JOEL NANAUKA - KWA NINI WATU WANAKUCHUKIA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 141

  • @LucyMalingumu-xb2vp
    @LucyMalingumu-xb2vp Місяць тому +2

    Daa leo 16/07/2024 nimeludia kuangalia maana yamenikuta mwanzo sikuelewa unamaanisha ila umenifanya nijione mimi nina kitu Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @sumay8817
    @sumay8817 Рік тому +6

    Ubinadamu kazi baada ya kujua hayo cpendi mtu anijue sana zamani nilikua nalia sana nikijiuliza

  • @rehefehe8890
    @rehefehe8890 Рік тому +17

    Asante Sana good lesson, mm kazin kwangu boss wangu nikimsalimia haitikii kama akiitikia sauti ndogo cha kushangaza ni mwanamke mwenzangu, nikiomba vifaa vya kazi hanipi, kwenye department yangu sina msaidizi nimeomba nimechoka lakin mungu mkubwa kazi zinaendelea vizur tuu report on time

  • @senbon8693
    @senbon8693 Рік тому +5

    Hayo nimeyaona.

  • @saadakungulio-zg2nn
    @saadakungulio-zg2nn Рік тому +2

    Ni kweli kabisa brother unapoonyesha kuwa na mafanikio Fulani na wao walidhania utafanikiwa tena kumbe Mungu yupo

  • @righitkileo
    @righitkileo 7 місяців тому +1

    ❤❤kuna watu wan wivu mpaka shetani anawaoqopa.Anataman asikie umekufa asherekee.kisa wivu anataka uteseke,kila unapoqusa pawe pa moto .Lkn wp? Munqu yupo hawez ruhusu.Endeleen kuteseka ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sophiashoko5593
    @sophiashoko5593 Рік тому +3

    Nashukuru sana kwani haya yamenikuta katika utendaji wangu na yameshusha sana malengo yangu ila mungu ni mwema Kila wakati

  • @muniraahmed8794
    @muniraahmed8794 Рік тому +3

    Brother joel asante mie nimepitia mengi . Hayo uliyotaja pia maana mtu anakuchukia ata hujui kosa nini kweli duniani hutopendwa na kila mtu. Mtihani vo maana ukija kwenye uwezo mtu hajui magumu gani uliyoyapitia mpaka akuonee uchoyo!!

  • @festogeorgekwakala4146
    @festogeorgekwakala4146 Рік тому +4

    Mimi ninaye huyo mutu nanifanya nae kaz Ila hataki nijue kaz vizul Kama yeye

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 Рік тому +2

    Umepatia umepatia umepatia tena

  • @warrenmuller128
    @warrenmuller128 Рік тому +1

    Asante kaka nimewahi kuchukiwa bila sababu mpaka sasa bado nachukiwa hawataki hata kuniona nikiwepo Duniani

  • @joycengolly547
    @joycengolly547 Рік тому +2

    Kabisaaa, ndio maisha tunayoishi. Ukitafakari umewafanyia Nini huelewi.

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 Рік тому +1

    Shukran Ndugu Nanauka akubariki Mola 📚📚📚📚 tumekutana nao na kuwaona 🎙️............

  • @anatolianguma6415
    @anatolianguma6415 Рік тому +1

    Nashukuru sana kaka ,aisee Mimi Nina chukiwa sana sehemu yangu ya Kaz af Sina maajabu yoyote kipato kidogo kazi ngumu lakini Kuna watu wanatamani nifukuzwe Leo kesho.

  • @JudithGao
    @JudithGao 15 днів тому

    Asante Sana SoMo zuri Sana

  • @bekabeckam6305
    @bekabeckam6305 Рік тому

    Joël you are great

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 Рік тому +2

    See you at the top Joel.

  • @ponsianaprotas8990
    @ponsianaprotas8990 Рік тому

    Joel Asante sana. Nimepitia hayo, Mungu ni mkubwa! Sasa, nami nianze kuwafikiria ninaowachukia bila kujielewa maana ubinadamu uliopo Kwa walonichukia au wanaonichukia au watakaonichukia ndiyo ulopo kwangu. Ubarikiwe sana kujitosa kutuelemisha.

  • @neemaryan9947
    @neemaryan9947 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana Mr Joel. Mafundisho yaliyoshiba Kama haya Sina pa kuyapata isipokua kwenye chanel hii.

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 Рік тому +1

    Daah hili somo kaka limegusa maisha yangu asante kwa hili somo

  • @_itsEmmes
    @_itsEmmes Рік тому +2

    Waiting

  • @jameskagulu4228
    @jameskagulu4228 Рік тому

    Asante sana kk joel

  • @chankmdudu5777
    @chankmdudu5777 Рік тому +1

    Ahsante wote ninaishi nao

  • @stevenobunde9345
    @stevenobunde9345 Рік тому +1

    Ni kweli kiongozi mimi ninahuo ushuda nilishaambiwa kuwa siwezi kupita mstari na pia nilitamkiwa!!!

  • @Tress-dr5rp
    @Tress-dr5rp Рік тому

    Sante sante kiukweli kaka umenisaidia sana kwenye maisha yangu siku hiz sijali kabisa mtu akiibuka TU na kuninununia kunisema vibaya mbaya Zaid Mungu anazidi kuniinua viwango vya ju wanabaki kuniita mchawi sijali ndo kwanza napambana na maombi na kuongeza KAZI kwa biashara yangu Dunia hi kero TU kikubwa unapuuzia tu

  • @JosiasJosue-y3l
    @JosiasJosue-y3l 11 днів тому

    Asante sana mkuu ila Mimi na chukiwa na mama wakambo bila sabubu je Nina weza ku fanya Nini Ili ni shinde chuki izo

  • @monikangereza7390
    @monikangereza7390 Рік тому +1

    Asante Sana Kaka Mungu akubariki kwa somo zuri.

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 9 місяців тому

    Shukran sana kaka

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Рік тому

    Ever listened this.

  • @janviervenasi
    @janviervenasi Рік тому

    Asante

  • @nestoryvenance4258
    @nestoryvenance4258 6 місяців тому

    Mimi nilikuwa na radiki nilie mwamini na kumueleza Kila kitu changu lakini aligeuka na kuwa mwiba katika maisha yangu alifika wakati hata kuharibu kwa watu wanao nisapoti kibiashara na kuharibu mtandao Wangu kabisa.

  • @moneyfollowme737
    @moneyfollowme737 Рік тому +1

    Asante sana kwa jumbe zako
    God bless you 🙏

  • @user-sf8sr1sg5y
    @user-sf8sr1sg5y 2 місяці тому

    Kaka Joeli nakufatilia lila siku nikiwa na furahaa, lakini leo ni tofauti. Nimekuja uku moyo wangu ukiwaka moto😢
    Lakini niseme tu ili somo limenisaidia sana sasa najua sababu🙏🙏 sasa tunawezaje kuishi na awa watu

  • @ramadhanbashir8484
    @ramadhanbashir8484 Рік тому +1

    100% absolutely true.

  • @danchibomnyama5461
    @danchibomnyama5461 Рік тому

    Daaaah asante sana kaka Joel I like it mungu akubariki sana kuna moja wapo y hizo nishazipitie aseeh ila sisi binadamu bwana dah mungu atuokoe kwakweli

  • @ushindielia9886
    @ushindielia9886 Рік тому

    Asante kaka ang yaan kila mahali mm nachukiwa tu sio kanisani sio kazn mpaka namuuliza mungu kwa nn iv

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 Рік тому

    MUNGU AKUBARIKI, Usiache kumwomba aendelee kukupa Ujuzi zaidi nasi tupate Ujuzi kupitia Wewe ,HAKIKA unafundisha Maisha halisia tunayoishi.Una kitu kikubwa sana ndani yako, "TUELIMISHE".

  • @ramadhanikifondi5010
    @ramadhanikifondi5010 Рік тому

    Fact

  • @iragababien4092
    @iragababien4092 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana

  • @ShadyaJuma-vo8fk
    @ShadyaJuma-vo8fk Рік тому

    Yapo kaka kweli kabisa

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 Рік тому

    kaka Joel Asante sanaaaa kunifahamisha umekua msaada mkumbwa sanaa sanaa kwenye maisha yangu mungu akubaliki enderea kutushushia madini

  • @yahyamrisho2309
    @yahyamrisho2309 Рік тому

    Asante sana yaani ndo hali zilivo kwa asilimia kubwa

  • @sayunielisha735
    @sayunielisha735 Рік тому +2

    Kaka kama ulijua vitaniliyo nayo MUNGU akubaliki sana

  • @shibalubela6500
    @shibalubela6500 Рік тому

    Mungu akubariki na azidi kukutumia Kaka
    Yaani masomo mengi unayofundisha
    Hapa yananigusa

  • @ambrose_vevo137
    @ambrose_vevo137 Рік тому

    Mungu atusaidie......!!!
    Chuki inazidi kuwa kubwa sana ,hapa ulimwenguni...

  • @aishaally8315
    @aishaally8315 Рік тому

    Mm ni mama lkn kupitia ww nimejifunza vitu vingi xana Asante Allah akubariki

  • @leilalusekelo153
    @leilalusekelo153 Рік тому

    Kaka Joel Asante sana kumbe hii ndio sababu dooh Mungu atusaidie

  • @evadindi7243
    @evadindi7243 Рік тому

    Nimeona sasa nilkua sijui, asante saana

  • @christershine5082
    @christershine5082 Рік тому +1

    ❤✍🏻noted

  • @generoseemmanuel4222
    @generoseemmanuel4222 Рік тому +1

    Ni kweli Mambo haya yapo Mimi kwenye officin kwangu nilipewa sumu baada ya kwenda kuogeza elimu manager alisema nataka kuchukuwa cheo chake

    • @bilid4128
      @bilid4128 Рік тому

      Duuh sumu tena 😳😳😳 pole sana mkuu

  • @eliudbeyanga8575
    @eliudbeyanga8575 7 місяців тому

    Kweli kaka

  • @hidayakisensi2747
    @hidayakisensi2747 Рік тому +1

    Hakika kabisa✋

  • @mwajabkombo80
    @mwajabkombo80 Рік тому

    Nikweli kaka wakati Nina dhiki nilikuwa na marafiki wengi sana lakini nimepambana nikafanikiwa wote Sasa wananichukia sana na wamenitenga

  • @floramkumbi3257
    @floramkumbi3257 Рік тому

    Hizo changamoto nazipitia za kuchukiwa bila sababu Basi huwa najiuliza Ni kwanini! Ila Asante kwa majibu nimejifunza. Asante

  • @Warda-sv9jd
    @Warda-sv9jd 4 місяці тому

    Kweli kabisa

  • @glorynkonyi1871
    @glorynkonyi1871 Рік тому

    Nakupenda sana kwasababu Mungu akutumia joel

  • @elkanachogohe2776
    @elkanachogohe2776 Рік тому

    Uko vizuri Sana kufundisha

  • @user-go2eg7gx7v
    @user-go2eg7gx7v 10 місяців тому

    mungu akubaliki joel ❤

  • @victoryagency6679
    @victoryagency6679 Рік тому +1

    Thanks naomba kitabu pls

  • @sifambukwa4925
    @sifambukwa4925 Рік тому

    Thanks so much I get a new knowledge

  • @mwakibingajoseph7593
    @mwakibingajoseph7593 6 місяців тому

    Ni sahii kabsa wengne ni ndugu na marafiki

  • @fatmakassim6404
    @fatmakassim6404 Рік тому +1

    dah ! I have so many enemies na ukiangalia sina chochote kile maisha yangu, Am always with my business lakini lol!, me mwenyewe maisha yangu mtihani mtupu lkn nawanyima raha kwa kweli, ila Mungu anadidimize wajinga hawa

  • @benardtimotheo9420
    @benardtimotheo9420 Рік тому +3

    Nimewahi kuchukiwa nilipowazidi kwenye uwezo wa kufanya kazi kazini na wakaanza kuweka vipingamizi vingi Sana juu yangu ili nisifanikiwa kuwa na performance nzuri lakini sikukata tamaa nili-FOCUS zaidi kuangalia hatma yangu itakuwa ni ipi baada ya safari hii na ndio ambayo ilinipa nguvu zaidi kupambana

    • @ShabikiWaYanga
      @ShabikiWaYanga Рік тому

      Hongera sana Mr Benard jitahidi kuto-kukata tamaa kwa kile ambacho marafiki wanazungumza kukuhusu wewe

  • @ShadyaJuma-vo8fk
    @ShadyaJuma-vo8fk Рік тому

    Unachosema kweli kabisa kaka mimi apa natalajia kufanya biashala lakini ayo unayo sema kama upo na mimi ila nasema nasema tena sitoludi nyuma kaka

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 Рік тому

    Duuuu!!! makazini kwetu, Mungu atusaidie huko ndiko kwenye vita haswaa!!!

    • @pascalbeda7415
      @pascalbeda7415 Рік тому +1

      Mimi ndo changamoto yangu huu mwaka wa 3, napata shida sana

    • @pascalbeda7415
      @pascalbeda7415 Рік тому +1

      Lakini kwasababu najenga nyumba nzur kuliko nyumba zao

  • @mariamubarie7109
    @mariamubarie7109 Рік тому

    Nimeshawahi sana Tena sana

  • @kitalambobabloja8742
    @kitalambobabloja8742 Рік тому

    Da!!!uyu mshua ana madini sana kichwani

  • @josephrutebeza1003
    @josephrutebeza1003 Рік тому

    Mungu atusaidie sana

  • @ismail_4_future.
    @ismail_4_future. Рік тому

    Brother Joel....hii ni kweli KABISA I say umeongea VITU vya uhalisia Sana.......😭😭😭😭 WATU wengi Wana tabia hizi KWENYE Maixha YETU ya kila SIKU

  • @mwanahamisisadiki4892
    @mwanahamisisadiki4892 3 місяці тому

    Nikweli nayaona hayo

  • @mussakubari3920
    @mussakubari3920 Рік тому

    Kweli kaka nakuelewaga sana

  • @elizabethemanuel2122
    @elizabethemanuel2122 Рік тому +1

    Kuna mtu alikua anitaka Ila mim ckumjibu akaniambia kamanikimkata ctaolewa cjajua kwanin mpaka sasa kkanaomba
    nisaidiye

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 Рік тому +3

    Nyie omba isikukute kwa mtu wako wa karibu ambaye hukutegemea.

  • @VioletAteku
    @VioletAteku 7 місяців тому

    Mimi ni mmoja wa kuchukia.bila sababu

  • @neemamsaki1111
    @neemamsaki1111 Рік тому

    My life coach

  • @mosesgwamaka4069
    @mosesgwamaka4069 Рік тому

    Sana yamenikuta wengine Ata salamu awakupi

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 Рік тому

    This is fact brother

  • @thomaschacha9716
    @thomaschacha9716 Рік тому

    Kaka unachosema ni uhalisia WA maisha tunayoishi hasa sisi tunapigana mtaan Kuna meng Sana hakika

    • @joycengolly547
      @joycengolly547 Рік тому

      Somo xuri sana, huo ni uhalisia wa maisha yangu, nkitafari nimewafanyia Nini sielewi.

  • @neemamgeta2955
    @neemamgeta2955 Рік тому

    Ni kweli kabisa

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    🙏🙏🙌

  • @witnesskyando
    @witnesskyando Рік тому

    Ni kweli kabisa 😢

  • @husnahassan3344
    @husnahassan3344 10 місяців тому

    Dah nikweli bro yashanikuta na yanaendelea yaani chuki zisizo msingi ila yatapita tu tegemeo langu kubwa ni Mungu

  • @farhatkhamis4401
    @farhatkhamis4401 Рік тому

    Assalam alaykum

  • @ladslauspius4845
    @ladslauspius4845 Рік тому

    Respect

  • @user-bg8jn9er2j
    @user-bg8jn9er2j 11 місяців тому

    Leo nimepata majibu ya maswali yangu najikuta niachukuwa na watu ambao hata sikutarajia

  • @abbyboyabyna9335
    @abbyboyabyna9335 Рік тому +1

    Doctor plz naweza pata no zako za watsap nina shida sana juu ya mpenz wangu

  • @farajmanuar3589
    @farajmanuar3589 Рік тому +2

    Nice..

  • @kanaeljesus877
    @kanaeljesus877 Рік тому

    Kaka umeongea sahii yamenigusa

  • @uwimanasauda3448
    @uwimanasauda3448 Рік тому +1

    Kabisa kunamtu aliniuliza Marshall ninayo ishi nikamwambiya Amani bada tu yasiku hakurudi kunisemesha mpaka leo

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli Рік тому

    Ni kwe kabisa

  • @kapizoenoban8717
    @kapizoenoban8717 Рік тому

    Nikweli

  • @sofiaantonioantonio7265
    @sofiaantonioantonio7265 Рік тому

    Tunachukiwa sana bila sababu tena wengine tumewasaidia mpaka unajiuliza imekuwaje?

  • @tupoonline3520
    @tupoonline3520 Рік тому

    Daah yani iyo hali ndio ina nipat kwasas sijui kwann nachukiwa tena nyumba moja yaan

  • @bushimani1544
    @bushimani1544 Рік тому

    Wengi Sana bro mm mwenyewe sijui je unafanyaje maana wanaweza kuku wekea ata simu

    • @muhidinmangu3456
      @muhidinmangu3456 Рік тому +1

      Utakufa Mungu akitaka na sio mwanadamu...Usijal my friend

  • @salehaliy7198
    @salehaliy7198 Рік тому

    Nishaambiwa sana kuwa sitopiga hatua yoyote ya maendeleo,na sasa wameprove wrong kinachobaki ni chuki za wazi,hao ndiyo binaadam

  • @sakinamixpambe2602
    @sakinamixpambe2602 Рік тому

    Make ncheke mm wamenuchukia bila yasababu nichuki zisizonamaana hadi sasa wameamua kunifata mmojamoja wanajizima data ili wawe marafiki zangu eti

  • @user-cn1gh4fn8k
    @user-cn1gh4fn8k Рік тому

    ndiy nam nimepata iyo hal,but tunavumilia sababu ndotabia yawaliyo weng

  • @user-sm6kf8tl8m
    @user-sm6kf8tl8m 8 місяців тому

    Ninashangaa kila sehemu nikienda na kukaa mwa muda baadhi ya watu hunichukia tubpasipo sababu na sijui nawakosea nini

    • @BrigitteRachel-gf9zz
      @BrigitteRachel-gf9zz 8 місяців тому

      Yani wewe kama mimi nina roho nzuri na uruma lakini nikikaa sehemu tu watu wananichukia napenda marafiki lakini mwisho wasiku wananigeukia bils kosa lolote nakunizushia maneno ya uwongo na umia sana

  • @user-ue3uu1eh8n
    @user-ue3uu1eh8n 5 місяців тому

    Kiukweli umesa kweli mpaka nimeacha uimamu wa muskiti kwasababu yakuto yajuwa

  • @lightnessshechaba5278
    @lightnessshechaba5278 Рік тому

    Mm nisha chukiwaga bila sababu mazingira yangu yakazi