Shuklan sana kaka Allah atakulipa kwadua dhinatusaidia sana tulokuwa mbali na nyumbani tena nakuombea Allah akuweke kaka mim nikiludi salam kwa uwezo wa Allah nitakuja uko mlandizi kwan ndo kwetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ishaaala shehe asante sana kwa dua kwakweli kama mm niko kwenye majaribu sana shehe niko sauziafirika kunamitihani mngisana ndugu yangu sasa ninapo sikiliza hizi dua huwa zina nitia nguvu sana enderea kutusaidia mungu atatufanyia wepesi ishaalaa
As salaam alaikum warahmatullah wabarakatuh,,,Sheikh DR HUD,,,nimefurahiya kuskuza kisomo,,,naiskiza nikiwa Kenya,,,Allah atufanyie wepesi katika maasala ambazo zinatusumbuwa maishani,,, shukraan sana,,
Hongera yako Dr. hud hud Kwa kutujali na kujitolea kutuombea dua, upande wangu binafsi ni km zawadi unanipa, nakuombea Allah akupe nguvu zaidi na Afya njema uzidi kutupa daawa maanaa ni wingi Wana matatizo haya
Asalam alaikum wallah matunllah wabarakatuh ustadhi shukrani sana Allah akulipe Kila lenye kheri unatusaidia sana tupo wakati mgumu ila kupitia dua zako tunapata mwangaza Nina tatizo la kukosa usingizi na mengine kibao ila baada yakusikiliza hii dua gafra mwili wangu ulikua ukisisimka sana na gafra nikaanza kuchoka kuhisi usingizi hatimae nikalala usingizi mzuri na wenye utulivu na kujisikia wepesi katika mwili wangu shukrani sana
Asaram Araikum warahmatu Allah wabarakatu mashallah shukran sana sheikh mungu azidi kukupa Afy njema mpendwa iri uzidi kutusaidia zaidi akika dua na unavosoma vinavutia sana wallahi Ameen 😍😍😍😍
Mash Allah,jazakalla kheir sheikh,wallahi hzi dua na visomo vinafanya kazi kubwa sana mash Allah,mimi huwa nawafatila sana na Alhamdulilah nliona nguvu ya dua na visomo hivi Alhamdulilah.
Assalamu Alakum mashallah Allah akujaze heri insha'Allah Nasi kwaniaba ya kisomo hiki iwe niheri Allah athakabalie tupate unafuu kwamithihani tulonayo in sha Allah
Shekh Mimi nimependa dua zako, mimi ningeomba kila unapo soma Dua nami niweze kushiriki, kiukweli Mimi ninaota ndoto za ajabu , ambazo zinanikosesha amani kabia ninaweza vitu vibaya muda mwing, nimejawa na hofu Sana, kiukweli nimeshindwa kuondokewa hofu hiyo, nahitaji msaada wako wa dua , naamini mungu muweza wa yote yupo na atanisaidia.
Asalam aleykum shekh naomba dua ya kuniponesha macho ,kuuma,kuwasha,kuwakamoto miba kugeuka red naomba ,na imani kwa uwezo wa. Allah nitafanikiwa Amiin
Mashallah shukrani shekh
Mungu.akujaze.kila.lakher.duniani.na.akhera
Mashalwaah ubarikiwe
Masaha Allah
Mashaallah mungu akubark
Mashaallah mashaallah allah atakulipa
nashukuru Sana mwalimu
Mashaallah mwenyez mungu akubarik akupe Kila lenye kheri
Mashaallah Alhamdulillah
Mashaallah fua nzr sn
Dr. Usiache kutuombea tunajisikia vizuri sana
Mashaalla
Mashaallh
Yarab nijalie wepesi kupitia kisomo ichi Yarab alamini
Yaa Allah jaalie dua` iwe qabul mimi niko na yaqin yata tatuka matatizo yangu siku mbili hizi Allah akujazi kheir dr Hud Hud
Naomba uztume hizo aya unazo soma kama nikiweza nijisomee mwenyewe
mungu akupe nguvu utusaidie mimi inanisaendia sana
SHUKRANI Shekh naendelea kuona ufunguzi Alhamdulillah
Jazakalahu heyri mola skuzidishiye na atupe wepesi inshaalu shukran
Shuklan sana kaka Allah atakulipa kwadua dhinatusaidia sana tulokuwa mbali na nyumbani tena nakuombea Allah akuweke kaka mim nikiludi salam kwa uwezo wa Allah nitakuja uko mlandizi kwan ndo kwetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asalaam aleykhum alhamdulillah kuna mambo yanayoanza k ufunguka taratibu Alhamdulilah
mashallah kwauwezo wa mungu nitapona inshallah
SHUKRANI sana Shekh naona nuru kiasi alhamdulillah
Nimependa sana mungu akufanyie wepesi Insshallah
Jazakhalakheir nitakupigia kesho niko belguim inshallah kesho nitakupigia namuhimusana
Asante sana Kwa kisomo nikiwa Saudi Leo nilikua hali mbali lkn kupitia kisomo hiki inshallah Allah amenisaidia
Alhamdulilah mola akujaze laheri mola atupe wepesi kwakila mtihani inaa lahaa maanaa
Ishaaala shehe asante sana kwa dua kwakweli kama mm niko kwenye majaribu sana shehe niko sauziafirika kunamitihani mngisana ndugu yangu sasa ninapo sikiliza hizi dua huwa zina nitia nguvu sana enderea kutusaidia mungu atatufanyia wepesi ishaalaa
Waaleikum salam warahmatullahi wabarakaatu,shukran sana ustadh kwa dua Allah akulipe kila la kheri🤲🤲
Masha Allah mungu akubariki Sana kwa Kaz yako nilikua nikiota ndoto zaajabu lkn tangu nifatilie visomo. Vyako sioti Tena alihamdulilahi
Shukrani sana Dr.Allah akulipe mema InshaAllah
Tabarak Rahman mungu akulinde
SHUKRANI sana Shekh tunaendelea kusikiliza wallah kuna mabadiliko kiasi alhamdulillah
Shekh shukrani sana naendelea kusikiliza wallahi taratibu naona mambo yanaelekea InshaAllah
As salaam alaikum warahmatullah wabarakatuh,,,Sheikh DR HUD,,,nimefurahiya kuskuza kisomo,,,naiskiza nikiwa Kenya,,,Allah atufanyie wepesi katika maasala ambazo zinatusumbuwa maishani,,, shukraan sana,,
Hongera yako Dr. hud hud Kwa kutujali na kujitolea kutuombea dua, upande wangu binafsi ni km zawadi unanipa, nakuombea Allah akupe nguvu zaidi na Afya njema uzidi kutupa daawa maanaa ni wingi Wana matatizo haya
Shukuran.jazakallah.kher
Asalam alaikum wallah matunllah wabarakatuh ustadhi shukrani sana Allah akulipe Kila lenye kheri unatusaidia sana tupo wakati mgumu ila kupitia dua zako tunapata mwangaza Nina tatizo la kukosa usingizi na mengine kibao ila baada yakusikiliza hii dua gafra mwili wangu ulikua ukisisimka sana na gafra nikaanza kuchoka kuhisi usingizi hatimae nikalala usingizi mzuri na wenye utulivu na kujisikia wepesi katika mwili wangu shukrani sana
Asaram Araikum warahmatu Allah wabarakatu mashallah shukran sana sheikh mungu azidi kukupa Afy njema mpendwa iri uzidi kutusaidia zaidi akika dua na unavosoma vinavutia sana wallahi Ameen 😍😍😍😍
Amiin ya rabii, 🤲🤲🤲,mashallah ustadhi ,jazaka allahu fiikun,amiin,Allah atufanyie wepesi Kwa Kila jambo,🤲🤲🤲
Allah atuondeshee mitihan na maradhi tuliyo nayo Amiin Amiin YARAB ALLAMIIN
Inshallah Allah atupe wepesi kwenye uzito
Mungu akupe Barak
Mashaallah tabarak Rahman yaarab taqabal minna waminkum
ALLAH Atuondoshe mitihani INSHA ALLAH
Ameen yaraab alamiin.
Mungu akujalie kila laheri 🙏🙏🙏
Mungu hakuifadhi
Mashaallah nashukru Kwa kisomo na dua mungu awazidishie ilimu na umri mrefu amiin
Aslm alkm ustadh, mashaAllah, mwenyezi Mungu atufanyie wepesii insha'Allah,
Nzuri sana Namwomba Allah Nipone na mauchawi wananitupia
Asalam alekum shekhi HUD HUD mwenyyye khri na kherat mungu akuzidishie nguvu zaidi. Ameen
Maaa shaaa Allah Allah akuweke sheikh wetu
Barakallahu fiika ya docter kisomo chenye manufa kwa umma ALLAH akuzishie ilmu
Allahummamiin
Ma shaa Allah Allah tabaraka Allah atufanyie wepesi
Asalam aleykum kweli Alhamdulilah tunamshukuru mungu kwa wema wenu Allah atawalipa zinatusaidia sana hizi dua
Mashaallah Allah hafidh
Mashaallah mashaallah mashaallah
SHUKRANI sana Shekh naendelea vizuri kiasi naamini nitafunguka kabisa InshaAllah
Mashàa allah karibuni
Sheikh kama sijui kuisoma nifanyaje?
Mungu atuondoshe matatizo tuliy nayo inshaallah
Asalam alykum ishaalah shukran jazilah na Allah atulinde na akuepushie kila shari amiin ishaalah
Mash Allah,jazakalla kheir sheikh,wallahi hzi dua na visomo vinafanya kazi kubwa sana mash Allah,mimi huwa nawafatila sana na Alhamdulilah nliona nguvu ya dua na visomo hivi Alhamdulilah.
Naomba dua ya kuniponesha macho,kuuma,miba,kuwasha na kuwakamoto
Mashallah Allah akuzidshie kheri
Manshallah ustadh hakika ninamtian hivo nazifatilia duaa mungu aweze kinifanyia wepesi katika mtian huu
SHUKRANI sana Shekh Allah akulipe mema InshaAlĺah
Mashallah Allah awafanyie wepesi zaidi na kuondosha matatizo yenu
Aminaa rabbialamina
Mashaallah mungu akufanyie wepesi inshaallah
SHUKRANI sana Shekh wangu mambo yanafunguka Inshaallah nina imani yatakaansawa
Assalamu Alakum mashallah Allah akujaze heri insha'Allah Nasi kwaniaba ya kisomo hiki iwe niheri Allah athakabalie tupate unafuu kwamithihani tulonayo in sha Allah
Mashallah
Mashallah
Masha allah
Shukuran.jazaka.llah
Maashallah nitakuja huko kibaha
SHUKRANI sana Shk Allah akulknile.mema InshaAlĺah
Shekh Mimi nimependa dua zako, mimi ningeomba kila unapo soma Dua nami niweze kushiriki, kiukweli Mimi ninaota ndoto za ajabu , ambazo zinanikosesha amani kabia ninaweza vitu vibaya muda mwing, nimejawa na hofu Sana, kiukweli nimeshindwa kuondokewa hofu hiyo, nahitaji msaada wako wa dua , naamini mungu muweza wa yote yupo na atanisaidia.
Asaalam alykum waramatulah wabarakatul . Masha Allah tabaraka Allah. shukran jazaakaAllah kheir sheikh wetu kwa Elimu hii na Dua .
SHUKRANI sana Shekh Allah akulipe mema Inshaallah
Maasha allah jazzakallah kheyraa shekhe hudhud
Mashallah sheikh wangu zidisha dua
Aaleikum Sheikh Hud Hud inshallah Dua ya mafundu kuyafungua ya riziki na ubaya kufanyiwa naomba Dua hiyo.shukran
Asalam aleykum. Ndio nime anza kusikiliza dua. Ntakuja Na mregesho insha Allah. Shukran sana kwa Wema wako Na muda wako
Ya Allah kupitia kisomo hiki naomba niondoshe matatizo niliyokuwanayo
Mashallah Allah akuzidishie
Mashaa Allah Allah barik
Asalam aleykum shekh naomba dua ya kuniponesha macho ,kuuma,kuwasha,kuwakamoto miba kugeuka red naomba ,na imani kwa uwezo wa. Allah nitafanikiwa Amiin
Marshaallah Dr. Allah akulipe.mema
Nasikia moyo unaenda mbio Sana Dr.
Dr hud hud mama anasumbuliwa na mapepo naomba umsomee dua ya uponyaji. Orofina mahenge
Asante sana shehe mungu akuzidishie elim zaidi yahapo na nanamuomba mungu anijalie nipate mme kupitia Dua hii
Mashaallah
shehe nashukulu sana dua imeni saidi sana
Inshaallah
MAA SHAA ALLAH. Dua nzuri hadi nasinzia na mwili wote nyongonyongo
Asalam alykum warahamatullah wabarakatu tunakupenda kwa ajili ya Allah
Mashaallah Dr HUD HUD inshallah mungu atakabali dua inshallah tupate ufumbuzi
Shukran jazakalahu masha lahaa tabaraka laahu
Shukran Dr HUD HUD
Marshaalah
Jazaka
In shaa Allah Biidhinillah
Hizi dua nikisikilizs raha animator sikia Mungu ndio anajuwa
SHUKRANI sana Shekh naona kuna uelekeo mzuri kiasi naendelea kuwa na subra naamin Allah atanifungulia InshaAlĺah
Shekh nashukuru sana naona mambo yangu yanaendelea kufunguka naamini nitakaa sawa InshaAlĺahnitaniona Mlandizi soon.
SHUKRANI
shehee na sumbuliwa na ngazi
mashallah