Umenifanya niwe kielelezo cha waliobarikiwa, Zaidi ya yote, ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki, Nimekupata Yesu na nikaridhika, Wewe Ni Yote ndani ya yote...
I want to bless someone who is sick somewhere...i was sick for 6 years in and out of hospital 😢😢😢hadi kuna siku hospital kubwa ilinikataa nikajua imekuwa worse...my loves nilikuwa na damu kidogo sikuwai jua shida...it used to drop upto even 6 points😢😢😢my lord i just wake up one day and got healed aki...aliniponya apewe sifa... blessed are all moms my mom used to pray for me alot...in the journey of darkness and pain there is life be encouraged today...never give up we serve a living God❤
I played this song several times when I was going through labour 2 weeks ago, and God remained faithful despite the overwhelming pain.we got blessed with a baby boy.May His Name be praised forever!
MWENYENZI MUNGU MLAZE MAHALA PEMA MAMA YANGU, BABA YANGU, DADA YANGU MREMBO PENDO ,NA KAKA YANGU KIPENZI SULUSI, TUMEBAKI WAWILI TUU MM NA DADA YANGU MANKA NAOMBA UTUGUSE TULIPENDA NENO LAKO DAIMA, GUSA VIZAZI VYETU EE BWANA, TUJALIE UMRI MREFU, MGUSE DADA YANGU AACHE POMBE KWAJ INA LA YESU.
May Jesus' light find you... We all really need Him my dear! May He strengthen us! Too much is going on, so much chaos... May He give us another perspective. Amen!
I can't stop listening to this song it's encourage me so much while my husband is sick oooooh God remember me plz just heal him for me I do really love him so much u r a Way maker
Umeniponya strock Nakwita jehova rapha Umeniokoka mikono mwa watesi Umeniokoka nakwita mwokozi Umenipigania vita nakwita jehova nissi We ndo bendela ya ushindi wangu
God help me live life based on your word. Help me make my parents proud by getting good grades in university. Heal my mother from any sickness that is in her body🙏
Asante, MUNGU wangu Kwa UPENDO wako kwangu,umenivusha toka mbali saaana,baba nakuomba usiondoke Katika maisha YANGU,peke yangu siwezi. Asante Yesu wangu 🙏🙏
Pokea sifa Bwana Yesu, zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki. Hakuna sala inayopotea kila amtumainiaye Mungu hata mwacha aabike milele, wema ni hadhina ya maisha yetu❤❤❤ I see you Lord kila iitwayo Leo. Niseme sifa na utukufu ni wako milele na milele
Umenifanya kuwa kielezo cha waliyobalikiwa, zaidi yayote ukanifanya kuwa baraka ili na mimi nibariki asante sana baba God kwa kuwa nangu❤❤ wewe ndiye muchungaji wangu
Umenifanya niwe kielelezo cha waliobarikiwa, Zaidi ya yote, ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki, Nimekupata Yesu na nikaridhika, Wewe Ni Yote ndani ya yote... That part was sung in church nikasikia ni kama nimeitwa 😱
I was passing somewhere this morning and heard this hit. Through shazam I managed to get it- the name and vocalists behind it. It has been playing on my dial in a loop all this while.
Hymnos - Moyo Wangu (feat. Dedo Dieumerci, Naomi Mugiraneza & Dr Ipyana)
ua-cam.com/video/9GUPxg2JELU/v-deo.htmlsi=3PvNUI1yHSLvc2Xw
Umenipigania nakwita jehova nisi bendera ya ushindi wangu. May God fight for everyone reading this comment ❤
Amen
Amen
AMEN 🙏
Umenifanya niwe kielelezo cha waliobarikiwa,
Zaidi ya yote, ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki,
Nimekupata Yesu na nikaridhika, Wewe Ni Yote ndani ya yote...
Amen!
Me too
I want to bless someone who is sick somewhere...i was sick for 6 years in and out of hospital 😢😢😢hadi kuna siku hospital kubwa ilinikataa nikajua imekuwa worse...my loves nilikuwa na damu kidogo sikuwai jua shida...it used to drop upto even 6 points😢😢😢my lord i just wake up one day and got healed aki...aliniponya apewe sifa... blessed are all moms my mom used to pray for me alot...in the journey of darkness and pain there is life be encouraged today...never give up we serve a living God❤
Acha mungu akubariki katika maisha yako
Amen
Asante maneno yako yamenipa moyo na faraja nakupambana sitakaa kukata tamaa❤
Mungu yu mwema
❤
Wangapi wangali na burudika kwa wimbo huu hii Mwaka 2024? 🎉🎉🎉 what a beautiful heart warming song
mimi,this songs always my breakfast
I played this song several times when I was going through labour 2 weeks ago, and God remained faithful despite the overwhelming pain.we got blessed with a baby boy.May His Name be praised forever!
Congratulations 🎉🎉🎉🎉
Amen🎉
@@SylviaNdirangu Congratulations 🎉
umeniponya nakuita rapha mungu mponyaji,,,trully my life is a testimony of his healing and thats how i began my ministry'....
Praise God,pray for me to receive my healing too in Jesus Christ
@@VincentOwino-ic8pd hallelujah glowly
❤ penda sanaaa
Thank you Hymnos for the good song,God bless you guys 😢
Nimekupata na nikaridhika wewe ni yote ndani ya yote.. wooooow mwenyewe Mungu awatunze Ili jina lake lizidi kuinuliwa milele yoteee Amen
Nyimbo nzuri sana be blessed all of you 🙏
Kweli ......Majina yoote mazuri ni ya Mungu.Jehova Rapha,Mwokozi, Jehovah Nissi and name them.....
Mungu aendelee kuwatunza, Jina la Bwana liendelee kuinuliwa
MWENYENZI MUNGU MLAZE MAHALA PEMA MAMA YANGU, BABA YANGU, DADA YANGU MREMBO PENDO ,NA KAKA YANGU KIPENZI SULUSI, TUMEBAKI WAWILI TUU MM NA DADA YANGU MANKA NAOMBA UTUGUSE TULIPENDA NENO LAKO DAIMA, GUSA VIZAZI VYETU EE BWANA, TUJALIE UMRI MREFU, MGUSE DADA YANGU AACHE POMBE KWAJ INA LA YESU.
Amen
pole mungu ako pamoja nany
😢😢😢 mungu askie maombi yako
Pole ndgu yangu ❤❤neema ya Mungu iwe nanyii❤️😔
Amen Amen na hakuna maombi hupotelea kwa Mungu one Ata kujimbu
Mungu ypo jaman na anatenda tuwe na imani atatuvusha kwenye kila tatzo,🙏🥹
Walai inafika pahali i loose hope and i remember that there's God 😭🙏🙏🙏
Be strong my dear
May Jesus' light find you... We all really need Him my dear! May He strengthen us! Too much is going on, so much chaos... May He give us another perspective. Amen!
ISAYA 41:13
I can't stop listening to this song it's encourage me so much while my husband is sick oooooh God remember me plz just heal him for me I do really love him so much u r a Way maker
Beautiful song lovely lyrics. Am super blessed.
I love everything about this song 💓 ❤❤❤❤
Alleluiah
All sweet names belong to Jehovah
Umeniponya strock Nakwita jehova rapha
Umeniokoka mikono mwa watesi
Umeniokoka nakwita mwokozi
Umenipigania vita nakwita jehova nissi
We ndo bendela ya ushindi wangu
Hallelujah 👏🏻 love from Uganda ❤❤❤
God help me live life based on your word. Help me make my parents proud by getting good grades in university. Heal my mother from any sickness that is in her body🙏
Majina yote mazuri ni yako Eee Jehova Muumbaji wangu,, nikupe Jina gani Kila la kiheri upekee wako❤❤❤
Asante, MUNGU wangu Kwa UPENDO wako kwangu,umenivusha toka mbali saaana,baba nakuomba usiondoke Katika maisha YANGU,peke yangu siwezi. Asante Yesu wangu 🙏🙏
Pokea sifa Bwana Yesu, zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki. Hakuna sala inayopotea kila amtumainiaye Mungu hata mwacha aabike milele, wema ni hadhina ya maisha yetu❤❤❤ I see you Lord kila iitwayo Leo. Niseme sifa na utukufu ni wako milele na milele
This is my two years old daughter's favorite song .aliijua hata before mimi niijue. Majina yote mazuri ni yako...
Umenifanya kuwa kielezo cha waliyobalikiwa, zaidi yayote ukanifanya kuwa baraka ili na mimi nibariki asante sana baba God kwa kuwa nangu❤❤ wewe ndiye muchungaji wangu
Nyimbo nzuri,huwa inanibariki sana
Asnti yesu kwa makuu na ya ajabu umefanya kwa maisha yangu na familia na kurudisha tena uhai wa mwanangu yesu ntakuabudu milele
❤ thanks 🙏 GOD kwa worship song
Am blessed
Praise be unto the almighty God.
Umenifanya niwe kielelezo cha waliobarikiwa,
Zaidi ya yote, ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki,
Nimekupata Yesu na nikaridhika, Wewe Ni Yote ndani ya yote...
That part was sung in church nikasikia ni kama nimeitwa 😱
Nyimbo nzuri mno
I ❤ this song,.
It's a masterpiece.
Ever fresh each time I listened to it.
Powerful lyrics.. ❤ 4rm Nigeria.
Umenifanya kuwa baraka Asante Mungu wangu.naomba uzao wangu ukaufanye kuwa baraka waishi wakikutumainia wewe pekee Mungu wangu
Nakutukuza Mungu usifiwe
I can't get over this song. Speaks directly to me. ❤
Beautiful song. Wow❤❤❤. I can attest to everything in the lyrics. I love it
Nambarikiwa juu uyuwimbo unanisayidia kumuita mungu nakumupatia sifa zak
Ume ni okowa naku ita mwakozi .... Amen
umenipigania nakuita Jehova😭🙌
Amen
Jesus we don't have any other God like you we praise you we honor you we worship you
Asante sana Muimbaji nabarikiwa nafarijika na ujumbe mzuri❤
Umenipigania nakuita Jehova nissi bendera ya ushindi wangu
Nyimbo nzuri
Sana
Am blessed keep up the good work of praise.
For sure majina yote mazuri ni yako Mungu
Majina yote mazuri ni Yako Mungu Asante Kwa kuniponya na ajali ya bus mimi na mtoto wangu🙏🙏🙏
Umenipigania, nakuita Jehovah nissi, bendera ya ushindi!
Thanks for the encouraging song for His glory. God bless you. More grace and anointing oil.
Powerful song
The best worship song that I look for times of prayer 🙏🏾
Mbarikiwe watu wa mungu
Tis song is blessing I feel like I am going to heaven
It's a such a good encouraging song.
Wimbo mzuri wakumsifu nakumshukuru aliye juu yayote
Nimetoka far glory be to God my saviour.akuna🎉jina poa kama ya Mungu.huu🎉wimbo ni ya baraka maishani mwangu amen
Amen
For sure God is great n mighty in life He is beyond my expression
Yes,he's God,he deserves all the praise.
My healer...your name is Jehovah Rapha
Mungu mwama kwangu wala halinga nishwi n'a yeyote
Yule upendo wake hauna mipanga ndio mana najivuni Mungu wangu
18:00 listening this for the first time am really touched❤️❤️🙌🏼🙌🏼god bless y’ll who play role to get this song out!!
I look this bcoz of my daughter I had her singing all verse &she's jst 2&half years 😢😢
Blessed is she
Umeniokoa nakuita bwana Mungu wa wokovu wangu
Wah.. mine too sings it very well and she likes it so much
Jina ya mwimbaji.. this Song is amazing
Duh namna hiyo ktk kumsifuMungu kwa viwango na hisani kubwa be blessed
A true confessions,of what God had done to me ..thank you Jesus you have given another chance
My sweetest Daddy Ebenezer, my Father my helper and only only source of help.Much love Daddy
Nimekupata na nikaridhika Yesu❤❤
Usifiwe ewe Bwana😌
Mwinbo unafirij sana mubalikiwe. Sanaaaa!;love so much
Nyimbo nzuri sanaa
Best gospel music ever!!
I always put this song when I miss my mom, although she is not here God is and he will listen to me.
Sure, siz, God will wash away your cries and heal your Heart. It shall be well.
Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa...zaidi ya yote ukanifanya kuwa baraka ili nami nibariki 🙌🙌🙌🙌🙌
Asante babangu kwa kuniponya wewe ni Mungu na utazidi kuwa Mungu
I was passing somewhere this morning and heard this hit. Through shazam I managed to get it- the name and vocalists behind it. It has been playing on my dial in a loop all this while.
The words of affirmation and wholeness I get from this song is breathtaking ❤..how wonderful is the name of Jesus 🎉
😂 zaidi ya yote umenifanya baraka ili nami nibariki...❤❤❤
Umenipigani mungu ... indeed you are great God
Safi sana,ndabasabira imigisha
Jaman anae sikiliza huu wimbo embu lek
❤❤🎉🎉 napenda unavyo fanya mziki wako.. listening from Bungoma county
Nikupe jina gani kama sisi ww ningekua wapi? Majina yote mazuri ni yako ushindi wangu
Barikiweni sana🙏👏
Ghvhtbg❤
All glory belongs to him ..He is the most high God Amen
This song is such a blessing. God bless
Lord Jesus open my understanding let receive more from this song ❤❤
Mungu wangu ulie juu kwa mbingu nakushukuru umenipa uzima asanteni kwa Wimbo mzuri
Wimbo wa baraka kweli❤
Nafajilika sana nikisikia uhu wimbo
Mungu amenitendea mambo makuu sijui nimuite jina gani without God atungelifika Leo he is more powerful
Napenda lyrics hii. Thank you Lord
Mungu ndio kila kitu2 na majina yote mazuri ni yake🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Glory and honor are for God 🙏🙏🙏 hooo am blessed with this song today
Very creative...am blessed
I love this song from deep of my heart.One of my favorites 🎉❤. It's a master piece .
It's a masterpiece 💯
Wimbo huu unajaza moyo
I swear this song hits different..And im muslim
Jamani me ndo nakufa nao hapa naupenda mpaka basi❤ nikiimba nafarijika sanaaah
Kwa yote umetenda kwa maisha yangu hakika majina yote Mazuri ni yako baba🙌🙌🙌🙏
❤naipendaaaa marudio yakeee❤❤❤❤
Majina yote mazuri niyako Bwana ❤