Dad and mum its been 24yrs and 23yrs since you both left..you left us even before we knew what life is ...been thru alot but we thank God...May your souls continue resting in perfect peace....till we meet again to part no more😢😢
Nakumbuka vizuri, huu wimbo nilipata kuuimba vema tena kwa kuikariri vema nikiwa gereza la wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza. Nikiwa kama mfungwa, Mungu hakika u mkuu sanaa. Niko uraiani maisha yangu ni mazuri tena mwenye afya tele. Nashuhudia ukuu wa Mungu siku zote maishani mwangu.
Mungu ni salama rohoni mwangu,kwa yale umenitendea mwanzo mwa mwaka huu😢😢😢😢😢,, najua mwaka utakapo iisha ,, utakuwa umenitendea mengi🙏🙏🙏,, ule amefika mwisho mwa maisha anakaa kukataa tamaa,, nungu yupo nanii ,, mutumainie 2 kwa imanii,, vicheko n majina ya wanadamu isikuvunje roho
Naomba musamahaa 🤲🤲😭😭😭 Yesu Christo nimetenda dhambi okoa nafusi yangu Yesu nisikose katika ufalume wa mbinguni barikiwa Sana mtumishi wa mungu akutie nguvu unapoendelea 🙏🙏🙏
😢😢😢waaaaa!!!😭😭😭 nothing more to say but this song is absolutely amazing😢It has Rekindled so much memories that always lingers in our minds and what we've been going through since we lost our dad😢Ipo siku!!!
The song was sung before I was born,i studied in SDA sponsored school,GOD BER HIGH SCHOOL, OYUGIS,i trained my fellow school members that song. It became the sweetest in school,we sung it every week either at the assembly or in the church. I left the school ma y years ago. I was glad to learn that the song has been passed to the generations behind me and is still being sung and the sweetest. Am proud for the legacy i left.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉WANGAPI TUKO HAPA 2025.............BASI TUSEME MAMBO YOTE NI MKONO WA MUNGU❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤BARIKIWA MAMA ROSE
Mungu nimwema
Kal sanaaa hakika inafariji sanaaa kama upo hapa 2024 tujuane
Hakika hii nyimbo inafariji
Nihunzuni nikimkumbuka kaka yangu na maishi ninayopitia mungu anisaidie amina ubalikiwe mtumishi 😮wa mungu
Nipo hapa
Mjl@@LeahPetersalamalohoni
Nipo wimbo Huu wanigusa Moyo🙏
Nimelia Mungu vya kutosha kama maombi yangu hayatoshi angalia tu hitaji la moyo wangu baba🙏🙏
🙏🙏♥️
usjali Mungu atakujibu tu.@@aishamueni8419
Mungu akukumbuke my dear
Na MUNGU na akukumbuke
🙏🙏🙏
Huu wimbo ukimbwa nabarikiwa sana rohoni
❤❤❤❤❤
Nakuambia
❤❤❤ December 2024
Amen . ..waiting for God to answer all my prayers
2025 gonga leki hapa
Am here
Dad and mum its been 24yrs and 23yrs since you both left..you left us even before we knew what life is ...been thru alot but we thank God...May your souls continue resting in perfect peace....till we meet again to part no more😢😢
always take heart know that they are happy you are happy❤❤
God is in control just have faith in Jesus 🙏🙏🙏
Always take heart my sister
Hakika ni salama rohoni mwangu kristo nisaidie kuhepukana na majaribu na mateso,Amina
Very nice,Huu mwaka ni Mungu tu,Amen.
Ukristo Raha sana Jamani! Asante sana Mungu najivunia kuwa Mfuasi wa Kristo
Ni salama rohoni mwangu yesu ukiwa na mimi nikumbuke na mimi bwana nimelia vyia kutosha nikumbuke bwana
Atakukumbuka yye ndo anaponya na kupanguza machosi ya waja wake
Amen bwana anasikia kilio Cha mwenye haki atakupangusa machozi🙏🙏
Lavegod
Amesikia kilio chsko kipenzi amin
Pole sana dear pia mm nimelia sana
Nko salama rohoni kupitia kwa huu wimbo ,thnku lord
hi is mumo
Nakumbuka vizuri, huu wimbo nilipata kuuimba vema tena kwa kuikariri vema nikiwa gereza la wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza. Nikiwa kama mfungwa, Mungu hakika u mkuu sanaa. Niko uraiani maisha yangu ni mazuri tena mwenye afya tele. Nashuhudia ukuu wa Mungu siku zote maishani mwangu.
I finnally believe in God.. am broken what i only want is christ in my life.. be blessed my fellow brothers and sisters.😢😢
mungu ni mwema katika maisha yangu niyeye anafanya napumua kila siku aja apewe sifa siku zote
25march 2024 yesu salama rohoni mwangu
Hello there mee here 4:21
Nafarijik na huu wimbo 😂🎉ubalikiwe mtumishi wa mungu
This song blesses me whenever i listen to it, Dear Lord remember me..Ni salama rohoni mwangu🙏
For us who listen to it every morning as our daily prayer let's gather here
25th September 2024,..ni salama rohoni mwangu.. remember me oh Lord I need you......
N salama kweli,, Mungu awabariki
Nimebaki na Mungu tu it's been very very hard but I have God. 🙏🏾🙏🏾
Yale napitia mungu unayajua. Naomba rehema Ni salama moyoni mwangu
AMEN AMEN, MUNGU AKIWA MBELE YOTE NI SALAMA
Hakunana 🎉 kisichowezeka kwa mungu hakika 😊😊 kama utamtanguliza mungu kwenye maisha yako 😅 kila kitu kitakuwa sawa kwenye life yako
Hallelujah ❤❤❤❤ 2025 tuko wapi????
Hapa
Amina nimebalikw san mtumixhi wa mungu
Hiii wimbo imekua since nikiwa mdgo na mbka wa sasa sijaichoka kuiskiza so inspiring its ablesiing to listen and to watch
God wipe my tears away these year for what am going through 😭am listening these when tears are washing my cheeks😭
😢😢ni salama rohoni mwangu ....mungu nakuitaji rohoni nipee amani🥲🙏
It's shall be well dear self 😢🙏
Perfect 🎉🎉
Ni salama rohoni mwangu,
Nikumbuke e bwana.
Na wakumbu wagonjwa na wenye fadhila mbalimbali miyioni mwao.
Wape usalama Bwana Mungu.
Ni salam saan rohon mwangu🎉
A quaker man likes. Amen
Very very nice album my God bless blessed you all
Huu wi.mbo unanikumbusha pastor wangu aliyekufa
Nimeupenda sana jamani Mungu akuinue zaidi hiyo ni hatua nyingine 🎉🎉tunakuombea sana🙏🙏🙏
😢😢😢Eeh mungu you salama rohoni mwangu🙏🙏🙏bila wew siwezi 😢
Amina kaka nimefalijika maana Niko katika kipindi kigumu sana
I love the message❤,,and be blessed keep on going son
Amen ni salama rohoni mwangu huu Wimbo unanifunika uji wangu
Amen may God bless you keep up by grace..... Ni salama rohoni mwangu
Amen kwayote ninayopitia nisalama rohoni mwangu
Keep it up wa jina God bless your plan
Amen Amen Amen mutumishi, ni salama Roho , unifaliji kila no zamapo🙌
Mungu ni salama rohoni mwangu,kwa yale umenitendea mwanzo mwa mwaka huu😢😢😢😢😢,, najua mwaka utakapo iisha ,, utakuwa umenitendea mengi🙏🙏🙏,, ule amefika mwisho mwa maisha anakaa kukataa tamaa,, nungu yupo nanii ,, mutumainie 2 kwa imanii,, vicheko n majina ya wanadamu isikuvunje roho
Be blessed,nmebarikiwa pia, wimbo mzuri
Mungu nikumbuke usiniache baba yangu ❤
Wow that's amazing songs.. congratulations my lovely wife..may God bless you with more massage to all Kenyans.nyce tyme
I used to listen to this song when I was miserable ,indeed God helped me ,thanks sana
Asanteni Mungu aweze kua na nyii
Salama Rohoni, ni Salama Rohoni Mwangu. What a blessing.
Congratulations my dear babygirl. Bwana azidhi kukwanula
kweli ni salama rohoni mwangu tangia nimjue mungu kuwa ni BWANA na mwokozi wangu
Thank you Lord for healing my sister Zuri😊.
Ni salama rohon kwangu pamoja na familia yangu Mungu naomba usikie kilio cha mpenz wangu kwa changamoto anazopitia nakuomba Mungu wangu
All the way from Tanzania now I live in zimbabwe God bless them for good song
Dah !! I mic home ni salama rohoni mwangu .
Powerful message,when my enemies try to make me fall,I really fall in the hands of Jehovah,he put,s shame on them.
Love this song since was with my parents together until now may God come through 😭🙏🙏😭🙏🙏 and spirits flow on my life ❤❤❤
Wimbo unanibariki sana kweli hakika nisalama rohoni mwangu
Mungu anaokoa watu wake kupitia kunywa cha mtu wa Mungu Daniel
Ni salama rohoni mwangu o God nikumbuke unisafishe dhambi zangu nakuhitaji milele🙏🙏🙏🙏🙏
Asante baba ,,kwa uhai na afya njema ni salama rohoni mwangu💋🌹🌹🌹
it has lifted me spiritually
Ni salama Rohoni Mwangu nikiwa upande wa YESU KRISTO MILELE 🙏🏾
Hakika wewe ni salama rohoni mwangu Mungu wangu
It's really awesome am glad when am with you lord
Huo wimbo naupenda Sana ,so good i love it so lit❤
Nimebarikiwa sana kwa kuwa ni Salama Rohoni Mwangu❤
Naomba musamahaa 🤲🤲😭😭😭 Yesu Christo nimetenda dhambi okoa nafusi yangu Yesu nisikose katika ufalume wa mbinguni barikiwa Sana mtumishi wa mungu akutie nguvu unapoendelea 🙏🙏🙏
Haleluya nabarikiwa nisalama rohon
Ni salama indeed....Mungu asante🤲🙏
Wow unajua mototo wangu waliitishwa hii wimbo
So touching song I'm filling with holy spirit through this song
Moyo wangu umechoka mungu naomba unipe wepesi naona kushindwa nimekata tamaa mungu nakuomba 🙏🙏😭
Napia shida nyingi 😢😢sana lakini najua kwa yesu yanawezekana
Nikwei
Na mshukululu sana MUNGU alilipa deni langu msalabani yote yalikwisha ❤❤❤
Ingawa shetani atanitesa nitajipa moyo kwani, kristo ameona unyonge wangu Amekufa kwa roho yangu, ni salama rohoni mwangu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen! Ni salama rohoni
Kwa mungu shida zote zinapokelewa na kusafisha na kuweka huru. Pokea shida zangu mungu wangu nisafishe mwanao ni huru.
Amen
Amen
Aki mama ur blessed hiyo Ngoma Iko poa
Waow ❤❤my girl keep it up more grace n favour❤❤❤girl
❤❤here 2024, song keeps me strong in gulf .team strong pita na like
Mungu akutue nguvu uendelee kumtumikia wimbo mzuri sana Amen🙏🙏
Procession nayo tulinyorosha. Remains one of the best
Mungu uwape pumziko la milele ,mama yangu, ndugu, marafiki na wengine waliotangulia mbele za haki🙏🙏
Kristo ameona unyonge wangu😢
Santi sana team salama from Rangala siaya county ❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😅😅😅😅😊😊😊🎉🎉🎉
may the heavenly father raise to greater height that this gospel may rich the whole world dear brother
Congratulations AIC kanyonga keep it up
Ni salama rohoni mwangu, Amen Amen
Hooo haleluya nabarikiwa nisalam rohon mwang❤❤❤
Asante sana nikiwa,na mawazo nackia huu wimbo inajenga sana❤❤❤❤
sana
😢😢😢waaaaa!!!😭😭😭 nothing more to say but this song is absolutely amazing😢It has Rekindled so much memories that always lingers in our minds and what we've been going through since we lost our dad😢Ipo siku!!!
Wimbo huu unanibariki sana ❤
Wonderful God will lift you to higher heights.
Salama despite the difficulties am thankful
The song draws our soul very close to God
Wow, God is great
Thanks for this song...ubarikiwe
3 april ni salama rohoni mwangu.
Ni salama rohoni Mwangu ata kama Kuna mapito Ni Mungu tu
The song was sung before I was born,i studied in SDA sponsored school,GOD BER HIGH SCHOOL, OYUGIS,i trained my fellow school members that song. It became the sweetest in school,we sung it every week either at the assembly or in the church. I left the school ma y years ago. I was glad to learn that the song has been passed to the generations behind me and is still being sung and the sweetest. Am proud for the legacy i left.
Mungu nimeyapitia mengi sana unishikilie usiniwache😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Ni Salama kabisa pamoja n'a Bwana wetu.