Maashaallah.,.....Allahu Akbar,Hakika wewe Sheikh Mazinge ni hazina kubwa sana kutoka kwa Allah S.W.T...........Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu wenye manufaa wewe Pamoja na sisi,akukinge na maadui na akujaalie mwisho mwema.
Allah atujaalie na Imani kama sheikh wetu maashaallah 🙏.ukiwa na Imani raha sana huna waswas Huku duniani na akhera salama tupu.Allah akupe afya njema umri umrefu naakuhfadhi daima inshallah.
Waislamu jifundisheni kuyaheshimu dini zingine. 🇰🇪 Hiyo tanzania yenu haiwezekani wote wawe waislamu. Freedom of worship iko kwa katiba. Kama uko sawa na wengine pia wanajiona wao wako sawa.
Biashara ya Allah tayari ameshasema tuifanye tuuminiina billahi warasuulihi watujaahiduna fiisabiilillahi bi amwaalikum waanfusikum dhaalikum khairullakum inkuntum taghlamuun. Ukijihis unaela yako huweZ toa Baki nayo usijaj kutoa niimani nimoyo Wacha kujaj, siku ukifika kwa Allah ndo utajua hujui
Tunajivunia mazinge San mazinge wetu .wakristo hmn sababu ya kumpinga mazinge yy ni genius msem kweli😮
Maashaallah.,.....Allahu Akbar,Hakika wewe Sheikh Mazinge ni hazina kubwa sana kutoka kwa Allah S.W.T...........Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu wenye manufaa wewe Pamoja na sisi,akukinge na maadui na akujaalie mwisho mwema.
Ameen
I love you all Muslim in the world 🌎
Allah Kareem akupe maisha marefu yenye barka tele na mwisho mwema Inshaa Allah
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Allah akulipe shekh mazinge kher yako kwa mungu
Ayyadakallahu . binasrihi ustadh mazinge amin
Allah atujaalie na Imani kama sheikh wetu maashaallah 🙏.ukiwa na Imani raha sana huna waswas Huku duniani na akhera salama tupu.Allah akupe afya njema umri umrefu naakuhfadhi daima inshallah.
Allah akupe firdaus ostadh mazingé inshaallah . Waislam tunakupenda San
😂kanichekesha eti kina mama leteni michango nikuombeeni dua waume zenu wasiongeze wake, watakuja saivi maana hii ndio wanapenda wao
Allah akuongoze 🙏🙏🙏
Ustadhi Mazinge Allah amjalie Jannatul Firdaus!
Kweli hakuna mchungaji yeyote atamuweza mazinge Mashallah Allah akupe umri mrefu aendelee nadawa
Mashaallah Allah akupe umri mrefu shekhe mazinge🤲🤲🤲
Waislamu jifundisheni kuyaheshimu dini zingine. 🇰🇪 Hiyo tanzania yenu haiwezekani wote wawe waislamu. Freedom of worship iko kwa katiba. Kama uko sawa na wengine pia wanajiona wao wako sawa.
Asw nafurai sana na cheikh WANGU mazing nakupenda sana Allah akuzidishiye elimu
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Kushindana kwetu sisi wakristo si kwa damu na nyama bali ni kwa roho tuuuu wakristo simameni imara maana kweli ipo kwa Yesu
Kwa kweli kabisa shekh mazinge anastahili dua kweli maana kazi anayo fanya sio kidogo
Uyo mazige mnaemsifia Moto unamsubili kwasababu hatakikukubali yesu ni mungu
Ww nd moto wakungoja hutki kuamin mungu n mmoja n yesu n mtume wa Allah
Utalipwa na Allah Baba yangu nakupenda Sana sana
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Mola akulipe inshallah natamani ufike kwetu bukoba kanyigo kashenye maana walokole duh hatari,Ila uwezo Sina wakuwaleta
Maashallah
Wew kawandaganye waisamu
Sisi waislam tupo hapa tunadanganywa ww mkristo hapa umefata nin
Ndacha alimyoosha akakaa kimyaaa
Ni majivuno tu lkn hamna kitu,,nilimwona akinyoroshwa na Ndacha lkn Bado yuajigamba tu
Nice
Mashaallah
mashallah
Mashallah
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
MashaAllah pasta kasilimishwa Ataka kuitwa Bismillahi😂😂
Naomba namba ya sheikh mazinge please
Naomba namba ya mazinge ni muhimu sana
Mtupe namba
😁😁😁😀😀😀😁😁mu dunia muko ba aventurier mingi vraiment
Weye ndiye aventurier. Anaomba hazarani juu ya kucangia balipe mahitaji yao. Haiko kama weye pasteur utakuya na papayi aseme yesu alikuliteya ayo mu ndoto aseme bauze azo batapona mashetani. Toka mubu aventurier ukuwe musilma.
Tumuogopeni Allah tusifanye biashara kwenye dini
Biashara gani unamaanisha pengine
Biashara ya Allah tayari ameshasema tuifanye tuuminiina billahi warasuulihi watujaahiduna fiisabiilillahi bi amwaalikum waanfusikum dhaalikum khairullakum inkuntum taghlamuun. Ukijihis unaela yako huweZ toa Baki nayo usijaj kutoa niimani nimoyo Wacha kujaj, siku ukifika kwa Allah ndo utajua hujui
Hawa sheikh wetu wanaenda maeneo tfauti kulingania dini wanahtaj usafr chakula n.k so ulichotangliza kwa Ajili ya Allaah Subhaanahuu wataala utakikuta
Mazinge na Madonga mtu kazi ni washindani wasiokubali kushindwa baada ya kushindwa..
😂😂😂
Hajawah kushindwa huyu kaka
ACHA upuuzi
Huyu Mazinga hajui lolote kazi ni kuwadanganya hao wenzake hapo msikitini
INTANSURULLAHA YANSURKUM. ALLAH YAHDIYY.
KIBURI CHA UZIMA
Na ww kiburi ya ukafiri unacho
@@wardamunguakuzidishew9399 KAFIRI MTIME WAKO
@@josephwilliam5813 Umeona mungu alivokuwa ataki mtukane mtume wake adi umekosea pole yako ww kafiri
Asww mimi nimejikuta mwislam kwasababu Yakukukuskiliza Kuja tujupe uraia Burundi wabTz hawakupendi Sisi tunaitaji dawa sana Allah akupe umri mulefu
@@therencefahadi3296 Mimi nilijikuta mkristo Kwa maneno ya awa watu natamani waendeleze uongo wao Ili wengi wajue kweli ilipo
Masha Allah
Mashallah
Mashallah