MATESO YA FAMILIA ILIYONIPOKEA MAREKANI | MTOTO ALINITISHIA BUNDUKI| MZUNGU ALIVYOTUCHANGANYA WADADA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • Winnie ameeleza Safari ya maisha yake kutoka Tanzania mpaka Marekani kwa Aupair na alichokutana nacho huko baada ya familia iliyompokea kua na tatizo la shida ya akili kuanzia mama mpaka watoto.
    Changamoto na mateso aliyopitia mpaka kuweza kujikwamua..
    Pia ameeleza Safari yake ya mahusiano kupitia online dating ambapo alikutana na Mnorway aliepindua maisha yake kwa kumdanganya na Kumbe ni mume wa mtu. Ambae Jana yake alitoka kuona na Leo yake akamvisha Pete ya uchumba.
    Aliacha chuo kwa kudanganywa anaenda kusomeshwa Norway
    Link ya kuomba Aupair - Aupair world
    Agent wa Aupair - Aupair Agent
    Ingia Google na uitumie kupata mchongo.
    Pia ameeleza maswali muhimu ya kuuliza kabla hijakubali tu kuchukuliwa.
    Thank you Winnie for allowing this to be online
    www.oda.international

КОМЕНТАРІ • 404

  • @vivianmahoo8611
    @vivianmahoo8611 5 місяців тому +61

    Ninamshukuru Mungu mimi nilipata familia nzuri sana ya Aupair, nikiwa nafanya kazi kwao kabla sijamaliza kazi kwao nikapataga mimba ya Mtanzania mwenzangu, na nikaendelea kufanya kazi kwao mpaka muda ukaisha, nikarudi zangu tz na mimba yangu, wakajitahidi mpaka wskanirudisha tena nije niishi na baba mtoto wangu, ila kupata visa ya kurudi haikua rahisi, nilikuja kufanikiwa mtoto anamiaka 2 na miezi 2, mpaka leo hii familia nikama wazazi wsngu hapa, watoto wangu wanawaita babu na bibi, sasa niko single, kuna wikiend wanawachukua watoto nanakasa nao ili ni pumzike

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 місяців тому +10

      Woow Hongera sana, Karibu kwa kipindi tupate darasa kutoka kwako +4367764790884

    • @merrynancesimon1562
      @merrynancesimon1562 5 місяців тому +7

      Ila uwe makini kwa watoto wako huku ulaya kunavibabu vinawafanya mchezo mbaya watoto be careful my dear please

    • @vivianmahoo8611
      @vivianmahoo8611 5 місяців тому +5

      Ni kweli unavyosema ila kwa hii familia hapana. Ninamshukuru Mungu watoto wamekua, mimba niliyopata nikiwa kwenyefamilia msichan wangu anamiaka 18, wapili 14, watatu, 12 na wanne 11, wasichna watatu mvulana mmoja, nilitengana na baba yao huyo mkubwa alikua na miaka kumi mdogo 3,

    • @vivianmahoo8611
      @vivianmahoo8611 5 місяців тому +5

      ​@@OfficialDatingAssistanceasante sana ila mimi kuongea kazi kwelikweli, mi niko nchi jirani yako Ujerumani, huku vijijini Bayern , lafuthi na kuongea kama huko kwenu

    • @SalomeKhalfani-cm9xy
      @SalomeKhalfani-cm9xy 5 місяців тому +1

      Namie naombeni liki ya opea

  • @SawayaNm
    @SawayaNm 5 місяців тому +18

    The way she talk seems she got a lot of confidence! If everything she said is true! She got very big opportunity in USA! Mimi ni American - Tanzanian! She is my oldest daughter age! Una takiwa to open your mind real wide! And I will recommend to purse Aviation career rather than nurse! My daughter was being brainwashed to become a nurse! I talk her out of nurse and she pursued Engineering career! And graduated with Highest honors in Civil Engineering she got greater career opportunity rather than nursing! Huyu UA-camr is amazing with her work bring these stories about these young women what they went through hell dreams of living abroad! 👍😂🤣

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 місяців тому

      Shukran sana, ahsnage kwa ushauri kwa binti pia. Naomba nimukaribishe kwenye kipindi ili vijana wengi na wazazi wengi wapate kujifunza kupitia wewe
      Shukran sana +4367764790884

    • @saulamachumi8320
      @saulamachumi8320 5 місяців тому

      Amazing amazing🧡🧡

    • @neemaseiler1122
      @neemaseiler1122 5 місяців тому +1

      Kweli jmn kwa nini winnie kaamua kusomea unesi? Why not Aviaion!?

  • @evelynlyimo1557
    @evelynlyimo1557 5 місяців тому +14

    I had a Kenyan guy that I used to date he wasn't truthful,,he would dodge me whenever I asked him about his personal life,,nà atajipanga vipi ili tuifunge ndoa 😂😂,,I wasted 9 years of my life with a guy who had no interest in marriage,,,ladies redflags kwe😮mahusiano tuwe very careful,,tusijitose ndanya ndoa na mtu ambaye hakupangii maisha ya mbele.. hapo kwa kuajiriwa na mumarekani chochote alicho muambia kirudi back to sender,,Winnie ulipata madam asiye juwa kuwa dunia ni duara, karma will catch up with that boss ,siku zoote malipo ni hapa Duniani...thanks for this great story ❤.

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 5 місяців тому +16

    Uyo dada anajielewa sana,na atakua na mafanikio sana huko mbelen,wadada wengine mnakwama wapi! Msikate tamaa na mjiamin ,chukueni somo hapo kutoka kwa hako kadada ka kigogo

    • @user-dh7yg6dl5e
      @user-dh7yg6dl5e 5 місяців тому

      😅😅na ww unakwama wapi kaka😂😂

  • @user-ef2gv8ny7l
    @user-ef2gv8ny7l 5 місяців тому +28

    Wazungu wengi hawajui ku organise vitu ndani in short ni wachafu sana wakijisaidia hawa flush na wamewapa watoto uhuru kupitiliza kuishi nao ni shida sana watoto hawana adabu hata kidogo ni challenge sana pole mdogo wangu

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 5 місяців тому +3

      Hii ni kweli kabisa. Wana kila kitu cha kuwafanya wawe wasafi lakini ni wachafu mpaka inakifu kuishi nao ndani ya nyumba moja

    • @sarafinasangajenga1378
      @sarafinasangajenga1378 4 місяці тому +1

      Ni w achafu sana hajui kufanya chochote wavivu sana

    • @MeckitilidaTushabe-or9hu
      @MeckitilidaTushabe-or9hu 3 місяці тому

      Nikweli kabisa

    • @user-ef2gv8ny7l
      @user-ef2gv8ny7l 2 місяці тому

      Nikweli Sarafina yani kuishi na wazungu inataka moyo na hasa pale wanapokuwa na watoto wao yaani watoto hawakatazwi kufanya chochote kwakweli inatakiwa kuwa mvumilivu sana yaani Mungu atusaidie sana

  • @Njeriii536
    @Njeriii536 4 місяці тому +10

    Sijawahi kusikiliza video ndefu hiv ila WIN anaushawishi mno mtulivu karembo ❤

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 5 місяців тому +12

    Yaani Winnie ningeweza mtamani kuwa mke hata angekuwa na miaka 60.
    Kichwa imejaa akili imetulia,mvumilivu na mstaarabu na hana haraka katika kuhakiki jambo.
    Hongera kwa wazazi wake.na kwa huyo anayemiliki icho kichwa.
    Beautiful

  • @lydiaevod5886
    @lydiaevod5886 5 місяців тому +7

    She is very wise and humble and they way anavyo ongea

  • @vero57
    @vero57 5 місяців тому +8

    Huyo mzungu anaye chiti atakua na wanawake wengi zaidi ya hao 2 khaaa!!! Jamani mbona kazi kweli kweli!!! Pole sana yaliyo kukuta kwa yule mama magazine wa rangi yule atakua na bipolar atakua

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 5 місяців тому +9

    Winnie,beautiful with brain,hongera kufika US ukiwa bado mdogo,utafika mbali sana.Nakuombea huyo mchumba Mtanzania asikutende kama mzungu alivyofanya,usikubali kuignore redflags zikija fanya maamuzi mtu asikuharibie future,we bado mdogo tena mzuri,your future is still bright.
    Asante sana Shena kwa kuleta mabinti wenye madini wawafundishe mabinti wenzao kujiamini.Nimefurahi Winnie alivyoapply confidence na kujisimamia mbele ya huyo mama mtesi wake..Big Up❤

  • @suzannemilembenyalagu4802
    @suzannemilembenyalagu4802 5 місяців тому +6

    Daah kweli love is blind .......dada alionyeshwa Red Flags zoote but still hakuziona . I have learned a lot through this story! All in all Congratulations Winnie , you are really a strong woman.

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 5 місяців тому +15

    Hongera na karibu USA. Nachokushauri huyo mtanzania nae mchunguze, hawa wakaka zetu na wadada waliopo hapa tena miaka mingi huwa wana mambo yao ya kishenzi shenzi, mimi ni muanga, ila yaweza kuwa wewe ndo bahati yako ipo kwake. Usikurupuke mamuzi, mshirikishe Mungu, na usi ignore red flags.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 місяців тому +1

      Karibu sana kwa kipindi ili tujifunze +4367764790884

    • @MagrethCharles-ne2ts
      @MagrethCharles-ne2ts 5 місяців тому

      Well said !

    • @LeylatVlogs
      @LeylatVlogs 5 місяців тому

      Mvumilivu hula mbivu

    • @For_the_gram
      @For_the_gram 5 місяців тому +1

      Tena watanzania wa marekani hawafai mnooooo😆😆😆atalia Kama paka,Mimi ni muhanga pia

    • @user-mr7gl5ox6u
      @user-mr7gl5ox6u 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂 ila watanzania 😂😂😂

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 5 місяців тому +11

    wasichana jitaidini kuomba Mungu hawakutanishe na watu sahii prayers is key for everything,pole dear kwa challenges umepitia l hope utafanya mistakes tena,God bless you shena kwakweli you're channel inatufundisha vingi kama vijana,Asante kwa wote mnao share ili tupate kujifunza mubarikiwe sana❤❤❤

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 5 місяців тому +8

    Mungu ameona kilio chako ipo siku hakupe hitaji la moyo wako nimekupenda bure nitaendelea kukuombea daima .

  • @nasrinairi9556
    @nasrinairi9556 5 місяців тому +12

    Nimempenda Wini, alafu kidogo afanane na Rosa Ree

  • @gracenbarnes5254
    @gracenbarnes5254 5 місяців тому +8

    Marekani ulaya ukikuta mzungu wako ana watoto wawe wadogo au wakubwa yani huwambii kitu kuhusu watoto wanawadekeza watoto unakuta mtoto mtu mzima lKin haachi kuomba pesa kwa baba yake. Tofauti na afrika mtoto anamtunza mzazi wake aliezeeka lkn ughaibuni mzazj anaendelea kumsapoti mwanae ata km ana kazi nzr..ushauri usijaribu kutaka kuwa mama Kwao utaumia potezea hakikisha kadi ya Bank password haijulikani Kuna wazungu mtoto mtu mzima akimwomba pesa kama Hana atatoa kwenye akaunti yako bila kukwanbia amridhishe mtoto

  • @umsalim6515
    @umsalim6515 5 місяців тому +20

    Bora ulivotoa hii maana watu husema waarabu tu wanotesa wafanyakazi

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 місяців тому +13

      Watesaji wapo dunia nzima.. na wazuri wapo dunia nzima pia
      Ni kumuomba Mungu atukutanishe na watu wazuri

    • @Aisha-qd2rg
      @Aisha-qd2rg 4 місяці тому +1

      Ndo hivyo my kila nchi ina watu wazuri na wabaya sema NI vile hawachukui wadada kama warabu lait wangekua wanachukua hata wao wangekua na sifa mbaya

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 5 місяців тому +4

    Winnie,you are too smart,beutiful and intelligent,you have a bright future in US,someone of your calibre.

  • @adammsigala1043
    @adammsigala1043 3 місяці тому +3

    uyu dada anaongea vizuri sana namna anavyo tamka maneno ya Engilish unatamani uwe unamskiliza mda wote

  • @user-ll3pk6jf7s
    @user-ll3pk6jf7s 5 місяців тому +3

    Winnie nakushauri acha kumpenda mwanaume mazima hawaaminiki kabisa hawa viumbe love you mdg wangu❤❤

  • @Officalnaph
    @Officalnaph 5 місяців тому +11

    Nimefulahi kukuona upo mzima wa afya, mara ya mwisho tumeonana daaaa ulilia sana lakini pia ukanigusia story hii huku unalia sana. Mungu akupe maisha malefu na endelea kupigana kwani maisha ndio haya haya. Happy.

  • @omaryminzi7715
    @omaryminzi7715 3 місяці тому +1

    Wazungu wanachukua advantage kuwa tunawaona wanapesa. Ni matapeli. Hongera sana kwa kushare ur experience. Mzee mwenzangu naye alikuwa too soft kwa mzungu mkwe. Unaruhusuje binti yako akatembeee na mzungu bila mahari. How

  • @esterkivaria8986
    @esterkivaria8986 5 місяців тому +10

    Barikiwa dada shena!!! yaaani najifunza vingi saaana,,, MUNGU azidi kukutunza!!!!!

  • @SuzanneMyles
    @SuzanneMyles 5 місяців тому +12

    She is so cute and natural 😊😊😊

  • @BeatriceBite
    @BeatriceBite 4 місяці тому +3

    Aisee Winnie Winnie hongera ur a super woman..una moyo wa kipekee

  • @saadajaha4191
    @saadajaha4191 4 місяці тому +1

    Winnie unabahati...umeweza kuondoka salama hawa watu wanaweza kukupoteza....una moyo wa kweli mungu atakusaidia na imani yako na upole ulionao....

  • @glaqgloryaqram7511
    @glaqgloryaqram7511 5 місяців тому +3

    Winnie ur a very strong Woman and a good story teller jamani,wish u well with ur partner ❤ikawe kheri this time and forever ❤

  • @vasudepika4521
    @vasudepika4521 5 місяців тому +2

    Hello guys, I really appreciate this program and have learnt ALOT . Am jackline from tz. It opens us ALOT with what is going on and love it

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 5 місяців тому +7

    kati ya wadada ulio oda story nao huyu ni pini ya kwenda kwanziya sauti mpaka uzuri jmn

  • @anithayusto7325
    @anithayusto7325 5 місяців тому +3

    Nimejifunza🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏! Wacha nikae Kwa kutulia sasa haya mambo ya mapenzi hayana formula

  • @user-tl9mx6sw4o
    @user-tl9mx6sw4o 5 місяців тому +7

    Dada unaongea kingereza kizuri mpaka raha

  • @dianaleole5383
    @dianaleole5383 5 місяців тому +2

    Jamani nimekupenda Bure Winnie upo vizuri sana kila la kheri Mungu akutangulie upate kila hitaji la moyo wako

  • @sarahsamila4936
    @sarahsamila4936 5 місяців тому +18

    Nimempenda huyu dada jmani ❤❤

  • @gilliansimon8517
    @gilliansimon8517 5 місяців тому +2

    Khaa Norwegians.. hata chakula unachokula lazima uangalie sana..akitaka kukutumia atakuweka usingizi ili usifanye kitu..ni normal kabisa...normal na Scandinavians wanateteana,legal cases are bias, employment right cases ni bias,education rights ndio kabisa. Unatakiwa uwe very strong

  • @user-pz9ps8pk3d
    @user-pz9ps8pk3d 4 місяці тому +1

    Winnie was so smart since Alfa high school ❤❤ hongera sana Winnie and sorry for all the hard tym u passed through Mungu azidi kukulinda kipenzyy❤

  • @joycemetili3876
    @joycemetili3876 5 місяців тому +3

    Pole kwa yote dear...alikuachia laptop makusudi alijua utaona msgs...lakini huyo atakuwa na ugonjwa wa akili..his behaviour is not normal...bora Mungu kakuepusha

  • @user-uy3jx2fe6u
    @user-uy3jx2fe6u 4 місяці тому

    Pole winy nashangaa vile uvivyo mvumilivu ila nimependa ujasiri wako vile ulivyokuwa anajiamini kwa yule mama,ila jambo kuhusu kuwa mzungu hana bunduki walidamganya marekani bunduki mtu anaweza kuwa nazo 6 ndani andadilisha kama nguo,Mungu akuondolee hiyo roho ya kuonewa na akupe maisha ya furaha

  • @sabayachad3345
    @sabayachad3345 4 місяці тому +2

    Hakika nimefuhai maana kama kashule Fulani hivi.Dada wini asante nmependa tabasamu lako.wadada ambao hatujapata mahusiano ya kudumu tumuombe mungu sana.kupata mwenza sahihi sio rahisi na si kwa akili zetu.

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 5 місяців тому +3

    dua la kuku halimpati mwewe😂😂yule mama wakizungu akajifanya anaugonjwa wa ukichaa atafikiri angemkomoa da winni kumbe ndo akamuongezea mwendo woiiiiiii

  • @jacksonjuma3653
    @jacksonjuma3653 5 місяців тому +2

    Hongera sana napenda unachokifanya dada najua ipo siku tutabarikiwa na sis wapambanaji

  • @salehehamisi2771
    @salehehamisi2771 5 місяців тому +4

    Nmependa English jinsi anavyoongea kama sio mbongo...nmempenda sana

  • @jacobluke7875
    @jacobluke7875 5 місяців тому +2

    OPERA is a volontary work dealing with kids in the family as part of family with little pay
    General speaking is not good thing to do
    Those day of slavery are gone just stay home africa is a paradise and richest

  • @lilianfelix5143
    @lilianfelix5143 5 місяців тому +1

    Shena God bless you!...I am really learning a lot from this platform. I thank God for you. Nilikuwa mtu wa kuwatamani wazungu but now I have to take it slowly 😂❤... I thank God for you....

  • @neemaseiler1122
    @neemaseiler1122 5 місяців тому +2

    Yaani nilikua km naangalia movie..big up, Mungu amekuvusha

  • @pricemlay
    @pricemlay 5 місяців тому +2

    Dad's Girls huwa wana over confidence which asipoweza kucontrol anakuwa na EGO Pole kwa uliyopitia dear ni vyema kutukujibu hata kama unahaki ya kujibu learn to observe more .❤

  • @kapeljjkapeljj5407
    @kapeljjkapeljj5407 5 місяців тому +1

    Duh umepitishwa dada pole but now ur here US glory to God

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 5 місяців тому +5

    Wow, very nice interview❤ dada ni mrembo sana na ana akili😊

  • @Joliegal834
    @Joliegal834 5 місяців тому +6

    Hadi nmelia nimekumbuka mbali sana bora wewe umefanyiwa na watu baki mimi ndugu kabisa😢😭😭 nmelia sana leo

  • @oiiii3898
    @oiiii3898 4 місяці тому +1

    I would say sharing location in America is something that family’s do for safety issues… I don’t know her intention ilikuaje lakini share your location with the people you leave with… ingawa sidhani huyo mama alikua mtu mzuri

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 5 місяців тому +73

    Mnaoangalia hii live JAMANI MUWE MNALIKE HIZI POST ILI WATU WENGINE WAONEEEEE. mnaangalia tu alafu amLIKE Mxeuwwww

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 5 місяців тому +2

      Jamani zay umetufokea mweee😂😂

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 5 місяців тому +1

      Tusamehe sisi tumekosa😂😂

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 5 місяців тому +3

      @@nicekweba9920 viewers mpo elfu kumi afu like azifiki 100, nngekua mwenye chanel nngepiga block wote🤣

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 місяців тому +7

      Ahsante Zay kwa ukumbusho.. watu wana enjoy na kujifunza lakini ni wavivu (hawataki) ku Like na ku subscribe.. Sijui tunakwama wapi kuonesha love and support… Ahsante sana kipenzi

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 5 місяців тому +3

      @OfficialDatingAssistance kinywaji kinasoma hapa leo🤣🤣 nmemaliza kuangalia like sijui 90, viewers elfu 11🤣🤣🤣 JAMAN MLIKE NA MSHEHE WENGINE WAONE.

  • @jenipherwilliam
    @jenipherwilliam 5 місяців тому +1

    Jamaniiiii Ehhhh 🙄🙄🙄pole sana ila maisha ni mapambano! Pambana mpaka tone la mwisho ni marufuku kukata tamaaa!! Pia simama sana kwenye maombi yamkini una vita ya kufanikiwa🙏 Hongera Shena😘

  • @kanoa645
    @kanoa645 4 місяці тому +2

    Pole na hongera sana, you r great

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 2 місяці тому +1

    She is beautiful hadi raha❤

  • @lydiaevod5886
    @lydiaevod5886 5 місяців тому +1

    Nimeipenda winie jamanini she is very wise and ananyo ongea ❤

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 5 місяців тому +11

    Haka kadada kazuri ❤

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 5 місяців тому +5

    pole sana ni simulizi ya kusisimu mno hii ndo njia panda ya clouds

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 5 місяців тому +3

    Anzeni bwana watu tunafuta mawakala hatupati, dada aza hiyo watu wengi sana wanataka kuja huko kufanya kazi

  • @gracenbarnes5254
    @gracenbarnes5254 5 місяців тому +1

    Mi Natoa ushauri kwa ambae ameolewa na mzungu na uyo mzungu ana watoto ambao hujuzaa nae. Ukweli mchungu ni hiu pamoja na mzungu kukupenda mok kukuoa Hawa watu wanapenda damu zao kweli kweli kama huna uwezo wa kuzaa nae na utapenda uzeekee nyumbani ukiataafu nakushauri fanya kazi Jenga na wekeza nyumbani afrika

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 5 місяців тому +3

    Mara nyingi wanawake ktk nyumba ndio hua wenye matatizo kwelkwel plus matoto yao yasiokuwa na adabu bas usipokua strong unaweza kukata tamaa na kuacha kutimiza malengo yako😢💔 Mungu atusimamie kiukwel

    • @user-dk3ss9ts7n
      @user-dk3ss9ts7n 5 місяців тому

      Ata huku wapo watu ambao usipo simama vizur watakuangusha

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 3 місяці тому

      ​@@user-dk3ss9ts7nkabisaaaaa 😢😢😢

  • @Upendo6405
    @Upendo6405 3 місяці тому

    Mana kunavitu vyakimagano tunalisi bila kujua na shetani kaziyake nikualibu pia aombe toba na lehema kwa mmchumba wake na ajiombe mwenyewe toba na lehema kwa mungu aite damuyayesu imtakase na unajisi wote pia avunje magano yote yakulisi yakutupiwa na aombe sana kuvunja lango la uwalibifu amen mungu akulinde na akufanyie wepesi kwa kilajambo❤

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 2 місяці тому

    Leo umependeza sana Shena nimekupenda kwa ajili ya Allah mavazi hayo usivue umependeza sana Shena Allah akulinde

  • @protusmushi7162
    @protusmushi7162 5 місяців тому +5

    Ni vizuri akaongea zaidi kiswahili mana kuna watu hawamwelewi hapa.

    • @Ericzdeking24
      @Ericzdeking24 5 місяців тому +2

      wasioelewa wataendaje huko nje.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 місяців тому +2

      Sio kila mtu anaongea kiswahili sanifu.. tuvumiliane tu hamna namna.. 🥰

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 5 місяців тому +2

      Ila nimependa anajitahidi kingereza anaongea vizuri sanaa

    • @saulamachumi8320
      @saulamachumi8320 5 місяців тому +2

      Ana kiswahili kizuri na kizungu kizuri pia. Anavozungumza hachoshi kumsikiliza

  • @ainorbaibe
    @ainorbaibe 5 місяців тому +4

    Hongera kwa kutokubali bullshit💪🏾 Pia Norway haikubali polygamous marriages. You were dealing with a narcicist😢

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 5 місяців тому +3

    Mzungu alikupenda sana ila mwenzio wa Arusha alikuzidi maarifa upande wa pili wanajua kuroga 😢

    • @Urembomilele_
      @Urembomilele_ 5 місяців тому

      Sio kuroga wanaume wakiamua kukuchezea ndo hvyo

  • @CiscaRecaps2015
    @CiscaRecaps2015 5 місяців тому +1

    Lakini aupair marekan haichukui kutoka Tanzania.Dating assistant unajua hilo.So she is just lucky,

  • @user-qm8vp1oi4q
    @user-qm8vp1oi4q 5 місяців тому +2

    Mm nimefanyiwa hivyo vitu hapahapa tz, kuna watu wanajiona wao wanaishi maisha wamemaliza, nakuweza kuumiza wengine wenye shida

  • @shamzone388
    @shamzone388 4 місяці тому +2

    She cute baby i like her nature color❤❤

  • @delilahbutterwick9789
    @delilahbutterwick9789 5 місяців тому +2

    Na wow what the story your beautiful and life itakuwa poa to ❤❤

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 4 місяці тому +1

    Dah sister wetu anamiezi 7 tu usa lkn kizungu kingiiii dah ao ndo Dada zetu WA kibongo

  • @nurumwangoka5924
    @nurumwangoka5924 5 місяців тому +4

    Ilitakiwa iwe na part 2 huyu Ana madini sana

    • @saulamachumi8320
      @saulamachumi8320 5 місяців тому +1

      @nurumwangoka5924 i second you. Part 2 muhimu aisee she is a germ

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc 5 місяців тому +2

    Nakupenda mdogowangu mungu atakusaidia utafika mbali

  • @neemamwakasape1630
    @neemamwakasape1630 5 місяців тому +1

    Mama ni second god, hata akisema anahis wee mckilize tu. Wamama wanaona mbali sana

  • @chikuswai491
    @chikuswai491 3 місяці тому

    Mungu akubariki kwa moyo wa uvumilivu. Huyo mama Ana roho mbaya, hizo laana zitampata yeye mwenyewe,. Mungu akuwezeshe ktk Kila jambo lako, ubarikiwe

  • @user-lk9rh5xp4u
    @user-lk9rh5xp4u День тому

    Tabia za hao wazungu aliopata huyu dada hawana tofauti na waarabu yaan manyanyaso ya kutosha

  • @marthakunaga7347
    @marthakunaga7347 5 місяців тому +3

    Nimelia sana...ila big up ni mjasiri

  • @blessedaggie9159
    @blessedaggie9159 5 місяців тому +1

    I hope that lady heals...kuna vitu vinamsumbua

  • @RadegundaChambi-ec7yw
    @RadegundaChambi-ec7yw 5 місяців тому +5

    Hii Chanel ni muhimu sana mm ni Sr hata SS tunafuatilia sana

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 місяців тому

      Ahsante sana.. please share with others to subscribe ili channel ikue zaidi.. 🙏🙏

    • @rosenyeme9201
      @rosenyeme9201 5 місяців тому

      Please help spellings za hiyo agency, naskia something like opera or inaandikwaje?

    • @sekikigosi8265
      @sekikigosi8265 5 місяців тому

      Au pair

  • @DoreenMwakibinga
    @DoreenMwakibinga 3 місяці тому

    In short nilivyoelewa she was insecure pili she is the one who has money in the family so alikuwa anacontrol everything na mwanaume alikuwa hacontribute zaidi so everything was on her shoulder. Aliweza kuwa single na watoto wake wawili maisha yakaenda.

  • @successmbio878
    @successmbio878 3 місяці тому

    Wini kapitia mengi pole sana,Mungu akutie mtu sahihi kwenda kwenye ndoa

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 5 місяців тому +1

    Huyo mzungu kaaama wifi yangu vilee!!Ni mzungu, waliniletaga huko na kaka angu,nilikoma Marekani niliiona kama segerea,nilikonda nikawa kama kijiti,nkasema chakujifiaaaa???? Aseeee?? 🙁 Namshukuru Mungu aliniokoa.Huko uzunguni nenda ikiwa tu Mungu amekukusudia kweli uende ukafanikiwe huko,kinyume na hapo ni majanga.🤗

  • @oiiii3898
    @oiiii3898 4 місяці тому

    The gift part during Christmas oooh yeah girl they do that don’t get fooled. Glad you’re bold

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 5 місяців тому +3

    Story nzuri sana inamafunzo

  • @sarafinasangajenga1378
    @sarafinasangajenga1378 4 місяці тому +1

    Shida ni kwa sababu ni mzur ndo maaana uyo mama alikua anafanya hivyo

  • @user-tt7cu2et1x
    @user-tt7cu2et1x 5 місяців тому +2

    Jamani ..nawapendaaaa bureee ❤❤😂

  • @dianaleole5383
    @dianaleole5383 5 місяців тому +1

    Sema hapo kwa huyo mzungu mwenye tabia za mamba pole ila umenikumbusha mbali sana mimi siku nilimpigia mtu simu alivyopokea eti akaniita granny I'm coming 😂😂😂 yaani ashukuriwe Mungu nilikuja kumpata mtu sahihi

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 місяців тому

      🤣🤣Pole manake Imebidi nicheke… Karibu kwenye kipindi jamani tujifunze na kucheka wote +4367764790884

  • @maryjohn1235
    @maryjohn1235 3 місяці тому +1

    Hongera sanaaaaa kwa umri wako umewezaaa

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 4 місяці тому +2

    Wazungu matapeli wengi tuu ulaya

  • @athanaskipeto572
    @athanaskipeto572 4 місяці тому

    Hongera kwa kujiamini na kujali utu wako una akili kubwa angalia vitu vya kufanya mwenyewe kuajiriwa una poteza mda

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 5 місяців тому +1

    Wazungu mbuzi mnooo pole mwaya be strong 💪 ❤❤❤

  • @cynthiaAndrew-ww5rh
    @cynthiaAndrew-ww5rh 5 місяців тому +1

    Kuna wazungu wakikuambia ameishi nchi mahali fulani unatakiwa kukimbia maana wanakua wameshajifunza tabia za ajabu za baadhi ya watu wa maeneo hayo .

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 5 місяців тому +1

    Asante sana Shena, i really like your video, its a love story lakini zinafundisha sana 😘.

  • @fatmaalbeity9097
    @fatmaalbeity9097 5 місяців тому +1

    Huyo mwanamke alikuwa na kasoro fulani anataka ku control kila mtu na kwa kweli ulikuwa na moyo kweli kuishi na mtu kama hiyo

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 5 місяців тому +1

    Jamani ebu nipeni huo mchongo wa uagents unakaaje nipo tayari hapa kikazi

  • @user-ui5bv7rc8d
    @user-ui5bv7rc8d 4 місяці тому

    Keep it up for my side i feel ure very intelligent why dnt you be a doctor

  • @mostgang130
    @mostgang130 5 місяців тому +3

    glad to be here

  • @user-lv7nv3tk7b
    @user-lv7nv3tk7b 5 місяців тому +1

    Stori nzuri saaana! Imenifunza mengiiii

  • @SaraphinaKweka-rp1lg
    @SaraphinaKweka-rp1lg 3 місяці тому

    Wini ni mzuri sana Kisha nimwuelewa

  • @pira7439
    @pira7439 4 місяці тому +1

    sisi waafrika tunaona waarabu tu ni mkorofi, sasa tushawaona wazungu walivo ? tuwachi chuki kwa waarabu.

  • @claramboya2018
    @claramboya2018 5 місяців тому +4

    Sasa uyu ana miez saba tuu apo kwa wazung,lkn nahis kiswahil tayar ameshasahau😅😅😅

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  5 місяців тому

      Hakuna anaesahau lugha Mama… ni mapendekezo tu ya kuamua kuongea zaidi lugha ipi

    • @rosiehayatta2619
      @rosiehayatta2619 5 місяців тому

      😂😂😂😅

    • @claramboya2018
      @claramboya2018 5 місяців тому +1

      @@OfficialDatingAssistance 🤩🤩🤩 tatizo letu atujui kuongea lugha,tunachanganya sn,nikiamua kuongea english bs na iwe mwanz hd mwisho na km ni kiswahil iwe ivyo ivyo 😂😂sijasema kwa ubaya lkn,mm nina miaka 12 apa Spain lkn siwez kukutana na mtu au kuojiwa niaze kuchanganya lugha apo, 🙌🙌

    • @user-ns3hd1cp2l
      @user-ns3hd1cp2l 5 місяців тому +1

      Mnaopenda kuoa au kuolewa na wazungu mpoo

    • @ilakozasembumende1975
      @ilakozasembumende1975 4 місяці тому +2

      Hakusoma tanzania na familia yake hapa ni yakishua tuuu so kingereza ameenda anakijua so msimchukulie vibaya

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 місяців тому +2

    Utafanikiwa wengi tumefika USA 🇺🇸 tumepata matatizo makubwa, sasa hivi tuko vizuri.