Sheikh mazinge nakukubali sana sheikh wangu inshaallah Allah atakulipa ujira wako na usiwache makafiri hao na ukweli wanaujua wanabakia kupotosha wenziwao tu huko kanisani kwao
Pole Sana Mazinge Hawezi Okowa Roho Yako Wala Mhamadi Wata Baki Maiti To😢 Waki Subiria Hukum😢 So Mlilie MUNGU Wa Kweli Wa Haki Alie Hai Milele Daima Wala Siyo Maiti❤❤❤.
siku yA ijumaa ni sku ya mapumziko yani hao wajamaa nivgumu kuelewa wana kere sana mazinge Allah akpe maisha marefu uzidi kuwaelimisha hao viumbe wasiende motoni jathkallah kheri
Nimepitia comments za waislama hapo chini ukiwa mchanga wa Imani unaweza kuvutwa nao lakini kwa kwa Mimi nimezaliwa ktk dini ya ki Islam nimekulia nimesoma dini ya Ki Islam nawajua A to Z sijawashangaa uwa natamani sana kushiriki midaharo kama hii ila bahati Mbaya nakutana nayo mtandaoni tu. But ikiwa nimakusudi ya Mungu Naomba siku moja nikutane na huyu Mazinge
Waislama munajitahidi kuyapindisha maandiko Kama Mungu aliye muita Musa ni mmoja kama munavyo dai nyinyi je Hawa kina Mungu nikinani wanao ongea katika Surat mariam ? Yaani nimetamani ningekuwepo hapo kwenye mdaharo huu. 19:49 - Basi alipo jitenga nao na yale waliyo kuwa wakiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, tulimpa Is-haq na Yaaqub, na kila mmoja tukamfanya Nabii.  19:50 - Na tukawapa rehema zetu na tukawajaalia kupewa sifa za kweli tukufu.  19:51 - Na mtaje Musa katika Kitabu. Hakika yeye alikuwa ni mwenye kuchaguliwa, na alikuwa Mtume, Nabii.  19:52 - Na tulimwita upande wa kulia wa mlima na tukamsogeza kunong'ona naye. 19:53 - Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye, Harun, awe Nabii.
Hamza Nurein mkristo kuwa mjinga duniani ni sawa kabisa mana yeye ni mwerevu sana KWA mambo ya mbinguni, tena ni hai katika utakatifu na ni wafu kwa dhambi hawaziwezi
Sio Makosa Yako Ni Kwa Sababu Mhamadi Hayajui Ya Rohoni...Aliyo Kufundisha Muhamadi Alikufundisha Ya Mwilini So Utajuwaje Ya Rohoni Kama Hajui. Njoo Kwa YESU Akufundishe Ya Rohoni Ndio Akili Yako Ita Funguka Na Kutambua Mengi Usiyo Yajua❤❤❤
Huwa napata raha sana nikisikiliza waislamu , hii ndio kweli ya mpinga kristo halisi mkristo wa kweli lazima ufurahi kwakuwa maneno ya Yesu yalikuwa kweli lazima Kuja mpinga kristo na huyu muislamu ndiye mwenyewe mpinga kristo halisi ,, Kukosa roho mtakatifu ni kosa kubwa sana katka maisha
Siku 6 bwana aliziumba mbingu na nchi na siku ya 7 akapumzika siku nzima enyi waumini munapo isikia azana siku ya ijumaa fanyeni haraka mukafanye ibada kisha ishamalizika swala sambaeni katika aridhi mukatafute ridhiki kwa hio ijumaa hawezi kuwa siku ya kuabudu kwa sababu ni siku ya kazi baada swala
Mazinge jibu swali Acha hadith na usaniii na soma Qur'an vzur Acha kushabikia upuuziii wenye kushabikia upuuz na tangulin Mohamed kuwa mtume 1;alilogwa 2;alioa binti wa miaka sita 3;alikuwa na majini 4;pia alikuwa mvizi ASOMAYE NA AJUE NA ASHIKILIAE UPUUZI NA ENDEREE
Tukufundishe bible na Qur'an tena huyo shake yaani ayuko vzur la sivyo angekimbia Mazinge mwenyewe aijui Quran hata kidogo NAKUULIZA MASWAL YAFUATAYO 1;wapi andiko tkt Qur'an kuwa Muhamad alichuliwa na mungu 2:wapi andiko linalowaagiza waislam kufanya ibada siku ya ijumaa Hayo yanakutosha na pia setani ndeye rafki na ndugu yenu kwa maan Muhamad alimsilimisha shetani kama unapinga sema mwisho waislam ndio makafili bakupa andiloo Quran 3;11 kasome
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven. Peace! Ray from Canada
Tofautishenoi masunagogi na misikiti.. mna wapa pumzi ya kuongea waislamu .. ingawa wanajua hawana dili.. Huu upumbavu wa kujaribu kufikiri dini ya kiyahudi itokanayo na agano la kale ni uislamu ndio itawaletea shida.. Uislamu sio Uyahudi; Otherwise wasingekuwa wanachukiana kiasi hicho.. baina ya waislamu na wayahudi leo hii. Na uislamu sio ukristo.. ! Kamwa wayahudi na waislamu ni wamoja how comes wanachukiana kiasi hicho?? otherwise wakristo wasingekuwa wanateswa kutokana na vifungu vya kuruani.. Sasa hawa wahubiri wa kikisto wanajaribu kuwakaribisha waislamu kwa njia ya masunagogi.. Uislamu haujasujudiwa kwenye masuganogi kwa sababu mtume wa waislamu hana utabiri wa kitume.. ndio maana waislamu wanawachukia wayahudi ! Otherwise, ni kwa nini muhammad hajahusishwa na wayahudi wanaowachukia wakristo .. kufanay nao kazi pamoja aginst Christians .. ili waweke ushuhuda wa unabii wa muhammad.. na tusingekuwa na Uyahudi bali uislamu Israel leo hii? These less informed Christian preachers.. set themselves up for failure when it comes to islamic deception..!! Waislamu ni waongo na wanatumia sana nafasi ambapo hao wahubiri wa kikristo wanashndwa kujieleza na kuwatambuka..! Wakristo wasijipeleke kama hawana ufahamu wa kutosha.. !
Aslmalkm ndungu Waislam? hawa ma pastor wnajfnya hwaelewi na ila hali waelewa vzuri sana kua,God is One,paka Alfa Blonde aliimba,(Ale lu ya God is one) xaxa hiweje wawe hawajui? heeeey! Allah Akbar!!?
Huyu mazinge ni mjanjamjanja tu, ANAWAONGOPEA WAISLAM ILI HALI YEYE ANAUJUA UKWELI. HIZI NJAA ZITAKUPA LAANA MZEE, KWA KUPOTOSHA MAANDIKO YA MWENYEZI MUNGU. laana iwe juu yako na kizazi chako
Hamza Nurein hapo si kweli mana biblia inaposema wapagani ni watu wasiomjua Mungu wa kweli mwenyewe uwezo wote asieshindwa na lolote,haijalishi awe na dini bado ni mfu yupo gizani wala hamjui muumba wake, na ndio maana walioko gizani wanavuta macho nuruni mana kwao ni giza
Kweli kabisa kaka, SIKU ZOTE IBLISI NDIYO ANAHANGAIKA SANA KUWAPOTOSHA WATU ILI WAMFUATE NDIO MAANA HUYU WAKALA WAKE ANAHANGAIKA SANA KWA KUTUMIA NGUVU NYIIINGIII KUWALAGHAI BAADHI YA WAKRISTO WENYE IMANI HABA.
JAZAKA ALLAH KHAIR BROTHER MAY ALLAH REWARD YOU AND YOUR FAMILY . THANK YOU VERY VERY MUCH FOR ALL YOUR EFFORT AND VIDEOS I BENEFIT ALL THE TIME AND YOUR CHANNEL IS MY FAVORITE. CONTIUE THE WORK
@@rashidkhamis9794 WEWE NA WENZAKO NDIO HAMWELEWI CHOCHOTE NDIO MAANA MNAPOTEZA MUDA KWA KUIKASHIFU BIBLIA MKITAKA DUNIA NZIMA IWE WAISLAMU KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI. ANAPOTEZA MUDA WAKE NA WENU BURE KWA KUCHUMA LAANA PAMOJA NA UZAO WAKE BILA KUJIJUA.
jenepher musoda ni wakristo pekee wanaoamini kuwa dini haitompeleka mtu Peponi. Wao imani yao ni kuwa hata kama ni muislamu akifanya yaliyo mema basi ataenda peponi. Sasa hii ni kwa sababu wakristo hawana uhakika na dini yao.
yan sijawahi kuona ushenzi kama huu hivi mnapata wapi mda wa kujadil neno la mungu "coz hakuna dini itakayompeleka mtu mbinguni ila imani yako na matendo yako pekee ndo yatakupeleka mbinguni"
Hamidu baba mungu akuoe afya njema cn. Hongereni na kazi yakuitangaza dini
Mashallah mungu awabaliki san kwa ku2pa dawa amdulilai wabllamin namshukulu Sana mungu we2 kwa kuwa mwisilam
Elizabeth Fares Jesus is the way the truth and life
Sheikh mazinge nakukubali sana sheikh wangu inshaallah Allah atakulipa ujira wako na usiwache makafiri hao na ukweli wanaujua wanabakia kupotosha wenziwao tu huko kanisani kwao
MashaAllah prof. Mazinge kweli wwe ni prof. MashaAllah Allah akujalie peponi endelea kuwasilimish. MashaAllah hawajui maana ya dini
Alhamdulillah namshukuru Allah kuzaliwa muislam namumba Allah anijaalie nife Nina nimuislam WA hakki
Kassim Said Come to Jesus for he is the way the truth and life
maa shaa Allah sheikh mazinge Allah akup nguvu HVO HVO ya kuitangaza dini ya haki
Sku mazinge akifa ntalia sna kwa huzuni.
Huyu Sheikh ni kichwa sna.Allah amlipe khyr dunian na Akhera
Shekhe VP unajua. Atatangulia ?
Sekheh mazinge silimisha wote
Allah amuongezee siku zakuishi nampenda can mazinge kwaajili ya Allah
Pole Sana Mazinge Hawezi Okowa Roho Yako Wala Mhamadi Wata Baki Maiti To😢 Waki Subiria Hukum😢 So Mlilie MUNGU Wa Kweli Wa Haki Alie Hai Milele Daima Wala Siyo Maiti❤❤❤.
Kanda ya ziwa tunajivunia mzee
Kabunda raah sana
Allah awalipe Pepo Kwa wa Islam wote walio uzuriya muhazara uyu
Hongereni wote.
Ila wengine uelewa mdogo sana
aslmalkm ndugu waislam? ndugu waislam hawa sio kua hawaelewi wanaelewa vzuri sana ila nikujifanya tu! Inshaallah Mungu hakubariki sheikh Mazinge
Khalfan hamisi Jesus is the way the truth and life
Ni kwel ndo maana makanisan cku hizi ni music 2 coz bila hivyo hawatapata waumin,
Masha Allah mungu akuzdishie umri mlefu sheikh mzinge
Hamidu msomaji waniacha hoi.
Allah akujaze khyr
Asalam alekum unajua waislam mazinge ndiye anaweza wakristo ndio maana wakristo wakimuona mazinge wanaingia wasiwasi mazinge mungu amweke ili komboa wakristo
siku yA ijumaa ni sku ya mapumziko yani hao wajamaa nivgumu kuelewa wana kere sana mazinge Allah akpe maisha marefu uzidi kuwaelimisha hao viumbe wasiende motoni jathkallah kheri
hi
Wabishi sana wakristo
Jesus is the way the truth and life
Mazinge Anacheeeeeeeeka. Alhamdulillah Kwa Neema Ya UISLAM.
PoMm
Bennv
Slant
allah ibarik sheikh kwa kazi yakooo
Tume tumwa kuwa pelekea neno
la Mungu na kama wasipo pokea
Tu kung'ute mavumbii Tuondoke
Tusi bishane nao.
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
siku ya ijumaa sisi waislamu hatufanyi kazi kweli yako sh Mazinge hata aya nasema hivi
Urongo kaka hamna aya inasema siku ua jumaa way silamu wasifanye kazi....
Nimeshuhudia waislamu wengi wakifanya kazi Friday
Nmshukur mung Kwa kunijaalia nikazaliwa kwenye uislaam
Nami kadhalika
Jesus is the way the truth and life
@@letssee204tuone2 nope
Hongera sna Ustadh Maulana
Nimepitia comments za waislama hapo chini ukiwa mchanga wa Imani unaweza kuvutwa nao lakini kwa kwa Mimi nimezaliwa ktk dini ya ki Islam nimekulia nimesoma dini ya Ki Islam nawajua A to Z sijawashangaa uwa natamani sana kushiriki midaharo kama hii ila bahati Mbaya nakutana nayo mtandaoni tu. But ikiwa nimakusudi ya Mungu Naomba siku moja nikutane na huyu Mazinge
YETU LEO TV Yesu ndie njia uzima na wokovu
YETU LEO TV ukaritadi subhanallah Allah akuongoze
Uislamu sio timu ya mpira, umefuata hela. Kama hukumuelewa Sheikh Mazinge kwenye nuru ulipokua muislamu, utamuelewa sasa kizani. Umetoka wewe wamejiunga ma-elfu badili yako. Wewe hata mwanawe Sheikh Mazinge anatosha kukuongoza.
Waislama munajitahidi kuyapindisha maandiko Kama Mungu aliye muita Musa ni mmoja kama munavyo dai nyinyi je Hawa kina Mungu nikinani wanao ongea katika Surat mariam ?
Yaani nimetamani ningekuwepo hapo kwenye mdaharo huu.
19:49 - Basi alipo jitenga nao na yale waliyo kuwa wakiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, tulimpa Is-haq na Yaaqub, na kila mmoja tukamfanya Nabii.

19:50 - Na tukawapa rehema zetu na tukawajaalia kupewa sifa za kweli tukufu.

19:51 - Na mtaje Musa katika Kitabu. Hakika yeye alikuwa ni mwenye kuchaguliwa, na alikuwa Mtume, Nabii.

19:52 - Na tulimwita upande wa kulia wa mlima na tukamsogeza kunong'ona naye.
19:53 - Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye, Harun, awe Nabii.
Boya mmoja.
Hujielewi kweliwewe unajadili mada Hatahujasoma
Nannaimani ungrkuwepo ungeslimu mma walivyoslimu wrnzio
@@muawiyajamali2557 usimlaumu maalim muelimishe aisee
Kwani hujuwi kuna wanao yaita masanamu miungu yao?? Kuwa mjanja acha usiwi fala
Alhamdulillah Al Neematul Islam
Najivunia kuwa muislam
Salum Salu Jesus is the way the truth and life
Sijaona mtu mjinga duniani kama mkiristo. Yuasema muokozi ni yesu. Kisha asema yesu ametumwa na mungu. Kisha yuasema yesu ndio mungu
Acha kukufuru mungu we kjna usiyekuwa na maarifa. Tazama mko chini ya wakristo.
Hamza Nurein mkristo kuwa mjinga duniani ni sawa kabisa mana yeye ni mwerevu sana KWA mambo ya mbinguni, tena ni hai katika utakatifu na ni wafu kwa dhambi hawaziwezi
Bangi mbichi mbaya sana
Matusi ni udaifu wa kufikili. Toa hoja ya kimaandiko badala ya kutukana mkristu!
Sio Makosa Yako Ni Kwa Sababu Mhamadi Hayajui Ya Rohoni...Aliyo Kufundisha Muhamadi Alikufundisha Ya Mwilini So Utajuwaje Ya Rohoni Kama Hajui. Njoo Kwa YESU Akufundishe Ya Rohoni Ndio Akili Yako Ita Funguka Na Kutambua Mengi Usiyo Yajua❤❤❤
kimya sana shekh upo bado tunakosa dawah
elimisheni hao vipofu ili mwisho wakaukumie vizuri na mungu
MSTAFA HASSAN umeongea vzr BWANA YESU kasema kipofu akimuongoza kipofu wote wataingia shimoni
Jesus is the way the truth and life
Huwa napata raha sana nikisikiliza waislamu , hii ndio kweli ya mpinga kristo halisi mkristo wa kweli lazima ufurahi kwakuwa maneno ya Yesu yalikuwa kweli lazima Kuja mpinga kristo na huyu muislamu ndiye mwenyewe mpinga kristo halisi ,,
Kukosa roho mtakatifu ni kosa kubwa sana katka maisha
Allah akbar Allah akbar Allah akbar
ALLAH AKBAR
Yesu n ngao
Siku 6 bwana aliziumba mbingu na nchi na siku ya 7 akapumzika siku nzima enyi waumini munapo isikia azana siku ya ijumaa fanyeni haraka mukafanye ibada kisha ishamalizika swala sambaeni katika aridhi mukatafute ridhiki kwa hio ijumaa hawezi kuwa siku ya kuabudu kwa sababu ni siku ya kazi baada swala
mhadhara mzuri
Mmaashallah
Waislamu tujitambue
Ustadh Maulana upo wapiiiii duh binafsi nilikua nakukubar mno
kua muislam raha sana
Musjus Hassan Jesus is the way the truth and life
إن اللذين كفروا سواء عليهم ءأ نذرتهم أم لم تنذرهم لا يؤمنون • ختم الله علا قلوبهم وعلا سمعهم وعلا أبصارهم غشاوة ٠٠٠٠٠٠٠
Kian
That's
@@mishyshan4250 صدق الله العلي العظيم
wakristo niwajingatuu
Kassim Said Shukran tunajivunia nani kwa neema.
za Mungu tu , Jesus is the way the truth and life
Tak' brrrrrrrrrrrr, 'Allah' u Akbar, Allah 'u Akbar, Allah 'u Akbar!!?
MUNGU ANATU KATAZA KUKAA
MAHALI PAMZAA
Kuzaliwa muislam wallhy ni Raha lakini Mazinge atawaelesha tu
masha Allah
Mazinge jibu swali Acha hadith na usaniii na soma Qur'an vzur Acha kushabikia upuuziii wenye kushabikia upuuz na tangulin Mohamed kuwa mtume 1;alilogwa
2;alioa binti wa miaka sita
3;alikuwa na majini
4;pia alikuwa mvizi
ASOMAYE NA AJUE NA ASHIKILIAE UPUUZI NA ENDEREE
Hata Yesu tangu lini awe Mungu:
1. Kazaliwa
2. Kateswa
3. Anakula
4. Anakunya
Tukufundishe bible na Qur'an tena huyo shake yaani ayuko vzur la sivyo angekimbia Mazinge mwenyewe aijui Quran hata kidogo
NAKUULIZA MASWAL YAFUATAYO
1;wapi andiko tkt Qur'an kuwa Muhamad alichuliwa na mungu
2:wapi andiko linalowaagiza waislam kufanya ibada siku ya ijumaa
Hayo yanakutosha na pia setani ndeye rafki na ndugu yenu kwa maan Muhamad alimsilimisha shetani kama unapinga sema mwisho waislam ndio makafili bakupa andiloo Quran 3;11 kasome
Anonymous Xx Alikuwa mwana wa Mungu sio Mungu
emmanuel asukile your wrong ndugu yng njoo tykup elimu😈 usisem usoyajua soma kwanza
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven. Peace! Ray from Canada
Tofautishenoi masunagogi na misikiti.. mna wapa pumzi ya kuongea waislamu .. ingawa wanajua hawana dili.. Huu upumbavu wa kujaribu kufikiri dini ya kiyahudi itokanayo na agano la kale ni uislamu ndio itawaletea shida.. Uislamu sio Uyahudi; Otherwise wasingekuwa wanachukiana kiasi hicho.. baina ya waislamu na wayahudi leo hii. Na uislamu sio ukristo.. ! Kamwa wayahudi na waislamu ni wamoja how comes wanachukiana kiasi hicho??
otherwise wakristo wasingekuwa wanateswa kutokana na vifungu vya kuruani.. Sasa hawa wahubiri wa kikisto wanajaribu kuwakaribisha waislamu kwa njia ya masunagogi.. Uislamu haujasujudiwa kwenye masuganogi kwa sababu mtume wa waislamu hana utabiri wa kitume.. ndio maana waislamu wanawachukia wayahudi ! Otherwise, ni kwa nini muhammad hajahusishwa na wayahudi wanaowachukia wakristo .. kufanay nao kazi pamoja aginst Christians .. ili waweke ushuhuda wa unabii wa muhammad.. na tusingekuwa na Uyahudi bali uislamu Israel leo hii? These less informed Christian preachers.. set themselves up for failure when it comes to islamic deception..!! Waislamu ni waongo na wanatumia sana nafasi ambapo hao wahubiri wa kikristo wanashndwa kujieleza na kuwatambuka..! Wakristo wasijipeleke kama hawana ufahamu wa kutosha.. !
Aslmalkm ndungu Waislam? hawa ma pastor wnajfnya hwaelewi na ila hali waelewa vzuri sana kua,God is One,paka Alfa Blonde aliimba,(Ale lu ya God is one) xaxa hiweje wawe hawajui? heeeey! Allah Akbar!!?
Makafir slimuni mutaangamia
Mazagazaga imekula kwako silimu bwana
Al Saarh Jesus is the way the truth and life
Mazinge hajajibu kwanini waisilamu hawaishiki sabato? Katumia kigezo cha msikiti kukimbia alaf malaki 3:6 Mungu habadiliki sasa mbona torati mwaikubali bila kukubali yaliomo???
Maashaallah
Ya Allah
Hawa wainjilisti wako moto
Yesuuuuuuu
inshaallah
Yaani wakristo wote akili zao ni kama mgando
MAZINGE WAKUSANYE BABA HAO WAISLAMU WENZAKO, UWAONGOPEE MAANA HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU MAANDIKO YA BIBLIA
Na nyinyi pia mnapotoshwa na wachungaji wenu mna watajirisha wao
Makafiri hawana utofauti na wanyama
HASHIMU ISMAIL Jesus is the way the truth and life
HASHIMU ISMAIL Kumbe uislamu ni chuki , uadui na matusi Mungu akupe macho
shekh tupe dawaa
noma mazinge
habibu mussa mmmm
ukweli ni kwamba sabato ndio dini sahihi ya Mungu.
Hahahah wewe umepotea kabisa mung akuongoze ufe Ali yakua ume toa shaada uwe Muslim
USHABIKI USIOKUWA NA MAANA YOYOTE, TUPILIA MBALI.....
😃😃
huyu mchungaji hana akili.
Mchungaji bible inasema waxhungaji ni mbwa
Tatizo hawa jamaa kuelewa ni shida.
Humood Samiir Balqis wataelewaje pasipokuwa na ROHO
Yesu ndie njia uzima na wokovu
@@letssee204tuone2 inamana ukimwamini yesu hufi au acha upumbavu
Dah huyu msomaji ananipa burudani sana. Mimi binafsi nmewaelewa hawa masheikh wanatumia akili sana.
Haiingii akilini kabisaaaaa hata mtoto Wa nursery hadanganyiki. Yani mungu kamtuma yesu kisha mungu awe yesu. 😂😂😂😂😂😂😂
Mungu aliuwa yesu ghani wewe?angalia Qur'an yako ukojoe ulale
Hamza Nurein YESUndiye mwalimu watu wanabishania maneno yaMungu,lkn hawajpokei Neema ambayo imefunuliwa kwa watu wote
luka 4.44 nilikuwa nalisubiria ilo andiko nimefurahi
Huyu mazinge ni mjanjamjanja tu, ANAWAONGOPEA WAISLAM ILI HALI YEYE ANAUJUA UKWELI. HIZI NJAA ZITAKUPA LAANA MZEE, KWA KUPOTOSHA MAANDIKO YA MWENYEZI MUNGU. laana iwe juu yako na kizazi chako
Yeye anapigania dini ya haki lakini nyinyi nawa nenepesha hao wachungaji wenu na ndio maana hakuna mchungaji hata 1 duniani asiye kuwa tajiri
hapotoshi mtu mzee baba, sie tunajielewa na tunaweza kuhoji aisee
Wakiristo maana yake ni wapagani. Bibilia imesema hivo na bado hawakomi wameshikilia
Mtabaki kuwa chini ya wakristo siku zote, kwa kumkana yesu kristo ambaye ni mwana wa mungu.
Hamza Nurein hapo si kweli mana biblia inaposema wapagani ni watu wasiomjua Mungu wa kweli mwenyewe uwezo wote asieshindwa na lolote,haijalishi awe na dini bado ni mfu yupo gizani wala hamjui muumba wake, na ndio maana walioko gizani wanavuta macho nuruni mana kwao ni giza
Adi leo najiuliza hawa jamaa wakiristo akili zao walizieka wapi.
MILLARD AYO THE AMAZING WORLD wakristo biblia yasema akili haina matunda Roho Mtakatifu anachukua nafasi,lkn mtume Paulo kasema mradi ijnili ihubiriwe
MILLARD AYO THE AMAZING WORLD mmmm
Jesus is the way the truth and life
huyu mazinge ni tahira kwani hajibu swali hajibu analeta mada nyngn na maswali ya kisenge na mwsh wa yote tanuru la moto.
Kweli kabisa kaka, SIKU ZOTE IBLISI NDIYO ANAHANGAIKA SANA KUWAPOTOSHA WATU ILI WAMFUATE NDIO MAANA HUYU WAKALA WAKE ANAHANGAIKA SANA KWA KUTUMIA NGUVU NYIIINGIII KUWALAGHAI BAADHI YA WAKRISTO WENYE IMANI HABA.
Nyie wote niwajinga amna atamoja kichwani
Weunalaana wewe wamtukana mazinge?
M
Jamani awa jamaha.Niwagumu kuelewa but itaeleweka tu,mazinge mungu akupe maisha marefu inshallah
Na pia bwana mazinge naitaji yale mafuta inshallah
ujuaji mwingi ni hasara ,poleni sana waislam
Mnajua lakin hamtaki sio lazma kila mmoka na malipo yake
We pmb
Hahaa ujielewi ww
wewe ndounahitaji kupewa pole
kelvin alex wala hawana wajualo biblia inasema walimu wa wajinga wakufunzi wa watoto wachanga
JAZAKA ALLAH KHAIR BROTHER MAY ALLAH REWARD YOU AND YOUR FAMILY . THANK YOU VERY VERY MUCH FOR ALL YOUR EFFORT AND VIDEOS I BENEFIT ALL THE TIME AND YOUR CHANNEL IS MY FAVORITE. CONTIUE THE WORK
ISLAM ISTRUE THANX FOR WATCHING AND REMEMBER YOU TOO HAVE A DUTY OF SHARE THIS VIDEOS..............WE HAVE TO DOMINATE THE INTERNET WITH DAAWAH
+AKASHA DAAWqAH
asante mungu akubariki akasha
asante mungu akubariki akasha
asante mungu akubariki akasha
Ubatizwe sasa mbona unashangaa?. Umeshaelewa wewe ustadh muache kupotosha maandiko ,mnawavuruga hao wanaowasikiliza
Wanakuvuruga wewe kwakuwa huna dini ndio maana huelewi chochote
Unavurugwa ww kwakuaujijui nawala ujielewi unakokwenda
@@rashidkhamis9794 DINI NI NAYO ILA WASIO NA UWELEWA NDIYO WANAONA SINA DINI
@@rashidkhamis9794 WEWE NA WENZAKO NDIO HAMWELEWI CHOCHOTE NDIO MAANA MNAPOTEZA MUDA KWA KUIKASHIFU BIBLIA MKITAKA DUNIA NZIMA IWE WAISLAMU KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI. ANAPOTEZA MUDA WAKE NA WENU BURE KWA KUCHUMA LAANA PAMOJA NA UZAO WAKE BILA KUJIJUA.
@@josephbonday8510 ndiyo haiwezekani kwa sababu jaanam itakuwa hamna watu wa kuingizwa ndio maana nyinyi hamtaki kusilimu hili muingie kwenye uo moto
confused Christians.
😵
Why confused?
why judge others..en yet you dont live within the teachings?dini haipeleki mtu mbinguni i repeat
jenepher musoda ni wakristo pekee wanaoamini kuwa dini haitompeleka mtu Peponi. Wao imani yao ni kuwa hata kama ni muislamu akifanya yaliyo mema basi ataenda peponi. Sasa hii ni kwa sababu wakristo hawana uhakika na dini yao.
yan sijawahi kuona ushenzi kama huu hivi mnapata wapi mda wa kujadil neno la mungu "coz hakuna dini itakayompeleka mtu mbinguni ila imani yako na matendo yako pekee ndo yatakupeleka mbinguni"
najivunia sana kuzaliwa ukristoni jamani
Sasa Wewe usiwe na dini uwone utaenda wapi?
Endelea kuabudu yesu ndio utajua haujui