kc Рік тому +3

    Walaykum msalam, eeeh mungu wangu nakuomba unilinde na husda uniepushe na wabaya nisio wajua, uniupushe na kila shari, unilinde popote pale, eeeh mola wangu naomba ulinde familia yangu.

  • @sharifatimwaibula5362
    @sharifatimwaibula5362 5 місяців тому +1

    Yaa Allah Kwa kisomo hiki naamini ntapona maradhi yoote yanayonisumbua ya shirki na niwe mwenye kupata rizki Kwa wingi za halali Amina🙏🙏

  • @FatmahMussa-px7lx
    @FatmahMussa-px7lx Місяць тому

    Mashallah allah akuzidishie

  • @Lulu-wt9dd
    @Lulu-wt9dd Місяць тому

    Amin kupigia Dua hii mwenyezi mungu walinde wazazi wangu na watoto wangu na wadogo zangu pamoja na Mimi mwenyewe ututoe malazi vijicho uchawi utulinde na watu wabaya ya rabby utufungulie liziki kupitia Dua hii kuanzia Leo malazi yote yameisha kwenguvu zake mwenyezi mungu yeye ndio Kila kitu kwetu Amina🤲

  • @user-vj3de7kn3e
    @user-vj3de7kn3e 26 днів тому

    Allah atuwekee wepesikatika matatizo yabmaradhiAamin

  • @EggyMiguel
    @EggyMiguel 15 днів тому

    Amin IshaAllah Alllah nifanyie wepesi kwa kila jambo kupitia dua hii ukanikinge na kila baya linaloniandama Amin

  • @MaimunaRamadhan-v2m
    @MaimunaRamadhan-v2m 21 день тому

    Amina namuomba mwenyezi mungu atulinde na mabaya tote ya kiilimwengu. Namuomba yarabi amponye mama angu maradhi yanayomsumbua. Na kupitia Dua hii namuomba amuweke baba angu pema peponi. Amina

  • @khalidsaid3325
    @khalidsaid3325 2 місяці тому

    mashallah mungu awabariki.awazidishie elmu 4:26

  • @hamidahamza3754
    @hamidahamza3754 Рік тому +3

    ALHAMDULILAH RRABIL ALLAMIN MASHAALLAH JAZAKAALLAHU KHEIR...

  • @zuhurazabiir3769
    @zuhurazabiir3769 5 місяців тому +1

    M mungu nitolee maradhi uchawi majini niliyofanyiwa kwa njia ya kitabu au ya matunguli M mungu nisaidie

  • @faizajuma1900
    @faizajuma1900 Рік тому

    Mashallah kisomo kizuri sana.mola atujaalie shifaa.amiim

  • @fatmamusa6236
    @fatmamusa6236 2 роки тому

    mashallah Mashallah Allah akubaaarik
    na Allah atujaalie na atupe shifaa Kwa baraka Cha kisomo hiki aamiiin

  • @MariamZuhura-k6g
    @MariamZuhura-k6g Місяць тому

    Amini thuma amin inshallah Allah atatoa njia zake

  • @KautharJoseph
    @KautharJoseph Місяць тому

    Kupitia Dua hii yarabi nakuomba ukapate kuondoa maradhi katika familia yangu umponye mume wangu utujalie ndoa yenye upendo.na unisimamishie riziki zangu yarabi.

  • @ZubedaMauridi
    @ZubedaMauridi 11 днів тому

    Namuomba mwenyezi mungu kupitia dua hii aniondolee mauzauza wasiwasi mwingi gazi ya mara kwa mara mikononi na hofu kwenye nafsi yangu anipe amani anilinde na kunikinga kwa kila ubaya

  • @bakarisaid2938
    @bakarisaid2938 20 днів тому

    Allah kupitia Dua hi naomba uniondolee Mimi na watoto wangu bibi yangu maradhi yakimajini,husuda,hasadi,machawi,sihiri ,bako ,mikosi ,kutoelewana na watu, maradhi na kila tatizo mungu wewe ndio unajua zaidi naomba uponyaji kupitia Dua hii amiin!

  • @OmAn-cz8kt
    @OmAn-cz8kt Місяць тому

    Allah nifanyie wepes maladhi haya uniponye allah

  • @HakikaMande
    @HakikaMande 4 місяці тому +1

    Amin inshaallah mwenyezimung aniondoshee mardh kw dua hii

  • @user-sb9nv7sd4o
    @user-sb9nv7sd4o 26 днів тому

    Mashaallah Mashaallah Allah atunusuru na kila mabaya tuombewayo na maadui zetu dua ii iwe Kinga kwangu na familia yngu yote kwa kila mabaya

  • @ZuberiSadi
    @ZuberiSadi Місяць тому +1

    Amin,Amin,shehe,Allah,akulipe,kilajema🙏

  • @rahmaomary388
    @rahmaomary388 2 місяці тому

    Mashallah mashallah tunashukuru sana dua

  • @OmAn-cz8kt
    @OmAn-cz8kt Місяць тому

    Allah nifungulie riziki Familia yangu yote ya allh mlipe shehe wetu kwa dua hili alilo tuombea inshallah umjalie afya njema ya hapa duniani na kesho ahera

  • @user-bh1fx3wm9s
    @user-bh1fx3wm9s Місяць тому

    Mansha Allah yarab ampe umri mref shehe wetu shukran eeeh mola Wang kupitia kisomo hki niondoshee kila ubaya ulioko mwilin mwang yarrab

  • @HamisoShafi
    @HamisoShafi Місяць тому

    Mimi naomba kwa uwezo wa Allah hii duwa iwe ukombozi wangu maana nasumbuliwa na ndoto mbaya mpaka nimechukiwa hatuwa ya kuhama nyumba yangu

  • @ahmdyykhamiss
    @ahmdyykhamiss Рік тому

    Mashallwah, Allwah akubariki akulipe mema na akulinde na Shari zote

  • @user-mq8en2bo3e
    @user-mq8en2bo3e 7 місяців тому

    Mash Allah Kila zito mungu atufanyie lepesi

  • @amonaamona3816
    @amonaamona3816 Рік тому

    Mashaallah nshukru kwa kisomo mungu atuzidishie kheir sote

  • @user-ri9su4ty3o
    @user-ri9su4ty3o 25 днів тому

    shukran Allah akujalie zaid na zaid inshallah

  • @Saidmasaud-vo3ld
    @Saidmasaud-vo3ld 2 місяці тому

    Kwakupitia dua hii namuomba mungu mkewangu atokwe pepo lilo mkumba aludi nyumban

  • @user-jr8ju4jt2r
    @user-jr8ju4jt2r Рік тому +1

    Mashaallah mashaallah, ustadh Mwenyezi Mungu akujazie Kila la kheri inshaallah na azidi kuwa pamoja nasi na atupe na nyingi subra atupe razki zetu za halali inshaallah. Comment kutoka Kwa Fatma Muhammed shukra jazaka llakheri

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 2 роки тому +5

    waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah sheikh wetu kwa Dua hii.❤❤❤

  • @user-sk7ir2nv1z
    @user-sk7ir2nv1z 5 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu kupitia dua hii naomba nipate ada ya watoto eangu ya shule na madrasa na pia nakuomba riziki yarab

  • @khadoojjabal
    @khadoojjabal 7 місяців тому +1

    Allahumma amiiin. Jazakallah kheir

  • @SalmaIbrahim-ns6wy
    @SalmaIbrahim-ns6wy 6 днів тому

    Amini yarambi 🤲 ❤️ ❤️ ❤️

  • @zushymohaa
    @zushymohaa Рік тому +1

    Mashallah mwenyez mungu hakueke huzidi kutuombea 🤲

  • @user-kx9tw7rl8k
    @user-kx9tw7rl8k 3 місяці тому

    mashaAllha Allah akulipe hery

  • @AishahTyler
    @AishahTyler Місяць тому

    Mashallah TabarakaAllah shukran sana 🙏🙏

  • @user-yz4hy8ov9c
    @user-yz4hy8ov9c 8 місяців тому +1

    Mashallah in shaAllah mungu anipe shufaa kupitia kisomo iki

  • @SabrnasadSabrinasad-if1ul
    @SabrnasadSabrinasad-if1ul 7 місяців тому

    Mashallah ew mwenywenz mungu naomba unifungulie mlango waher kwa kila jambo ninalolfanya na uwafungueri kila mtu ee allah nomba umjarie kila laher Mja wako ee allah na uwajarie wazazi wet afya njema na uri mrefu ❤❤amen🙏

  • @bintshariffmuhammad620
    @bintshariffmuhammad620 Рік тому +2

    MashaAllah naskiliza dua`a naskia kusisimka InshaAlla iwe qabul kwa matatizo nilo nao

  • @maryamally3085
    @maryamally3085 2 роки тому +2

    Mashallah shukran Jazzakallah kheir kwa dua njema Allah SWT akujaalie maisha marefu na Afya njema na akulinde na kila shari ❤❤❤❤

  • @ZawiaRamadan
    @ZawiaRamadan 2 місяці тому

    Ya allah nakuomb yarabbi uniondolee matatizo yote yanayoniandam kupitia dua hhi eee mwenyez mung ilinde ndoa yang iliyoko matatan katik kipind hiki amina

  • @husseinkombomwachikobe8828
    @husseinkombomwachikobe8828 4 місяці тому

    Mashalla..allha..akupe.umri.mrefu

  • @MaimunaSaleh-rx5pp
    @MaimunaSaleh-rx5pp 2 місяці тому

    Amin inshallah Allah niondoree nuksi mikosi usuda na hassadi nijarie neema na baraka katika maisha yangu nakizazi changu amini

  • @user-lj1kb5dc6e
    @user-lj1kb5dc6e 2 місяці тому

    Mashaallah jazakallah kheir

  • @MwatimeOmar-ec6ws
    @MwatimeOmar-ec6ws Рік тому +2

    Mashallah mungu awajaalie nyote

  • @AsiaMgonda-qh4nm
    @AsiaMgonda-qh4nm 23 дні тому

    mashaallah mw/mungu awaongoze inshaallah🙏🙏🙏

  • @AbrahamManzi-db4gx
    @AbrahamManzi-db4gx 5 місяців тому

    Awww ya Cheikh Mimi ninasmbuliwa na ufukara na kusokudumu na ndowa za kula wakati

  • @ramadhanichanzi9268
    @ramadhanichanzi9268 7 місяців тому

    lnshallah mola wanngu niondoshee maradhi you're niliyokuwa nayo yawe ya kitabu au tunguli unijaalie afy njema aminii

  • @AsmaChingala
    @AsmaChingala 4 місяці тому

    Allahumma Amiin🙏🤲🤲🤲 ya Allah nifanyie wepesi kupitia dua hii inshaallah uniondolee shari zote na uzifunge njia zote za giza zinazokwamishwa rizk yangu! Na unifanye niwe miongoni mwa waja wako wema!!

  • @user-zi9dl9iw3y
    @user-zi9dl9iw3y 7 місяців тому +1

    Amin yarabi uniondolee balaa zote pamoja na hasd inshaa Allah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @user-jp4kt2vu5c
    @user-jp4kt2vu5c 6 місяців тому

    Amiiiiii 🙏🙏🙏 manshallah mwenyezi mungu aniondoshee maradhi niliyonayo na ndoto mby na uadui nilionao

  • @user-mc4oy4io2n
    @user-mc4oy4io2n 4 місяці тому

    Yafaa Allah nakuomba uniondoshe mm na family yangu naradhi na hasadi zote amiiiiin

  • @pilikipengele963
    @pilikipengele963 Рік тому +2

    Mashallah Allah akupe maisha marefu

  • @user-zo6bm8pr4i
    @user-zo6bm8pr4i 11 місяців тому

    Yarabb insha'Allah 🤲🤲 mungu atujalie n matatizo hatuondoshee insha'Allah 🤲🤲🤲🤲

  • @tausiabdallah6402
    @tausiabdallah6402 2 місяці тому

    Amiyn shukran kwako Allah akujaalie kheri isha allah

  • @shelibabu7394
    @shelibabu7394 2 роки тому +2

    Mashalla nikisikiliza Dua hii mwili wangu unatetemeka naishiwa nguvu

  • @user-gy6to8rh3f
    @user-gy6to8rh3f 5 місяців тому

    Alhamdulilahhhh rabra alamina Amina rabra alamina yarabi takabali dua yarabi nilinde mimi ndoa yangu uzazi wang niondolee hasad na balaa nijalie mwisho mwema Amina

  • @MuhoracyeyeFatma-mc3dy
    @MuhoracyeyeFatma-mc3dy 10 місяців тому +1

    Ammina Yaa Allah niondoleye magonjwa yako katika mwiri wangu

  • @user-my5fu9nk7w
    @user-my5fu9nk7w 14 днів тому

    MAASHALLAH. M.MUNGU AZIDI KUKUONGOZA

  • @user-dj2wk2hu7i
    @user-dj2wk2hu7i 7 місяців тому +1

    Allah kupitia dua hii nijaalie nipone mgongo wangu inshallah 🙏

  • @SabrinaAdnani-bq5no
    @SabrinaAdnani-bq5no Місяць тому

    Mashallah dua nzuri sana nimeisikiliza siku mbili tu imeanza kupata matokeo mungu nizidi kuniondolea maradhi haya inshaallah 🙏

  • @jimmyburundi-ry4ki
    @jimmyburundi-ry4ki 21 день тому +1

    Asant Sheh nilisikiliza bada muili uliyumba yum

  • @nyamizihamisi6236
    @nyamizihamisi6236 8 місяців тому

    Alhahuma Amiin mwili unasisimkq allah atuondolee maradhi

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu Місяць тому

    Amina yaa Allah taqabal duaaa

  • @user-iq1tu8sp9e
    @user-iq1tu8sp9e 2 місяці тому

    kwakupitia dua hii mungu niondolee vifungoo vyote walivyo nifungaa wachawii na uitunze vyema familia angu yotee

  • @FatuSaidijuma-yg4rk
    @FatuSaidijuma-yg4rk 5 місяців тому

    YAALLAH naomba uniondoshee mitihan uniondoshee kizungu zungu na mwili kunilegea yaarabby unijaalie Afya njema yny kher na mm .

  • @EggyMiguel
    @EggyMiguel 13 днів тому

    Amin isha Allah

  • @Divathebawse
    @Divathebawse 6 місяців тому

    Ya Allah niondolee kila baya liwe la kukusudia kukusudiwa na watenda Mabaya kwa kitabu au kwa Matunguli Yao Mwenyezi Mungu wewe ni Mkuu Kushinda yote unaona na kushuhudia Yote Ya Allah iwarudie iwe ni mmoja au kikundu kila kusudio baya lao la shirki na ubaya liwarudie Amin