Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 кві 2024
  • Mary ameeleza safari yake ya kutimiza ndoto yake ya kupata Mzungu, alitoka mwanza kwenda Arusha kutafuta Mzungu. Alikutaka na wazungu wa honyo lakini mwisho akakutanana na ambae bi mume wake na sasa anaishi Belgium.
    Alinyanyasika na kudharaulika sana na kuitwa maijina mengi mabaya kutoka kwa familia lakini aliwaacha mdomo wazi baada ya kufunga ndoa.
    Thank you Mary for allowing this to be online
    www.oda.international

КОМЕНТАРІ • 238

  • @OfficialDatingAssistance
    @OfficialDatingAssistance  3 місяці тому +18

    Tiktok: mickymary

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 3 місяці тому +3

      A office dating assistance

    • @lylm4147
      @lylm4147 3 місяці тому +4

      Oh! OK; and what makes you " offucial" are you elected or appointed by a body or some authority to provide assistance?

    • @negwamwaipopo6467
      @negwamwaipopo6467 3 місяці тому

      Hi

    • @KADOGOFOUNDATION
      @KADOGOFOUNDATION 3 місяці тому

      Hello madam
      Im from kenya Pia Mini niko Germany nataka siku moja nitoe Safari yangu nilipo Anzahl mpaka kufika ulaya

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 3 місяці тому +11

    Shera Mungu akubariki Asante kwa kwa kuanzisha shuhuda hizi sinazo husu maisha,sinatufundisha sana,dada msukuma umenikumbusha mengi nilipitia magumu yanaendana nayakwako kidogo japo yanatofautiana, Mungu nimwema sana ametuvusha kwa mengi.

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh 2 місяці тому +3

    Wewe ulipenda upate mzungu mbali hukuomba Mungu akupe mwanaume mzuri sasa maji kayavulia nguo yaoge tu. From Kenya 🇰🇪

  • @haryanyawu640
    @haryanyawu640 3 місяці тому +6

    Pole ssna kwa mapito uliopitia ila marafiki sio watù wema maana ukiwasaidia matokeo yake wakakusaliti Mungu akutunze daima

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 3 місяці тому +4

    Waooo mwanetu mtoto wa kihaya hongera sana mwenyezi mungu awatangulie

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 3 місяці тому +1

    Pole sana kwa mapito Mary na Hongera mno kwa mafanikio ya Ndoto zako. "Baada ya dhiki faraja'.

  • @neemaseiler1122
    @neemaseiler1122 3 місяці тому +3

    Interview nzurii,asante Mary. Hongera pia,uko kwenye honeymoon period Enjoy❤

  • @neophitalukiringi8260
    @neophitalukiringi8260 3 місяці тому +28

    Asante sana Shena. Mimi nina miaka 52 nimekuwa nikikufuatilia sana story zako nami Mungu kunijalia nimepata Mume mtarajiwa . Asante sana.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  3 місяці тому +7

      Hongera sana sana
      Glory to God
      Karibu sana kwa kipindi 🥰🥰🙏

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 3 місяці тому

      Glory to God❤❤asichoweza Mungu hakipoo💪🏼👏👏👏🙏🙏na ikawe yenye kheri Amen

    • @Aisha-qd2rg
      @Aisha-qd2rg 3 місяці тому +2

      Umepata kupitia mtandao upi mamy tujuze

    • @zulekhamjungu7217
      @zulekhamjungu7217 3 місяці тому

      Hongera sana Mungu akutangulie

    • @olivamaziku8692
      @olivamaziku8692 Місяць тому

      Hongera

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Місяць тому +2

    Kumbe huyu dada hiki kitu kiko kwenye damu yao
    Baba ake akishakuwa na mzungu😮
    Shangazi wote wameolewa na wazungu
    Safi sana

  • @rutahalima1400
    @rutahalima1400 3 місяці тому +7

    Shena hongera kwa kazi yako nzuri

  • @tikaeddie7284
    @tikaeddie7284 Місяць тому +2

    Nilimpata mmoja ni kituko and am glad am a mama of one beautiful baby girl, still waiting for God's time right now. I will find a white man special for me.

  • @fortunenova6242
    @fortunenova6242 3 місяці тому +4

    Shoga yangu Mary hatimaye.... this interview was so good 😊

  • @user-uv2zg4uc5o
    @user-uv2zg4uc5o 2 місяці тому +2

    Hongera sana mwanangu ulipambana Mungu aku simamie ndoa yako idumu milele na mafanikio pia

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 3 місяці тому +6

    Hayo maisha sio salama kabisa huo ni udangaji na wazungu kudanga kisa kuolewa na mzumgu

  • @agnettakamugisha4984
    @agnettakamugisha4984 Місяць тому

    Hongera sana. Ushauri mzuri ❤❤❤👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏽🙏🏽.

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 місяці тому

    Wewe msichana shunjaaaaa oyyyy nakupenda msichana mzuri sana KBS 🥰👍👏🔥

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 3 місяці тому +8

    Duniani Mapitoo jamaniii lakini Mungu ndie kimbiliooo

  • @atuamohamed9664
    @atuamohamed9664 3 місяці тому +1

    Ahsante kwa maelezo ya upendo

  • @negwamwaipopo6467
    @negwamwaipopo6467 3 місяці тому +1

    Nice story

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 3 місяці тому +3

    Aisee hongera sana dada yetu

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 2 місяці тому +16

    Ushauri wangu wasichana msitamani maisha ya Mary muache tamaa Mary anacheka tu lakini amepitia magumu sana hayo sio maisha

  • @vero57
    @vero57 3 місяці тому +10

    Nimependa love story yako, hongera sana 💐🌺

    • @beatricechite3142
      @beatricechite3142 3 місяці тому

      For her it's in her family line cause all her aunties are married by white people so it's a patter,so for her it wad something of sure bet.Tutasema ni mathabau ya ukoo.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Місяць тому

      Yes Iko kwenye damu
      ​amesema baba Ake aliwahi kuoa mzungu,mfinland

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 3 місяці тому +16

    Rafiki sio watu wazuri bora uwe peke yako hatupendeleani mema kwa kweli

    • @rutahalima1400
      @rutahalima1400 3 місяці тому +1

      Haqika, mufaransa husema “ mieux être seul que mal accompagné “

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 місяці тому

      Mimi nimeamua kutokua na marafiki.maraki wanawivu sana..

  • @Mazoea
    @Mazoea 2 місяці тому +2

    Ila wabongo washenzi sana.na wanawivu na wanapenda sana

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 2 місяці тому +2

    Mungu Awabariki wewe na Family yako.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 3 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana mrembo ❤❤❤

  • @emmanueliirungu2339
    @emmanueliirungu2339 2 місяці тому

    Asante kwa elimu yako,kupima iwe kanuni

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 3 місяці тому +7

    Shena wangu nakupenda sana kipenzi,hongera kwa kazi nzuri😊

  • @tumainisamwel2925
    @tumainisamwel2925 2 місяці тому

    Lovely story

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 3 місяці тому +3

    Dada shena ni mtulivu na msikivu pia😊Mungu akutunze

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 3 місяці тому +3

    Hongera

  • @gillianwilliam5688
    @gillianwilliam5688 2 місяці тому +1

    Hongera dada nimependa unawapa mda wa kujielezea story zao.....😊

  • @johnmaulilo9564
    @johnmaulilo9564 3 місяці тому +4

    Wow wa kwanza kucoment

  • @leahkatinde859
    @leahkatinde859 3 місяці тому +17

    Jamaani msukuma kabisa mpaka anavyo ongea 😂 wakukaya

    • @anethcharles5443
      @anethcharles5443 3 місяці тому +1

      😂😂😂confidence hana masikin ila amepitia changamoto nying yan 😢haya maisha ad utoboe jua umepitia meng sana

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 3 місяці тому +1

      Na muhaya pia

    • @BERLINHENRY-tc8em
      @BERLINHENRY-tc8em Місяць тому

      Ila wasukuma na Sisi 😂😂na Mimi nijnitoe story yangu mpaka kupata ndoa na mzungu😅😅

  • @blandinamrusha-pj2ro
    @blandinamrusha-pj2ro 2 місяці тому

    Nakupenda Marry wangu 🎉🎉🎉🎉

  • @viarneytairo2543
    @viarneytairo2543 Місяць тому

    Mungu alikuwa tayar amekupangia. Ongera sana na pole kwa changamoto ulizopitiaa. Nitafutie na mm mthungu sasa

  • @rhobigwesso3308
    @rhobigwesso3308 Місяць тому

    Hongera
    Umefunguka umesaidia wasi hana wengine maana. Mhhhhh.ni kipengele TZ😊

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 3 місяці тому +4

    😂Mery anachekesha. Lakini Mashaallah kapambana hasa ❤

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 місяці тому

    ❤wewe unatisha KBS waliku pendaga saan 🥰😊👍

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 3 місяці тому +6

    Yaaani sisi watu weusi sisi hatupendaniiii 🙈🙈

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 місяці тому

    Pole sana msichana 🫢 nihatari kbs dunia Kwisha KBS ndodunia hiyo mzunguko ila mngu anaweza yote 🥰

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 3 місяці тому +1

    Story nzuri

  • @verynicemoshi9959
    @verynicemoshi9959 3 місяці тому +1

    Nampa ongera sna kwa kutimiza ndoto yake

  • @saidizuber8831
    @saidizuber8831 2 місяці тому

    Pole na hongera dada

  • @simplycaren375
    @simplycaren375 3 місяці тому +1

    Anaeleza vizuri

  • @gracendumbaro5196
    @gracendumbaro5196 2 місяці тому

    Mpaka haya kazi njema

  • @cleopatrahenry7541
    @cleopatrahenry7541 2 місяці тому +2

    Merry ananifurahisha kuwapa na ukoo wote 😅😅😅

  • @ruuh_august
    @ruuh_august 3 місяці тому +1

    Ana aibu mashaalllah 😂🤣

  • @user-ke9bg1dm9c
    @user-ke9bg1dm9c Місяць тому

    Hongera Mary

  • @user-hu5qi4nl1i
    @user-hu5qi4nl1i 3 місяці тому +1

    Wakukaya mayoooooool😅❤

  • @felismbithe4761
    @felismbithe4761 2 місяці тому

    Hongera dada.

  • @pendo8082
    @pendo8082 Місяць тому

    Inter view nzuri sana

  • @sarahbuberwa7219
    @sarahbuberwa7219 3 місяці тому

    Hallo Shena hongera sana kwa kipindi chako
    nielekeze jinsi ya kudownload Tinda

  • @user-fb4gg1me7f
    @user-fb4gg1me7f 2 місяці тому

    Hongera kwa Hilo dada,,xaxa tufanyie connection ya kazi huko

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 місяці тому

    Hayo maisha ya shida nila Zima tupambane nakia njaribu huku kuwa kitu ninacho endelea kupotrza wavinjana wa easichana mnayatizo KBS 👏😊

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 3 місяці тому

    Dada napenda sana kipindi chako wow ni mimi Simba Abdul Amsterdam Holland

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 місяці тому +31

    Anafanana kama mama Tibaijuka.

  • @user-fb4gg1me7f
    @user-fb4gg1me7f 2 місяці тому +1

    Mimi naitwa Erick wa Arusha Fanya mpango tupate connection ya kazi

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu 3 місяці тому

    Jaman ninempenda merry anaongea vizuri

  • @TeddyMussa-e6h
    @TeddyMussa-e6h День тому

    Nimpenda merry dada

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt Місяць тому

    Mm naomba mungu nipate tu mume wa maisha yangu anisomeshe kingereza maana simua na wakunisomesha nimeishia la saba

  • @user-uo4oc1pb9k
    @user-uo4oc1pb9k 2 місяці тому

    Wazungu,naukai,hata vile unakaa,you are beautiful when they are using you

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 3 місяці тому +5

    Wanawake pasua kichwa

  • @annamussa185
    @annamussa185 3 місяці тому +1

    Wakokaya olemhola😊

  • @user-ws1gn3ul4q
    @user-ws1gn3ul4q Місяць тому

    The time you pray God for marriage just tell God the type of a man you want because when you call God to give you a husband he can give any man sababu uja sema ni wanaume mgapi ata mlevi utapata juu haja yako ni bwana 😂 monicah from kenya 🇰🇪

  • @adolfmashele4959
    @adolfmashele4959 Місяць тому

    Hongera..kuhusu club...nadhani ilikuwa ni njia yakutafuta kumpata mtu anayemuhitaji tu..but pia kila mtu anahaki yakuwa na yoyote tu

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 місяці тому +1

    Sielewi kwanini wadada wanapenda sana kushea mambo yao na marafiki. Jifunzeni jamani.

  • @samirasalim4203
    @samirasalim4203 3 місяці тому

    ❤❤❤

  • @suzanjack9158
    @suzanjack9158 Місяць тому

    hahaahha mary bana huyu dada nmesoma nae chuo kimoja ata sishangai 😂😂😂😂

  • @rutahalima1400
    @rutahalima1400 3 місяці тому +2

    Hongera binti wetu karibu europe bienvenue
    Na mi niko france huwa na kuja Belgique nikija natakutafuta
    Je te souhaite beaucoup de bonheur dans ton foyer
    Félicitation
    Coralie

    • @ByonaBirungi
      @ByonaBirungi 3 місяці тому +1

      Kweli binti yetu umepitia mapito hongera saana

  • @gracemasawe7646
    @gracemasawe7646 2 місяці тому

    Mm huwa nawapenda wazungu jaman

  • @trueone_tz
    @trueone_tz 3 місяці тому +1

    🤝🙏🏻

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 місяці тому

    Pole jee huku waita wote. Inamana huku njuwa mapema wazingu sio wema ni ukweli KBS ushauri mzuri sana USi muaminie mtu awaye yote KBS 😊🥰

  • @nurumustapha2448
    @nurumustapha2448 3 місяці тому +2

    Hatimae nimemuona ndugu yangu wasukuma oyeeeeeee

    • @basumaadam2686
      @basumaadam2686 Місяць тому

      Oyeeeeeeee nipo hapa na me Nina mzungu wasukuma tuna nyota na wazungu ❤

  • @issajumaali4009
    @issajumaali4009 3 місяці тому +1

    Nimependa utambulisho wake huyu dada, "Kwa jina......"

  • @SalimhchialaAtilio-qj5cs
    @SalimhchialaAtilio-qj5cs 2 місяці тому

    😍😍🥰

  • @kithajungu1389
    @kithajungu1389 2 місяці тому

    Nimekupenda sana bi mery unaongea ukweli nimependa icho kitu,ukweli ukweli ❤

  • @banguha
    @banguha 3 місяці тому +2

    Wahaya ndivyo tulivyo hata mm kwenye posa walikula had leo hawasahau kwetu hakuna shughuli ndogo

  • @viarneytairo2543
    @viarneytairo2543 Місяць тому

    Nitafutie na mm Mzungu kwa kwelii

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 3 місяці тому +2

    Jama Mary kumbe Mama yako ni Mhaya! Duh! Nimefurahi mno! Na mimi natoka BK.

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 3 місяці тому +2

    Mwenyezi mungu akutangulie

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 місяці тому

    Ni history kubwa dada 😂😂😂🤣🤣

  • @DoreenMwanga-dg7xp
    @DoreenMwanga-dg7xp 3 місяці тому +3

    Je Tinder alilipia....shena hilo swali unasahau kuuliza

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 2 місяці тому

    Kwahiyo. Mzungu ni mmebergium

  • @gra8098
    @gra8098 Місяць тому +1

    Hapo kwa club na waterfalls, afu mtu anasema alikuwa hadangi😢😢

    • @jacqueisaac8155
      @jacqueisaac8155 Місяць тому

      Kwa hiyo kwenda club ndio kudanga? Sasa unatafuta mchumba wa kizungu si utampata waterfalls, mbugani, club, hotel, beach, etc ? acha negativity mzungu humpati sokoni wala buchani

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 3 місяці тому +3

    Inatakiwa ujiendeleze kimasomo dada angu usibweteke

  • @rachelmuhehe7789
    @rachelmuhehe7789 Місяць тому

    Mimi navyopenda mwanaume mweusi (wa kiafrika) kwakweli mzungu mimi hapana kabisa.

  • @aby21111
    @aby21111 Місяць тому

    African napenda naroga wazungu.😎🇺🇲

  • @lylm4147
    @lylm4147 3 місяці тому

    Can someone tell me 8n what way is the sister an " official" dating assistant. Has she bern appointed by a body or authority that is responsible for dating/relationships; or an appointed agency of such (if there is such). And please can someone tell me what is "ordery love story"?. What is ordery?

  • @user-tu8eg8ri3b
    @user-tu8eg8ri3b 3 місяці тому +45

    Kwa nia nzuri. Nashauri anaotafuta, waume wawe wanapima afya kabla ya kukubali kujamiiana. Maana tangu nimesikiliza watu tofauti tofauti hapa sijawahi kusikia mtu anasimulia tukafanya vipimo kwanza vya magojwa hasa ukimwi. Kama huwa wanapima ni vizuri. Shena unafanya vizuri kuelimisha watu. Na unajua kumsikiliza mtu anajieleza mwenyewe. Humkatishi mazungumzo yake hivyo stori inanyooka vizuri. Na unajua kuuliza maswali vizuri.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  3 місяці тому +5

      Ushauri mzuri sana.. Shukran 🙏

    • @betricemainoya4176
      @betricemainoya4176 3 місяці тому +2

      Kabisa wengine hawajui ku intaview wanakatisha mtu maneno intaview inakuwa gumzo tupu

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 3 місяці тому

      Hakika

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 3 місяці тому

      Sema pia da shena Kuna watu ANAKUWA free sana na Kuna baadhi ANAKUWA SI comfortable sana but bado da shena anafanya vizuri

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 3 місяці тому

      Yaani kwakweli mimi huwa nasema mara zote hapa,shena ni msikivu na mtulivu sana,anajua kumskiliza mtu na anauliza maswali vizur sana,yaani mskilizaji unaelewa kwa uzur kabisa aisee tumpe maua yake🫠

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 3 місяці тому +4

    Mashuka ya guest ndomana yamefubaa kumbe mnayapondaponda😂😂😂

  • @annabodsch3566
    @annabodsch3566 3 місяці тому

    ❤😮🎉

  • @DM_15
    @DM_15 2 місяці тому +1

    Masela njooni hapa msikilize ujinga za wanawake hapa

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 2 місяці тому

    Si tuko nap ila hawa eleweki KBS 👏 hiyo niu shauri mkubwa kwetu njamani 👏

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu 2 місяці тому

    Dada shena nakupenda huna papara unamuacha mtu anajimaliza mwenyewe wengine wanaingiliaga katikati

  • @asinamohamed4016
    @asinamohamed4016 2 місяці тому +1

    Mwanamke kujitongoza kwa mwanaume SI Tania yetu kwa Mtanzania

  • @dianamvuzwa-eh9ov
    @dianamvuzwa-eh9ov 2 місяці тому

    Meri nitafutie Mimi mwanaume wakizungu Mimi na penda kuja niwazae watoto wa kizungu wazuri vigezo kufunga ndowa kutolewa kishika uchumba na mahali pia utakuwa mfafanuzi wangu wa kingereza nahivo unaonekana unaroho nzuri ni fanyie hivo meri

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 3 місяці тому +1

    Wanaume wakati mwingine tunapitia maisha magumu kwa sababu ua wanawake

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 2 місяці тому

    🤣🤣🤣🤣🤣 alikuwa anapenda watoto jmn lkn dah ila ndoto ya mtu haifi

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 3 місяці тому +2

    Hata mm natamani mzungu jamani lakini hii process duuh!!naogopa matapel wa ngono

    • @basumaadam2686
      @basumaadam2686 Місяць тому

      Ni wengi mno matapeli ila ni kuomba Mungu utapata