Tufanye video *Goodluck* : mi nipe wa mama na wax zao *Martha* : sawa wew utaleta vijana na wa matarumbeta *Goodluck* :wazo zuri kazi imeisha ntamuachia director sisi tutaiona UA-cam *Martha* : "Yesss" ..!!
Praise God let's keep the Glory to Lord, Wacha Waone baraka zake Mungu na huu wimbo uwe baraka kwa atakae utizama na kuuskiza. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu azidi kukutumia Gosbert kwa utukufu wake! Mungu amekupa neema kubwa sana kuwa chombo cha kumtumikia kupitia nyimbo zake. Mungu azidi kukiinua na kukutifautisha jwa utukufu wake.
Swahili music just so sweet. Sijui Mbona watu wapendi ngoma zao Kama waafrica. The beats , the words, the voices, the dress code, the moves, the video just so epic. Edit: Kenyans great support acknowledged here. +254 Hakuna Matata kweli.
Love love Tanzanian gospel music. Worship from the heart indeed! 🙌🏾❤️. Love you my brothers and sisters Tanzania! 🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪❤️🇹🇿❤️🇰🇪❤️🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ❤️🖤💚
Bravo! Bravo! Seba akujiwe noyi (sukuma), Praise the LORD, Bwana asifiwe(swahili) Wimbo mzuri na unahisia sana.Na kiukweli ukitazama waliokwenye video ni mafundi wameutendea haki huu wimbo.Mungu awabariki sana
The dress code, rendition, dancing,vocals and message are purely anointed. Lord, take all the glory for this manifestation of your power at in your vessels
Then compare that to the nonsense Kenyans like willy pozzee mchafu and bahati were giving us and mentioning "Mola" here and there and baptizing it to be a gospel.
Yeyote Anaesoma Comment Hii, Hajuani na Huenda Hatutokuja kuonana na Kujuana, Lakini Nakutakia Mafanikio Mema Katika Maisha yako ya Hapa Duniani, na ya baadae, Kila La Kheri.
my favourite musician, love ur songs bro, always good like ur name, may God bless u as u bless us with ur songs, umeuwa ndugu kwa hiyo💪💪💪 moto kama pasi🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I just can't stop listening to this song.....it came right on time when everyone deserted me.....we serve a God of second chance. Lord reveal your presence in my life...another to prove myself that am worth
Utawale utawale utawale tu 🔥🔥🔥🔥💯
Kenya tunawapeda wapi likes
Nimebalikiwa na wimbo huu. Mungu awazidishie maono mengi nyimbo mnazozitunga.
Achana waone wacha waone wacha waone kuwa wewe ni Mungu
congratuiation mo blessed gospel sound
Tufanye video
*Goodluck* : mi nipe wa mama na wax zao
*Martha* : sawa wew utaleta vijana na wa matarumbeta
*Goodluck* :wazo zuri kazi imeisha ntamuachia director sisi tutaiona UA-cam
*Martha* : "Yesss" ..!!
Hahahaa uwiii an nmecheka
Idea kaliiiii
😂😂😂😂 SIE TUTAIONA UA-cam 💢
😂😂😂😂😂Umenichekesha
Creative
aki nipatieni likes za hao wanawake napenda fasheni zao ,na hao vijana wanne vile wanavyojua kusakata densi.
Jamani mm ndo wa kwanza naombeni like zenu "WACHA WAONE"
Mbalikiwe sana
Ysuei
@@michaelbasenyaukovizulikwe9749 was was
Tuku pamoja💞👍🦸
Asawa baba
Jamanii jamanii goodluck ameupaisha mziki wa injri💥🙌 na vile sauti ya Martha imesikika uwiii😍❤️😘🙌
Hiyo Sauti ya dada mdogo....wow . Wacha waone vile wewe ni ngome. Love
Praise God let's keep the Glory to Lord,
Wacha Waone baraka zake Mungu na huu wimbo uwe baraka kwa atakae utizama na kuuskiza. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sasa najidai dai KWA Yesu 💋💋💋🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
"...daida 🎶 ...daida 🎶 nafurahi kwa Yahweh" 🔥👏
Hivi injili yake Kristo na iende mbele! 😊
Asante ni sana kwa wimbo hiji.
Amen🙏🙏🙏
Amina nabarikiwa na wimbo huu imejaa Upako
Mungu azidi kukutumia Gosbert kwa utukufu wake! Mungu amekupa neema kubwa sana kuwa chombo cha kumtumikia kupitia nyimbo zake. Mungu azidi kukiinua na kukutifautisha jwa utukufu wake.
Wapende wasipende wataona vile mungu akitenda kwangu
Goodluck has a real talent from God.Songs with a message❤from
🇰🇪
Goodluck hii imekaa njema sana ubarikiwe
Wacha waone, Keep uplifting us. Maneno yanatosha kukupeleka sehemu ya juu ya maisha yako shukrani
Kali Sana mbarikiwe watumishi wa mweyezi mungu
Kaka gooluck unaufundi mwingi sana mungu akuweke sana chini ya jua tuone♥️💥🙏🙏🙏🤝
Da mwamba ngoma kali mmekutan wote mnajua,👍👍🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏
Amen,llike that part mengine ulinitendea bila Mimi kuomba wonderful
Zambia nyimbo ndoinayo pigwa 💯💯💯💯💯wachaone
asanten xana mmekutana wot mnajuwa dhaa semen amen mlio ipenda hii song nipeni na like zangu🙏🙏🙏🙏🙏💛💚💛🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@@loranceleonidas394 p1
@@footballtv8488 ua-cam.com/video/91L8HA75Qqc/v-deo.html
THE lead singer, [kamdada ka mwanzo]kills ..ubarikiwe...na wengine woooote ,FAB
Swahili music just so sweet. Sijui Mbona watu wapendi ngoma zao Kama waafrica. The beats , the words, the voices, the dress code, the moves, the video just so epic.
Edit: Kenyans great support acknowledged here. +254 Hakuna Matata kweli.
Watanzania Mungu azidi kuwatumia, kuhubiria mataifa wema na sifa za Yesu.
Wapi likes za +254🇰🇪 🔥🔥,Goodluck you're a blessing to our souls amazing way to welcome Kampeni Album💯
I like the dresscode, message, and spirit of the song
l
l
bm
b
Naomba mungu unyooshe mkono kwangu ili waone niongeze ulipopunguza
Huyu dogo anaitwa nani? Amepaform vizuri kweli zaidi hako ka suruali ka kitambaa kamemtoa vizuri sana.
Na ni mfupi kuliko wote
Dogo noma wa chinno kidd
Martha mwaipaja simuoni gozbert mwenyewe simuoni nasikia sauti tu sijakuelewa
Amen 🙏🙏🙏 Wacha waone venye Mungu amenitendea.Wimbo mzuri be blessed Goodluck and Martha Mwaipaja
❤❤❤,wote mafundi wa kuimba mungu awape afya njema mwendelee kutuinjilixha🥰🥰🥰🥰
Shukran kwa wimbo huu nzuri kazi safi bossyangu 😍😍😍😍🥰🥰🥰wataona tu wapende wasipende bado wataona kuona hadi waone God bless yah guy's 🏌️♂️🏌️♂️🏌️♂️
Huu wimbo unanibariki sana tarumbeta ukizisikiza kwa makini daa unajua hadi basi.
Martha's voice pierces through my soul any day any time goodlucks voice soothes my heart...... combination of both is heavenly ❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
Nice song
Kazi ya Mungu isonge mbeleeeeeeeeeee mmebalikiwa watumishi wa Mungu
Love love Tanzanian gospel music.
Worship from the heart indeed! 🙌🏾❤️.
Love you my brothers and sisters Tanzania! 🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪❤️🇹🇿❤️🇰🇪❤️🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
❤️🖤💚
We love you our brothers and sisters in Kenya
We love you too so much and thanks on behalf 💕 ❤
Tunawapenda mno jamani,nyie Ni ndugu zetu,baba mmoja mama mbalimbali🙏🙏🙏
Sifa zimurudi Mungu Baba n'a azidi kuwa wezeshe n'a tumikisha watumishi wake. Prise the Lord
Jamii ya Kikristo mavazi yetu, yaendane na UKRISTO wetu, ili R.M asihuzunishe na mavazi yetu
Nashukulu na shukulu nkyala hata pare ulipo nipogania pasipo kuomba barikiwa Sana kwa mwimbo nzuri na uwimbaji mzuri
Bravo! Bravo! Seba akujiwe noyi (sukuma), Praise the LORD, Bwana asifiwe(swahili)
Wimbo mzuri na unahisia sana.Na kiukweli ukitazama waliokwenye video ni mafundi wameutendea haki huu wimbo.Mungu awabariki sana
This man of God is taking Gospel mhsic to the next level...great revolution of our Gospel music
Sibishani na wabishi sugu, Asije akasirika Mungu🙏🏻
My favorite musician..God bless you Man of God nipewe likes from Kenya .
@Merry Samia j
athanax
@Merry Samia à
Wonderful song God bless you
Music music1David
Ujumbe ni mzuri ila staili za uvaaji na uchezaji zimetoka ulimwenguni.Usifurahishe followers, Mguse Mungu
Sjapenda kwan Gudi na Martha walikua wap mda wa shooting😥😥😥😥
We ulitaka wimbo ujumbe au watu mburaaaa
Wacha waone vile wewe ni ngome juu ya Kila kitu maishani mwangu😭😭😭😭😭.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Awaaah ..Mungu akiinue zaidii..Am blessed with ur songs so much 🙏
Wacha waone vile wewe ni Ngome🙌
Ooh blessing one .Much love from Kenya 💖💖💗💗💗🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipewe likes plz
Kenya sehemu gani
Nyimbo inatupa uponyaji Asanteni watumishi wa Mungu
I just wanna say wow... may God be glorified, am blessed by this song
Thanks MUNGU ni mkuu hakika kila kitu kwenye huu wimbo kinanibariki 🙏🙏
Huyu Martha sauti yake jamani duuh Unique It's God Power within Her
Kwani hii sauti sio ya martha🇰🇪🇰🇪
My favorite Gospel musician of all times good luck gozbert
Hivi goodluck unajua kuimba had shetan anaona wivu nakupenda sana dogo
muziki ulioenda shule.barak asana the duo you are a blessing #MArtha & Goodluck
First to view from 🇰🇪🇰🇪nipeeni likes 🔥🔥🔥🔥
Martha & Good luck, what a great collabo from two artistes with very good vocals. With much love from Nigeria.
Nawapenda saana, endeleni kunipa raha na kumpa Mungu raha, Mungu awabariki jameni.
nipo nayo hii mwaka 2024
Waooooh, hata kipindi hiki Cha Corona Acha wakuone wewe YESU wetu vile ujuavyo. Kututetea ,Salute kwenu Martha And Fund Gozbert
jeeeezy😱 I never know that Martha and Gud are too young like this but talented
That's no her
can't you know the situation???
Wacha waone hakika wewe ni ngome maishani mwangj umenitendea pasipo kunitazama mate do yangu ,wacha nifurahi hakika wewe ni Mungu
The dress code, rendition, dancing,vocals and message are purely anointed. Lord, take all the glory for this manifestation of your power at in your vessels
Then compare that to the nonsense Kenyans like willy pozzee mchafu and bahati were giving us and mentioning "Mola" here and there and baptizing it to be a gospel.
Hongera sana kaka
@@electronique6956 someone imagines. That's Pure acting for income
@@electronique6956 778jñnñn
Wooow .......Wacha waone,tawala yesu ......nawapenda saana ,kazi zuri saana ,mungu awatende mema
Yeyote Anaesoma Comment Hii, Hajuani na Huenda Hatutokuja kuonana na Kujuana, Lakini Nakutakia Mafanikio Mema Katika Maisha yako ya Hapa Duniani, na ya baadae, Kila La Kheri.
Amina amina naamini nitapokea
It still sounds new,, Martha was very small weuh! to God be the glory
Dah! Nimesikia aman sana ... Mmbarikiwe sana ❤️🌹
Da bena nmekuona dada angu unapendeza kwa Yesu
Amen, they are seeing what God do to us.
God is Great.
Salute to you my brother Goodluck Gozbert for this nice work.
Haleluyaa moto moto wa Yesu
Kweli Yesu ni ngome....🙌🙌
I'm blessed from my role model
#gospelqueenkisii
Wacha waone vile wewe ni Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Dah 🙏 kaka nimeona verity my brother 🙏🏿💪🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
This worship song is worthy 500 million views.
Eeeiish God is control Yan hio dance style wacha tu sisemi kitu, mumeunda hii ngoma sauti zenu lkn hatuwaoni kweli🙏🙏🙏🙏
I'm really blessed by your ministrations... Sending love and prayers from Kenya
Hi
Acha waone ukuu wa MUNGU BARIKIWENI sanaaaaaaaaa
God bless u.........kazi yako ni nzuri,Mungu azidi kukutumia
Mungu akubariki Sana uzidi kukonga nyoyo zetu na kumwinua MUNGU ......"ACHA WAONEE ACHA WAONEE KWELI WEWE NI NGOME"
Goodluck deserves more than a million views for a week 🔥🔥🔥
Wacha waone wacha waone vile wewe ni ngome..Hakika...nabalikiwa mno na wimbo mzuri...God bless you🙏🙏🙏🙏
This song is always airing on trace gospel and I love it a lot... Love from Naija
Mungu mkubwa sana...huu wimbo ni mzuri sana
my favourite musician, love ur songs bro, always good like ur name, may God bless u as u bless us with ur songs, umeuwa ndugu kwa hiyo💪💪💪 moto kama pasi🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waoooo wimbo wenye mahadh yake uliojaa ujumbee washkran nawenye mnato mzur wa aara zamziki bgup kwenu
"Amen" that's the only word I can utter from my mouth
inapendeza Sana kuona ubunifu mzuri wa namna hii hakika mungu awaongezee uweledi wa kufanya vizuri zaidi ya zaidi
This song is a healing song,may God bless you guy's Levi from Kenya
Naaminia be blessed brother Goodluck and siz Martha
Great song..this is what God does to those who loves him
Wewe nifundi wa mafundi nakukubali sana ❤️❤️🔥🔥🔥🔥
Had shetan anaduwaa
I love this song so much...and the dancers did it well too
God is mighty....hii ni Kali mpendwa
Every time I see a new upload from Goodluck, I just know it gonna bless my heart. Am so blessed. Much love from 🇰🇪
Kipya tena katka maimarisho, ya imani, #Goodlucky, na #Martha, mtunzwe n'a Mungu
This song ministered to me yesterday, such a blessing
Ngai! Sisemi kitu Mimi...hongera gozbert na Martha a lady of confident.watching from materi sublocation in Tharakanith county.
Goodluck's voice is just amazing and awesome to listen to
Good Luck acha mzaha ,kwanini ahujaonekana,,umenikwaza sana
I just can't stop listening to this song.....it came right on time when everyone deserted me.....we serve a God of second chance.
Lord reveal your presence in my life...another to prove myself that am worth