Nataka nikwabudu BWANA kwa viwango vingene kwa maana wastahili KUABUDIWA kwani hata pumzi yangu ni wewe tu bwana mpaka leo naiona siku nyingine na bado napumua,hakika nitakuabudu peke yako JEHOVAH MILELE siku za maisha yangu AMINA , Mbalikiwe wapendwa katika bwana
This song makes me Emotional.. I remember back then in those days when I used to play church in Form 3 but even in those days I still felt God whenever this song was played. Now I no longer play-Church I am serious with the things of God.. and I’m here to marvel and Adore him [Jesus]👏
AMEN! papaa e, i remember them dayz! Cha ajabu ni LEO nimepita huku, nmeusikiliza it is as though ndo nausikia kwa mara ya kwanzaa kabisa, what a moment, days have gone by bt today i jus felt like it waz yesterday..guyz MUNGU AIENDELEZE HII KAZI NJEMA NDANI YETU.
Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwema sana nafarijika sana moyoni mwangu nikiwa nafuatilia nyimbo hizi haswa nikiziimba na kumaanisha....Mungu azidi kutenda tumsifu na kuabudu kwa roho na kweli mioyoni mwetu
kila cku MUNGU ni mpya, ukienda mbele zake kumwabudu unatakiwa kumwabudu kwa viwango vingine tofauti na Jana na juzi, ee MUNGU 2jarie viwango vya kukuabudu ktk uarisia wako, na ktk viwango vya utukufu wako, ubarkiwe mtumishi Wa MUNGU
Mzumbe Praise and Worship Team oooh how I miss my team jaman t was wonderful serving God with you people Mungu awabariki kokote mliko na awainue viwango zaid ktk kumtumikia
2020 kwa viwango vingine , nataka nikujue wewe MUNGU wangu , nisikuabudu kwa mazoea, hatua zangu ziongozwe na wewe pekee yako. Nisaidie ee roho mtakatifu..🙏🙏🙏
Today 10.5.2023 nimepokea Breakthrough na Mungu amebadilishi maisha yangu , Nimeingia kwenye viwango vingine vya Utukufu hadi Utukufu....Namsifu Bwana kupitia wimbo huuuu....hakika Mungu yupoooo.. Kama unapitia changamoto yoyote ile mimi leo nakushuhudia Kwa Ujasiri kuwa Usiogopeeee Mungu yupo na Anasikia maombi na anajubu kwa motooooo....Futa machozi Msifu Bwana hata katika nyakati Ngumu unazopitia Yupo na weweeeee...Isaya 45, Isaya 54, zaburu 25,Zaburi 118
Wow...i just love so much this song...kwa viwango vngne nataka nikwabudu ww peke yako bwana...ninataman nikupe sifa za moyo wangu bwana.....nollo daniel
Indeed am taking my worship of God Almighty to another level, i testify that he alone is wothy of worship, praise & honour. May God continue revealing himsel to you servants of the Most high God
Kwa viwango vingine my God. You know my desires, you know my daily wish. I am hungry, I am thirsty, I am desperate for you. All I need is to serve you for the rest of my life. Give me chances and time to serve you again...please God..
sitochoka kukwabudu ww Mungu wangu uliye mkuu...napenda kutulia chini ya kivuli chako cku zote za maisha yangu... nikumbatie Mungu wangu maana naamini mikononi mwako nipo salama ..
naombe sana nipo chin ya miguu njon namanga 2nabarikiwa sana na uduma zenu kwa njia ya nyimbo na mungu akubariki sana poul namba nitagut kwa namb 0764095498 na 0784095498 natamn san niwe kama nyiee kwa kuimba na kusif
2024 Nabarikiwa saaaan kupitia nyimbo hii
Kwa viwango vingine nataka kukuabudu, chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu🙏🙏🙏 Mungu Kwa maisha yang
❤❤❤
Who is still listening this song in 2020😍
Eunice Andrew me
Naendelea kubarikiwa
2020
Until 2021
Until 2022
Nataka nikwabudu BWANA kwa viwango vingene kwa maana wastahili KUABUDIWA kwani hata pumzi yangu ni wewe tu bwana mpaka leo naiona siku nyingine na bado napumua,hakika nitakuabudu peke yako JEHOVAH MILELE siku za maisha yangu AMINA , Mbalikiwe wapendwa katika bwana
This song makes me Emotional.. I remember back then in those days when I used to play church in Form 3 but even in those days I still felt God whenever this song was played. Now I no longer play-Church I am serious with the things of God.. and I’m here to marvel and Adore him [Jesus]👏
Amen kwa viwango vingine tena huuu mwaka bwana nataka nikwabudu...
This is 2023,and the song still blesses millions of souls!
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu🙏
Janet Shao
Janet Shao
Nisaidie Yesu nikutumikie kwa viwango vya tofauti sana wakati naishi duniani.
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu
Kwa viwango vingine nitamuabudu bwana chini ya mbawa zake nitalaza kichwa chagu 🙏🙏
kwa viwango vingine mwaka huu ukawe wa baraka zaidi in Jesus Name.
AMEN! papaa e, i remember them dayz! Cha ajabu ni LEO nimepita huku, nmeusikiliza it is as though ndo nausikia kwa mara ya kwanzaa kabisa, what a moment, days have gone by bt today i jus felt like it waz yesterday..guyz MUNGU AIENDELEZE HII KAZI NJEMA NDANI YETU.
Hello Musa, nimefurahi kukusikia tena. It was amaizing back there. Are you still singing?
Chini ya mbawa zako nilaze kichanguuu amen..
Natamani kulia tu nikiusikia Wimbo huu! Kama sio Bwana, Israel na aseme Sasa🙌🙌🙌🙌
Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwema sana nafarijika sana moyoni mwangu nikiwa nafuatilia nyimbo hizi haswa nikiziimba na kumaanisha....Mungu azidi kutenda tumsifu na kuabudu kwa roho na kweli mioyoni mwetu
kwa viwango vingne Nataka nikwabudu Mungu nijalie neema Ck had Ck nikutumikie pasipo kukataa tamaa
kaaah napenda sana wimbo huu kila niwapo kazini napenda kuusikiliza ubarikiwe wimbo huu unanipeleka viwango vingine
Linda Julius barikiwa mtumishi kwa viwango vingine
Daah wimbo unanibariki sana♡♡♡♡♥♥♥
Linda Julius Naupena sana aliye nauwimbo naomba
Natakaka nikwabudu kwa viwango vya juu mungu wangu nisaidie
Kwakweri nabarikiwa sana kwa kiwango cha juu
Nikuabudu kwa viwango vngine vya juu, Bwana nisaidie
The song z so nice, kwa viwango vingne nataka nkwabudu. Be blessed.
venancia sanga
Asante Yesu wangu kwa watumishi wako uwainue kwa viwango vingine
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu... nice song
Naomba Niinue Bwana kwa viwango vua juu sana.
I believe that through that song I wanna go to woship lord Jesus for wandarful level amen in 2024
Barikiwa sana mtumishi kwa ujumbe mzuriii
Father God,jehova! Master holly spirit i glorify your name
Thank you Jehovah..
Nabalikiwa sana huu wimbo kwa viwago vigine nataka nikwabud🙏🙏
Amen, Mungu tupatie viwango vingine vya kukuabudu tuondolee mazoea na utufanye upya katika kukuabudu kila kuitwapo leo
Keep it up kwa viwango vingine excellent
Barikiwa sana kwa wimbo hui mzuri naomba Mungu anipe viwango V ingine zaidi
kila cku MUNGU ni mpya, ukienda mbele zake kumwabudu unatakiwa kumwabudu kwa viwango vingine tofauti na Jana na juzi, ee MUNGU 2jarie viwango vya kukuabudu ktk uarisia wako, na ktk viwango vya utukufu wako, ubarkiwe mtumishi Wa MUNGU
balikiwa
Namuomba Mungu aniweze kumtumikia kwa viwango vingine vikubwa zaidi. Kwa jina la Yesu.
I thank the almighty God maana nataman kila siku nipande katika kiwango lingine.Kumtumikia Mungu kuna faida nyingi.He has saved me from sin
Kweli nimebarikiwa.naupenda huu wimbo sana
Be Blessed jamani huu wimbo naurudia kila saa👌
mungu awainue kwa viwango juuu sana pia awafanikishe
Barikiwa mtumishi Wa mungu!! mungu azidi kuimarisha kipaji chako
Kwa viwango vingne natak Nikuone mungu katk maisha yangu
thanx Lord,,kwa viwango vingen bwan natak nkuabud chin ya mbawa zako nilaze kichwa changu😘😘
Mzumbe Praise and Worship Team oooh how I miss my team jaman t was wonderful serving God with you people Mungu awabariki kokote mliko na awainue viwango zaid ktk kumtumikia
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu, chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu
Amazing
haleluyaaaa hakika kwa viwango vingine nami natamani nimwabudu Mungi wangu
stay blessed
Nam pia naomba mungu anipandishe kwaviwago vingene
Chin ya mbawa zako nilaze kichwa changu Amen
kwa viwango vingine nice song, tusiende mbele za Mungu Baba yetu kwa mazoea
2020 kwa viwango vingine , nataka nikujue wewe MUNGU wangu , nisikuabudu kwa mazoea, hatua zangu ziongozwe na wewe pekee yako. Nisaidie ee roho mtakatifu..🙏🙏🙏
Naupenda huu wimbo kwa sababu unanifariji sana ,ubarikiwe na MUNGU e we mtumishi
Kwa viwago vingine nataka nikuabudu baba 😍😍😍😍bless you kaka
Barikiwa
Niko mwanza napataje allbum
nimebarikiwa kwa nyimbo hii
Naupenda sana huu wimbo kwani unafariji na unakupa matumaini
Today 10.5.2023 nimepokea Breakthrough na Mungu amebadilishi maisha yangu , Nimeingia kwenye viwango vingine vya Utukufu hadi Utukufu....Namsifu Bwana kupitia wimbo huuuu....hakika Mungu yupoooo..
Kama unapitia changamoto yoyote ile mimi leo nakushuhudia Kwa Ujasiri kuwa Usiogopeeee Mungu yupo na Anasikia maombi na anajubu kwa motooooo....Futa machozi Msifu Bwana hata katika nyakati Ngumu unazopitia Yupo na weweeeee...Isaya 45, Isaya 54, zaburu 25,Zaburi 118
Ameeen
Wow...i just love so much this song...kwa viwango vngne nataka nikwabudu ww peke yako bwana...ninataman nikupe sifa za moyo wangu bwana.....nollo daniel
I love the song so much....it reminds me so much of Mzumbe.
it was amaizing.asanten sana nabarukiwa sana na wimbo huu.kwan. ni kiu yangu kumwabudu bwana kwa viwango vya tofauti
Mungu ni mwema kila siku kama waanimi weka like yako..
ninaguswa sana na nyimbo za injili mungu hawape viwango vingine zaidiiiiiiii
Nina hakika kuwa ww Yesu wastahili kuabudiwa tena kwa viwango vya juu haleluya!!!!!
Amina nimebarikiwa mno Mungu azid kukuinua kwa viwango vingine
Niseme nini zaidi ya yaliyo ktk wimbo huu. Hakika kwa viwango vingine nataka nimtumikie Mungu wangu
mungu natamani nikuabudu kwa viwango vya juu niwezeshe mtakatifu nukuabudu ktk roho na kweli
Indeed am taking my worship of God Almighty to another level, i testify that he alone is wothy of worship, praise & honour. May God continue revealing himsel to you servants of the Most high God
nisaidie nami niwe msaidizi wako niweze kulijua neno lako nanili tangaze kupitia injili yesu usini sahau nikumbuke
I'm listening this while l remember weruweru GIRLS HIGH SCHOOL IN MOSHI ,UKWATA USED TO SING THIS SONG ON SUNDAY IT WAS AMAZING
Nimechoka kukwabudu kama mataifa waabuduvyo maana wengi hufanya hivyo ila kusudi waonekane.....
Kwa viwango vingine nataka nikwabudu Bwana.Nimebarikiwa sana na Wimbo huu.Mbarikiwa sana kwa kazi Mungu
Amen,,i feel blessed with thz song kwa viwango vingine,,,be blesed more
kwa viwango vingine nataka nikuabudu,nikusifu,nikutukuze,nikuhimidi....I love you Lord
Huwa nabarikiwa san wimbo huu Mungu awabariki waimbaji.
Mbarikiwe sana ,hakika kwa viwango vingine,tunataka tumwabudu aliye juu ya yote yaan Kristo Yesu.
Thanx lord haleluya kwa viwango vingine 2019 zaidi babaa
angel Herman
Kwa viwango vingine nataka nikuabudu mungu wangu ......chini ya mbawa zako nilaze kichwa changu
God bless the person who composed this song ❤️❤️😍🙏🙏
Kwa viwango vingine my God. You know my desires, you know my daily wish. I am hungry, I am thirsty, I am desperate for you. All I need is to serve you for the rest of my life. Give me chances and time to serve you again...please God..
Kazi nzuri mungu awabariki mzidi kwenda juu zaidi katika kumwabudu katika roho na kweli.....
Thanks sna for this song GOD bless wew uendelee sna kumtukuxa
Wow kwa viwango vya Juu kabisa nataka nimwabudu nimsifu Bwana kwa maana imenipasa kumwabudu katika Roho Roho na Uhalisia wa nguvu za Jina lake
Wimbo unanibariki sana huu, mbarikiwe wote walimu na waimbaj piah
Asante Mungu naomba niongoze kukutumikia vema wimbo mzur san ubarikiwe
Nimeupenda sana huu wimbo mwenye nao naomba nitumie
Ingia Google uuandike Alf u download
Real Mungu awe nanyi mnaoweka nyimbo in this model. Nipo huku HP state India so hii web ndo kama kanisa kwangu.
Amina sana kwaviwango vinginee
Bwana Yesu asifiwe naomba namba yako nataka kuongea na wewe, barikiwa
Thnx Lord umenifanya wa thmani,, AMINAA
Ni kweli bwana wetu Yesu atuinue utukufu hadi utukufu tumwabudu na kumsujudia tukiungana na malaika na makeruna na masarafi juu mbinguni
kwel Mungu akubariki jamani wimbo mzuri nmeona siwezi kunyamazaaaa Mungu akuzidishie siku zenye heri tuzidi kuifurahia Huduma yako!!!
like iz song jmn
sitochoka kukwabudu ww Mungu wangu uliye mkuu...napenda kutulia chini ya kivuli chako cku zote za maisha yangu... nikumbatie Mungu wangu maana naamini mikononi mwako nipo salama ..
ninapenda na alwys nitaipenda coz alwys nnataman nipande kila siku viwango vingne vyaq kumwabudu Mungu aliye hai. Mbarikiwe sana.
naombe sana nipo chin ya miguu njon namanga 2nabarikiwa sana na uduma zenu kwa njia ya nyimbo na mungu akubariki sana poul namba nitagut kwa namb 0764095498 na 0784095498 natamn san niwe kama nyiee kwa kuimba na kusif
Samweli, nimeona ombi lako nitalifikisha kwa viongozi ili lijadiriwe. Asante sana na Mungu akubariki
Unanibariki na kunipandisha viniwango vingine
Ikdyžtotak,aby
wimbo mzuri sana, kwa viwango vingine nataka nimwabudu Bwana
I like it,chini ya mbawa zako nataka nijilaze!!
Asante kaka kweli mungu yupo tena anatupenda
Waoooo naupenda huu wimbo
kwa viwango vingine nataka nikuabudu....Yehova
Amen that's my prayer nice song
Amen, nice song barikiweni sana
ni wakati wa kumwendea Mungu kwa viwango vingine tena.... naupenda sana huu wimbo
Mung awabariki
Kwa Roho na kweli nataka nikwabudu
eeeeeeeee Dady
Wimbo mzuri sana,,,kwa viwango vingine nikwabudu mungu wangu
This song blessed me and is the best song up to date😍😍😍❤️
Kwa viwango viengine nata nikwa budu chini ya bawa zako nilaze kichwa changu👂💘💪👆👆👆👆👆
Kwa viwango vingine, wimbo unani bariki sana
Nabarikiwa sana na wimbo huu.kwa viwango vingineee...
Ameen niinue ktk viwango tofauti Baba nikutumikie ck zote